Kwanini Umezaliwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лип 2018

КОМЕНТАРІ • 95

  • @biblianenolamungubypr.lusa2413
    @biblianenolamungubypr.lusa2413 4 роки тому +2

    MUNGU akutie nguvu nyingi pastor David Mmbaga. Watu wengi wanapotea kwa kukosa maarifa ukianza na Mimi. Lakini kulingana na mbaraka wa somo lako, sasa natambua ya kuwa ni makusudi ya aliyeniumba (MUNGU), Kuwepo katika ulimwengu huu. Mchungaji naomba uwe kuhani wangu kwa MUNGU, ili ndoto yangu itimie, na ndoto yangu ni kufanya kazi ya Mungu. Kwani Mimi nimebatizwa miaka miwili iliyopita, na kabla ya hapo nilikuwa sina sehemu ya kusali wala sikujua kanisa ni nini, lakini cha kushangaza nilipenda kuwa kama wahubiri wa neno la Mungu, kama ninavyopenda kuwa kama wewe Mchungaji Mmbaga.(Napenda kuhubiri,hivyo basi, namuomba MUNGU aniwezeshe, kwani peke yangu sitaweza.MUNGU Fanya jambo kwa ajiri yangu kwa kuwa wewe ndiwe unayeyaweza yote, pia ukabariki ombi la Mchungaji Mmbaga na ukasikie ombi atakaloomba kwa ajili ya watu wote na Mimi nikiwemo.Mchungaji David A Mmbaga,MUNGU akubariki, na aendelee kukutumia katika kazi yake, ili sote kwa pamoja tupate kuishi milele pamoja na Mfalme wa wafalme yaani YESU KRISTO, BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU Amina.

  • @giftqueen4868
    @giftqueen4868 5 років тому +7

    I really enjoyed this sermons poster may God bless you I’m fasting so i was listening to the sermons who is here with me 2019

  • @stevenlukumay5517
    @stevenlukumay5517 6 років тому +4

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu endelea kutupa gombo la chuo haleluya

  • @resgoldphilays1800
    @resgoldphilays1800 6 років тому +15

    Mimi napenda sana Mungu aliye ndani yako. NIMWAMINIFU SANA. MIMI SI MSABATO LAKINI MFUASI WA YESU KRISTO ALIYE NDANI YAKO.

  • @christinasenga4412
    @christinasenga4412 5 років тому +3

    Hareluya pastor kwa ujumbe mzuri nimeelewa kuwa sikuzaliwa Kwa bahati mbaya hata nipitie magumu kiasi gani sikuzaliwa Kwa bahati mbaya

  • @princessjovinatha8209
    @princessjovinatha8209 3 роки тому

    Nabarikiwa sana 👏👏 nimelielewa muondoeni mkamuue inje y madhabu

  • @rahelmakala5440
    @rahelmakala5440 6 років тому +4

    Aiseee Mmmmmm sawa sawa, nihatar nimebarikiwa sana.mora akujalie maisha marefu akujalie hekima amani na busara.

  • @gracezunda8804
    @gracezunda8804 5 років тому +4

    Nabarikiwa sana mtumishi ni kweli kabisa usemavyo,!!

  • @ibrahimmarwa3502
    @ibrahimmarwa3502 6 років тому +6

    amina mchungaji mmbaga ww unaongea ukweli sana mungu akulinde kwa kazi unayo Fanya kwa kuwaelemisha watu wenye mioyo migumu balikiwa sana

  • @graceymaghema2753
    @graceymaghema2753 6 років тому +6

    Amina Mtumishi nimepata kitu kwa ujumbe huu natamani sana kujuwa kwa nn nimezaliwa ubarike sana

  • @meshaester2827
    @meshaester2827 6 років тому +5

    Yes Pastor! We are waiting you in ukonga

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 4 роки тому +2

    2020 Still watching you pastor God bless you

  • @esthermargaret6476
    @esthermargaret6476 2 роки тому

    May GOD BLESS YOU you have really blessed my life .

  • @nippermshana9260
    @nippermshana9260 5 років тому +5

    Barikiwa mchungaji

  • @veronicajimisha61
    @veronicajimisha61 5 років тому +3

    Barikiwa pr.

  • @suzanneborawetemwami9638
    @suzanneborawetemwami9638 2 роки тому

    Mtumishi wa Mungu,ubrikiwe saana

  • @mandwashija4992
    @mandwashija4992 5 років тому +3

    ubarikiwe sana mchungaji

  • @christinasenga4412
    @christinasenga4412 6 років тому +8

    Nimejifunza somo zuri sana tena Kwa uchungu mkubwa,kumbe sikuzaliwa kwa bahati mbaya

  • @happypetro4175
    @happypetro4175 3 роки тому

    Nmebarkiwaa sana

  • @deborahmukendi1928
    @deborahmukendi1928 5 років тому +4

    Really powerful 🙏🏻❤️

  • @sarahwawuda7638
    @sarahwawuda7638 6 років тому +5

    AMEN......asante sana mchungaji

  • @edwinlawi710
    @edwinlawi710 5 років тому +2

    Barikiwa sana pastor mbaga

  • @joycekabungo6483
    @joycekabungo6483 2 роки тому

    Amen Barikiwa

  • @silasmonubi9168
    @silasmonubi9168 6 років тому +4

    Mchungaji napenda sana mahubiri yako, nabarikiwa sana

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 4 роки тому

    Wow natamani kusikia neno la Mungu zaidi na zaidi maana ni matamu eee Mungu nisaidie nijue kwanini nimezaliwa

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 2 роки тому

    Amina ubarikiwe san Mchungaji

  • @hassanhussein6161
    @hassanhussein6161 Рік тому

    amina sana mchungaji napenda sana huduma yako natamani siku mmoja nikuone

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 6 років тому +7

    Amen Yesu apewe sifa,barikiwa mchungaji

  • @williammuriki2967
    @williammuriki2967 Рік тому

    Mungu uwasikikia wanaomwabudu Kwa roho na kweli

  • @imangregory8392
    @imangregory8392 5 років тому +2

    Mungu wa mbinguni akutie nguvu katika utumishi wako!

  • @nakundwamallya2295
    @nakundwamallya2295 5 років тому +1

    MUNGU ambariki sana pastor MMBAGA

  • @HealthyLifeBasics
    @HealthyLifeBasics 6 років тому +3

    Ahsante PR.

  • @user-hw9um8su3k
    @user-hw9um8su3k 11 місяців тому

    Pastor ubarikiwe sana umenikumbusha mbali sana kuna muda hata waliojidai kukupenda sana na kukukataa bila kujua unapitia nini kwa wakati huo utabaki na wazazi na ndugu zako wa karibu tu ndo watakuelewa barikiwa sana mchungaji

  • @restutasamuson815
    @restutasamuson815 2 роки тому

    Mungu aendelee kukutumia

  • @doreenfavour622
    @doreenfavour622 5 років тому +3

    Mchungaji kuna mambo unaweza pitia hadi unaanza kujitia mbona nikazaliwa kwenye dunia ya tabu.

  • @danielitangakubuntu3770
    @danielitangakubuntu3770 6 років тому +3

    Wow

  • @restutasamuson815
    @restutasamuson815 2 роки тому

    Unanibariki sana mtumishi yaani nikisikiliza naelewa zaidi neno la Mungu kila siku namic kukusiliza nakua na kui natafuta votcher kwa nguvu ili nikusie nifurahi

  • @marymwetafrancis9669
    @marymwetafrancis9669 6 років тому +7

    Ubarikiwe Pastor kwa mafunuo haya, ingekuwa ni shauri langu.. Ungekuwa mchungaji, mwinjilist Daily... Kwa kweli Mungu wa mbinguni akupe tuu baraka za afyaaaa na ulinzi

  • @robhimarwa8550
    @robhimarwa8550 5 років тому +2

    Amen

  • @ezekielwilliam4654
    @ezekielwilliam4654 2 роки тому

    Hapana wewe pastor ndani yako kuna Mungu bwana tena anakaa kwako siku zote anaishi ndani yako hata sijui nikwambie nini ila nakwambia ukweli Mungu yupo ndani yako

  • @simonnyakunga6030
    @simonnyakunga6030 6 років тому +4

    Ninapenda sana haya mahubiri pastor. Asante sana

  • @esthermargaret6476
    @esthermargaret6476 2 роки тому

    U have really changed my life

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 3 роки тому

    Eenyi mulio laaniwa namungu ..token makanisani kwamashetan. Huko kuna mashtan....shetan Ataendelea kuwabaka wanawake nawanaume ucku siku zote wasio msujudia mungu. .Pole wakirsto kwakubakwa nashetan

    • @jacksonnchimbi308
      @jacksonnchimbi308 3 роки тому

      Wewe Una Mungu au miungu hapo penyewe kila mwaka unaenda Kwa waganga kuomba msaada maana roho mtakatifu moyoni mwako huna na kule Kwa waganga utakuta kile kitabu chako unachokiamini

  • @maxmillianmturi1370
    @maxmillianmturi1370 5 років тому +1

    amen

  • @christinasenga4412
    @christinasenga4412 5 років тому +6

    Watu wenye Shida moja wanaongea lugha moja

  • @sheilaombongi8086
    @sheilaombongi8086 4 роки тому

    Maombi ya kunitoa machozi tumepitia magumu lakini kwa Jina la Yesu tuko na huai,barikiwa pastor Amina

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 6 років тому +3

    Nahitaji maombi juu ya mzee wangu anasikia mgonjwa lakini sipitali akienda ugonjwa haupatikani Lakin anasikia tu mgonjwa am from kenya

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 5 років тому +1

    Ameeeeeen saaaana.

  • @woodmanufacturersltdwood596
    @woodmanufacturersltdwood596 5 років тому +9

    NAFUATILIA KUTOKA NAIROBI KENYA, INJILI SAFI INAONDOA ROHO MBAYA YA UDINI

  • @richardmichaeli4548
    @richardmichaeli4548 3 роки тому

    Amina

  • @cynthianawambugha7663
    @cynthianawambugha7663 3 роки тому

    Tabia za manoa bado ziko ni majina tuu ndio walibadilisha🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hondenisonmagufulinyabaro3923
    @hondenisonmagufulinyabaro3923 5 років тому +2

    Miaka mingi Haina maana but umefanya Nini miaka iyo yote???? PST barikiwa

  • @fajvavsbvvbs1910
    @fajvavsbvvbs1910 6 років тому +9

    Muchungaji injili nitamu nasikia niko mbinguni

  • @robertchristopher9809
    @robertchristopher9809 5 років тому +1

    Blessed pastor

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 5 років тому +7

    Napenda sana kusikiliza mahubiri haya maana yanatia msisimko wa kumuangukia Mungu miguuni kwa maombi

  • @ireneorina3560
    @ireneorina3560 3 роки тому

    Nitapata kitabu chako pastor

  • @enockmogaka8041
    @enockmogaka8041 3 роки тому

    What a great revelation. God bless u abundantly pst

  • @mmungamleci4876
    @mmungamleci4876 Рік тому

    Nazidi kubarikiwa

  • @mawazomangala6341
    @mawazomangala6341 6 років тому +1

    Mtumishi Mungu hakubariki

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 3 роки тому

    Amen mchungaji, Mungu mwema sana

  • @crispinstini9840
    @crispinstini9840 6 років тому +3

    jina la bwana libarikiwe

  • @rukundomicheal4626
    @rukundomicheal4626 4 роки тому +1

    Asante Niko Uganda

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 6 років тому +3

    mchungaji mmbaga umekuwa mbaraka mkubwa sana kwangu Mungu anisaidie niyaishi maisha ya kusudi lake mimi kuwepo hapa Duniani.

  • @fajvavsbvvbs1910
    @fajvavsbvvbs1910 6 років тому +1

    Asante sana muchungaji najisikia rohoni mwangu nimeshafishwa

  • @christinasenga4412
    @christinasenga4412 4 роки тому

    AMINA PASTOR MMBAGA UNANIBARIKI SANA NA MAHUBIRI YAKO,BARIKIWA SANA

  • @ezekielwilliam4654
    @ezekielwilliam4654 2 роки тому

    Kuna wakati naogopa kukusikiliza yaani naona kama ni Mungu ndio anaongea

  • @japhetedwin4220
    @japhetedwin4220 6 років тому +2

    Aaaamen

  • @bonnymanyama2868
    @bonnymanyama2868 5 років тому +4

    mchunguji umenitoa chozi langu yaani nikama unaniambia mimi (unanikumbusha mengi)

  • @beatricealexander1373
    @beatricealexander1373 6 років тому +4

    Mtumishi naomba No yako ya simu tafadhali

  • @vicentndiholeye1067
    @vicentndiholeye1067 2 роки тому

    amina

  • @geromejelome752
    @geromejelome752 11 місяців тому

    Mchngj Mimi naitwa Gerome ila uyo uliyemsema Jelome historia yake kwa ufupi ilikuwaje au yeye alikuwa nani

  • @nicokakoyo1583
    @nicokakoyo1583 6 років тому +2

    Nimebarikiwa San, ila huwa zinakata kabla yakuomba nataman sana ila cjawahi kubahatika ukaomba mpak mwisho, Mungu nimwema IPO cku., Barikiwa sana mchungaji

    • @kenedysamwel3471
      @kenedysamwel3471 5 років тому +1

      Mchungaji afundisho yameni okoa sana hasa kuhusu upendo katika ndo sio kitu chamuhimu sana cha muhimu ni hekima na busara

    • @kashindikibatcha8788
      @kashindikibatcha8788 5 років тому

      Baba umenibariki nakunijenga zaidi
      Maana wengine bila uyu yesu maisha yangekua ni bure ubarikiwe

  • @fadhililogatus4422
    @fadhililogatus4422 6 років тому +1

    jina la bwana lipewe sifa

    • @msabimsabi5731
      @msabimsabi5731 5 років тому

      Samahan mpendwa tafuta tofauti kat ya Bwana na bwana

    • @franciselinazi1239
      @franciselinazi1239 5 років тому

      injili isonge mbele jina la bwana lihimidiwe

  • @lailathussain6492
    @lailathussain6492 6 років тому +4

    Mtumishi namba zako tutapataje

    • @kaliwabuyehosheba4330
      @kaliwabuyehosheba4330 5 років тому +1

      0764600129 No yake Mch

    • @leonidashatungimana8266
      @leonidashatungimana8266 5 років тому

      kaliwabu yehosheba asante saana je namba hiyo ni ya whatsapp ??? mimi niko Burundi yaani nahitaji kupata namba ya whatsapp ya mcungaje huo

    • @leonidashatungimana8266
      @leonidashatungimana8266 5 років тому

      pia niko burundi ,pia mumi nimeanza na huu mwaka unapita kuingia na kanisa la wa sabato nikusema kama mimi ni jakomaa sana kwa kanisa la wa sabato ila nimelipenda saaaana nikaamuwa kushiriki kwa kanisa hii

  • @eliajoseph8129
    @eliajoseph8129 6 років тому +1

    Mchungaji hakika nina neemeka na mafundisho yako ya kisabato ,mm rc lkn

    • @johnnewland9910
      @johnnewland9910 6 років тому +2

      amina......... MUNGU akuongoze ktk kuifaham kwel yake na kuishi ktk kwel........ NAKUOMBEA Elisha Joseph

    • @johnnewland9910
      @johnnewland9910 6 років тому +2

      Elia not Elisha

    • @davidmmbaga3350
      @davidmmbaga3350 6 років тому +1

      Amen

  • @omariedward4539
    @omariedward4539 6 років тому +5

    Jamani MBAGA, AMINA SANA.

  • @phoebemumbi2180
    @phoebemumbi2180 6 років тому +2

    Amen