🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 43

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 дні тому +6

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 дні тому +4

    Tundu family are big thinkers

  • @baghimabula5710
    @baghimabula5710 2 дні тому +4

    Habari ya mjini ni Lisu

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu 2 дні тому +3

    Mh Alute Mugwayi Lisu akili kubwa

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 2 дні тому +1

    Tunaenda na Lissu completely the man of integrity and true patriotic

  • @EricTrillz
    @EricTrillz День тому

    LISSU NI MUHIMU SANA KWA SASA KWA UPINZANI WA TZ.PIA MH MBOWE UMEFANYA KAZI KUBWA ILA KWA SASA BABA PISHA KIDOGOOOO

  • @YohanaKitiku
    @YohanaKitiku 2 дні тому +2

    Kaka tunataka mabadiliko na watanzania waelewe kwenye chadema na uchaguzi ujao ni lisu anatufaa iwe mkt au urais ni kwenda na lisu mtu muwazi Hana kiburi

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d 2 дні тому +4

    Mbowe ametukosea sana watanzani

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni День тому

    Lisu oyeee

  • @BonifaceSambo
    @BonifaceSambo День тому

    Ni busara zaidi kama mtu ulimuazima pesa,halafu ukaomba kurudishiwa pesa yako,kuliko kauli nyingine yoyote.

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 дні тому +1

    Tunaka lissu. Mbowe apumuzike.

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 2 дні тому

    Sio kwamba,eti hakukuwa. na wanachama muafaka-hiyo ilikuwa ni sbb ya kishkaji.
    Rais I.Traore kazuka,hakufikirika,na anapiga vzr kwenye mshono!
    Mabadiliko ni muhimu japo sio lazima!

  • @BonifaceSambo
    @BonifaceSambo День тому

    Du,kweli mwandishi ana maswali ya kichokozi,eti kwa sababu ya kumchangia tundu lisu ndio wanamtaka.

  • @AlsonMoses
    @AlsonMoses 2 дні тому +1

    Tunaenda lisu tu

  • @AndersonMokiwa-is5ch
    @AndersonMokiwa-is5ch 2 дні тому

    Kaka mtangazaji naomba namba yako yani kitambo sana tangu umetuacha City secondary

  • @cyprianshayo4044
    @cyprianshayo4044 2 дні тому

    Kauli ya utajiri hakumaanisha hivyo,, alisema hajawa kwenye siasa kubangaiza Bali kuongoza mageuzi,,

  • @BonifaceSambo
    @BonifaceSambo День тому

    Kwani hao wanao sema tundu lisu anadai pesa sio zake, kwani walimkopesha?

  • @AlphonceTemba-g4f
    @AlphonceTemba-g4f 2 дні тому

    Umempa Mbowe heshima yake kwa kukubali maamuzi yake ya kumpeleka Lisu Nairobi sasa mshauri Tindu amuheshimu Mbowe

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 2 дні тому

    Baada ya Uchaguzi wa Chadema, chama gani kinafuata uchaguzi wake? Maana tumeshachoka na story za Chadema!

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 2 дні тому

    Lissu ndo anajua kujieleza huyu kaka mtu anajitafuta sana

  • @mohamedsiaga7651
    @mohamedsiaga7651 2 дні тому

    Katiba ya Ccm Raisi wa Nchi ndiye atakuwa ni Mwenyekiti wa chama hii ni baada ya uchaguzi Mkuu wa Taifa hivyo Mwenyekiti wa Ccm anachaguliwa na wananchi waliomchagua

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 День тому

    Yote kwa yote Huyu Mkongwe ana madini ya kutosha kutokana na utaaluma yake na umri wake unasadifu busara na hekima alizozihodhi kichwani mwake....Kunta...Kinte.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 дні тому

    👍👊✌️.

  • @bjshio3249
    @bjshio3249 2 дні тому +1

    Mbowe hajawahi kusema yeye ni tajiri acheni kumwekea maneno.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 дні тому

    Kweli kushindana ni kidemokrasia. Ila wasivuane nguo.

  • @IsayaLukumai-bx4gg
    @IsayaLukumai-bx4gg 2 дні тому +1

    Weka camera vizuri hatumuoni Mzee Aluta

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 2 дні тому

    Mwandishi usiwe mjinga kondacta au bingo wa Leo hukitaka kiti cha dereva pia Acha ujinga

  • @masanjaelias5829
    @masanjaelias5829 2 дні тому

    Bora hata huyu anaongea Kwa busara

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 2 дні тому

    Chadema hakijakomaa, hakiwezi kuchukua Nchi. Hivi kwanini tunawaongelea kiasi hiki? Si tuwaache tu, kwanza hawana impact yoyote!

    • @ErnestiSulle-w9k
      @ErnestiSulle-w9k 2 дні тому

      Acha ujinga hawachukui nchi , kwani nani mwenye milki na nchi hii.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 2 дні тому

      @ErnestiSulle-w9k kwa hiyo kweli Tanzania tumekaa Kila siku ni Chadema, Chadema, Chadema??!

  • @RAMADHANIMWANYOKA
    @RAMADHANIMWANYOKA 2 дні тому

    No sound why

  • @LeonardUrassa
    @LeonardUrassa 2 дні тому

    Public. Coments

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 2 дні тому

    Kubwa jinga si muungane na mdogo wako muanzishe chama chenu?? CHADEMA ni ya Mbowe muacheni na chama chake, kwanin mnalilia CHADEMA??

    • @gangan4618
      @gangan4618 2 дні тому +1

      Taahira mwenyewe, kenge wa kijani wewe una akili mavi yako.

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 2 дні тому

      @gangan4618 CHADEMA ni ya Mbowe, nyie wengine mtaishia kukunja ngumi tu, alafu mnao mpenda tundu Lisu wote muanzishe chama chenu hicho chama muacheni Mbowe ni urithi kutoka kwa baba mkwe wake Edwin mtei

    • @OscarKasalile
      @OscarKasalile 2 дні тому +2

      Acha matusi huyu mzee si Sawa na Baba yako kuwa na adabu

    • @BenedictoBoniphace
      @BenedictoBoniphace 2 дні тому

      Wwe kumbe ni tahira kabisa! Tena wewe ni sawa na nzi wa kijani (CCM) UNAJUA TABOA ZA NZI WA KIJANI WEWE? BASI NDO WEWE MPUMBAFU.

    • @gaspernkhangaa1331
      @gaspernkhangaa1331 2 дні тому

      Huna nidhamu na matumizi ya mitandao unatakiwa uchukuliwe hatua za kisheria wewe?