Na mimi nilisomea kilimo na mifugo nimejuariji mwenyewe nipo kijijini ninangombe wa maziwa ninashamba la matunda nauza maziwa nauza mapapai maparachichi, ndizi, kuku wa nyama, na mayai nimeweza kufungua biashara yangu kubwa tu mjini ya kuuza kuku wa nyama kwenye friji. Na nimejenga huku huku kijijini nyumba kubwa, nipo huru mimi na kilimo tuu
Usiwafiche brother waambie ukweli hawana hela yakukulipa maana watu waroho kubwa naninauhakika labda wakupe milion moja kwenda juu ndiyo kidogo inaweza kukusha wishi
Wajinga hawatokuelewa brother Mimi nimmoja wawale wenye ndoto yakujiajiri full stop. Salyut to you my young brother 3years later waliokaa kusubiri ajira watarekebisha kauli zao.
Mhuu nimechoka ila tu mm niulize swali watu wanatatfa pesa wale wanaozitengeneza wanatatfa nn ikiwa na wao wanatatfa pesa basi hakuna atakae kuajir akakupa mshahara wa kukidhi mahitaji Kwa nchi zetu za afrika zaidi ya majeshi tu huo ndo ukweli ukitaka usitake habari ndo hio
Ni makosa ya mfumo kuanzia wazazi mpaka elimu kwa ujumla. Huyu alisomea fani ile pasipo kujua kama atakosa kazi hivyo huku alipo ni njia mbadala ila ndiko wanakotokea matajiri duniani kote.
Edina Chami kweli mwalimu kawazidi,hamjui tofauti ya kuoa na kuwa na watoto?Na nyie ni wanawake,sitegemi mwanamke kuuliza hilo.Yaani mnamuona kakosea.......
constantine manyanda kariakoo tena ufundi simu una hela Sanaa, kama mtu kwa siku atalaza 50 unategemea aajiriwe kufundisha alipwe laki 7 kwa kwezi bado makato
Magufuli hongera sn kwa kasi hii ipo siku tutatengeneza Rocket kwenda mwezini umetufanya WTZ kuwa wabunifu hakuna vya bwelele shikilia hapo hapo baba maana hamna namna.
Maji ni shida jamani kwanini serikali isifunge pampu ili kusambaza maji majumbani? Ni rahisi kutoa mabilioni kununua ndege but ni vigumu kutoa mamilioni kusambasa maji vijijini, huku ndiko mtatugusa sisi wanyonge please serikali yangu tunaomba mlifanyie kazi hilo najua lina wezekana tu.
Lute King .Hapendi kuajiliwa, anapenda ajiajili. Ana mipango na mikakati mingi ya mipangirio ya maisha, kiasi yakwamba kuajiliwa alikuwa anaona kama anapoteza muda wa mipangirio yake anayoiwazia haitweza kufanya
Big up ila mzee baba baik itakutoa shipa so unaonaje ukatafuta njia mbadala ya kufanya hiyo kaz kama kutumia punda had hapo utakapo pata hiyo gari kama unavyotarajia maana hata ufanikiwe vip ukiharibu afya yako ur nothing
Masha'allah kijana anauelewa wake ..atafikia lengo
Very good mwalimu mwenzangu ..na mm nimemaliza chuo 2015 na sasa cna mpango wa kuajiriwa coz nimejiajiri mwenyewe
Naomba siri ya mafanikio
Bado 2015 mpo jamn ss i 2016 uwii madam Mie atari
Mungu akulinde na malengo Yako usiyaweke wazi sana siyo Kila mtu anapenda maendereo Yako kaka.
Safi sana kijana,vijana wengi wanang'ang'ania majina Makubwa wakati halileti hata pesa ya ugali,endelea kupambana utafika mbali💪💪💪
Mashallah, nimekuelewa Teacher, hongera sana
daah pole sana brow mungu atakusaidi utafanikiwa katika mipango yako
Mungu akutie nguvu brother Mungu hawezi kukuacha yupo pamoja nawe
Huyu ni mpambanaji apatiwe ajila afundishe watoto wetu
Dah good brother. Hakika umenigusa sana . Wewe ni jembe na InshaAllah utafanikiwa sana kaka.
well done mwalimu tukaze buti
hongera sanaaa mwalimu. A teacher is a Jeck of all trends
Nimekuelewa sana brother big up
ww ni mfano wa kuigwa kaka mungu akufungulie milango ya baraka na familiy yako mungu aikumbatie .
mh
Upo vizuri mwl kwa maamuzi mazuri
Nimekupenda bure
Hogera sana brother mungu hatakuacha kamwe.
Big up sana brother, mwenyezi mungu akusimamie.
Shemeji yng nakukubali saaana na Leo umeniletea maji wewe ni jembeee
Atusajiye Japhet
Huyu ndugu ana akili nyingi na watu wa namna hii ni wachache sana duniani
Safi kaka angu
Noma sana
Mungu Azidi kukuinua zaidi brother
Ni uzembe tembea acha kukaa hapo ww Bado mdogo nimekupenda ww ni mpambanaji good
Umetisha Teacher
Mungu akutie nguvu napenda wanaume wanaojituma
Tupo
Hata wanawake wanaojutuma pia Wana pendwa Sana.
Umenifungua kichwa kimejaa sumu namimi ngoja nijitose ktk fursa iliyoko mbele yangu ila napuuzia nikilinganisha namazingira niliyopo ingawa malipo siyo kama kazi inavo onekana
ASANTE BRO ACHA NIJITOSE NAMIMI
Rashid Busanya mazingira si tatizo wewe si mti ndugu yangu you can move and change if you have thirty of success
Safi sana kijana unaakili nakupongeza kwa hilo
Safi Sana braza upo vzr
Nakuupa wasia broo.. Utafika mbali.. Kwa bidii zako.. Lakiin ukipata mtonyo usije msaliti mkeo.. Kufa NA kuzikana
Welldone!
Hunajitambuwa Sanaa kaka
daa nimekuelewa sana
Hongera sana , na mkeo ajivunie
Inspired
Kaza buti blo
Elimu ya kibongo sio ni ya ovyo sanaa ni ujinga hakuna elimu mbovu kama ya bongo
Maa shaa Allah
safi sana bro. nimejifunza kitu
kazi kazi tu
Amazing
1st comment
Teacher kaza nyie ndio mnatakiwa
#hapa kazi tu😀😀😀😀😀
#nyumbatamu kweli ubunifu muhimu hongera sana
We tutaenda sawa ndg
Umetisha bro
Imana iguhezagile
Hongera sana
asante sana kaka umenifungua
Big up.....Sana nimekuelewa sana
Big up. Simamia unachokiamini najua utapingwa na wengi ila hatima ya kesho yako iko mikononi mwako.
Woiiii God Help us
Hongera sanaaah kaka...kaz Nzur koz unakula jasho lako big up brother @
Na mimi nilisomea kilimo na mifugo nimejuariji mwenyewe nipo kijijini ninangombe wa maziwa ninashamba la matunda nauza maziwa nauza mapapai maparachichi, ndizi, kuku wa nyama, na mayai nimeweza kufungua biashara yangu kubwa tu mjini ya kuuza kuku wa nyama kwenye friji. Na nimejenga huku huku kijijini nyumba kubwa, nipo huru mimi na kilimo tuu
Hongera
This is IQ good
Vizuri sana we ni mfano wa kuigwa kongore yako
well done
Hongera bro.. Mungu akusimamie una akili saana
Ukweli nimekumbuka home kgm pia ongera sana kijana
Welldone
Nice bro
hatua nzuri
kweli kabisa kamanda
Usiwafiche brother waambie ukweli hawana hela yakukulipa maana watu waroho kubwa naninauhakika labda wakupe milion moja kwenda juu ndiyo kidogo inaweza kukusha wishi
Wajinga hawatokuelewa brother Mimi nimmoja wawale wenye ndoto yakujiajiri full stop. Salyut to you my young brother 3years later waliokaa kusubiri ajira watarekebisha kauli zao.
Nunua pikipiki angalau itakusaidia utaokoa muda pia.vizuri kaka
Mhuu nimechoka ila tu mm niulize swali watu wanatatfa pesa wale wanaozitengeneza wanatatfa nn ikiwa na wao wanatatfa pesa basi hakuna atakae kuajir akakupa mshahara wa kukidhi mahitaji Kwa nchi zetu za afrika zaidi ya majeshi tu huo ndo ukweli ukitaka usitake habari ndo hio
حياتك من صنع أفكارك
Maisha yako yanatengenezwa na fikra zako
Hongera sana bro heshima sana kwako.
Nzur kaka angu kaza Mungu atakujalia
Safi sana
Ajira jamani zina chelew
This is so challenging...I've learnt something. .God bless you Bro
Ajira how's, lap top hewa, Noah hewa na bado
Dar niwachache wenye usubutu kama wako . Wengine nawaona wanapenda kulewa sifa za majina na kutoangalia wanachoingiza
Hiyo ndyo Tanzania tunayoitaka
Kweli mm nilimuona jirani yangu anauza dagaa kwa baiskeli huko zanzibar nilijua hajasoma kumbe anadigree wallah kaoa na kajenga mjengo kawashinda waaliim
Ndugu yangu Hawa wanouza dagaa mara nyingi huwa ni watu wa kazi za watu Ile kuuza dagaa ni zuga tu 😎😎😎😎😎
ww unajielewa kabisa
Duh kijana jasiri huyu
Ni makosa ya mfumo kuanzia wazazi mpaka elimu kwa ujumla. Huyu alisomea fani ile pasipo kujua kama atakosa kazi hivyo huku alipo ni njia mbadala ila ndiko wanakotokea matajiri duniani kote.
Serikali imekupa ajira MBOLIBOLI iringa hongera kwa hilooo......
millardayo hiiinikweli nakamanikweli kuanzialeo najiajiri
Ukitoka hapo et dem aje kuomba pesa na yy anapga mkwanja kwako dah
ndo maisha ya Mtanzania inabidi tujiongeze tu
Mpaka mueshimiwa atoke
TUTAPATA TABU SANA
uko vzur umeoa2017 nasasa unawatoto wawil
Edina Chami comment of the day
Edina Chami kweli mwalimu kawazidi,hamjui tofauti ya kuoa na kuwa na watoto?Na nyie ni wanawake,sitegemi mwanamke kuuliza hilo.Yaani mnamuona kakosea.......
Mapachaaa
Habibu Mdetele ....Haaaahaaaaa Umeonaaa Watu vilaza Sana....Mwalimu ni Mwalimu tuu...
Umenifungua akili kweli ajira niutumwa huwezi kua namafanikio kwa kutegemea mshahara wa mwisho wa mwez
Mwamba ulitusha
KIUKWELI PAMBANA KAKA
Kaza buti dogo
Kujiajir ndio mpango
Mm mwalim wangu wa english wa secondary sahv kaacha kawa fundi simu kariakoo
constantine manyanda kariakoo tena ufundi simu una hela Sanaa, kama mtu kwa siku atalaza 50 unategemea aajiriwe kufundisha alipwe laki 7 kwa kwezi bado makato
Magufuli hongera sn kwa kasi hii ipo siku tutatengeneza Rocket kwenda mwezini umetufanya WTZ kuwa wabunifu hakuna vya bwelele shikilia hapo hapo baba maana hamna namna.
Abby Adams. dalili ya umasikini hiyo
Abby Adams 😂😂😂
Kuma yako
Abby Adams kuma mamako unafirwa
Kwani we kipindi unazaliwa ulitokea wapi,,? Mungu akusamehe bure
Pongezi sana kwa ujasiri
Hongera kijana; Penye nia pana njia!
Huyu ni muongo miaka saba
Acha wivu huo
Only in Tanzania
Matitu_jr kwambaa
Muongo maana kasema amemaliza chuo2015 alaf kafundisha Islamic school kwa miaka Saba je sahv ni mwaka gani
Robert Gurti miezi bna
Miez7 sio miaka!
Amesema alifanyakazi miezi 7
Miezi 7 mzee baba
Kasema miez Saba so miaka saba
Kwakweli amenipa ufunguo mkubwa'akilini' Millard ayo ,km mtaweza kunipatia namba ya huyu mwalim nitashukur kuna kitu naweza shea nae kupiga hatua
Duuh
Maji ni shida jamani kwanini serikali isifunge pampu ili kusambaza maji majumbani? Ni rahisi kutoa mabilioni kununua ndege but ni vigumu kutoa mamilioni kusambasa maji vijijini, huku ndiko mtatugusa sisi wanyonge please serikali yangu tunaomba mlifanyie kazi hilo najua lina wezekana tu.
Abel Mirwatu why kila kitu serikali ??? Kabla serikali haijakufanyia nn jiulize wewe umeifanyia nn serikali
Vyuma vimekaza
Lute King havija no havija kaza acha uvivu
Lute King .Hapendi kuajiliwa, anapenda ajiajili. Ana mipango na mikakati mingi ya mipangirio ya maisha, kiasi yakwamba kuajiliwa alikuwa anaona kama anapoteza muda wa mipangirio yake anayoiwazia haitweza kufanya
Lute King kumamayo wewe
Poa