MASONYA TUNDURU KUWA KITUO MAALUM CHA UTALII WA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лют 2021
  • Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa ametembelea makumbusho ya harakati za ukombozi yaliyopo Masonya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma ambapo serikali imekusudia eneo hilo kuwa kituo maalum cha utalii wa historia ya ukombozi barani Afrika.

КОМЕНТАРІ •