Allah tusaidie kwa hili wew ndie akimu wa mahakimu wahukumu hawa vijana na uyomama maana wamezidi zarau wanawake tunateseka wew ndie ninaekutegemea Amiin😭😭😭😭🙏🙏
Nichagueni mm niwe rais na waahidi Nita nyonga mpaka wanajeshi haijalishi anacheo gani akifanya kosa tu nikuwa peleka pale taifa kwa mkapa unampiga mawe mpaka afe😂
@@MinaMasha-z4p yani vituvingine vinakel adi vinatia hasir wanaowatek watoto we2 nakuwauwa wengine wanakamatwa ushahid upowaz ,, utasikia upelelez aujakamilik sikumbili tat wahusik wapomtaani
Nyongeni hai watuhumiwa uwe funzo Kwa wengine na kama hivyo basi wanaume was watu watengenezewe sare au vitambulisho wawe wanajulikana ili kupunguza matukio haya🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Akamatwe nife mie ngoja mtu achome bendera uwoni atakavyo sawakwa sekunde tuuu wanae ila ubakaji wanavyo upenda Tanzania weeee akamatwi mtu apa afu wanasema y R Tanzania ni nchi ya aman
Yaan yule mtoto wamemuumiza sana dah😢😢😢😢😢inshallaah mwenyezi mungu mtamlipia. Nalia mpaka leo kama mzazi😢chozi lake haliendi bure na aliomba maji wakamnyima kweli dah???????😮😮😮😮hy ngoja tuone mwisho wao
Tatizo serikali ipo mikononi wallah ningekua mie ilo lidada livomfanyia bint wawatu kitendo icho nae angefanyiwa ivo ivo naawo awo vijana wake ikisha lingepata mateso sana mpaka ajutie ikisha jela maisha pumbavu zake
Hili li nchi la tanzania hili khaa hakiamungu sasa mnataka kupiga pesa tena kweli mwenye pesa hafungwi lakini sikilizeni niwaambie ipo siku mungu atatupa ujasiri wakupambana na kuwa na chama kingine na serekali nyingine na viongozi wengine wenye misimamo
Kimimi Yani....ningekuwa mwanafamilia hata nineachana na mambo ya serikali ningedili nao kama kimimi wallai ......apa hakuna kifungo cha maisha walala nini ..... washenzi sana ......c ni kama dada yao yule jamni
Daaah nchii yanguu Tanzania Sheria mbona kama mnaipindisha ushaidii upii mnao uitaji nyie mana wengi wa watanzania tumeona unyama ulee alio fanyika huyoo Binti adi nyie kama mamlaka husika mnatuambiaje kwamba ushaidii ukimamilika daaah acheni kupidhisha Sheria nendeni mkiwa mmenyosha Sheria
Hawa watu tutahakikishaje kua wamefungwa . Wanaweza kutolewa hukumu kisha wakahamishwa nchi. Wakaenda kula bata nchi nyengne uko. Aliewatuma alijiamin sababu ana uhakika wa usalama wa hao vijana utalindwa
Mh yaan ngja nisiongee mengi sina mwanasheria kastaafu na bdo cjapata mpya ila hawa wakaka watatoka na watabaka mwingne kama bado watatambuliwa sura mara ooh wakijua ni wamebaka kwel?😏🙌
Muhalifu kufuatilia uhalifu haki hupindishwa. Clip Iko wazi sana wahusika wenyewe ni maafande tena walipomaliza wanamwambia amuombe msamaha afande aliyewatuma wahalifu kutekeleza uhalifu. #HakiaHuinuaTaifa
😂😂😂😂kwamba wanaweza kufungwa maisha jela kama wanahatia... au basi I don't know Swahili language but i hope all those involved will not be found guilty.
Nakama hawata wajibishw kisheria bc ntajua kunavitu vimeruhusiwa kwa sir tanzania, Ee mungu tukumbuke wanyonge wako,
Allah tusaidie kwa hili wew ndie akimu wa mahakimu wahukumu hawa vijana na uyomama maana wamezidi zarau wanawake tunateseka wew ndie ninaekutegemea Amiin😭😭😭😭🙏🙏
Yaan hafai hata huyo mwanamke jela inamuita hata kama yeye ni mwanajeshi akafie jela anadhalilisha wanajeshi wetu
Huyo mama ni mwanajeshi au police,au police nao ni wanajeshi skuhizi
Safi tena beba hadi na yule Mama mshenzi
Hapo ndipo ninapo subiri
@@omarymbaraj8072shoga naauta tokea maana mpaka leo wausika wawili awaja latikana akuna kesi apo
@@omarymbaraj8072washkuru MUNGU jamii haijamjua
Asiachwe
Wallah Hizi sheria za kukaa jela hazitoi funzo na onyo kwa jamii. Hao wauwaee tena hadharani
Kweli kabixa❤❤❤❤❤❤
Nichagueni mm niwe rais na waahidi Nita nyonga mpaka wanajeshi haijalishi anacheo gani akifanya kosa tu nikuwa peleka pale taifa kwa mkapa unampiga mawe mpaka afe😂
@@deogratiusyudatadei5658tumeshakupa kura ww😂😂😂
Alhamdulillah kifungo cha maisha sio adhabu stahiki ila atilisti
Hahahaaaaa kweli tukisimama pamoja haki itafuwatwa alhamdulilah
Hao wanyongwe tu
Kabsaaa
Wameshikwa?
Tanzania 🇹🇿
Naipenda nchi yangu.
ila sasa et endapo watakutwa na hatia
imamaana bado hawajajulikana kama wana hatia😭
Jamnai jamni oicha vidiyo zinaonekana wakanyongwe jamani
Kwakweli inasikitisha sana kia jambo lipo wazi ila bado kauli nikama kweli kina hatiw
Kwani Gwajima ile yake sialisema ni edit ....?
Sas uxhaid upi na video mmesema tusiendlee tufute
@@MinaMasha-z4p yani vituvingine vinakel adi vinatia hasir wanaowatek watoto we2 nakuwauwa wengine wanakamatwa ushahid upowaz ,, utasikia upelelez aujakamilik sikumbili tat wahusik wapomtaani
Ushaidy Wanin ikiwa kilaki2 kipowaz acheni kupindisha vp wauliwe 2
Hii nchii looh
Babu jitahid kuwa muelewa ukichukuliwa ww asa iv ukaambiwa umembaka yule bint utakubali
We mwelaw na usichokielew nn au nyi ndo walewale unatetea ujinga
@@KisaMaxAcha kutetea ujinga ushaid gan unaotaka ww
@@BenardSadaniachana nae huyo ni kiazi2 haelewi ety itakuwa ni ndugu wa hao waliobaka😏
Nyongeni hai watuhumiwa uwe funzo Kwa wengine na kama hivyo basi wanaume was watu watengenezewe sare au vitambulisho wawe wanajulikana ili kupunguza matukio haya🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
❤🎉😅
Huyo mama amekamatwa
Akamatwe nife mie ngoja mtu achome bendera uwoni atakavyo sawakwa sekunde tuuu wanae ila ubakaji wanavyo upenda Tanzania weeee akamatwi mtu apa afu wanasema y
R
Tanzania ni nchi ya aman
Ushahidi tena!!! Mbona mambo yapo wazi
Haya ndio marehemu magufuli alikua hayataki.
Yaan yule mtoto wamemuumiza sana dah😢😢😢😢😢inshallaah mwenyezi mungu mtamlipia. Nalia mpaka leo kama mzazi😢chozi lake haliendi bure na aliomba maji wakamnyima kweli dah???????😮😮😮😮hy ngoja tuone mwisho wao
😂 kwenye kuomba maji...😢Mungu nisamehe nachka kama mazuri
@@usindemdamo5299 Yan inaumiz cn Tanzania yetu iyooooooooh kaka.
Wakili utafanya kazi kweli wew unarembua mimacho ivyoo mhg
Humjui wewe huyu ni nyundo
Tunaeza tukaambiwa sio wao
Wanyongweee au na wao wafanyiwee kama walivyomfanya huyo bint
Nani atawafanyia,wakati hakuna Anaetaka hiyo laana
Sio vijana tuu hata huyo mwanamke nae afungwe maisha ikiwezekana wapewe adhabu ha kutisha zaidi wote
Mbona wanafichwa, kuna sheria gani inawalinda hawa!
😅😅 wanafichwa kama bangi
Ushaid gan tena..😢 ,mbona ujuaj umekiwa mwingi . Au n watoto wa viongozi nini .!??
Yan wanaonekan alaf mnataka kudhibtsha kam ni wao!!!!🥺😥
Kunyongwa hakuna jaman asa kifungo cha maisha ndo kifungo gan jaman embu nieleweshen
Hatuwahi kuwaona wamekamatwa ila mnazid kutupa habar ambazo sio za uhakika huo ni uongo ungo ungo ungoooooooo
Jaman naomben wasifungwe wapewe adhab ya kifo ndo wanastahili nawaomben jaman😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwel kabisa kipenz
😢😢😢huyu mama anaongea nini, anarembua tu hapo,
Ongea ww kama wakili
Ndugu usikurupuke hiyo ni taaruma kama daktari, na mahakama ndio sehemu ya kukutia hatiani,
Wanawake wengine wajipeleka wenyewe na wanataka. Iwe ivo wanawake wame jitoa mhanga kwenye aya mambo pia tamaa imewajaa sana awaliziki et 😢😢
Kwaiyo atakama mtu anajipeleka ndo mnanfanyia kinyume Cha maumbile usikute na ww unawafanyiaga nn
Magufuli mungu akulaze mahali pema peponi ungekuwepo saa hiii hili jambo tungeshasahau
Ikisibitika kwaiyo haijathibitika daaaaaah hii nchi bwana kikubwa uzima tu
Hao wanahatia maana tayari wamembaka na kumlawiti na unyama wote wamemfanyia na sura zao ndio zile tumeziona wafungwe maisha😢
Aiseee huyo wakili mbona ni kifaaa!!!? Sasa, huyo mume wa afande si atahamia huku!!!? 😅😅😅 Aloo!! Mama afande kazi. Anayo🙄🙄🙄🙄
Wakili jau nazani uko vizuri ila kujielezea umeteleza mama
Tatizo serikali ipo mikononi wallah ningekua mie ilo lidada livomfanyia bint wawatu kitendo icho nae angefanyiwa ivo ivo naawo awo vijana wake ikisha lingepata mateso sana mpaka ajutie ikisha jela maisha pumbavu zake
Hili li nchi la tanzania hili khaa hakiamungu sasa mnataka kupiga pesa tena kweli mwenye pesa hafungwi lakini sikilizeni niwaambie ipo siku mungu atatupa ujasiri wakupambana na kuwa na chama kingine na serekali nyingine na viongozi wengine wenye misimamo
Wapuzi sana mawakili na Hakim hawa ni direct jela
Kwanin wAfungwe wanyongwe2
Kweli kabisa. Ugali maharage unapotea tu bure
Du,,!!! nimemkumbuka mjomba kweli
Mbona kitu kiko wazi hakunapingamizi kabisa watu wamemshurutisha aongee kua hataregelea tena
Kumbe Bado kunamlolongo wakuwatambua tena😢
Kes kama hizi 90% huwa haina mashaidii kabsaa
Yan ni kazi kweli😢
Sio nzuri kabisa mbona kama unaogopa kuongea
Masikitikoo 😢
Sio bule huyu mama anajichanganya mala wamemzalilisha mala anataka ushahidi
Kuthibitisha nini tena jmn😢😢😢mbona serikali hii jmn hya tuu
Dah RIP Magufuli hao walikua wananyongwa straight but dah Tz 🇹🇿 sijui tunaenda wap
Cyo kufungwaa tu wanyongwe kabsa hawapaswi kuish😢 mm ningekuwa rais ningeamuru anyongwe mbele ya umati
Kimimi Yani....ningekuwa mwanafamilia hata nineachana na mambo ya serikali ningedili nao kama kimimi wallai ......apa hakuna kifungo cha maisha walala nini ..... washenzi sana ......c ni kama dada yao yule jamni
Watakutwa na hatia ipi Tena Jasmin mbona Kila kitu Kiko wazi,😞😞
Hatia gan akativi2 vna onekana
Huyo mama Hana Jina aliyewatuma
Kwanza na wao wafanywe kama uzuri alfu afungwe nguruwe awo
Goes around...comes around
Walete tu pay back...
Ivi kweli nyinyi mungu anawaona
Wakili mwenyewe mzuri hivi 😂
Nawewe uliionajeee..maana walishakatazaa kuituma jmn
Mungu awasamehee sana hao wapuuzii.....
Huyo mama akamatwe na watuonyeshs huyu mama mtenda haya maovu
Me hata muwanyonge bado sitarizika mpaka nijue mmechukua hatua gani kwa huyo alie watumao😎
Ata Wakiwaachia huru Ata wasipowafunga Ila karma TU itawatafuna
Ushahid upi sasa tena!?aisee hii nchi 😢😢watu wanaonekana sura na ukute nakukir watakir lkn bado mtasema mnachunguza
mtu kachoma picha kafugwa watu wanabaka live unaambiwa mpaka leo wanasaka ushahidi sijui ushahidi wa nn yaani hii nchi inashangaza😢😢
Daaah nchii yanguu Tanzania Sheria mbona kama mnaipindisha ushaidii upii mnao uitaji nyie mana wengi wa watanzania tumeona unyama ulee alio fanyika huyoo Binti adi nyie kama mamlaka husika mnatuambiaje kwamba ushaidii ukimamilika daaah acheni kupidhisha Sheria nendeni mkiwa mmenyosha Sheria
wafungwe tuuu
Wasibitishe nn jamani wakati Kila kitu Kiko wazi😢😢
Means hamjaona kama waliobaka ndio waliobaka ila sheria mpaka mthibitishe 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Jamani mbona kilakitu Niko wazi kulikon mnafumbia macho namjadala imekuwa mrefu sana
Mmh? Tunaijua iyo
kifungo cha maisha hakitoshi.
Wafungwe na cha akhera😂😂😂
@@othmantv2654 na minyororo pia 😂😂😂
Kwa unyama walioufanya, jamani tunaomba wafungwe maisha. Sisi nikina mama inatuuma sana
Natamani wangekutana na hukumu ya raia hukumu yaahakama always ina huruma
Hawa watu tutahakikishaje kua wamefungwa . Wanaweza kutolewa hukumu kisha wakahamishwa nchi. Wakaenda kula bata nchi nyengne uko. Aliewatuma alijiamin sababu ana uhakika wa usalama wa hao vijana utalindwa
Mnatengeza mazingila ya kupondisha shelia
Endapo watakutwa na hatia? I mean they are liable already! 🤷
Jamni hawa wausika c muwaonyeshe sura zao maana aibu yao ijulikañe kama walivy muaibish bint, ila wasiwr uch ni suratuu
Hivii ni nan atakaepeleka uchi wa mtu mahakamaniii hamna kesi hapoo
Safi sana
Faudhia wew ni mrembo San
Yaani dunia ni imeisha
Mh yaan ngja nisiongee mengi sina mwanasheria kastaafu na bdo cjapata mpya ila hawa wakaka watatoka na watabaka mwingne kama bado watatambuliwa sura mara ooh wakijua ni wamebaka kwel?😏🙌
Hao waliofanya hicho kitendo chakudhalilisha kiasi kile wanastahiri kunyongwa kabisa ili iwe fundisho nakwa wengine 😢
Sio kufugwa tu inatakiwa iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama izi
Naiwe kweli
Na huyo anaye tumia cheo chake kama fimbo yakuwapigia wanyonge inatakiwa ahadabishwe tena eti nikiongozi mkuu
Kwani hapo mnataka ushahahidi Gani wakati nusu ya watanzania wote wameona
Ushaidi wa Nini? Jamani kwani sio wenyewe wahusika au mnapindisha Kwa kuwa Kuna wakubwa kwenye hii tukio
Muhalifu kufuatilia uhalifu haki hupindishwa.
Clip Iko wazi sana wahusika wenyewe ni maafande tena walipomaliza wanamwambia amuombe msamaha afande aliyewatuma wahalifu kutekeleza uhalifu.
#HakiaHuinuaTaifa
Sema wamekosea sana lakini Kwa umri wake inaonekana ni mzoefu
Km ushahid utaletwa Kwan tukio walificha Sura jaman
😂😂😂 Sasa hapo ushaidi gani wanataka wakati picha zinajieleza
Tunaitaji tuzione sura zao plz, mona mnamuonyesh huyo mmoja tuu? 2waone woteeeee
😂😂😂😂kwamba wanaweza kufungwa maisha jela kama wanahatia... au basi I don't know Swahili language but i hope all those involved will not be found guilty.
Nchi ya kinafiki sana yule mbunge ametia chupa mkunduni yule kijana ila hamna anaongelewa Na kesi imekufa kirahisi tu mtoe haki kwa wote !
Yan mm taarifa ninazo ziâmin nimradi ayo
kumbe hawajahusika eeeh 😂😂😂😂
Yule mama kifungwq msahau amq nyie maisha yetu watanzania hamyajui
Eti watakutwa na hatia 😂 kivipi sasa na kila kitu kipo wazi nchi ngumu hii
Kwa iyo baada ya kuonekana kwa video mnatafuta ushahidi mwengine sio? Anyway TZ mujiandae na hukmu ya raia kujichukulia hatuwa mkononi ndo lilobakia
Sio kifungo cha maisha cha nini wauwawe hao
Acheni maneno mengi ushaidi wa kazi gani angalikuwa kwamba ushaidi wameutuma wenyewe acha mambo mengi hii sio bora taifa ni taifa bora aisseeh
Alafu Amna mwanamke anahitongoza haki ifate mkondo wake
Huyo wakili ingikuwa ni mimi nisingesimami kesi ya mwanamke mwenzagu ya kudhalilishwa.
Heee Yani bado wanabembelezwa? Wauwawe bwana alaaa
Mnataka ushahd gan zaid ya vdeo?
Ushahidi gani...Haki Itendeke
Mhh kazi ipo