JOGOO WA MCHANA LAWIKA NA NDUGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 214

  • @ashahaji6786
    @ashahaji6786 4 роки тому +6

    Yaani kaka umetuona ss tuliokua nje ya kwetu, yanatukuta sana. Allah atusaidie tu.

  • @aminatanazanya730
    @aminatanazanya730 4 роки тому +3

    Yani hii imenigusa sana dr kumbuka nakupenda bule ❤

  • @haribalbusaidi2146
    @haribalbusaidi2146 4 роки тому +1

    Doctar kumbuka...yaani hapa umenigusa sana...Mm niko omani..lkn mitihani...nakupenda sana kumbuka kwaajili ya Allah..

  • @malorajuma5051
    @malorajuma5051 4 роки тому

    Brother Kumbuka nilikuwa sijakufaa ww mtu gani kweli sawa sasa nakuelewa maneno yako yanaukweli ndaniyake ww brother number 1 in tz salute

  • @aananisarahmarahma52
    @aananisarahmarahma52 4 роки тому +6

    Nakupenda sana Dr.kumbuka wape makavu live mm ni mkenya niko saudia ila mada yako imenilenga mm nilivyo fanyiwa. Shukran sana ujumbe umefika

  • @mwenem8130
    @mwenem8130 4 роки тому +4

    😂😂😂😂😂Ukweli mtupuuu.....Much love to uhondo team, huu ukweli unagusa sana!!!

  • @nguzo.fabian
    @nguzo.fabian 2 роки тому

    we jamaa aisee..hapana..salute!

  • @kidunapoletano3118
    @kidunapoletano3118 4 роки тому +4

    Uyu jamaa anaongea point kishenzi sema watu wanamchukulia poa poa tyu ila ALLAH AKUBLEESS BRO LEO UMENIGUSA SEEMU NYETI JAPOKUWA MI NAMSHUKURU MUNGU KANIJALIA FAMILY YANGU IMENIFANYIA MAMBO MAKUBWA ILA KUNA FAMILY APO BONGO BALAA TUPU NI PASUA KICHWA SO BIG AP BRO ENDELEA KUWA FUNGUA AKILI WABONGO BRO

  • @maryiammohammed4254
    @maryiammohammed4254 3 роки тому

    Daah Dr. Kumbuka umenigusa mm jaman ujumbe umefika NA MUNGU anawaona lnshaallah atawahukumu

  • @zainaramadhan7769
    @zainaramadhan7769 4 роки тому

    kakaa hujakosea kbs wanatuumiza sana familia wanaangalia yao tu

  • @sgfdhaikuhusu6086
    @sgfdhaikuhusu6086 4 роки тому +3

    Ya kwangu mm hayo tangu nilipo tuma pesa Hadi leo mwaka mzima huo matofali yapo chini haijajegwaaaa

  • @mammymasibomammy5004
    @mammymasibomammy5004 4 роки тому

    Uhondo mpango mzima mimi napenda sana iki kipindi

  • @Farida-zn5cs
    @Farida-zn5cs 4 роки тому +7

    Ndio maana nilisema situmi pesa yngu eti najengewa n ndugu never I will do it by myself nikirudi inshaallah saai nawale hizo pesa za shule 2 n zamatumizi ninazo watumia hahaha nacheka kma mazr eti come come come yaan kma uko uku yaan Dr kumbuka

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 4 роки тому

    Dr kama kumbuka wewewewewe umeongeya kweli kabisa 👌👌👌👌👌👌👌

  • @mouhamadbakri9720
    @mouhamadbakri9720 4 роки тому +3

    Siku zote maneno yanaeeleweka safi dr kumbuka yameshanikuta hayo 👍🔥 mungu akubariki from 🇨🇵 faransa

  • @judytombo4171
    @judytombo4171 4 роки тому

    Ni ukwel kabisaa jogoooo

  • @amathaathanasi2638
    @amathaathanasi2638 4 роки тому +1

    Kbc jmniii ndug awabebeki

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 роки тому

    Mumeongea jambo muafaka kabisa na ni kweli watu wanateswa yani huku watu wanafanyishwa kazi balaa from🇰🇪 ila nipo 🇸🇦 mm dereva

  • @ummymohammed2258
    @ummymohammed2258 3 роки тому

    Dr. Kumbuka wasema kweli kabisa na si ndugu tu hata waume wa mletea mume pesa ajenge ukija Kuna mke mwezie ameolewa na pesa za uarabuni. Mungu atatulipia sote tulodhulumiwa

  • @habibaali9767
    @habibaali9767 4 роки тому +2

    Waambie msemaji wetu from Abudhabi 😍😍😍🤩🤩

  • @neemahassan4872
    @neemahassan4872 4 роки тому

    Kweli dk kumbuka ndugu waregesha nyuma

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 роки тому

    Asante baba ulijuaje kama tunapata tabu huku yani.

  • @khadijacali8142
    @khadijacali8142 4 роки тому +2

    Kweliiii I 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 4 роки тому

    Uhondoooooo raha

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 4 роки тому

    Maneno yamenigusa Asante dr kumbuka

  • @faezhfaezh7431
    @faezhfaezh7431 4 роки тому

    Dokta kumbuka umeniliza leo

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 роки тому

    Kumbuka ww noma sana asante

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 роки тому +1

    Tunakupata vizuri Emirates Mimi pesa yangu Alhamdulillah nikituma labda kuna mgonjwa! Au msiba, Zaidi ya hapo situmi pesa! , hongera dokta Kumbuka

  • @rahimamkumbo3238
    @rahimamkumbo3238 4 роки тому +16

    Oman hapa mm ndugu yangu aliniambia nitumie nikujengee nikamwambia pesa yangu nakufa nayo huku ameniblock hadi leo miaka 2 penda sana kumbuka na timu yako

  • @rahimanzai5505
    @rahimanzai5505 4 роки тому +1

    Wambie wakome huku kazi ngumu sanaa..

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 роки тому

    Kweli baba unayoongea

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 роки тому

    Ah leo umenitoa machozi baba umeongea ukweli umeniliza baba

  • @jayratumaulid582
    @jayratumaulid582 4 роки тому

    Dr Kumbuka umesema kweli
    Love you team #UHONDO

  • @rahimanzai5505
    @rahimanzai5505 4 роки тому +1

    Your write wallah...nimependa hiyo

  • @harrietmwanyae4778
    @harrietmwanyae4778 4 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣 lizee la kiarabu lasumbua kama nini kumanina zao awa warabu

  • @issaissah8832
    @issaissah8832 4 роки тому +1

    Daah aisee umepga ikulu kakaa nimesha poteza milioni 20 Kaka yangu wa tumbo 1 Daaa

  • @abduibrahim7363
    @abduibrahim7363 4 роки тому

    Maansha Allah umetukosha,unakuwa umeamka toka saa kumi ya usku ndgu wabaya,unabwaka kingumvu

  • @omanmuttrah4132
    @omanmuttrah4132 4 роки тому

    Ndungu zetu Tanzania ndungu Awana uluma

  • @marympemba3865
    @marympemba3865 2 роки тому

    Mmesema ukweli , kipindi chenu kizuri sana

  • @Captain_shiii
    @Captain_shiii 4 роки тому +3

    Nimependa kweli watching from Saudi arabia but home town is Kenya 🇰🇪 🇰🇪.... Is true

    • @victoriadaizy5277
      @victoriadaizy5277 4 роки тому +2

      Pamoja mtu wangu 254🇰🇪🇰🇪

    • @fahimaumazi7048
      @fahimaumazi7048 4 роки тому +2

      Pamoja pia mm nko saudia Arabia lkn nyumbni ni Kenya

    • @itshaluastyle
      @itshaluastyle 4 роки тому +1

      ua-cam.com/video/SUUexujAB-8/v-deo.html

    • @Captain_shiii
      @Captain_shiii 4 роки тому

      @@victoriadaizy5277 🙏💯🔥

    • @Captain_shiii
      @Captain_shiii 4 роки тому

      @@fahimaumazi7048 🔥🔥🔥🙏

  • @sikudhanimoshi6967
    @sikudhanimoshi6967 4 роки тому

    Kweli kabisa tunateseka sana uku

  • @shani_752
    @shani_752 4 роки тому

    Jamani leo umenigusa sana kaka nna miaka 5 na miezi 4 sijarudi tz mana nimepigwa pesa nyingi na ndugu kl nnaemuamini ni mtihan tu ALLAH atusaidie ss tunapitia magumu sana huku ila wao hawajui

  • @mammymasibomammy5004
    @mammymasibomammy5004 4 роки тому

    Kabisa wallah wana tu umiza sana lisha nikuta ilo

  • @milkaauma6312
    @milkaauma6312 4 роки тому +1

    Hapo kwa kufua ni kweli hawa watu kwa siku hawa watu huvaa nguo mara tano kwa siku

  • @zuleajuma7697
    @zuleajuma7697 4 роки тому +4

    Jamani jamani mbona muna ongea ukwel jamani

  • @bnussrahlimsantah3730
    @bnussrahlimsantah3730 4 роки тому

    Sahihi ukweli mtupu...tunayo pitia simchezo

  • @salhakristina9434
    @salhakristina9434 4 роки тому +1

    Yani Leo imeningusa sana 😢😢😢😢😢😢😢

  • @monicaalute158
    @monicaalute158 4 роки тому

    Kweli kbsa

  • @ayeshal4395
    @ayeshal4395 4 роки тому

    Ni kwl kbsa

  • @shamsnaglaanaipendasnahiny5215
    @shamsnaglaanaipendasnahiny5215 4 роки тому

    kumbuka mwezi 10..Narudi..Tz..unapesa ya vocha kutoka kwangu

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 роки тому

    Mtihan

  • @maryamsuleiman3700
    @maryamsuleiman3700 4 роки тому

    Jogoo nakumba uwike na baathi ya mawifi #mashangazi

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 роки тому

    Unaongea point kabisaa Dr

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 роки тому

    Kulea wazee umenigusa baba

  • @lameyajaff8881
    @lameyajaff8881 4 роки тому +1

    Kabisa yani hujakosea

  • @ninagodfrey6228
    @ninagodfrey6228 4 роки тому +6

    Nakosaje uhondoo🤣🤣

  • @khdijaahmed8458
    @khdijaahmed8458 4 роки тому

    Sema sema kaka

  • @lipymuscat4779
    @lipymuscat4779 4 роки тому

    na waarab wanavyotumisha huku , we acha tu..mungu awalani wote wanakula pesa za ndugu zao. washenzi wakubwaa..wangejua tunavyopinda migongo huku

  • @fatimaabdulla1320
    @fatimaabdulla1320 4 роки тому

    Nikweli yani wallah ina uma yani hawabebeki wallah mithili ya gulia la upupu

  • @johombu9302
    @johombu9302 4 роки тому +1

    afazali weye umeona

  • @shohamuwokovuhalisi.2648
    @shohamuwokovuhalisi.2648 3 роки тому +1

    Afrika yote iko hivyo, watu wafunze na kuombewa, ili Afrika iendelee huu ujinga uondolewe kwa akili zao. Ughaibuni sio paradise.

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 4 роки тому

    Wa kwanz kucomnt...frm qatar...kwel hayo usemayo...

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 4 роки тому +1

    yaani leo umenikosha kwelikweli

  • @salmatanzania405
    @salmatanzania405 4 роки тому

    Daaa ukweli maan huk wa nadhani sisi hatucheki

  • @leahlucas479
    @leahlucas479 4 роки тому +1

    🤣🤣🤣come come jmn
    Ila jmn umeongea kweli kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣. Yaani mm namjengea Mama yangu na hivoy tu yupo mwenyewe anangalia. Nimemnunulia cm video call kila mara . Na hili Baridi la ujerumani acha kabisa. Kufika kazini on time. Rugha yao bac ndo hivyo , urudi home upike , kisafisha nyumba , kuangalia mtoto .Alafu huko watu wanasogoa wanataka tu pesa khaa. Jmn watanzania tubadilike tusisubiri kupewa

  • @zamibrahim3014
    @zamibrahim3014 4 роки тому +1

    Kweli kabisa kumbuka 🙏. Ndio dunia ya leo.

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 4 роки тому

    Minakukubal unasem ukwel👍🙏🙏

  • @fatumaally1509
    @fatumaally1509 4 роки тому

    Tawile kumbuka

  • @omarsharifa5606
    @omarsharifa5606 4 роки тому +2

    Waambie hao nduguuu

  • @dijeryusuphu6271
    @dijeryusuphu6271 4 роки тому

    Uwwih dokta shikamoo naangalia nikiwa Oman

  • @harrietmwanyae4778
    @harrietmwanyae4778 4 роки тому +1

    Kunywa soda kumbuka kwa bili yangu yani true kabisa unayoongea

  • @janethmalaika5241
    @janethmalaika5241 4 роки тому

    Kichwa kikubwa hata akiwezi kutikisika jamani hahahahaha Dr nakupenda sana jamani unasema ukweli

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 4 роки тому +8

    Haki leo umeniongelea sio uongo haki pesa ya Saudia inaonekana kama twaokota chini.

    • @عمريونس-ط9ع
      @عمريونس-ط9ع 4 роки тому

      Mimi nasema wanajua tunachuma kwenye mti ndugu yangu

    • @victoriadaizy5277
      @victoriadaizy5277 4 роки тому

      @@عمريونس-ط9ع 🤣🤣 yani hata mengine yana chekesha Mtu amekaa nyumbani kisha anakupangia na pesa zako zenye umehangaika miaka 2 bila kupumzika watuache bana.

    • @mwakahassan8742
      @mwakahassan8742 4 роки тому

      @@victoriadaizy5277 umeonaeee

    • @victoriadaizy5277
      @victoriadaizy5277 4 роки тому

      @@mwakahassan8742 bwanae🤔

    • @itshaluastyle
      @itshaluastyle 4 роки тому

      Wangejua tunayopitia huku😭😭
      ua-cam.com/video/SUUexujAB-8/v-deo.html

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 4 роки тому +1

    Ubarikiwe kwa hili tunasumbuliwa sana jamani tumekuwa kama ATM Machine jamani Ulaya hatuokote pesa kama mikusu

  • @hakikahoman615
    @hakikahoman615 4 роки тому

    na ukiwanyima pesa wananuna wanakwambia unalinga kabisa yaani mtihani

  • @ليلىفاكي
    @ليلىفاكي 3 роки тому

    Wape makavu ndio walivo wanarudisha ndugu zao nyuma wambie wambie

  • @sophiakasana2937
    @sophiakasana2937 4 роки тому

    Yani mmejuaje acheni yani ndomaisha niliyo yapitia mm

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 4 роки тому

    😀😀😀😀😀😀😀uwondooooooo ww kumbuka wewe unatujenga sana some time 😀

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 4 роки тому +1

    Yaan ni kweli kabisa hayo yapo watu wakirudi nyumban unakuta hata nyumba kwenye lenta haijafika

  • @milkaauma6312
    @milkaauma6312 4 роки тому

    From Bahrain very true hatutumii pesa. ..huku hatulali. hatukai

    • @sinabakari3713
      @sinabakari3713 4 роки тому

      Ulijuaje kaka yangu wape ukweli wae na huruma pesa wanazo tumiwa

  • @suzanetilito8194
    @suzanetilito8194 4 роки тому

    Nashukuru mmetusema jamani mimi nilishtuka mapema mtoto nilimuacha kwa mama angu mdogo kila mwezi natuma pesa kila na nisipotuma ananinunia wala salamu hanipi walahi mbaya zaidi mwanangu hata haelweki malezi zero nikaamua kufanya maamuzi magumu kupiga simu kwa mama angu aliyoko kijini mtoto amfate yani saiz nina amani ya moyo mtoto amenawiri kuliko hata alivypkuwa mjini analimchukua mwanangu kwa maslahi mimi tena nikasema aah hakuna shida si mama mdogo atamuangalia vizuri weee yani Achane Mungu aitwe Mungu ,huku sie tunapiigika kwa kazi unaamka saa kumi alfariji unalala saa sita usiku alafu mtu anakuja kutumia pesa zako bila malengo inauma aisee

  • @jdjdjdjjdjdj180
    @jdjdjdjjdjdj180 4 роки тому +1

    Very true, like me, nahangaika kwenye inchi za watu. so painful

  • @fatimaabdulla1320
    @fatimaabdulla1320 4 роки тому

    imenigusa hiyo mm nilibambikizwa deni wallah na mama mzazi tena wala hanijali anajali hela ukiwanacho ndio mwema naogopa hata kutuma hela African ila ukiwa huku unaonekana kama unazo tu hutaki kuwapa ina uma yani

  • @btylove1870
    @btylove1870 4 роки тому

    Udugu sio damu nimejifunza hivyo long time! Mthamini anae kuthamini, muonee huruma anae kuonea huruma. Ndugu zetu ndio wanao tuumiza na kuturudisha nyuma kila siku! Mimi mtu baki akiniheshim akanithamin na kuwa mwenye huruma na imani kwangu? Huyo ndio ndugu yangu.

  • @fahimaumazi7048
    @fahimaumazi7048 4 роки тому +1

    Duuuh hii story imenikuta Aki kuna ndugu hawathaminiki maana hii story imenikuta sana nlitumna pesa ya 3 months lkn siamini vile mtu alikula na kunidanganya tu hwa ndugu zetu hawaaminiki aki jamni familia zetu hazijui thamni yetu

  • @iddyperembo2463
    @iddyperembo2463 3 роки тому

    Kaka anguu hii imenigusaa twalala saa nane za usiku uhaibuni

  • @MohammedAli-vq2dk
    @MohammedAli-vq2dk 4 роки тому

    Hii intav tunaokoment ni ss tuliopo ughaibuni tunatesekana ss

  • @zuwenaabrahman9913
    @zuwenaabrahman9913 4 роки тому

    mie sisemi naona uchungu

  • @zuleajuma7697
    @zuleajuma7697 4 роки тому

    Dk nakuletea zawadi kaka

  • @safiyaramadhan9616
    @safiyaramadhan9616 4 роки тому

    😃😃😃hakika sichoki kukusikiliza ww

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 4 роки тому

    Mimi nashukulu ananisimamia babayangu kujenga imebaki kuweka bati

  • @dijeryusuphu6271
    @dijeryusuphu6271 4 роки тому +2

    Tena pesa zetu wanatunzana mbwa hawa

  • @rehemaa597
    @rehemaa597 4 роки тому

    Waambie hao mie najibana navaa tait zimetoboka halafu mtu anakuomba pesa

  • @faezhfaezh7431
    @faezhfaezh7431 4 роки тому

    Maneno uliyo sema nikweli weka namba zako kumbuka

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 роки тому

    Swadakta Dr.

  • @sizadarat4176
    @sizadarat4176 4 роки тому

    Ujawai kosea kumbuka akeee

  • @ashaomary347
    @ashaomary347 4 роки тому

    Wee kumbukaaa unanizungumzia mie jamani

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 4 роки тому

    Kumbuka umejuaje watanzania wansjua ulaya tunapata pesa tumekaa tu hawajui tunavoteseks

  • @vero57
    @vero57 4 роки тому

    KAMA umeniona kumbuka

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 роки тому

    🤣🤣 Ujumbe umefik kk angu nakuombea maisha km yote