Jastin Asifiwe & Wana wa Asafu - Bwana Ninayo Furaha (Official Live Video)
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Jastin Asifiwe & Wana wa Asafu - Bwana Ninayo Furaha (Official Live Video)
#bwananinayofuraha #wanawaasafu #jastinasifiwe
Video Production: @directordixon and the team
Audio Capturing and Mixing: Mitchell Mike Jr
Sound System: Sound Solution
Venue: Ufufuo na Uzima Ubungo Cathedral
----------------------------
Musicians
----------------------------
MD: @imaniericshoo
Drummer: @zablonlameck5586
Second Key: Joel
Lead Guitar: Dan Father
Bassist: Michael
Aux: Victor Chambi
Percussion: @mrmagnificent
---------------------------
Special Thanks
---------------------------
Bishop Dr Josephat Gwajima
Bishop Baraka Thomas Tegge
Rudisha Media
Wana wa Asafu
Chuma Hunoa Chuma
---------------------------
Lyrics
---------------------------
Bwana ninayo furaha
Kwa yote uliyonitenda
Bwana ninayo furaha
Ninasema asante Bwana
AMEN. NIMESIKILIZA NIKAJIKUTA NACHEZA HUKU NAOMBA NA KUNENA.. UBARIKIWE SANA
Ee BWANA mbariki mtumishi wako, Jastine Asifiwe, Amina
Very Powerful song for JESUS
Glory to God Powerful Man of God
@@jastinasifiwe4877 Powerful
Huu sio wimbo tu Bali ni nguvu za mungu ,may God of heaven bless you good people I love you
Unalitendea Vyema kusudi lako hapa duniani Mungu akutunze pastor Jastin ,na wana wa asafu pia Ni Njema sana !
God bless you Jastin🙌Wewe ni baraka kwa kizazi hiki...Mungu akuongeze
Bwana Bwana Bwanaaa ...❤❤ barikiwq Justin
Bwana ninayo furaha kwa yote uliyonitendea ninasema Asante.. Nabarikiwa sana.. mbarikiwe pia
Hongera sana justin kwa hatua hii hakika ni maombi yangu kwa Mungu ya kwamba aendelee kukuinua viwango hata viwango Amina
Bwana Ninayofuraha kwa yote Umenitendea Bwanaa ...Ninasema Asante 🎉
Wimbo wenye nguvu ya MUNGU. ubarikiwe sana brother Asifiwe kurekodi wimbo huu. Nimekuwa nikiutafuta sana. Uzidi kufanikiwa sana katika utumishi huu.
Amen amen
Mungu akuinue zaidi mtumishi
AmeniiiAmen 🙏
Saf kaka
Wimbo mtamu sana, nimeusikiliza tena na tena na tena. Jastin ubarikiwe, kundi lote la wana wa Asafu libarikiwe.
AM LATE BUT MUNGU AZIDI KUKUONGEZA, NA WATU WOTE WAJIBARIKIE KWA HUDUMA YAKO KAKA BE BLESSED NA BARIKIWA MIMI KWANZA MAANA NAKUPENDA KAKA RESPECT KWA KWELI MUNGU ANA KIFAA
Bwana ninayo furaha Kwa yote ulio nitendea ,,libarikiwe jina la Bwana
Amen
🙏🙏🔥🔥🔥🙏🙏
Hongera Mungu akuongezee mafuta yake ya kiungu upaeeee juu sana
Ninani aliye andika wimbo huyo🎉🎉jamani nyimbo hiyo inanibariki sana
Hakika Bwana sina manen mengi zaidi ya kusema Asante Mungu akabariki wa wimbo wa majira
Ninasema ASANTE BWANA 😭🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾Mungu akuweke MOG
Bloody
Hallelujah 🙌
🎉🎉🎉❤❤
🔥🔥🔥🔥
Hongera sana ndugu yangu kwa hatua hii kubwa sana. Mungu Azidi kukuinua kaka. Huduma yako ni kubwa sana.
My brother asaante saana
Ubarikiwe sana Minister Mruma ku- appreciate utumishi wa wengine.
@@jastinasifiwe4877Karibu sana kanisa la PHM Mkwawa-Iringa
Nawakubari sana hapa Ufufuo na uzima
God bless you
@@faithchuwa9693😊
Nabarikiwa na huduma yako Mungu akuinue katika viwango vya juu
Hongera Sana, Kazi ni njema, Nasema asanteee Yesu😊
Bwana ninayo furaha
Majeshi majeshii
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉🥳🥳🥳
Aiii broo uinuliwe mnoo umekuwa baraka kwangu all the time it's ma prayer MUNGU akuweke mnoo ilikuabisha ulimwengu wa giza
Amen amen
Bwana ninayo furaha Ninasema Asante Bwana 🙏❤
Halleluyah Nabarikiwa na wewe jasusi la mbinguni❤❤
Hallelujah hakika ninayofura Kwa yote uliyonitendea
Oooh Halleluuuyah God bless you Man of God
Ninabarikiwa na kutiwa nguvu jamani Mungu akutumie zaidi hakika Si wewe Bali Kristo aliyendani yako
🔥🔥🙏🙏🙌🙌🔥🔥🔥🔥
Ninayo furaha kwa kulinda nchi yetu Ya Tanzania na kulibda viongozi wetu wa nchi.
❤❤❤❤
Ameni
Bwana Bwana Bwanaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ubarikiwe sana kaka
❤❤❤🎉🎉🎉Hongera sana Kenya🇰🇪 Tunabarikiwa
Kuna Dada hapo mbele anadance kwa nguvu zaidi. Abarikiwe sana.
AMEEEEEN AMEEEN
Bwana ninayofuraha sanaaaaaa
Kaz nzur wana wa Mungu 9c song hatuna budi kumshukuru Bwana kwa yote aliyotutendea
Mbona melody km ya Bwana nmerudi tena
❤
Ninasemaaaaaaaa.......Asante Bwanaaa....
Mungu azidi kukutumia mwanangu endelea kumtumikia Mungu kwa nguvu nakwa ujasili.
Ninasema Ahsante Bwana
Barikiwa
Am so blessed from Mombasa Kenya
Wimbo uko na nguvu kubwa ya Mungu na Nafurahi kuiona ibada ndani ya wimbo huu...
Bwana Ninayo Furaha............ Ninasema Asante Sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kweli Bwana ametupa furaha,hatuna budi kusema Asante Yesu.❤❤❤
Hongera Sana Mtu wa Mungu,Kerubi
this is more than a song!!!!
Huyu ndiye Jastin wa ndani hakika
Glory to God
Powerful song
Kwa Yesu raha sana,,nmebarikiwa sana
Ninasema Asante Baba
Ninasema Asante Baba,
🔥 🔥 🔥
Be blessed much Man of God
Ninasema Asante Bwana Kwa yote uliyonitendea!! Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu Kwa huduma nzuri, Mungu azidi kuwainua ktk viwango vya juu zaidi!!
YESU akubariki mtumishi wa MUNGU Jastin wimbo mzuri mnooooo
Ninayo fraha kwa yote uliyonitendea Bwana 😢🙏
Nimebarikiwa sana na uhu wimbo Jastin Asifiwe Mungu akutumie zaidi katika viwango vya juu zaid
BWANA ninayo furaha
Hallelujah 🙌 hakika Bwana ninayo furaha kwa yote Umenitendea 2023& 2024🙏
Be blessed kijnaa
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
🔥🔥 Mwalimu Justine Asifiwe, Mungu azidi kukuinua
Ubarikiwe na Yesu kwa wimbo huu mzuri wa Shukrani kwa Mungu 🔥🔥🔥
Very very powerful,am from TikTok
BWANA amefanya mambo mengi mazuri na hiyo ndiyo furaha yetu 🎉
Baraka tele ....sifa zote kwa Bwana Yesu 🎉
Am waiting... from powerful man of GOD
Bwana Mimi ninayo furaha sanaaaa🙌🙌🙌🙌🔥🔥
Hongera sana Jastin, nakuona mbali sana kwenye tansia ya uimbaji, hongera mno, karibu nchi ya ahadi Tabora
Blessed More Kamanda 🤝
Ninasema asante Bwana ❤❤😢umenilinda na magonjwa umeilinda family yangu nakushukulu Kwa mengi sana oooh halleluya asnte asante Bwana anlsnte Bwana❤Mungu akubariki mtumishi wa Mungu nimejikuta mpaka 😢😢 nimejikuta nimwenye fraha ya ajabu mnoo baada ya kusikia huu wimbo thanks my dear God
Ndugu Yangu 🙌🙌🙌🙌🔥
Ubarikiwe sana Jastine , ninayo furaha najua muujiza wangu unakuja
Haleuya
Furaha ninayo kwakwer
Kazi nzuri ❤Mmpendeza pia
Bwaaana ninasema
🎉🎉
Mbarikiwe saana ❤❤❤
BWANA Ninayo furaha kwa yote uliyonitendea, nasema asante. Past Jastine and his team 🔥🔥😊😊
I love the energy ya huyu dada yuko mbele
Jastine has God's anointing...and the Team🙌🙌
Tanzania is highly Blessed
Bwana Ninayo Furaha kwa Yote uliyonitendea😢😢
Huu umekuwa wimbo wangu wa imani mara zote...hata kama mambo hayajakaa sawa when i sing this song...napata nguvu ya kuendelea mbele💪💪..and i have come here to testify 🙌🙌
Ameen Jina la Bwana litukuzwe
Napenda sana
Umeniongezea imani sana
Notification on
simply the best
Nimebarikiwa kupitia huu wimbo
Bwana ninayo furaaa kwayote uliyo ñtendea🙌🙌🙌🙌🙌🙌😭🙌🙌
Barikiwa Sana mtumishi kwa wimbo mzuriii Mungu azidi kukuinua
Be blessed guys
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongereni sana
Kazi yako ni njema Mungu akytumie zaidi