RC RUVUMA ASIKILIZA KERO ZA TUNDURU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amefanya ziara ya kikazi ya siku moja wilayani Tunduru ambapo amefanya mkutano wa hadhara na wananchi katika uwanja wa Baraza la Eid mjini Tunduru na kusikiliza kero 28 za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi

КОМЕНТАРІ •