Jastin Asifiwe - Yesu Unipendaye | Tenzi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2022
  • Yesu unipendaye ni wimbo wa tenzi namba 26,ambao umegusa watu wengi,ni matumaini yangu wimbo huu utaendelea kugusa watu wengi na kuwafungua katika jina la Yesu Kristo.
    Music Director; Iman Shoo
    seond ;Msuya
    Third keys; Joel
    Bass guitar; Evans
    Solo guitar; Joseph kumenya
    Drums; Zablon
    video production; ‪@directordixon‬
    Audio capture; Baraka Ngowi
    Audio Mixing; Festo
    Venue; Haddy Pro
    Back vocal
    Hellen Mafie
    Amina
    Charis Bupe
    Hope Reo
    Prisca
    Msama Kosan

КОМЕНТАРІ • 296

  • @peacendush1408
    @peacendush1408 Рік тому +32

    YESU UNIPENDAYE
    [1]
    Yesu unipendaye kwako nakimbilia,
    Ni wewe utoshaye mwovu akinijia.
    Yafiche ubavuni mwako maisha yangu;
    Nifishe bandarini, wokoe moyo wangu.
    [2]
    Ngome nyingine sina; nategemea kwako,
    Usinitupe Bwana, nipe neema yako,
    Ninakuamania, kuniweshesha;
    Shari wanikingia, vitani wanitosha.
    [3]
    Nakutaka mpaji, vyote napata kwako;
    Niwapo muhitaji, utanijazi vyako;
    Nao waangukao wanyonge wape nguvu;
    Poza wauguao, uongoze vipofu.
    [4]
    Bwana umeniosha moyo kwa damu yako;
    Neema ya kutosha yapatikana kwako;
    Kwako Bwana naona kisima cha uzima;
    Mwangu moyoni, Bwana, bubujika daima

    • @emmyjimmyK
      @emmyjimmyK 4 місяці тому

      Barikiwa sana @peacendush1408

  • @alfredmillinga2985
    @alfredmillinga2985 Рік тому +31

    Hakika lusifa anajuta kuasi Mbinguni maana Kuna wanaofanya vizuri zaidi yake na Mungu anazidi kutukuzwa,Mungu akunue akutunze na akuinue zaidi Kazi yako ni Njema.

  • @jastinasifiwe4877
    @jastinasifiwe4877  Рік тому +63

    Usiache kushare habari hizi njema, waalike ndugu jamaa na marafiki tumwabudu Mungu pamoja! Usisahau kuSubscribe, kulike, comment na kushare, Mungu akubariki sana!

  • @happymushi2219
    @happymushi2219 Місяць тому +1

    Huu Ni wimbo wangu no 1 huwa naona upendo wa Mungu ndani yake sana--- nimetafuta Sana hii turn kwa muda mrefu- naupenda.

  • @gladysmwangi1837
    @gladysmwangi1837 26 днів тому

    Mungu wangu nifiche na watu wetu ubavuni mwako..tusionekane na Yule muovu😢😢😢😢

  • @andersonkahindi2506
    @andersonkahindi2506 Рік тому +3

    Mr Jastin napenda vocals zako be blessed my brother

  • @ministermossesmungure
    @ministermossesmungure Рік тому +3

    Ubarikiwe mno Baba. Neema hii ni kubwa Mno na kububujika Kisimani baba. Wewe ni baraka.

  • @mariakisanga184
    @mariakisanga184 Рік тому +4

    Mungu akuinue zaidi Kwa huduma iliyotukuka, zaidi azidishe unyenyekevu ndani Yako, mbarikiwe sana, ooooh hallelujah!

  • @hellenpascal9605
    @hellenpascal9605 Рік тому +4

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙌🏻🙌🏻Mentor
    Mungu ainue kazi hii iliyotukukaaa

  • @elidetenga2662
    @elidetenga2662 7 днів тому

    🙏🙏 it blessing day in the name of Jesus

  • @AshleyNassaryOfficial
    @AshleyNassaryOfficial Рік тому +4

    Nakuona mbali mdogowangu

  • @anoldsylvester9912
    @anoldsylvester9912 Рік тому +2

    Huu wimbo unakupeleka Kwa comfort zone ya uwepo wa Mungu
    God bless you man of God 😊

  • @shallomTanzaniaTv
    @shallomTanzaniaTv Рік тому +2

    Hongera kazi njema 🔥🔥🙏🙏🙏

  • @citovunjabeilimitedcompany4455

    Congratulation kaka una toa mpaka nyonyo zetu zina punguza speed Mungu akubariki

  • @vicentjoseph6888
    @vicentjoseph6888 Рік тому +3

    Yesu uliyenipenda upeo🔥🔥😭😭😭

  • @lilianabedson1182
    @lilianabedson1182 Рік тому +4

    Heaven's mission on the earth👐😢😢...Yesuuuuuu😭😭😭😭😭😭😭👐

  • @elishapindua5548
    @elishapindua5548 Місяць тому

    Mungu akubariki mtumishi wa Bwana

  • @rebeccamakomba2569
    @rebeccamakomba2569 Рік тому +3

    Haleluya, hongera sana Kaka kwa wimbo mzuri, Mungu azidi kukuinua zaidi. Ameee

  • @adelamutayabarwa2632
    @adelamutayabarwa2632 11 місяців тому

    Hakika vitani wanitosha Yesu

  • @getrudalai9732
    @getrudalai9732 Рік тому +1

    Nice song

  • @tuntufyegwamaka2404
    @tuntufyegwamaka2404 Рік тому

    Kaih jesus is lord jesus is lord mamamamamamana

  • @mcambonisye5816
    @mcambonisye5816 Рік тому +1

    Kaka honger sanaa wimbo mzur xanaaaaah una juwaa tena unajuwaa sanaaa mungu akubaliki xanaaa akufikishe pale una taman ufike

  • @hellenmafie5025
    @hellenmafie5025 Рік тому +4

    May Almighty God strengthen your paths 🙏🙏

  • @lynnettewabuyabo8459
    @lynnettewabuyabo8459 Рік тому

    Amen,ninabarikiwa Sana na wimbo huu

  • @danielrubegajohn5323
    @danielrubegajohn5323 4 місяці тому

    Naku penda sana my brother mungu aku bebe juuuu

  • @neemaemanuel4688
    @neemaemanuel4688 Рік тому

    Wanyonge wape nguvu 🙏🙌🙌

  • @proper_maids_wedding
    @proper_maids_wedding Рік тому +5

    This Song is Someting Straight From Heaven Brother,So Powerfull Song

  • @martinotima
    @martinotima Рік тому

    Wimbo mzuri.Amina

  • @upendonicholaus1952
    @upendonicholaus1952 Рік тому +2

    Ubarikiwe sana mtu wa mbinguni,

  • @christofferboaz3757
    @christofferboaz3757 Рік тому

    Strong and powerfull

  • @felisthermathew332
    @felisthermathew332 Рік тому

    Nabarikiwa sana na wimbo huu❤

  • @goodluckleonard1581
    @goodluckleonard1581 Рік тому +1

    Kabla leo haijaisha tutakua tumevuka 1.2k mark my words

  • @emmymalekela8008
    @emmymalekela8008 Рік тому

    Nice touch may my God bless you and lift you up

  • @stanvictorolenja
    @stanvictorolenja 7 місяців тому +2

    This song is what I needed tonight

  • @user-gn1lw1dd8r
    @user-gn1lw1dd8r 6 місяців тому

    Bravo kijana wa Mungu

  • @jwtechanddesigner
    @jwtechanddesigner Рік тому +1

    Nakupenda kaka mungu akuinue zaidi .utukufu kwa yesu

  • @racheljohn6283
    @racheljohn6283 Рік тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU aliye hai,,na Uinuliwe sana kwa viwango vya mbinguni mpaka ushangae....

  • @veronicachamle467
    @veronicachamle467 Рік тому

    Anointing 🤲🤲🙏

  • @catherinejoram776
    @catherinejoram776 11 місяців тому

    Amen, groly to God

  • @pastoremmanuelinyakamweeli6419
    @pastoremmanuelinyakamweeli6419 11 місяців тому

    YESU UNIPENDAE

  • @erickituku7284
    @erickituku7284 Рік тому

    halleluyah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @francisjubeck3179
    @francisjubeck3179 Рік тому

    Tumsifu yesu kristo

  • @kokuondelakashumba655
    @kokuondelakashumba655 Рік тому

    Ni wewe utoshae bwana ✋

  • @shedrackrichard1981
    @shedrackrichard1981 Рік тому +5

    Very powerful😭😭 Mungu akubaliki Jastin

  • @trizahaomula
    @trizahaomula Рік тому

    True worship . Barikiwa Justin

  • @elizabethjonas5391
    @elizabethjonas5391 Рік тому

    Mungu Azidi kukuinua kaka Justin

  • @Mwaikonyole
    @Mwaikonyole Рік тому +1

    Habakuki 2;1~2 Mungu ndo mkalishaji wa njozi hizi! Mungu akupe ibada zaidi ndani ya moyo wako! We love u! Kazi nzr Sana Mtumishi!🙏

  • @allymwakyoma3838
    @allymwakyoma3838 Рік тому

    Hongera kaka
    Good performance....💫

  • @muhanuuzi1
    @muhanuuzi1 Рік тому +1

    Born to worship Jehovah; so is your name. Bwana akushike mkono, akupe hatua nyingi zaidi. Hongera sana. 👏👏👏

  • @yusuphrameck7010
    @yusuphrameck7010 Рік тому

    Yesu unipendae

  • @ozembigalama4478
    @ozembigalama4478 Рік тому +1

    Mungu akubariki sana, Minister Jastin Asifiwe🎤🎹🎸🥁🤝.

  • @cathbertmpepo5587
    @cathbertmpepo5587 Рік тому +4

    Hongera sana mwana wa Mungu 👏👏👏
    Glory to God 🙌

  • @elizabethhange9638
    @elizabethhange9638 Рік тому +3

    Glory to Yhwh

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 Рік тому +1

    Hongera kwa kazi ya mbinguni 👏👏👏👏👏👏🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @uniqimanimabrouk4139
    @uniqimanimabrouk4139 5 місяців тому

    Just power and power and power🙏🙏🙏

  • @fortunejama3630
    @fortunejama3630 Рік тому

    Yesu unipendaye 🙌

  • @hillaryurassa4453
    @hillaryurassa4453 Рік тому +1

    YESU UNIPENDAYE. kwako nimekimbilia.

  • @reginastephen4053
    @reginastephen4053 Рік тому +2

    Huo wimbo umembariki moyo wangu na umeinua imani yangu..more grace my brother

  • @chrissLibiam
    @chrissLibiam Рік тому

    Mungu pamoja nasi

  • @abbyprosper1699
    @abbyprosper1699 Рік тому +2

    Powerful 🙏🙏🙏

  • @BennyAlly-ue5cz
    @BennyAlly-ue5cz Місяць тому

    Mungu akubariki

  • @victorchampoa
    @victorchampoa Рік тому +3

    So powerful👏🏽👏🏽👏🏽

  • @winfridahaule4364
    @winfridahaule4364 Рік тому

    Ubarikiwe sana kazi ni njema

  • @bupenicolaus9142
    @bupenicolaus9142 Рік тому +3

    This song😭😭 very powerful

  • @lemimasheria1686
    @lemimasheria1686 Рік тому

    Utukufu hata utukufu

  • @olivadennis6560
    @olivadennis6560 Рік тому

    AMENI BARIKIWA SANA JASTIN

  • @golavujoseph5703
    @golavujoseph5703 Рік тому +1

    Aiseee dunia umtukuze MUNGU kupitia wewe cha kukupa nikukuombea baraka toka kwa MUNGU akuinue 👏👏👏👏👏❤

  • @sitikatembo5835
    @sitikatembo5835 Рік тому

    Mungu akutunze sana Mtumishi

  • @jescaapolinary4858
    @jescaapolinary4858 Рік тому

    Anointed

  • @mikemwanga4143
    @mikemwanga4143 8 місяців тому

    Amen Amen Amen

  • @jackiekapalata1258
    @jackiekapalata1258 Рік тому

    Nategemea kwako

  • @chazzywilliad6901
    @chazzywilliad6901 Рік тому +1

    Ubarikiwe bro

  • @christabibukenya1105
    @christabibukenya1105 Рік тому +2

    Great worshipper ...may the Lord hide you under His wings...for His glory keep worshiping Him.

  • @user-ki7qb4xe3w
    @user-ki7qb4xe3w Рік тому

    May God bless grant you more wisdom dad

  • @jggeorge3549
    @jggeorge3549 Рік тому +1

    Mwana wa Mungu barikiwa na ujae na kuongezeka

  • @ceciliamlowola5980
    @ceciliamlowola5980 11 місяців тому

    Jaman wewe kaka Mungu akubariki

  • @sallynyamburaG
    @sallynyamburaG Рік тому +7

    Very powerful. May God continue to use you and lift you up. 🇰🇪

  • @moseskabanga6476
    @moseskabanga6476 Рік тому

    good song always bless me

  • @clarajaphet5046
    @clarajaphet5046 Рік тому

    Amen amen amen🙏

  • @yusuphrameck7010
    @yusuphrameck7010 Рік тому

    Hakika umeniamsha kaka

  • @obadiahjohn9885
    @obadiahjohn9885 Рік тому

    Moto Sana hiii

  • @saranyongole1161
    @saranyongole1161 Рік тому +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ndimyakemwakanjuki801
    @ndimyakemwakanjuki801 Рік тому

    Mungu akubariki na kukutunza

  • @saidathmohamed1423
    @saidathmohamed1423 Рік тому +1

    Mungu azidi kukufanikisha na kukuinua Zaid huduma Yako ni njema wew sio mtu wa kawaida unakitu kikubwa ndan💪Mungu akuinue zaid

  • @monicafaraji8330
    @monicafaraji8330 Рік тому

    nkiwa mkubwa takua kama wewe 🙇🙇

  • @richardbunne722
    @richardbunne722 Рік тому +3

    You are real blessed Jastin,May the Lord protect you for generation.

  • @goodluckleonard1581
    @goodluckleonard1581 Рік тому +1

    😭😭😭 Tunanyenyekea kurudisha utukufu

  • @gracemkumbwa6539
    @gracemkumbwa6539 3 місяці тому

    Glory to God

  • @abednegojoel-uh5gq
    @abednegojoel-uh5gq Місяць тому

    Asante sana mtumisji🎹

  • @deborahsamweli3524
    @deborahsamweli3524 Рік тому +1

    May God bless you ....you have anointing Mungu azidi kukupak mafuta zaidi

  • @ministereli
    @ministereli Рік тому +2

    Yes,it's powerful annointed song

  • @trapnem4809
    @trapnem4809 Рік тому +3

    That's awesome my brother ... 🙏🙏 May God's favor be upon you.

  • @chilotailors4516
    @chilotailors4516 Рік тому +1

    Ubarikiwe mno kazi ni njema inamguso wa pekee 💥💥💥🙏🙏🙏🙏

  • @ministereliwafrica8715
    @ministereliwafrica8715 Рік тому

    Nabarikiwa sana my Brother

  • @malaikakabekenga9316
    @malaikakabekenga9316 Рік тому +1

    Ubarikiwe sana sana
    Mtumishi wa Mungu....hakika unyenyekevu utakufikisha mbali.Yesu akutunze uzidi kukiinua kitiche cha enzi.

  • @edgermwakilima3701
    @edgermwakilima3701 Рік тому +4

    Wewe upungue YESU aongezekee kaka, kazi yako no njema tena sana. You're inspiring me alot, May our LORD JESUS Bestow up on you all His blessings abundantly. 🙏🙏🙌

  • @cathryne87
    @cathryne87 Рік тому +1

    Powerful powerful powerful 🙌🏼😭

  • @ndungwamunyao3856
    @ndungwamunyao3856 Рік тому

    Hallelujah

  • @kelvinhilary7871
    @kelvinhilary7871 Рік тому

    Kaka ubarikiwe sanaa

  • @abrahamallen6348
    @abrahamallen6348 Рік тому +1

    be blessed 😇