Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
NEW QASWIDA - SH. HAFIDH NA AHLUL - MADINA - MKUTANO MKUU WA VIJANA WAWAINUA WAHESHIMIWA UWANJA MZMA
Вставка
- Опубліковано 11 чер 2021
- Kwa wale wenye mapenzi na kazi zetu Tafadhali usiache ku Subscribe Like na Kutoa Maoni yenu katika sehemu ya comment .
Hii ndio UA-cam rasmi ya Sh. Hafidh wa AhLul Madina
Tafadhali Share na Wengine.
Mashallah bro qaswida tamu sana walahii
Aliemuona jamaa mrefu kuliko wote apo gonga like yko
😂😂😂
Huu ni mtihani walllah wanawake kucheza mbele ya wanaume .
Tuacheni sifa za mda mchache hapa dunia kwa kuwaridhisha viongoz na watu. Tumuogopeni allah
Swadaqta
Mashalla mwenye zimungu awatangulie San
Mashaallah ❤❤❤ kaswida ninzur
Asa1am Aleykum
Kaswida yenu nzuri lakuni ni kama taarab wacheni muziki
Aisee sheikh Hafidh hongera sana nimeipenda
Upon vizuri San shee
Hakika sheikh hafidhi unastahili kupewa pongezi pamoja na vijana wako wote ambao unafanya nao kazi hii allah awalinde na kuwahi fadhi na mabalaa ya wachawi ila ww ni mwamba hatotokea mwengine zaid yako❤❤❤❤
simkubali ila hapa Kaoneshq ufundiii
Amin amin
Mashaalha❤❤❤
Daaah miye ni mfuatiliaji mzuri wa qasda wa sheikh hafidhi toka namjua❤❤wallah huwa namsikiliza mpaka nalia😪😪...kwa isia zake anavyo imba👉❤❤📚🖊👉NAKUFATILIA NIKIWA NCHINI TÜRKIYE 🇹🇷
Asnt sana tupo pa1
Karibu sana ukipenda chukua namba yangu tuwe twasalimiana
Inshaaallah kama zipo ınshaaallah 🤝🤝📚
Nice nice nice kaz kaz show show anc hafidh
Mashaalla Zanzibar ringen
Mashaallah kaka hafidh nakupenda san na wenzio nawapenda
Shukran
Mashaallah hii nyimbo mtaa mzima me ndo nlikuwa kinara kuimb naipenda mpk bc❤❤❤
Mashaallah
Shehee hafidh nakukubali sana
Hongera sana shekhe Hafidhi upo vizuri
Mashaallah shekh unajua kutunga qaswida
maa shaa Allah kaswida nzr,ila uyo mwnmme mrefu anpt tabu
😂😂
King wetu wa kaswida
Ila umepoa Sana siku izi hutoi qaswida
Mashaaalah 😍 qaswida nzur Sana usitadh hhafidhu nakubal sana
From Tz it's looking good mashallah ❤️🧡💛💚
Hongera sana shekh hafidh kwa kutunza maneno ya maalim seif sharif
ua-cam.com/video/BPV0nppQLTQ/v-deo.html
Hongera shekhe letu hafidh na wenzako
ovyoooooo
Choyo
Mashallah zanzibar hoyeee wazanzibari wote hoyeee viongozi wote hoyeeeee
Haalalu Madina shege hafizi
Aaaaa ipo vizur sana hiyo nakupenda sana💚💛🧡👍👍👍
Hongera shehe hafidhi
Muogope allah sheikh Hafidh haya unayofanya hayamridhishi allah
Nahic UST hafidh atapitwa na akna ustadh juma fakki mbn cku hz anaimba kama taarab jaman daaaaaaaah
Sheh kasda yako hii naipenda Kama wew mye fatma wa pemba unapo kaaa mkoani huwa nakuona upo vzuri nitafute
Mashallah baraka lahu fika
Hongera kaka mrefu
Mashaallah ostadhi hafidh Allah awape wepesi katika maisha marefu
Hongera sheikh hafidh uko vizuri mashallah.
Masha Allah
Iko vzr
Hongera yako ustash hafidh nakukubali kwa kaz nzur uko vizur
hangera sh hafidhi sure we ni fundi
Safi Sana Jazakallah !!
Mungu ilinde zanzibar
Masha Allah ❤️❤️nawapenda san ❤️❤️❤️🇹🇿🇴🇲
ua-cam.com/video/BPV0nppQLTQ/v-deo.html
Mashaallah
Hongera Sana hafidh
Hongera King 👑👑👑 wa kaswida Zanzibar ila unatuangusha fans wako umetueka sana hatuja sikia kazi mpya
Hongera shemeg ww ndojembe letu hainogi bila ya we kwakwel ,ww nifahari yetu big up🤸😘
Hakika unajua ahlul madina mko bombaa big up broos
Mashaallah kwetu raha jamani
Maashaallah mungu akupe kher kila upangalo liwe jema kwako
Yawn hafidh king umerudi new kasi
Mashallah 🤝🤝🤝🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴
Napenda sana kasida zenu mashaallah
🎉🎉🎉🎉🎉😮😮😮😮😮😮 hongela san
Hongereni ahalulimadina kazi nzr 👍👍
Mashaa Allah. Waimbijaaa wako vizur sanaaaa
From doha haki nakkubali sana shekh kwa utunzi wako
Mashallah sheikh hafidh hauna mpinzani
Hongera sasa mashaallah pambeeeee sana
Mashllah kwn una mpinzani jmniii
Masha Allah nakubal kaz
Hongera maalim Hafidh
Sheikh. Hafidh Nakuelewaga Sana 🙏
Huyo mrefu sana
Hii qaswida MashaALLAH, great job masheikh jazzakaallah
Hongera kaz mzur kiongoz
Masha Allah kuko vizur kw kaz yako
Huna mpinzani kiongozi kazi nzuri sana
Hiy kaswid nzur
Huyu kaka mrefu masha Allah
Anaitwa salmin
Allah akuzidishiye sheikh wangu
Sheeeh hafidh nakuelewag san
nimeipenda hongeren
Kaka umetisha sana
Mashaa Allah jamaa unajua kutunga qasweeda.
Nielekezeni ili nizi danlod
Nakukubali sana shekh hafidh
Mashaall.Allah.,
Nimikubal san mashallah
Kasuda dji zuru
Maashallah
Mashallh kasda bul bul 😘😘😘😘😘
💪💪💪 Mashallah
Mashaallah huyu mrefu kama kivutio acgecheza bila hofu
Saf sanaaa.. Ila sh hafidh uo kimya sana tulimiss vitu vyako 😘
wewe qadiria ndio uliko toka usitudanganye
Yajayo yanafurahisha
Kazi saf san pongez zij kwak sheh Khafiz
from Mozambique Pemba, you doing great work mashallah
Maaahallah shekh hafidh
Mashaa llaah
Kaswida ustadh sele
Sultanhashim 0:13
Manshaallah kaswida nzur
Kwan hii ni kaswida ee
Masha Allah
Mashallah 😍😍😍😍
Oustadh hafidh mtoukouf
From Mombasa Kenya, you doing great work masheikh
Mashaallh
J'aime bien
Mpinzani huna brooo. Allah sw akufikishe utakako
ua-cam.com/video/BPV0nppQLTQ/v-deo.html
Mashallah
Namuona mtu mmoja kawapita wenzake wote hapo au macho yangu tu
Jamn mung amuwek ustadhi hafdh kwakuasa wat
Hafidhi faghari wa zanzibar kaz nzur sn
Mashaall allah