UCHAMBUZI: SABABU ZA BASHUNGWA KUHAMISHWA WIZARA MARA KWA MARA - "MIAKA 4 WIZARA 5 TOFAUTI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • UCHAMBUZI: SABABU ZA BASHUNGWA KUHAMISHWA WIZARA MARA KWA MARA - "MIAKA 4 WIZARA 5 TOFAUTI"
    MTANGAZAJI wa kipindi cha Good Morning na Msumari wa Moto, Charles William ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa amezungumza na mwandishi wetu, Suma Isack juu ya uteuzi wa Mawaziri watatu (Stegomena Tax, Angellah Kairuki na Innocent Bashungwa)
    Charles William ametoa mtazamo wako kuhusu sababu zinazopelekea Waziri Bashungwa kuhamishwa wizara mbali mbali tangu awamu ya Hayati Magufuli mpaka sasa kwa Rais Samia...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 100

  • @lwiticomwalukumba4148
    @lwiticomwalukumba4148 Рік тому +2

    When Charles speak we sit down and listen🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @bernadethaabudho6587
    @bernadethaabudho6587 Рік тому +6

    Mungu Akubariki.MHE. INNO. BASHUNGWA.UKO VIZURI N A UMETULIA.UNAWEZA SANA.KILA LA HE R I.

    • @dignakanje4508
      @dignakanje4508 Рік тому

      Baba alimjua mapema,alikuwa akimwandaa kuwa kiongozi bora.Bashungwa yko vzri anautulivu wamaneno,anahekmaanajitambua,naamamuzi yke niyataratibu lakini yanamashiko

    • @margarethsaramaki3966
      @margarethsaramaki3966 Рік тому

      Mungu yu mwema mh Bashungwa hana mihemuko katulia na very smart.
      Mungu akusaidie sana ufunikwe na damu ya Yesu🙏🏼🙏🏼

  • @meniradrweyendela3395
    @meniradrweyendela3395 Рік тому +2

    Kweli yuko vizuri bashungwa mbunge wangu.

  • @amenyemwansile6919
    @amenyemwansile6919 Рік тому

    Tanzania inakadiriwa kutwa na watu milioni sitini ina maana yeye ndiye anafaa sana kuliko watanzania wote mpaka kahamishwa hamishwa kwenye wizara zote hizo? Marehemu magufuri alimpa uwaziri kutokana na ukanda na si kwa uwezo wake na mama samia anafuata nyayo hizo

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Рік тому +2

    Bashungwa anafaa kuwa waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania kabisa

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo Рік тому +7

    The guy is smart and intelligent

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 Рік тому +1

    It's open in my heart, l say "Rais wetu" ni potential kwa Taifa letu baada ya mama Samia kumaliza miaka yake 10. Twende pamoja, mtanitafuta...l will tell you "why"

  • @joelrugano6517
    @joelrugano6517 Рік тому +3

    Kijana huyu kweli ni potential. Mpitisheni wizara zote azijue ili hatimaye aandaliwe kuwa waziri mkuu.
    2.Kwa upande wa Anjela Kairuki nadhani hapo tyna bebana, kwani nina imani kwamba kwa vile ameisha wahi tutumikia basi tungeroa nafasi kwa watu wengine.
    Dhana ya kubebana hapo inajidhihirisha. Kuongezea watu kama kina January Makamba, Ridhiwan Kikwete, kina Pinda n.k. Hao wamebebwa na majina ya baba zao jambo ambalo halina tija.

  • @feisal6592
    @feisal6592 Рік тому

    Jamenii sikukuu hatuma mipagoo malumuu mama sulubuu mim nimechapa sinakitu plzz mum naombaa unitumiye kitu mum plzzz

  • @Veni584
    @Veni584 Рік тому +4

    Kweli wanawake tunaweza ila tukiwa wengi sehemu moja mzaha mwingi tunafeli

  • @peterjohn7613
    @peterjohn7613 Рік тому +6

    Mtulivu, hakurupuki, hana jazba, anatumia akili kuliko mihemko, si mnyanyasaji

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 Рік тому +2

    Ni vizuri!
    Wekeni watu wenye uwezo mahala husika! Huu u-jinsi sawa lkn hebu tuangalieni uwezo wa mtu! Siyo usawa usawa tu wa me/ke.
    Cha msingi ni nani anayeweza mahala pale au sekta fulani basi!
    Huu usawa huu wakat mwingine unatupoteza tu! Mtu anawekwa sehemu kwa jinsi yake ila cyo kwa uwezo wake!!!!!

    • @lilykarim8968
      @lilykarim8968 Рік тому

      Kweli tatizo kila jambo linafanyiwa uigizaji

  • @stephenrwaich1078
    @stephenrwaich1078 Рік тому +3

    well said Charz.your are expressive

  • @winifridawinchislaus8495
    @winifridawinchislaus8495 Рік тому

    MUNGU mjalie rais wetu wa miaka ijayo Bashungwa na sisi Kagera tutawale. Amen in the name of Jesus.......

  • @simongalahenga6858
    @simongalahenga6858 Рік тому +4

    Is true

  • @juliusntandu4302
    @juliusntandu4302 Рік тому +1

    I respect your opinions

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 Рік тому +5

    Mh Bashingwa anafaa Sana kwa Uturivu wake na masomo yake zaidi

  • @shamimidrissa8871
    @shamimidrissa8871 Рік тому

    Hongera xn Bashungwa we kafanye kazi

  • @jackgerald7338
    @jackgerald7338 Рік тому +2

    Kwa unyeti wa Wizara hyo Mi naona bd Hana uwezo huo . Wizara hyo inataka mtu serious Sana . Ni Mwinyi ndo aliipatia

  • @utambevilla2054
    @utambevilla2054 Рік тому

    Ajui kitu anabenwa tu ndio mana anajalibiwa kila wizara labda ipo atakayo iweza lkn wap

  • @muhidiniabdur2382
    @muhidiniabdur2382 Рік тому +3

    Kinacho nishangaza kupoteza umarufu kwa selikari comentj ndogo Sana🇹🇿🇹🇿🤣🤣🤣🤣

    • @athumaniamiri880
      @athumaniamiri880 Рік тому

      Ahaaaa🤣🤣🤣

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 Рік тому +1

      Kabisaa ndugu zangu hasa hii Tanzamitozo 🤣🤣🏃🏃RIP mzee baba Magufuli 🙏

  • @eugentairo8634
    @eugentairo8634 Рік тому +3

    Hamna baraza hapo ina maana hamna watu wengine wenye uwezo wa kuongoza hizo wizara? Kanin kula siku panga pangua, mh. Hatukuelewi.

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 Рік тому +3

    Raisi? Mmewasshau wale majamaa vigogo?

  • @mrmindboom2058
    @mrmindboom2058 Рік тому +2

    Maandalizi 2030 ndo raisi ajae mtanambia nmeshamaliza kutabiri

  • @emanuelimamasita6605
    @emanuelimamasita6605 Рік тому

    Pakinamimi

  • @tozzowilliams308
    @tozzowilliams308 Рік тому +2

    Wizara ya ulinzi unampa MTU hata Hana historia ya kutumikia chombo chochote cha ulinzi na Usalama?

    • @aronatv47
      @aronatv47 Рік тому

      Hao waliokuwa na Historia walifanya Nini..?au unaropokwa tu

  • @innocentjoseph805
    @innocentjoseph805 Рік тому +1

    Wajina Mungu akuongoze uwe imara zaid

  • @hamzahassan1944
    @hamzahassan1944 Рік тому +3

    inocent itakuwa kiungo muhmu xn, cc raia wa kawaida hatuwez jua

  • @fransisigulu9761
    @fransisigulu9761 Рік тому +5

    Wazir mkuu ajaye

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 Рік тому

    Raisi Samia Yuko sawa ino anafaa sana,make ino ana makuu.ira Yuko makini sana

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 Рік тому

    Ewe mulamula 😁😁😁 jina tu

  • @madame3243
    @madame3243 Рік тому

    Anafaa, big up.

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 Рік тому +1

    BASHUNGWA ANAANDALIWA KUWA RAISI WA TANZANIAN NA KWA MTAZAMO WANGU BASHUGWA.ANAFAA SANA KUWA RAISI WETU.PIA ANAFAA SANA SANA

  • @realscholarships-bolde.2344
    @realscholarships-bolde.2344 Рік тому +9

    Future president...🙏
    Take this.
    May God bless him a lot 🙏

  • @kingnicky2568
    @kingnicky2568 Рік тому +3

    Wazir kiraka

  • @patrickkalengela7125
    @patrickkalengela7125 Рік тому

    The state is full of Tecnowhom

  • @alsinambise9155
    @alsinambise9155 Рік тому +3

    Mwandishi hiyo miwani sasa 🤣🤣🤣

  • @alisaid9024
    @alisaid9024 Рік тому

    Bado mambo yake yanameremeta Yaani rizki yake bado lakini Kama kuzungumza hana sifa hiyo uloitaja na waziri ktk ulinzi yataka mtu mkali lakini na hikma zaidi. Maoni yangu Huyu afaa ktk wizara ya utamaduni.

  • @ahmadajafari88
    @ahmadajafari88 Рік тому +3

    Huyu ni mtu bomba sana kilapahala anapowemwa anafanya vizuri ana kipaji

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 Рік тому +1

    Tunamwita Kilaka anatosha anaupiga mwingi hapa kazi tu

  • @salummbamba9181
    @salummbamba9181 Рік тому +1

    Bashungwa ana jipya atuache tu

  • @amouramiri6736
    @amouramiri6736 Рік тому +6

    Huyo bashungwa ndie rais 2030

  • @zalfahashimu9393
    @zalfahashimu9393 Рік тому +2

    Uko mbixoni kutoka nje

  • @eliuserneus7177
    @eliuserneus7177 Рік тому +1

    Amezid

  • @shaiduabduli7337
    @shaiduabduli7337 Рік тому

    Yajayo yanafulaisha

  • @boazpeter6524
    @boazpeter6524 Рік тому

    kwann anashindwa kumtoa mwigulu

  • @ggggregonia6035
    @ggggregonia6035 Рік тому +1

    Futur

  • @malombimbongolo9352
    @malombimbongolo9352 Рік тому

    Pia ni mtiifu

  • @malombimbongolo9352
    @malombimbongolo9352 Рік тому

    Ni mtulivu na anafanya kazi

  • @ilungasalle
    @ilungasalle Рік тому +2

    Namuona huyu kijana kuwa rais mbele

    • @nsajigwamwakalonge5702
      @nsajigwamwakalonge5702 Рік тому

      Hapo ndiyo mnafeli sana wananchi kuamini kuwa hamuwezi kuongozwa na watu nje ya CCM

  • @Kaizirege
    @Kaizirege Рік тому

    Raisi kaogopa alivyoiona post ya mkuu wa polisi uganda kuvamia kenya, mpaka ameshindwa kuzindua maonesho Geita

  • @mwashingamwashinga7764
    @mwashingamwashinga7764 Рік тому

    Gg

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Рік тому +5

    Hana uwezo sema anabebwa tu

  • @chrithicksambo2287
    @chrithicksambo2287 Рік тому +3

    anabebwa nonsense

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 Рік тому +2

      Habebwi Jamaa yuko vizuri kichwani tangu akiwa Chuo. Sema hakuzaliwa familia yenye fedha au yenye sifa.

    • @gracerweyemamu1345
      @gracerweyemamu1345 Рік тому

      @@gibsonjosephat6352 well daid👍

    • @josephrutta6834
      @josephrutta6834 Рік тому

      @@gibsonjosephat6352 ULIKUWA NAYE CHUO GANI?

  • @amanisalum1638
    @amanisalum1638 Рік тому

    inasemekana huyo ni mtarajiwa.Yupo katika maandalizi.Na ukizingatia anatokana na RC.

    • @masangulagoa3101
      @masangulagoa3101 Рік тому

      Waziri Bashungwa kwa kifupi ni mtendaji mzuri sana na ni muadilifu mchapa kazi ndio sababu kubwa ya kuwekwa popote pale sababu anafiti popote na sio nafasi gani ikitokea popote pana pengo basi Bashungwa anaweza kulisimamia mpaka litakapofika ni mtendaji makini pande zote yupo tayari tu kulitumikia taifa hongera sana kwake MUNGU ampe wepesi katika shughuli zake kazi iendelee 🙏🙏

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126

    Kailuki fresh sana

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Рік тому +4

    Bashungwa Hana uwezo anatakiwa atolewe

  • @stevencharles3541
    @stevencharles3541 Рік тому

    uyu jamaaa anapewa nchi mda so mlefu

  • @utambevilla2054
    @utambevilla2054 Рік тому

    Ajui kitu anabenwa tu ndio mana anajalibiwa kila wizara labda ipo atakayo iweza lkn wap