@@NK-DF-ST-10-3 nahisi alimaanisha ratio ya mahindi na maharage yani kama mahindi robo makande robo au kimoja lazima kizid au pia haina ulazima kua nakipimo iko
Haya makande sjh km yaliiva asee chumvi inawekwa mwanzoni na mafuta mhh kande zlivyongumu jmn 🤣 ad kwenye ges dak4 mi nmebandika huko nje tokea sanne saiv sanane ndo nkasema niingie UA-cam nipate appetite nione na viungo vnavyonogesha nakutana na ndimu na kitunguu swaumu nmeishiwa poz ngj niunge zangu kiafrika mie Ila umefanya vzr mwaya co km nakucrush
Ukoloweka maindi yako kwa masaa kadhaa na ukitumia pressure cooker au jiko la gesi ukiwek chumvi na mafuta ni simple halizid nusu saa kikubwa hakikisha umeloweka maindi na maharag kwa mda wa kutosha
Ukoloweka maindi yako kwa masaa kadhaa na ukitumia pressure cooker au jiko la gesi ukiwek chumvi na mafuta ni simple halizid nusu saa kikubwa hakikisha umeloweka maindi na maharag kwa mda wa kutosha
Unakoroga sana ase duh yan Kila muda ni kukoroga jmn
Asante sana kwa recipe
Nimeweka kila kitu kasoro ndimu na tangawizi
Ni matamu balaa
Ubarikiwe 😍😍
Amen🙏🏾 karibu sana bado mafunzo ni mengi kila siku na weka video mpyaa karibbu uendelee kfufuatilia
Waooo Hongera saana my friend Yaanii Umetisha saana 💪
Asantee sanaa🙏
Ahsante sana
Asante🎉
Mhhh kande n nyanya mi cpendag
Oohh lakini zinafanya kande kuwa na ladha nzuri zaidi lakini pia unaweza usitumie nyanya lakin tui la nazi muhimu
Big up..
Thanks🙏
Kila nikipika makande lazima niangalie mapish yako chakula ni kitamu san
Hongera sana nyau kichen kwa somo hili zuri
Asantee dear
Unakoroga mnoooo acha kande ziive
Kwan navo kipenda iki chakula acha tu nikoroge🤗🤗🤗
Maharage
Mh makubwa.nimepika makande masaa sita nashangaa hayo nusu saa
Umefuata proceduree maan ishu nikuyalowek Maindi na maharage kwa mda ili iwerahisi kuiva pia chemshia chumvi na mafuta ni rahisi
Mmmh
Unapika bila kipimo? Hzo R na L sasa 🙌
Kipimo inategemean kam una mzan unawez pima ila mm napika kutok na idadi ya walaj
@@NK-DF-ST-10-3 nahisi alimaanisha ratio ya mahindi na maharage yani kama mahindi robo makande robo au kimoja lazima kizid au pia haina ulazima kua nakipimo iko
Haya mafuta yana saidia nini kwenye makande ?
Yanasaidia chakula kisipoe mdomon yaani yanaongeza appetite ya kula
Ndakuja kula huko huko jikon kwetu nyauki
Karibu mpenz
Haya makande sjh km yaliiva asee chumvi inawekwa mwanzoni na mafuta mhh kande zlivyongumu jmn 🤣 ad kwenye ges dak4 mi nmebandika huko nje tokea sanne saiv sanane ndo nkasema niingie UA-cam nipate appetite nione na viungo vnavyonogesha nakutana na ndimu na kitunguu swaumu nmeishiwa poz ngj niunge zangu kiafrika mie Ila umefanya vzr mwaya co km nakucrush
Ukoloweka maindi yako kwa masaa kadhaa na ukitumia pressure cooker au jiko la gesi ukiwek chumvi na mafuta ni simple halizid nusu saa kikubwa hakikisha umeloweka maindi na maharag kwa mda wa kutosha
Ukoloweka maindi yako kwa masaa kadhaa na ukitumia pressure cooker au jiko la gesi ukiwek chumvi na mafuta ni simple halizid nusu saa kikubwa hakikisha umeloweka maindi na maharag kwa mda wa kutosha
Unga tu kiafrika mwaya haya ya kuweka kitunguu swaumu na ndimu hapana jmn😂🙌
Hizo kande usiwe na Madonda ya tumbo kha
Umeon eehh ni mashalah
Nimefurahi kwa SoMo hili namm nataka nijalibu
Karibuuu dear utatupa matokea
Unapija vizuri una R L nzuri tu kwa nn unaiga kitu kibaya mara brenda mara blenda acha hiyo
Sawa bt sio kwamba najifanyisha ndo ipo ivoo nimekuwa affected na izo R na L 😊
Thankss for comment but ndo ivo i will try as much as i can bt sio kusudi
Kande na ndimu makubwa
Yesss ladha yake ni hatar jaribu kupika utupe matokeo
Ata mm cjawai kuona🤣😂🤣😂
Mazito haya ndimu 🤣🤣
Labda yanashombo🤣🤣🤣🤣 mbwembwe zngne bhana
Mahindi mabichi
Limao inasaidia nn dada
Limao ina let hamu ya kula na hazi wezi kukukinai kande
Unagologa wa kati wa kuchemsha
Yes dear ilipia maindi na maharag yote yaive vzr
dada hapo kwenye nazi naweza kutumia pia ile nazi ya pakti?
Yess unawez ila utamu unakuwa tofauti bora kutumia hii yakawaid maan inakupa matui mengi pia
Umenitamanisha mnoo
Karibu dear
Mh hatar
❤
Thankss🙏