KIMENUKA; KIGOGO AMTAJA KIONGOZI MKUBWA AMBAE SIO MTANZANIA ANASUKA NJAMA KALI ZA KUA RAIS 2030

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 113

  • @CrispoSeko
    @CrispoSeko 10 місяців тому +3

    Ni hatari kuliko watu wanavyofikiria,lazima wote wavuliwe (fished)

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 10 місяців тому

    MAJUNGU !! @MAJUNGU

  • @AlanMbilinyi
    @AlanMbilinyi 3 місяці тому +1

    LISEMALO LIPO KAMA HAKIPO LAJA.VIONGOZI HAWO MAZIRI NA WABUNGE AMBAO SIO RAIA.WACHUNGUZWE BABU NABIBI YAO WALIZIKWA WAPI KAMA WAO HAI USALAMA WA TAIFA MWE MAKINI KWA HILO NI HATARI,MSIPUUZE MAONI HAYO.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 Місяць тому

    Ukifanya vizuri to utaambiwa siyo raia hata zito

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 11 місяців тому +9

    Hasa Rwanda wapo kwenye Taifa letu , DRC, Burundi, wapo kwenye uongozi, ndani ya Taifa, mmoj yupo Uganda alikuwa mwanasheria mkubwa, mikoani Wapo wengi ndani ya serikali aibu kubwa sana ndani ya Taifa letu, ndani ya siasa wapo

    • @davidlyamboko7477
      @davidlyamboko7477 10 місяців тому +1

      Siku wanatugeuzia kibao ndo tutajua hatujui. Cha muhimu wawepo hapa nchini kihalali, haikatazwi kuja na KUISHI. Hivi unaweza kwenda kwa Kagame ukaingia tu hivi hivi, thubutu.

    • @felixmugambi2237
      @felixmugambi2237 7 місяців тому

      Wewe ni mwenda wazimu ,kiongozi anaweja Toka popote,kwani inchi ni yako kwasababu urijariwa hapo unafikiria inchi ni yako,Kila mtu Ako na haki yakufanya kazi popote nduniani.

    • @EmmaculateGembe
      @EmmaculateGembe 3 місяці тому

      @@felixmugambi2237sasa unamtukana kwa nini?toa ushauri SIYO kumuita Mwehu Mungu aliyepanga kila watu kwenye nchi yao alikuwa na maana yake .kufanya kazi si vibaya kama wanafuatataratibu za uhamiaji lakini uongozi ngazi za juu ni Atari sana kwa nchi.Au na wewe mkimbizi?

    • @mubarakchishako500
      @mubarakchishako500 2 місяці тому

      si rwanda. burundi na congo tu bado wapo wa uganda kenya msumbiji malawi na zambia

    • @mubarakchishako500
      @mubarakchishako500 2 місяці тому

      tukumbuke tulishaongozwa na rais ambaye si mtanzani nae ni benjamin mkapa. alikuwa ni mmakua wa kutokea msumbiji tena mkoa wa pili toka mpakani. ila watu wanajua wakimbizi ni kutoka burundi na congo

  • @YusraSuleiman-o5c
    @YusraSuleiman-o5c 3 місяці тому +1

    Katiba tu ndio itatulinda Ila sio mtu hata ww hatujui undani wako hata nyerere walisema sio mtanzania hata karume Ila maisha yanasonga tunamshukuru mungu.

  • @SelijusiMalambo-z2b
    @SelijusiMalambo-z2b 2 місяці тому

    Tunawajua sana lakini rushwa ndio chanzo

  • @BlessAdili
    @BlessAdili 10 місяців тому

    Jarib kupunguza maneno toa hoia pls

  • @SamsonAbdul-ht7lt
    @SamsonAbdul-ht7lt 2 місяці тому

    Sawa

  • @mohammedihamisi3493
    @mohammedihamisi3493 10 місяців тому +2

    mama kapendeza sana

  • @LaurentMkolwe
    @LaurentMkolwe 2 місяці тому

    Kikubwa amani

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj 2 місяці тому +1

    Nikweli Tz Atujielewi Mawazili wengi sio laiya ukiskia ata majina yao ni yawabulundi Kongo Somalia

  • @samweldoe5750
    @samweldoe5750 10 місяців тому

    Kwa nini hammtaji huyo kigogo, imebaki kigogo kigogo majungu tu.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 10 місяців тому +1

    Hivi kwa nini hamtaji huyo mtu? Kama mnamficha jina mna maana gani? Huo ni unafiki, Kama mtu amefanya visivyo anatajwa kwa majina kwa nini tunamficha?

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 11 місяців тому +4

    Mbona kule znz wapo watanganyika mpaka rais wa mkuranga alaa kumbe nyie kweni inawauma sana

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 2 місяці тому

    Wanajua tu kuwabana na kuwaonea wapinzani hawawezi kulinda taifa kwa usalama wa ndani

  • @radjabuabunidalrachid1200
    @radjabuabunidalrachid1200 10 місяців тому

    Nahofuya inchi inaanza kutayarisha mikakati ya vita ,je mnajuwa vitæ kwani hizi nikauli za Wana siyasa ilikuwagiribu raiya wawe na changa moto ya kupiga kelele kwa viongozi unataja vigogo bila majina ilikuficha ufisadi ,kwa kuhofiya hata nduguyo asije kuinguya katika genge lenyewe

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 2 місяці тому

    Maadam yuko CCM anaweza kuukwaa urais

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p Місяць тому

    He jamani watanzania kwani tumelewa akili zetu mbaka mukimbizi anakua kiongozi na munanyamaza tu he kweli tuko atarini

  • @mubarakchishako500
    @mubarakchishako500 2 місяці тому

    tulishawahi kuongozwa na mmakua wa msumbiji nae ni benjamin mkapa mbona hamsemi mmelishwa maneno ati wakimbizi ni wa kutoka burundi na kongo tu. nchi hii tumepakana na nchi 8 na kila upande kuna watu wakutoka upande mwengine wa jilani

  • @kandoyamitoyababeliministr9745
    @kandoyamitoyababeliministr9745 10 місяців тому

    Angaisho saaana kesho mtakuwa kama sisi wa Congolese

  • @NimrordEmanuel
    @NimrordEmanuel 10 місяців тому

    Mbona Waha wa mkoa wa Kigoma mnatuandama lakini Wamakonde wa Mtwara hamuwasemi?

  • @BernadethaSimba-qi4dw
    @BernadethaSimba-qi4dw 10 місяців тому

    Makamba au bashe

  • @MajdiChowe
    @MajdiChowe 5 місяців тому

    Tunataka aongee mwenyewe saut yake ya kigogo

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 11 місяців тому +4

    kwani hata watu nwa bara wakiwa zanzibar sini wakimbizi kwani hilo vipi

  • @radjabuabunidalrachid1200
    @radjabuabunidalrachid1200 10 місяців тому

    Kinasikitisha kuona hata Leo ndiyo mna anza kuzungumuziya swali la ugeni kuwa viongozi inchini je mnaweza kunipa histori ya viongozi wa jamhuri Walo tanguliya kama nyinyi ni wakweli? Acheni kulagai wanainchi

  • @nizigiyimanaibrahim2329
    @nizigiyimanaibrahim2329 2 місяці тому

    Niurize hayo mnayotuambia ndiyo yanayosababisha watu kutekwa??

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 4 місяці тому

    Yaani mna maanisha January Makamba atarudi Burundi?

  • @ThadeyMwacha
    @ThadeyMwacha 10 місяців тому

    Dah ni hatari sana

  • @SamwelKalonda
    @SamwelKalonda 2 місяці тому

    Kwaiyo to walie woa wanawake Ambaoso watz kigogo anawtak awaoe yeye au uyoso kigogo nifukara mama samia shugulika nahaooo wambea naona napich
    Yarais imehusik kesho mtasem hamumupi kura hajazali dareesaram

  • @KhalidyHamisi
    @KhalidyHamisi 10 місяців тому +2

    kama babu yake kazaliwa burundi au congo au Rwanda baba ake kazaliwa Tanzania mwache aongoze inchi kwani kunaubaya gani?

    • @OnesmoSimon-
      @OnesmoSimon- 5 місяців тому

      8:40
      Ndo apo Sasa ushangae ..
      Mtu kazaliwa Tanzania kasoma Tanzania Elimu zote mpaka akawa waziri mlikuwa wapi..

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 10 місяців тому

    Mim sasa iv naikubar kaul ya mh ruto ukitaka kuichezea kenya chagua kwenda Jera au hama kenya au usafir kwenda mbingun ata wewe mama najua mama mna huruma lakin hiyo maneno inakufaa vip mama uongoze inch kwa kubembeleza mtu kaleta ujinga ata kama wazir mshughulikie bira huruma

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 10 місяців тому

    Kwanza ndio maana Hawa midia fek walifukuzwa katika uzinduz wa Tren wanaangalia sana pesa kuliko masilah ya wanainch

  • @JoshuakaruJoshuakarumna
    @JoshuakaruJoshuakarumna 10 місяців тому

    Nikweli k as bisa kamanda chukua atua chap mwishowasku tutaanza kuishi kama kongo

  • @PrivaAgust
    @PrivaAgust 6 місяців тому +1

    Wataje.

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 4 місяці тому

    Nchi zinazo endelea duniani mambo kama hayo hayakuwagi tena wapo Watanzania kote duniani baadhi wanafanya kazi sehemu nyeti za serekalini.

  • @felixmugambi2237
    @felixmugambi2237 7 місяців тому

    Ninawaurumia sana Watu weusi mtaerevuka lini , kiongozi unaweja toka popote mbora awe na roho ya untu , na akili timamu,hanaweja toka popote nduniani,

    • @OnesmoSimon-
      @OnesmoSimon- 5 місяців тому

      Hongera Sana ndugu kwa ujumbe mzurii

  • @charlesphilipo3533
    @charlesphilipo3533 11 місяців тому +5

    Mtaje watu wajue ,,,,umbea hatutaki ,,,,,watajeeeee

    • @davidlyamboko7477
      @davidlyamboko7477 10 місяців тому

      Katavi tarehe xy/2020, mkimbizi alikamatwa na mtambo wa kutengeza silaha. Anajiita RAMBO, Big up KUU Katavi kwa kumnusa. Ipo You tube

  • @OmanOmani-x5i
    @OmanOmani-x5i 11 місяців тому

    Habari Ambazo hazina ukweli na ushahidi msizirushe mtandaoni maana huo ni uchochezi na MTU huyo ni nani mbona hamumtaji?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 місяців тому

    Na huyo waziri hata kama simjui hata muonekano wake au mionekano yao inaonyesha wazi. Wanyarwanda wajulikana mpaka wanauza maparachichi mabarabarani humu Dar. Hata kama baba yake alizaliwa hapa kwa nini hawakufanya halalisha kisheria lakini wanajipenyeza kwani nia nini?

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 2 місяці тому

    1. Kwani mzanzibari akubali kuwa yeye ni mtanzania?
    2. Kama Warundi wamewafundisha kuua wapinzani, hamuoni ni ndugu zenu?
    3. Propaganda/ rongorongo za maccm hamzijui?
    4. Nchi Ina Usalama wa Samia au wa Taifa?
    5.Mtu auzae bandari na misitu yenu kwa interest za tumbo na yake au mtanzania?
    CHADEMA ni Warundi? Mbona ni wazalendo na kabisa mnajua...mbona hamtaki wawe viongozi?
    Tunawachagulla maraisi Warundi na wakongo, na kuwapa jeshi Letu SI ndugu zetu?
    Acheni unafiki!!

  • @hajikadoma1652
    @hajikadoma1652 10 місяців тому

    Kigogo wa sasa muongo hakuna wakumteka akilihapa

  • @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo
    @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo 11 місяців тому +3

    Serikali nchi imeshawashinda hii bora waanzishe serikali ya mseto kubaini maovu,nashangaa nchini kwetu mtu mzima anaenda uhamiaji apate japo namba ya NIDA wakati nchi za wenzetu mtoto akizaliwa tu anapewa namba ya NIDA kwenye cheti chake cha kuzaliwa ilimradi tu km wazazi wa mtoto huyo wamepeleka vyeti vyote na uhamiaji kuhakiki kuwa wazazi wa mtoto huyo ni watanzania halali.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 місяців тому

    Kweli huu ni ulevi mkubwa sana. Nadhani Inchi hii tena hata sasa hivi mnawapa shida watanganyika hata Bungeni mnawanyanyasa wakina Mpina. Lakini wasomali wana nafasi kubwa hata kumfukuza Mpina bungeni. Sisi hatukuwepo wakati wajukuu wetu watakapo wanateswa na wakimbizi wanaweza hata kinyang'anywa hata Inchi na kuwageuza wawe wakimbizi. CCM najua sasa hivi mnawapigania hao wakimbizi kwa nguvu kubwa kwa sababu wako wageni katika awamu hii mtashangazwa mtakapo endelea na hao wageni kutawala mtakapo tupwa injea kama wakina Mpina ndiyo mtatafakari na itakuwa too late. Wanajeshi tafadhali msiache hili kuwa na mizizi Inchini ni hatari sana. Nadhani mnayaona kwa macho yenu.

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 10 місяців тому

    Kigogo acha uongo sasa hata wewe Babu wa Babu Yako ni mkimbizi tu

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 10 місяців тому

    Kwanza mim naona yeyote aongoze ata kama katoka mbingun kwani waliopo mbona hamuwatak mnataka kuongozwa na nan au malaika Obama mpaka Leo anakumbukwa na america

  • @KhalidyHamisi
    @KhalidyHamisi 10 місяців тому +1

    Babu yake na babu wameishi hapa inchini baba kazaliwa hapa tanzania mimi mwanae nikazaliwa hapa tanzania mimi nikasoma nikajiliwa sihurusiwi kugombea urais?

  • @ManPro-ng3op
    @ManPro-ng3op 2 місяці тому

    Si uwataje unaogo nn kuwataja

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 11 місяців тому

    WENYEWE WAMELALA 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @jumannehassan3949
    @jumannehassan3949 Місяць тому

    chekeche cuone mzaha hakuna

  • @KanutiKasian
    @KanutiKasian 2 місяці тому

    Mhhhhhhhhhh.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 11 місяців тому +3

    Channel ina uongo mwingi

  • @jackisonmlaari4556
    @jackisonmlaari4556 11 місяців тому +1

    We ni fala achaga uongo

  • @makelemohuya2723
    @makelemohuya2723 10 місяців тому +1

    Kinana, au ?

    • @davidmkanda9300
      @davidmkanda9300 10 місяців тому

      𝐾𝑖𝑛𝑎𝑛𝑎 𝑛𝑖 𝑚𝑎𝑗𝑖 𝑦𝑎 𝑗𝑖𝑜𝑛𝑖

  • @eatlawe
    @eatlawe 10 місяців тому

    Propaganda tu hizi! CDF atasemaje eti kuna njama badala ya kuzimaliza kimya kimya?

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 10 місяців тому

    Mwenye hii midia nadhan ni mtu anaye filana na mama yake maana story zake nyingi ni za uchochozi

  • @deputyjeez3629
    @deputyjeez3629 10 місяців тому

    Mnachekesha sana nyie wa Tz na hili swala la uraia. Kwani nyie ndio wa kwanza kuwa na viongozi wasio wazawa serikalini? Mbona hili swala ni la kawaida sana? Mfano: Mu7 ni mzawa wa Rwanda ila ni rais wa Ug.

  • @timothymoshi5800
    @timothymoshi5800 10 місяців тому

    Watoto hao, huwa siyo wao. Baba wa mtoto huwa anatoka Nchi aliyotoka mama yake. Hatafanya kosa la kuzaa na wewe.

  • @abdallavictory6723
    @abdallavictory6723 11 місяців тому

    Mbona alipopewa Ukatibu Mkuu K hamkusema?

  • @SarahSwale
    @SarahSwale 10 місяців тому

    ujinga

  • @jameszephaniajames7299
    @jameszephaniajames7299 10 місяців тому

    Si

  • @imanimulumbilwa6056
    @imanimulumbilwa6056 10 місяців тому

    Channel yenu ina udaganyifu mwingi

  • @MwakabiZumo
    @MwakabiZumo 11 місяців тому

    Kwanini msiwataje majina mnaficha nini Sasa Ina maana gani kufaamisha wananchi

    • @CrispoSeko
      @CrispoSeko 10 місяців тому

      Wanaficha kwa nini,uwazi n ukweli ili wajitetee,tuwataje kuanzis leo n wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi.

    • @CrispoSeko
      @CrispoSeko 10 місяців тому

      Wanaficha kwa nini,uwazi n ukweli ili wajitetee,tuwataje kuanzis leo n wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi.

  • @AlanMbilinyi
    @AlanMbilinyi 10 місяців тому

    HII YOTE YANATOKEA KUTOKUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI NA BADO HAYA YATATOKEA DP WOULD NANI ATALAUMIWA ? MAMBO MAKUBWA YATATOKEA KAA VILE WAFANYAKAZI WA BANDARI WATAFUKUZWA KAZI.NK.

  • @clifftonkamau4439
    @clifftonkamau4439 10 місяців тому

    Maneno kama hayo ni yakupandikiza mbegu ya utengano kwenye fikra na maneno ya Wananchi ideological subversion Tanzania ni Mti uliopandwa kwa nia yakuleta umoja na kungana ili kuleta famila ya uwanadamu pamoja na kuwa kitu kimoja....

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 11 місяців тому +1

    Na hawa ndyo hawana uzalendo na hawana huruma na watanzania

    • @SilaMinanda
      @SilaMinanda 11 місяців тому

      Jakaya ni mtanzania mbna sio mzalendo ni fisadi na mafia hatari

  • @MariamuHussen-s4y
    @MariamuHussen-s4y 10 місяців тому +1

    Aondolew mapem

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 10 місяців тому

    Kk

  • @JohnMahu-f1g
    @JohnMahu-f1g 10 місяців тому

    Hzo ni umbea kiongozi hauawe bali mungu anawaua Kwan hawataki haki kwa raia

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 11 місяців тому +1

    Ama kigogo unautka ww urais??usione tabu tuambie tujue

    • @joshuamfizi4816
      @joshuamfizi4816 11 місяців тому

      Ligogo naliona ivo,au linatumiwa.Mbona halimtaji au kuwataja

  • @GeraldMartin-kp2yz
    @GeraldMartin-kp2yz 10 місяців тому

    Hatupo makini siku zote! Huku Karagwe wakimbizi walitutangulia kupata Kadi za NIDA, na wenyeji wengi wao hawajazipata hata sasa.

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 11 місяців тому

    Hii media ya kipumbavu sana, tafuteni habari za uhakika kuliko kufuatisha matamko ya watu yasiyo na tafiti Kuma nyie

    • @davidlyamboko7477
      @davidlyamboko7477 10 місяців тому +1

      Lisemwalo lipo, jiulize pia aliyesema , sio mtu wa mzaha mzaha. Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama ndg.

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 10 місяців тому

      Amesema wapi mkuu wa majeshi si waweke picha inayomuonyesha akiongea?? Hii media ya kipumbavu sana

  • @ezrommoshi9409
    @ezrommoshi9409 11 місяців тому

    Summary kuwa TISS kutwa wako sokoni na mikusanyiko mingine kutafuta taarifa juu ya wananchi kuandamana haki yao na kuacha tobo wakimbizi.kugombania nafasi kubwa za madaraka inaleta shida hata uchaguzi rahisi kati ya mizaha na mambo mazito ya nchi. Mpaka hapo tumepigwa tayari labda tofsuti ni msgoli tu.

  • @johalimustahiq1766
    @johalimustahiq1766 11 місяців тому

    Kuna msomali

  • @NaomiKauzeni-zq9rs
    @NaomiKauzeni-zq9rs 10 місяців тому

    ACHA uzushi wewe

  • @kandoyamitoyababeliministr9745
    @kandoyamitoyababeliministr9745 10 місяців тому

    Angaisho saaana kesho mtakuwa kama sisi wa Congolese