HII NDIO KAULI YA MHE MAZRUI NIMEZALIWA MUISLAM NATAKA NIFE MUISLAM WEZANGU ACT KUIKOMBOA ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 12

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 7 днів тому

    tunakupenda sana mh mazrui mungu atuwekee mazrui wetu

  • @DormanDorman-jm3dz
    @DormanDorman-jm3dz 6 днів тому

    DAH..!! KAZI KWELI KWELI

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar 7 днів тому

    Good job freedom zanzibar 2025 ❤

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar 7 днів тому

    Hahaha bimani usiwatie hasira 😂😂😂

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 7 днів тому

    Hayo ndio maneno ya kuzungumza sio myu mzima kujishaua kwenye majukwaa unamsifia mwinyi hali yakua hana utetezi wowote kwa Zanzibar i

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 7 днів тому

    Nyie sawa sawa na chawa munawapigia debe hao CCM.nyie zilipendwa

  • @FahadAbubakari-y3f
    @FahadAbubakari-y3f 7 днів тому

    Kuna kitu najifunza sana kwenye mambo haya ya siasa.

  • @Clever-l8v
    @Clever-l8v 5 днів тому

    Uislam dini mbali na democrasia dini mbali

    • @mohammedhamad9392
      @mohammedhamad9392 5 днів тому

      Nini kilicho kuuma weye wa wapiiii 😊😊😊

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v 5 днів тому

      @mohammedhamad9392 mm ni muislam tena mzanzibar haswaa unafiq ndio unaniuma kuona watu hawajui nafac zao katika maisha

  • @SaidOmary-fd3bj
    @SaidOmary-fd3bj 7 днів тому

    Hizi siasa waliotulea wazungu kwa huku Afrika Bado zinatupa shida sana

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 7 днів тому

      Kwa sababu wengi wao ni hawajielewi kama hao