WAZIRI MAKAMBA ASHUHUDIA MKATABA MKUBWA WA GESI YA MTWARA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 43

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 роки тому +11

    Waliiba gas sana ,,alipokuja magufur walimkimbia Sasa wamerudi tena

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 2 роки тому +6

    Mnasaini vpi wakati mazungumzo bado yanaendelea?

  • @maspro6294
    @maspro6294 2 роки тому +6

    Jambazi makamba hapo kesha iba pacent yake hapo mama alikosea sana kumchagua huyu jambazi mkubwa na fisadi kubwa kama papa

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 роки тому +5

    Malizia bwawa la mwalimu nyerere jicho la watanzania sasa hivi atuoni hata kinachoendeleya

  • @florameza1028
    @florameza1028 2 роки тому +8

    Mzee wa dili

  • @shangwehalisi7659
    @shangwehalisi7659 2 роки тому +4

    Hapa hamna kitu

  • @stephenmadembwe9942
    @stephenmadembwe9942 2 роки тому +9

    Mh waziri anasema mazungumzo yanaendelea.Inamaana tumesaini mkataba kabla ya kumaliza mazungumzo?Je kama maewano hayatafikiwa mnavunja mkataba?

    • @triplea3463
      @triplea3463 2 роки тому

      Hawa sio wachimbaji ni washauri

  • @far_hard1301
    @far_hard1301 2 роки тому +5

    Lait serikali ingesoma comments humu za wananchi wangejua nn kinachotuumiza wananchi tunaumia jamani

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 роки тому +3

    We makamba ungemalizia kwanza bwawa la mwalimu nyerere umeme upunguwe bei ndiyo mulukie hayo madili yenu

  • @ambwenedaniel358
    @ambwenedaniel358 2 роки тому +4

    Makamba ilibidi anyongwe

  • @far_hard1301
    @far_hard1301 2 роки тому +6

    Naapa siwadanganyi wananchi wenzangu huyu jamaa simkubali kabisaaaa toka alivyoteuliwa kuwa waziri wa wizara hii nilijua kinachofata ni maumivu tu kwetu mtakuja kuona baadae. Waziri alietolewa ndio alikuwa jembe namkubali kinoma ww mfano mdogo kwa wakazi wa dar kumbukeni enzi ya utawala wa marehemu umeme dar ulikuwa unakatika kama sasa hv? Yy aliwezaje wao washindwe sasa ataweza mradi mkubwa kama huu wa gesi kusimamia kweli mtakuja kuona pesa matrillioni yamekwenda na hakuna gesi wala nini haya ok tunamuachia allah

  • @sometimes5621
    @sometimes5621 2 роки тому +2

    Ujenzi wa kiwanda cha LNG cha Lindi umefikia wapi?

  • @far_hard1301
    @far_hard1301 2 роки тому +2

    Hapa ni dili juu ya dili percent juu ya percent kwaajili yao na sio kuionea huruma taifa mateso tunayopata tuombe mungu sana ndugu zangu wananchi 😭😭😭😭

  • @far_hard1301
    @far_hard1301 2 роки тому +4

    Alianza rais kikwete akafata marehemu akautupilia mbali baada kupotea mabilioni ya pesa sasa hv tunaendelea tena pale pale tupoteze matrillion ya pesa na rais ajae aseme huu mradi haufai kiufupi MUNATUYUMBIZA WANANCHI HATUWASOMI

  • @MTAVASSYTv
    @MTAVASSYTv 2 роки тому +1

    Watu wa Tanzania bado hawanunui umeme kwa gharama nafuu na wanachaguliwa wa kupewa kwa gharama nafuu awali yaani kuunganishiwa hao hao wana hali ngumu za utafutaji wa rizki ya kila siku, serikali haifikirii kupunguza gharama za unit za umeme? Serikali itafakari sana inakusanya kodi kupitia mfumo bora huu wa manunuzi ya umeme lakini bado kuna watanzania wanalia hata kibanda/ardhi hajui atamiliki lini kipande chake tafakkuri tu hii

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 2 роки тому +4

    Msishangae ni masharti ya pesa za COVID 19 mlizojengewa madarasa ya uviko kwani mzungu ni mjinga yaani akupe chanjo bure na pesa juu yake mnafikilia mzungu ni kichaa

  • @barakaothumani6421
    @barakaothumani6421 Рік тому

    huyu kijana mwizi jamn wew mungu anakuona yutakoma siku ya mwisho

  • @positivevibes8784
    @positivevibes8784 2 роки тому +6

    Kwa nini yalikua yana anza yanaishia kati kati na iweje yaanze sasa hivi ya kaende haraka haraka na Kwa nini mtumie washauri wa nje kama kampuni kubwa duniani zikihonga hiyo kampuni ya washauri ili wasuke mkataba wenye loophole zenye interest za hayo makampuni ya nje kuliko taifa then zishinde Tenda watupeleke mkenge mbona mmekaa kidili dili mheshimiwa halafu hatujiamini na wasomi wetu wandani Sasa Hawa ma professor na ma doctor wetu wamesoma ili nini fashion au😔

    • @birianination7097
      @birianination7097 2 роки тому

      Hataukiomba kazi lazima utaulizwa kama unaujuzi wa miaka mingapi, sasa unataka tuchukue wasomi wa ndani wasio na ujuzi wowote, hapo ni kama kuchezesha yanga na man city.

  • @raphaelkatanga5335
    @raphaelkatanga5335 2 роки тому +3

    Tanzania. Ni koti la Babu kwa sasa

  • @MrRizwan1978
    @MrRizwan1978 2 роки тому +5

    Hebu tuambieni bwawa letu la Nyerere limefikia wapi. Wahuni sio watu wazuri

  • @michaelsiweya4969
    @michaelsiweya4969 2 роки тому +2

    Haaaaya... Tunasubiri tuone.. Maana kwenye makinikia tuliambiwa ni udongo tu hauna kitu.. Mzee Magufuli akaja akawashitukia.. Wakamdhuru hadi kifo... Tunasubiri sasa hili limradi likubwa.. Tuone kama kweli litawaokoa watz...

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 роки тому +2

    Mikataba isome live

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 роки тому +5

    Nimadili tu hapo taifakufaidika hakunakitukamahicho bwawalanyelele mbonahutujuzi maendeleoyake? Yaanikimyaa naccwtz tulishazoeya kupatataalifa zamladiule malakwamala kwaniukikamilika kwamuda uliopngwa nimkombozikwauchumiwanchi

  • @mtangag774
    @mtangag774 2 роки тому +3

    YAAN SI GESI ISIPOSHUKA BEI MBONA TUTAKATAGA MISITU HIYOHIYO YAAN MTUSAIDIE YAAN

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 роки тому +4

    Waziri fisadi Makamba, kuleni nchi sasa siku moja mtaondolewa Kama Shan, Saddam Hussein, eventually watu watachoka kudanganywa.

    • @far_hard1301
      @far_hard1301 2 роки тому +2

      Sawa kabisa

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Nina imani nawe Makamba... Chapa kazi, miradi hiyo yaliyokwama kwa muda mrefu ifufuliwe, Wananchi tunufaike na maliasiri zetu tulizojaliwa na Mwenyezi Mungu...

  • @sethstiven3393
    @sethstiven3393 2 роки тому +2

    Huyu mtu ni fisadi Sana na rais alimweka kulipa fadhira kwa msoga,,,, Ila wananchi wanaelewa vile mnawachezea Ila 2025 tutakuwa huru kufanya yetu

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 роки тому

    Hiyo mikataba inafaa kuwekwa wazi watanzania waisome waijue

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 2 роки тому

    Haya wizi uendee na pia nawasalimu kwa kumuuwa mzee baba mzalendo wa ukweli indigo children

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 2 роки тому

    Umefafanua vizuri Mhe Waziri,tatizo haya masuala ya Gas Asilia ni mageni kwa baadhi ya Wananchi ndiyo maana unaona baadhi ya wachangiaji wanaunganisha mradi wa Umeme Rufiji na mradi wa LNG.

  • @khamisbubah9992
    @khamisbubah9992 2 роки тому

    Ni Lindi bhana na sio Mtwara .

  • @mawazoselemani614
    @mawazoselemani614 2 роки тому

    huu mradi ndio maalum uliomtoa,uliomuweka,na uliompeleka..yuko uliomtoa,na yuko uliompeleka na yuko
    aliyetangulizwa mbele za Haki.

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 роки тому +2

    Safii sana

  • @johnkyara8655
    @johnkyara8655 Рік тому

    Huyu dogo kichwa ipo speed

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 2 роки тому

    Gesi yote hiyo Leo unatanza umeme wa mugao ningekuepo Mimi ungekua umesha jihuzu asubuhi sana

  • @jumakassem4040
    @jumakassem4040 2 роки тому +1

    Mhh