#AfyaYako

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024
  • Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa yanayoisumbua jirani kwa kiasi kikuwa. Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete (JKCI) kupitia kwa mkurugenzi wake, Profesa Mohamed Janabi inakuletea baadhi ya dalili za ugonjwa wa moyo.

КОМЕНТАРІ • 71

  • @blessedggithinji6192
    @blessedggithinji6192 23 дні тому

    Asante Dr mimi kg zimeshuka from 76 to 43.5kg😢moyo kupiga kwa kasi kila mara(PR 146-150😢 HB 92/64 some time napoteza fahamu now kuumwa na spinecord 1week mguu wa left kuisha nguvu once nakuvibrate😢nimepimwa sukari sina,ukimwi negative😢shida ni nini

  • @suzanejeremiah3463
    @suzanejeremiah3463 3 роки тому +5

    Loh, Mwenyezi Mungu tutie nguvu, kumbe. ..

  • @fitinaelias421
    @fitinaelias421 5 років тому +4

    Somo zuri hongera sana doctor

  • @mubirupeter2153
    @mubirupeter2153 3 роки тому +7

    Asante sana doctor kwa somo lako ila Nina maumivu makali chini ya titi upande wa kushoto sijui inatokana na nini

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 2 роки тому

    Shukran sn dr

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Рік тому +2

    Naombeni namba ya huyu doctar nina mgonjwa ana hali mbaya 😢

  • @HamenyaNashoni-b2x
    @HamenyaNashoni-b2x 4 дні тому

    Pigo yamoyo yanaenda mbio haf miliunasikia uchovu sijui tatizo nn

  • @histonyezekiel4214
    @histonyezekiel4214 4 роки тому +1

    Mm dalili zingne sijaziona tofaut na upande wa moyo kuwa mzito kila kukicha Kuna kipnd kunaumwa asa kifua upande wa kushoto na kunawakat nikilala miguu inakuwa Kama imeisha nguvu kabisa swala la kifua upande wa kushoto kuuma la siku nying Sana Sasa cjui inaashiria nn na nipo kijijin

  • @asmamohamed1422
    @asmamohamed1422 2 роки тому +2

    Dr kukakamaa kwa mishipa ya dam

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 3 роки тому +3

    Janabi ulinisaidia Sana Mungu alikuwa mbele yng,lkn nawe ulipigania maisha yng.

  • @HamisiShomari-k2k
    @HamisiShomari-k2k 3 дні тому

    Na mimi pia ubavu waekushoto chini ya titi unaniuma mno

  • @histonyezekiel4214
    @histonyezekiel4214 4 роки тому +5

    Docta plz tupe namba tunatembea tunaumwa tusije anguka

  • @happykundael7706
    @happykundael7706 Рік тому

    Asant sana Doctor lakin mim nina swali je kuhc kam kichom kinakuchom kila mahal kinawez kikachom juu ya bega au mgongon au mguun au kifuani tatizo linakua nin

  • @zakayozakayo3697
    @zakayozakayo3697 Рік тому

    Mim na matatizo san sijajua nitapta msaada kwel mim ,nasumbuliwa nauvimbe shingon lakin nimeaza doz toka mwezi wa7 lakn dawa nikinywa naumwa San sijajua shida nin navimba nimepima ini liko Safi figo pia liko Safi sjajua sasa nashida gan

  • @goodluckmuyabi4194
    @goodluckmuyabi4194 5 років тому +3

    Moyo kuuma ukipita kwenye sehemu ya bamsi ni ugonjwa?

  • @felixwillson3525
    @felixwillson3525 Рік тому

    Namba tafadhali mwenye namba ake huyu docta anipe jamani

  • @happynessmakoyehappynessma6611
    @happynessmakoyehappynessma6611 5 років тому +1

    Jmn me mapigo ya moyo yanaenda mbio sanaaaa kila sk uck cjui tatizo nini

  • @happymlwilo
    @happymlwilo Рік тому +2

    Naomba namba yako ya cm inashida ya moyo natumia dawa lakini hakuna unafuu nisaizie Doctor

  • @fatmamkongo4337
    @fatmamkongo4337 2 роки тому

    Doctor upande wa kushoto juu ya ziwa Kuna muda nahisi maumivu makali Sana,,mpaka mkono nahisi unaganzi,,

  • @makuyunitvshow2529
    @makuyunitvshow2529 3 роки тому +1

    Doctor moyo wangu unaenda mbio mpaka Kuna mda nashindwa kuhema naomba unisaidie mnapatikana wapi Mimi nipo Arusha,halafu nikila vitu vya nafuta najiskia vibay sana

  • @happynessmakoyehappynessma6611
    @happynessmakoyehappynessma6611 5 років тому

    Doctors no please

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c Рік тому

    ACHENI KUTISHA WATU TOETI TOENI MATIBABU WATU WAFANYEJE ILI WAJITIBU SIO KUWATISHA MKAISHIA HAPO

  • @lovederyare6756
    @lovederyare6756 5 років тому +4

    Docta me nna swali inakuaje mtu nimenene sana kam mm lakini nikipima presha iko normal hii ni kwasababu gani

  • @HidayaHamis
    @HidayaHamis 3 місяці тому

    Mutusaidie nnamba🙏🙏🙏

  • @ivyrehema3246
    @ivyrehema3246 2 роки тому

    Samahani navipi kuhusu kufura chini ya ziwa la kushoto nakuuma

  • @MohamedTsavwa-xh1xl
    @MohamedTsavwa-xh1xl Рік тому

    Vp Docta wakenya wanaruhusika kutibiwa uko

    • @omarypongwa9246
      @omarypongwa9246 Рік тому

      Wanaruhusiwa mbona watu wanatoka Kongo Sudan Zambia nk wako JKCI

  • @aishaahmed2878
    @aishaahmed2878 2 роки тому

    Dr.naomba msaada mtoto wangu wa miaka sita Kuna wakati moyo unaenda mbio Sana na kuna wakati anasema anahisi maumivu, Je anaweza akawa na shida ya moto?

  • @mwingotv9161
    @mwingotv9161 3 роки тому

    Moyo wangu unashituka

  • @chimwemwefoden4630
    @chimwemwefoden4630 5 років тому +1

    Hiyo hsptl ya moyo iko wap

  • @danielKitomary
    @danielKitomary 4 місяці тому

    .

  • @JaneKutika
    @JaneKutika 11 місяців тому

    Inaambukiza au

  • @happynessmakoyehappynessma6611
    @happynessmakoyehappynessma6611 5 років тому

    Doctor tunaomb no plz

  • @salamasabuni3785
    @salamasabuni3785 2 роки тому

    mm moyo unalipuka afu naishiwa nguvu

  • @davismandari4091
    @davismandari4091 2 роки тому

    Pigeymasc

  • @thobiaspaul8247
    @thobiaspaul8247 5 років тому +2

    Hivi kuna dawa kwa mtu mwenye tatizo la moyo kupanuka na kamaipo garama kuhusu matibabu ni kias gani

  • @happynessmakoyehappynessma6611
    @happynessmakoyehappynessma6611 5 років тому

    Doctors no please