Ahmed: Kuhusu Kocha mpya Simba ipo hivi, Mangungu, TRY Again msimamo upo hivi| Simba hii....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @LeticiaBukuku
    @LeticiaBukuku 11 місяців тому +3

    Yanga anajua kuvuluga watu 😂😂😂 bado hajasema mpaka useme😂😂😂

  • @ZakiaOmary-b8b
    @ZakiaOmary-b8b 11 місяців тому

    Nasikia raha sana na bado

  • @dundoonlinesingeli
    @dundoonlinesingeli 11 місяців тому +1

    Mwaka huuu msemajii mpakaa ukondeee mtanii

  • @claraluoga6828
    @claraluoga6828 11 місяців тому +1

    Jamani tuwe wavumilivu. Katika hiki kipindi ninavyoona mimi. Kuliko kuwatukana wachezaji nikuwapunguzia nguvu za kucheza vizuri

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 11 місяців тому +1

    kidonda kibichi Sport club

  • @ZaharaHassan-e8s
    @ZaharaHassan-e8s 11 місяців тому

    Jaman tusiwatukane wachezaji huyo unayemtukana ipo siku atafanya vixuri kwa wakat muafaka

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 11 місяців тому

    Uko sahihi tutulie tuwe na dhamira ya kweli ya kuisaidia Simba. Hata mtu binafsi akikosa utulivu ndani yake mwenyewe basi unaweza kumkuta Mirembe. Tutulie Simba nguvu moja kuanguka na kusimama kuendelea ni falsafa ya Mshindaji yeyote.

  • @ErizeusEzera-f1h
    @ErizeusEzera-f1h 11 місяців тому

    Akuna timu apo munatudangaya tu

  • @suleimanzimbwe373
    @suleimanzimbwe373 11 місяців тому

    Endeleeni kuwatukana wchezaji wenu na wao wanasoma comnt zenu vizuri tu ..wana roho zao...mwisho mtasusia kuingia uwanjani

  • @cleophasmkungu623
    @cleophasmkungu623 11 місяців тому

    Jamaa atakuwa Yanga huyu huko kafata mshahara tu. Mbona naongea bila hisia za uchungu?

  • @alexndihokubwayo8010
    @alexndihokubwayo8010 11 місяців тому

    Madunduka mupila umewashinda mutakuwa hivo kirasiku

    • @ZaharaHassan-e8s
      @ZaharaHassan-e8s 11 місяців тому

      Sio kira siku jifunze kiswahili kwanza. Hatujashindwa nyie mlipokuwa na matatizo kwenye mech zenu mpira uliwashinda

    • @ZaharaHassan-e8s
      @ZaharaHassan-e8s 11 місяців тому

      Na sio mpila ni mpira ukoje wewe lakin 😂😂

  • @f.a6043
    @f.a6043 11 місяців тому

    Washenzi wakubwa nyinyi mpira wenu wa maneno tu shwain kweli hakuna watakachofanya hapo ondoa hao viongozi wajingaa mangungo na try again

    • @f.a6043
      @f.a6043 11 місяців тому

      Mpira wa kipumbavu kweli kweli hamna uongozi ni ni upuuuzi mtu hapo Mo ndio mwenyewe respect wengine wote ni washenzi tu

    • @f.a6043
      @f.a6043 11 місяців тому

      Halafu ww mjinga unalinda tonge lako tu unachoonge ni wendawazimu

    • @ZaharaHassan-e8s
      @ZaharaHassan-e8s 11 місяців тому

      Ulitaka aongeaje wewe mbona mko hivyo . Ulitaka alie au