QASWIDA MPYA YA SHEIKH HAFIDH YACHANGAMSHA UWANJA MZIMA MAHAFALI YA AL-IHSAN GIRLS 2022.
Вставка
- Опубліковано 1 бер 2022
- Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia...
Whatsapp. +255772285543
Call. +255772285543
Usisahau ku SUBSCRIBE | LIKE | KU COMMENTS , ili upate taarifa zote zinazohusiana na Tasnia ya QASDA | MAWAIDHA | NASHEED | TENZI | MATUKIO MBALI MBALI YA KIJAMII , kupitia hapa channel yako pendwa ya IBRAHIM ZANCOM.
Al ihsani hoyee
Mungu awabariki kuzidi kusonga mbele.
Uimbaji wa Hafidh hauna tofauti na uimbaji wa Mrisho mpoto
Mimi naona wasikutie aibu shehafidh juu ni changamoto tu zao izo pengine wao ndo wanafanya vyengine vibaya zaidi ya kasida ,,,lete vitu vipya tu sisi twakukubali mashallah
🥰🥰🥰🥰🥰
Shehk hafid mungu akubariki
Masha,allah mpo vzr
Mashallah zanzibar sister
Hongera shekhe hafidhi
mashaalah namkubali shekhe hafidhu jaman mungu amzidishie umri mrefu
Mungu akuzidixhie ostahh hafidh
Maashaallah mungu akubarik
Mashaaallah kaswida mzur
Mashaallah sheikh hafid na kupenda kwa ajili ya Allah
Usheh kaupta WAP et kwakuimba majimbo mkashabihisha ktk din niharamu
@@alimakame9215 sheikh ina maana nyingi
Maashallwah jazaakumullwah lkhair aamiiin
Mashaa Allah
Congratulations
Masha,allah
Masha allah
Nakukubali Sana ustadh hafidhi uko vizur
Mashaalla mungu awape umri mrefu
Mwenyew kujua anajua2 na kilam2 mungu kampa kipawa chake hongeren sana
Iko vizur sana
Mungu. Akuwek. Shehe
Mashaaaaal
nzuri😍🥰🥰😘😘
Masha Allah!!
Mashallah kaka unaweza sana Allah akufanyiye wepesi ktk harakati zako
Hakika wewe ni fundi
MashaAllah
Masha Allah
Mashaa Allah 🙏🙏
Hongera sheikh hafidh
Nnakubali iyonimekubali
Mashallah vizur
❤❤❤ nami pia
Mashallah
Mashaallah
Napenda kaswida zako san
Maashaa llaah
Asant teacher dulla uish maish maref huyu teacher dullah yy kwel anawap wanawak vipao mbele ni mfan mzur wa kuig 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Mashallah ❤❤❤
Jaman tofautisheni kati YA shehe Na msanii nikosa kubwa hilo
Wambie wasanii wa nyimbo
Mashallah 🙏
Mashallah 💟💥💖😢💚😚😭
Huyu jamaa ni noma anajua
mashallah
Hakuna like hapa Mungu atusameh maana hakika twafanya yasio na haya. Hakuna kinanda katika uislamu humu mnakinanda kama kanisani na maneno ya kukejeli kama rusha roho. Mungu atusameh lakini hapa hakuna kitu msisifie upotovu semeni Astaghafiru Llah. Hii rusha roho tu.
Astaghafirullah
Nkweli
Kwani kumwambia mtu ama kumzindua na kumnaswihi aachane na tabia isiyo pendeza ni vibaya
Ama hapo kuna matusi?
Na kama ndio tumchkulie naye mwanadamu si mkamilifu
Mashaalla
Mashaalha ❤️
Kwahyo Mwimbaji pia uitwa Sheikh
Asie jua maana usipe maana
Muimbaji wa taarab anaitwa ustadh
Masha allaha
Manshaallah❤❤❤
Taarabu ya hafidhi huu ni msiba jaman
Mashaaallah❤❤❤❤
Mashaallah
Vitttaaahhh
Kawaida mzuli Sana
Unajuwaaa kak
Hongereni sana
Jamaa anajua hatari
I like it
Yaitwaje hii qasda jamn
🔥🔥
mashallha
Wooooo
Tuachane na bifu pamoja na chuki HAFIDH kwa band ya mnanda ni best sana sauti yake sio ya juu ila anafahamika anachokisema💌
Hungerakaka😂
❤
🎉🎉🎉🎉🎉
Kinanda kweny kasida sio kbc Allah awasameh
🥀🥀
Anayemkubali sheikh hafidh like apa
Mashallah haipasi kuletwa kwenye baatwil.Bidaa hadi iblis anashangaa haya
Ajali 0:25
Mung akueke
Dida
Wallah sheikh Hafidh hata sijui niseme nn
Wew sema tuu shekh hafidh nampendaaa saana kutoka ndani yamtimaaa wangu
Mie sijaipenda hiii nyimbo. Haina mafundisho ya aducation hasa. Naona rusha roho tu .nampenda sh.hafidh lakini hii kasida sijaipenda.
Kwan lazima usikilize
Sio hujapende usipende hasa MN huyu Ni msanii
Huyu anaimba nyimbo watu wanasema kasida.
Wew ukimpenda ucmpend kimpango wako huyo ndo shekh hafidh kwa zanzibar hii hapana km yy
Namkubalijeeeee
Nzuri sana mashaallah
Masufi ndo wanaharibu Mila za kiislam
Hizo mila munaziharibu wenywe musimcingizieee mtuuu
Wew umemshiba mungu kwenye mambo ya miziki unafanya nini ilivo hupaswi hata kucikiliza
UPOTEVU
Hii nyimbo kalisana sema ulikuwa umuweke Ali kiba ingependeza zaid
Ovyooo ukiona hivo haielekei kuekwa Ali kiba
Choyo tuuuu
J
Mashallah ninzurii sanah jmn
Kusema kweli hii sio qaswida wala nasheed bali ni nyimbo tu kama nyimbo zengine af na wanawake wakubwa kucheza mbele ya wanaume ivo walai hii ni bid'aa na haipo katika mila za kiislamu bali nikatika mila za kikafiri
🎉
Fundi
MTIHANI KIDOGO kidoga KASWIDA inaondoka sasa ni TAARABU KASWIDA hakunaaaaaaa hapo MUOGOPE ALLAH
Dugh skul yangu pendwa 😘😘yaan siku Kama hiyo huwez lala kwa kuwaza😘
Kwnnn
Kaka mm sipatykaswidazakosiziono kwenye audyomaki auimeandikwaje
Hakuna kama Huyo mwamba kwenye haya mambo
Innalilahi wainnailahirajiun Hawa wasanii wabongo fleva mmewatowa wapi jamani shehe au shehena shehe hakatiki viuno mbele ya umma wachawi aooo wanataka sifa kwa watu itaishoa kupata sifa na dhambi lakini hamna kitu
Ukiona hivo ww ndo mchawi
Hivi nyie nikuulizeni kwani nyinyi hamuna dhambi Tena Kuna uwezekano nyinyi ndo muna dhambi kuliko yy
Sio kasida Wala sio nasheed hii bwana ninyimbo Moja kwa moja
Nasaha allah
Kasema nani hy kama sio qaswida
@@yusufuathumani6311 kwaiy akil yko kasida iy
Ipo wap iyo shule
Kwanza anafundisha tu vzuri haimbihimbi tu kam chz
Dhahabu haipotezi thamani
Haram haram haram hata ukipiga debe itabaki nihsramtu
Kwaiyo hiyo ni kaswaida au kusutana, ni nyimbo kama nyimbo nyingine
Fanyeni adabu na elimu nyie
Kwani panakosewa kitu gani
@@sameraakhf5605
Mwanaume mzima una ghani na kuimba.
Duuh maswahaba wangekuwa ivi hii dini tusingeipata
❤❤❤ nami pia
Mashaallah
Mashallah
Mashallah❤❤❤
I like it
Mashallah ♥️💞
❤❤❤ nami pia