AHMED ALLY AVUNJA UKIMYA BAADA YA KUPATA SARE KWA NAMUNGO | ATOA SABABU | KUHUSU KOCHA MPYA SIMBA?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 285

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 11 місяців тому +1

    Huyu Ahmed Ally ndo Aliokuwa anapamba saana timu na UONGOZI asaivi ukweli unaonekana....
    Laana ya Kumpeleka Albino Uwanjani kutaka kumdhalilisha Haji Manara.... Dhambi hii Alisema Manara itawatafuna........

  • @anoldmushi2130
    @anoldmushi2130 11 місяців тому +10

    Shida sio mwalimuuuu, hamsajili quality players acheni janja janjaaaaa shuwainiii

  • @salumayoub6244
    @salumayoub6244 11 місяців тому +9

    Kati ya watu wanaopitia wakati mgumu kipindi hiki ni Ahmed Ally pole kaka Bora sisi mashabiki duh

    • @athumaniddi5736
      @athumaniddi5736 11 місяців тому

      Mdomo na kejeri zake ndio malipo anayolipwa muda huu akome🤐🤫🤫🤫🤫

  • @beatricemshiu2816
    @beatricemshiu2816 11 місяців тому +17

    Ahmed Ally kaja kwenye wakati mgumu sana mpaka namuonea huruma

    • @kagumisaMaliusii
      @kagumisaMaliusii 11 місяців тому

      Naitwa kagumisa kwakweli sisi mashabiki wa Simba tunaumia Sana tunamtaka mugunda aludi boli litembee

    • @JoselineElimelick
      @JoselineElimelick 11 місяців тому

      Unamuonea huruma ulimuajr

  • @MUHSINSALUM-cc4tg
    @MUHSINSALUM-cc4tg 11 місяців тому

    Kinachomponza ndugu yangu AHMED ALLY.
    nikauli zake za LAZIMA.
    ALLAH KAMWAMBIA MTUME S.A.W.: USISEME NITAFANYA HIVI KESHO ILA USEME: (IN SHAA ALLAH).
    MUNGU AKIPENDA.
    DOGO USIWE UNASAHAU IN SHAA ALLAH.
    NA NENO LAZIMA LIONDOSHE KABISAA..

  • @swalehmohammed8378
    @swalehmohammed8378 11 місяців тому +1

    Mrudisheni juma mgunda

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 11 місяців тому

    Pole sana ahamed unapitia kipind kigum sana nakuonea huruma bora tu ya mm shabiki

  • @hodamzungu4107
    @hodamzungu4107 11 місяців тому

    huyu jamaa anajua kuzungumza mungu amzidishie

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 11 місяців тому

    Pole sana semaji machezaji yamejichokea kama hayalagi

  • @FatumaShabani-mp9vt
    @FatumaShabani-mp9vt 11 місяців тому +15

    Inabidi utubu zambi zako kwa mola wako kwa kumkejeli mwenyezi mungu kupia kumbe chake Aziz ki kwakumuita mdomo wake kinyesi wallah mungu anakuona inshallah 🙏

    • @mgazamngeja8369
      @mgazamngeja8369 11 місяців тому

      Hii midomo inapozaga sana unamkashifu mtu kwa maumbile ya mungu Eti mpira

    • @sniperbogo6210
      @sniperbogo6210 11 місяців тому +1

      Alimkashifu wapi achen uongo

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 11 місяців тому

      Heee kumbe alimwambia hivyooo mjinga kbs huyu

    • @LissaSaleo
      @LissaSaleo 11 місяців тому

      Midomo yao hawayaioni iko kaa mipupu ya ngombe

    • @suzanaally775
      @suzanaally775 11 місяців тому

      Kamandoulimtukana hivyo azizi umemtukana mungu aliyemuumba hivyo ndomana litimulenu halieleweki

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 11 місяців тому

    Ahamed pole Sana kwakuwa wewe unaisemea timu lakini huko jikoni kunanini hata ukiongea kwa uzuri namna gani uzururi hauwezi kupatikana Kama uongozi hauko sawa😊😊😊

  • @jumanayopa
    @jumanayopa 11 місяців тому +3

    Mmakonde mwenzangu unapata shida sana kuizungumzia Simba nakuonea huruma sana Rudi nyumbani huko taabu

  • @meddymachozy1815
    @meddymachozy1815 11 місяців тому +5

    Jeuli yoote kwishaaaa mamaaeeee😂😂😂😂😂😂

  • @itembweitembwe4274
    @itembweitembwe4274 11 місяців тому +6

    Itafika siku tuta ludi kwenye nafasi yetu

  • @AswileKamwela
    @AswileKamwela 11 місяців тому +2

    Nilitamani tufungwe ili tujue panapovuja!! Kumuondoa Robertinho ndio naumia zaidi maana hata mashindano ya Caf,hatuwezi kufanya vizuri!!

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 11 місяців тому +1

      WAMEMUONEA TU ILI WAFICHE UKWELI.

  • @jbbrand73
    @jbbrand73 11 місяців тому +2

    WaChezaji kutumika muda miaka mingi bila kujali kubadilisha wachezaji wala kupimzika ndio matokeo yameanvza kuonekana wachezaji wamechoka na wamevurugika kisaikolojia

  • @nekiboychannel678
    @nekiboychannel678 11 місяців тому +1

    Nimeamin kweliii Ahmed ally anaumia Sana Yan Hadi sura yake imekuwa ya upole sanaaa had namuonea huruma Sanaa semaji letu daaaaah MUNGU Akutie nguvuu Kaka duuuh😭😭😭

  • @MaggieSichone-fj5kc
    @MaggieSichone-fj5kc 11 місяців тому +6

    Pamoja saaana semaji wewe ni shujaaaa achana nao ao midomo Yao ni mirefu tuu kazi Bado

  • @menyekivuyo7540
    @menyekivuyo7540 11 місяців тому +3

    Tunaumia sana 😢🤔🤔😭😭😭😭😭

  • @josephchuwa1206
    @josephchuwa1206 11 місяців тому +2

    Hivi huyu ndio yule tunayemjua😂😂mbona kinyonge hivyooooo😅

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 11 місяців тому +2

    Bado ujasema na utasema😂😂😂

  • @RahmaKhalfani-qp3vc
    @RahmaKhalfani-qp3vc 11 місяців тому +3

    Pole semaji sote tupo kwenye wakati mgumu ila nakupongeza upo vizuri kikubwa tuangalie wapi tumejikwaa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 11 місяців тому +1

      HIYO KAULI YA TUANGALIE WAPI TUMEJIKWAA SIO LEO TOKEA MISIMU MIWILI ILIYOPITA UBINGWA TUUSAHAU TU.

  • @husseinabdalla142
    @husseinabdalla142 11 місяців тому

    Daah kumb ahmed alli mpole hv kwakwelii😃😃😃

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 11 місяців тому +9

    Sura imejaa Aibu 😂😂😂

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 11 місяців тому

      Ni dalili ya kuwa na akili we aibu huna

    • @hosea7919
      @hosea7919 11 місяців тому

      Et sura imejaa aibu😂👐

  • @Victor-ht1zy
    @Victor-ht1zy 11 місяців тому

    Jamaaa kapata nguvu ya kuongey leo baada ya kupata kipigo kikubwa

  • @philimonNyabu
    @philimonNyabu 11 місяців тому +3

    Kaka kaeni mtulie na muanze kuchambua wachezaji wapya Ili kuwasajili dilisha dogo, make hatuna mchezaji wakutokea benchi na akabadilisha mchezo halafu pia mabeki wetu wanajisahau mno mwambien kocha hilo

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 11 місяців тому

      Wafanye tathmin kweli 🤓
      Hersi anasema usajili wa dirisha dogo umekamilika bado dirisha dogo lenyewe wawekeee vifaa hadharanii

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 11 місяців тому +1

    Ndoleo nasikia ukiongea kwa tune nzuri lkn vile ukiongeaga kwa maringo hata hupendezi unakua kama unaigiza tena maigizo mabaya,ukihojiwa uwe unaongea kama hivi inapendeza pia

    • @HOLINESSPIUSE-gv8ud
      @HOLINESSPIUSE-gv8ud 11 місяців тому

      Haaaaaaaaaaaaaa muungwana akivuliwa nguo uchutama chapu

  • @juliusmagoti5650
    @juliusmagoti5650 11 місяців тому +1

    Ni kweli baadhi ya wachezaji hawaoneshi kujituma. Muhammed Hussein, Kennedy Juma, Kapombe Che Fondo, Mzamiru na Kibu ndo wanaonekana wanaipambania timu. Fanteni maamuzi magumu

  • @allyiddi5866
    @allyiddi5866 11 місяців тому +4

    Matango pori jana unakumbuka uliropoka tena tusiwafananishe na vilabu vingine leo yako wapi magoli ya kurudisha furaha au ndiyo yaleyale afadhali ya jana

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 11 місяців тому +2

    POLEA SANA SEMAJI LETU LA CAF MUNGU NI MWEMA ATATENDA

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 11 місяців тому +1

    Tatizo unamdomo sana, unawaponza wenzako

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 11 місяців тому +1

    KWA HIYO TUMESHA POTEZA POENTS 5 KATIKA MECHI 2 YALE YALE YA MISIMU MIWILI ILIOPITA SIMBA UBINGWA UTUUSAHAU MSIMU HUU NA STOP.

  • @frankurio469
    @frankurio469 11 місяців тому +4

    Hatuji uwanjani hadi wale wazee wawili yaani Mangungu aondoke

  • @HamdanMohamed-w4l
    @HamdanMohamed-w4l 11 місяців тому

    Nyoooko Mwemwe zote kumbe mpole

  • @IpyanaPaul
    @IpyanaPaul 11 місяців тому +1

    Ameddy alliy mlikosea Sana kumpa. Timu Dani na huyo matola.
    Ilitakiwa na mumpe mugunda Leo tungeshinda mechi yaleo

  • @wilsonlulambo6498
    @wilsonlulambo6498 11 місяців тому

    Yaaani baaadooo
    Mpaka msemeee😂😂

  • @eatlawe
    @eatlawe 11 місяців тому +1

    Simba hawatumii akili. Wanapanic haraka na kutaka bila kuwekeza na subira!! Katika miaka 2 wamekuwa wanafukuza makocha tu! Kwa trend hii sahauni ubingwa na Africa pia msahau. Mnaumu makocha tu na hata wachezaji mnaeatuhumu na rushwa! Timu mbovu bado! Wachezaji wana majeraha ya kulaumiwa, kufukuziwa makocha kujiona mayatima kwa kutokaa na kocha Moja pia kupoteza mara 2. Wachezaji hawana morale!

  • @IddyNchama
    @IddyNchama 11 місяців тому +1

    Kumbuka hii moroko walipo ikataa afrka waliona cha moto hivo na wew ulivosema yanga si leo yenu umeipata vizur hivo tumia mdomo wako vizur bado unasema mashabiki et wanapiga kelele huoni unawakosea

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 11 місяців тому

    Ahmedy Ally, inabidi ukatubu kabisa hata kwakumuomba Azizi k kwamaneno oliyomtukanaga kwakuuita mdomo wake kinyes kabla ujafa ujaumbika mungu anazidi kuwalipa na juzi amewafumua huyo uliyemtukana

  • @OmaryMussa-q2s
    @OmaryMussa-q2s 11 місяців тому +3

    Mamamaaaeeeee nabado mtakandwa sana na mtadrooo sanaaaaa tuliwaambia minneeeeeeee mfululizooooooooooo

    • @flova7022
      @flova7022 11 місяців тому +1

      Ujinga kitu kibaya Sana..minne...how ...which...when

  • @jumakisanda454
    @jumakisanda454 11 місяців тому

    Msemaji umeongea vizuri kiukweli unaeleweka

  • @idrissamadas3101
    @idrissamadas3101 11 місяців тому +1

    Tabulileee laaah 😂😂😂😂😂

  • @SuleimanJuma-uh4tg
    @SuleimanJuma-uh4tg 11 місяців тому

    👋imekupa heshima ya kuongea kwa adabu

  • @middlemamba6062
    @middlemamba6062 11 місяців тому +2

    Ahmed umeelimika na umeadabika saana unajuwa namna ya kuzungumza sasa,kweli yanga ni darasa.

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 11 місяців тому +1

    Leteni kocha atakayepunguza umri wa wachezaji

  • @amosikazimili4655
    @amosikazimili4655 11 місяців тому +6

    Sisi ndo tunaumia nyie mmeajiliwa na tunawalipa ss mnaumia nn mtuachie timu yetu

  • @Ngoshanijongo
    @Ngoshanijongo 11 місяців тому +2

    ❤ Kaka nyakati ngumu san

    • @isayamganga5996
      @isayamganga5996 11 місяців тому

      Hadi kuangali camela unashindwa uache kjitapa mkubwa nmkubwa2

    • @isayamganga5996
      @isayamganga5996 11 місяців тому

      Simba kumfukuza mocha mmekosea Sana

  • @emmanuelchamba08
    @emmanuelchamba08 11 місяців тому +1

    Huu ni upuuzi na sinema tu tunachezewa ... Maamuzi ya kumfukuza objective man ni kosa kubwa sana kwa stahili hii inayokuja ni aibu kubwa zaidi ya hii ...... Mungu atusaidie tu

  • @rosemarykalega
    @rosemarykalega 11 місяців тому

    iyo ndio sura ya ahamed duh kumbe mpole ivi mie nawaonea uluma sana makol

  • @CharlesLukuba-og7ng
    @CharlesLukuba-og7ng 11 місяців тому

    Huruma kwako barô endelea kupambania tm has Irud kwenye kiwango chak tunaumia mashabik

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 11 місяців тому

    TATIZO AHMED PUNGUZA MANENO UNASEMA MPAKA UNAVUKA MIPAKA TIZAMA LEO USO ULIVYOKUSHUKA

  • @devotajulius7572
    @devotajulius7572 11 місяців тому

    Simba inaboa sana mpka tunashidwa kwenda uswahilini tunaenda usiku wa wa nane na cm hatupokei namba ngeni kila mwaka ni maumivu

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 11 місяців тому +2

    Kak mung azid kukup afya njem usiwaz wanao sem wacha wasem tyu ndiy rah ya utani we endelea na majukum yak

  • @edwardkishiwa3296
    @edwardkishiwa3296 11 місяців тому

    Msemaji hana hata uchungu anatabasamu,

  • @MohamedNdolo-d2u
    @MohamedNdolo-d2u 11 місяців тому

    Umekuwa mpole kama siyo wew mwenye kujigamba namadharau. Kwisha habari yako

  • @petershokolo9894
    @petershokolo9894 11 місяців тому

    Kumbe mnapenda wenyewe kupoteza kwa nini kama mgunda anauwezo mkamwacha mkawapa akinamatola

  • @BoniphaceElisha
    @BoniphaceElisha 11 місяців тому +1

    Inonga weka sabu malone benchi weka kennedy na h kazi kapombe nje weka mwenda chama nje weka chilunda Luis moses

  • @hamisimtumbuka-e6p
    @hamisimtumbuka-e6p 11 місяців тому +1

    Hakuna mkubwa kama simba aliotangulia katangulia

  • @tatalyzer382
    @tatalyzer382 11 місяців тому

    Huwa najiuliza hao wanaosimama nyuma ya mtu anaye hojiwa Huwa wanataka Nini? Maana Leo basi aina ya VOLVO liwaziba lakini wamejipenyeza hvyo hvyo

  • @aliussi9822
    @aliussi9822 11 місяців тому

    Yes, achana nao hao, piga kazi tu

  • @SurprisedDesertCreature-mh1lx
    @SurprisedDesertCreature-mh1lx 11 місяців тому

    daa ina uma sana Kira siku sisi waku zomewatu aya jama tare sita tume zika mtu reo kazimia mtu kwaiyo Kira siku sisi wami sibatu kwenu vipi muna zika Kama sisi aya jama

  • @edwardmaguluko6541
    @edwardmaguluko6541 11 місяців тому

    Sometimes kejeli sio nzuri sana huyu jamaa amejaa maneno mengi sana kejeli nyingi sana sasa haya ndio malipo anayoyapata hakuna kutafuta mchawi wala anaehujumu CLUB MUNGU IBARIKI YONG AFRICANS IFANYE POA KWENYE MASHINDANO YOTE YALIYO MBELE YETU

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 11 місяців тому +1

    "YAAANI MPAKA MSEME",nadhani Manzoki atasaidia sana msimsahau dirisha dogo.
    Na bado,mtachambuliwa kama karanga,matokeo ya leo kweni ni muendelezo wa ANGUKO la Simba,haa haa haa haa,salamu zenu wana MWAKALOBO wooooooote !!,hee heee heeeee !

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 11 місяців тому +1

      NIPE ILE KITU NAMESA MESA MWENSAKE 😂😂😂😂

  • @HOLINESSPIUSE-gv8ud
    @HOLINESSPIUSE-gv8ud 11 місяців тому

    Kwa sasa wachezaji ndo majanga tupu wanakosaa umakini Wa kufumania nyavu wapigwe viboko woooteee

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 11 місяців тому +1

    Hiyo ndo football mnatambaga sn

  • @HalimaMlaponi
    @HalimaMlaponi 11 місяців тому

    Mmebatisha tu lasisi ndio wakubwa wenu

  • @LissaSaleo
    @LissaSaleo 11 місяців тому

    Sasa kimoja ndio mnapiga midmo achen ushamb

  • @PhilomenaSteven-tq2tx
    @PhilomenaSteven-tq2tx 11 місяців тому +1

    Sura imekuparama 🦁🦁🦁🦁🦁🤣🤣🤣🤣🤣

  • @LevisMk
    @LevisMk 11 місяців тому

    Kwa Simba jinsi ilivyo na uongozi huo hata muelete kocha gani hapo Simba hakuna kitakachoendelea tena kama ni kocha nabi Mungu amsaidie asije tu hapo Simba maana atakuja kushusha hadhi yake kwa makubwa aliofanya kwa klabu inayojielewa akapata aibu tu.

  • @AbeidNdege
    @AbeidNdege 11 місяців тому +3

    Huyu nae. Anapenda kutufarij

    • @PlsBungu
      @PlsBungu 11 місяців тому +1

      Sasa unataka afanye nn instead ndugu yangu, anayumba Barca na u GIANT wake Simba kidogo tu mnataka kila mtu avurugwe akili, mfariji ni mtu MUHIMU pia Ina maana ana ukomavu sio kama nyie mnachanganyikiwa Kam vile sio watu wazima

  • @amosikazimili4655
    @amosikazimili4655 11 місяців тому +2

    Huo ni upuuz ss tunataka viongoz wasepe hapo

  • @suzanaally775
    @suzanaally775 11 місяців тому

    Kiherehere chote kwishaaaaaa

  • @JosephKassim-k3p
    @JosephKassim-k3p 11 місяців тому

    Msemaji n kenge atamfata robert

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 11 місяців тому

    Jamani Mimi sielewi inawezekana vipi timu kufanya vizuri wakati uongozi hauko sawa??

  • @AbdusidMohammed-hi5ib
    @AbdusidMohammed-hi5ib 11 місяців тому +2

    Sisi mashabiki wa simba tunamtaka mgunda au nabi au ibenge au mosemane

    • @IsayaUrassa-ic7rq
      @IsayaUrassa-ic7rq 11 місяців тому

      Mna Mia😄😄

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 11 місяців тому +1

      Mbona makocha wazuri wapo wengi kuliko hao .....ila utulivu ndo unaohitajika tu

    • @oneyanga4627
      @oneyanga4627 11 місяців тому

      Pesa hamnaa

  • @patriciamarcusy9224
    @patriciamarcusy9224 11 місяців тому

    Duu watan wng pole jaman

  • @BamdoOthman
    @BamdoOthman 11 місяців тому

    Endeleeni kuwaendekeza chama saido mwalimu wenu Jana kawatoa mmenuna kwa kifupi wapo slow

  • @abuuyasir4684
    @abuuyasir4684 11 місяців тому

    Jamaaa anataka kulia kawa mpole kama maji😂😂😂😂😂😂😂

  • @AmirMbuyu
    @AmirMbuyu 11 місяців тому +1

    Wachezaji hawana morali kabisaaa,hii ni sheeda

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 11 місяців тому +3

    Leo kinyonge saan vipi,kumbe una adabu hivi😂😂😂😂😂😂

    • @evdsam7286
      @evdsam7286 11 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @samwelbanteze
    @samwelbanteze 11 місяців тому

    Ashamed ally wew tu ni muongo unawadanganya tyu mashabiki wa Simba ila wew ndo chanzo

  • @arnoldrwegoshora449
    @arnoldrwegoshora449 11 місяців тому

    Kumbe mashabiki wa simba mnapiga kelele. Haya sasa mshaambiwa, mnapiga kelele na kelele haziwashtui viongozi😹😹😹😂😂😂🙌🙌

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 11 місяців тому +1

    Ali punguza kujigamba na vicheko vya dharau.

  • @mustaafabapumia6006
    @mustaafabapumia6006 11 місяців тому +1

    Fitness iko chini sana

  • @MichaelMathew-ke6bi
    @MichaelMathew-ke6bi 11 місяців тому

    Mpira wa Tz uko hivyo tu kila mwaka. Sijaona shida. Tupambane na hali. Ila ubingwa tusahau, ile ya champion ndo kabisaaa hata makundi sidhani kama tutafika robo, itakuwa ngumu kwelikweli labda miujiza fulani hivi. Simba tumtangulize Mungu mbele.

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 11 місяців тому

    Nazani sasa domo la kulopoka limeisha jifunze kuongea mpira siyo matusi na kujitapa hapa tena unadanganya eti mlejee kwa asilimia miamoja kweli utasema uongo mpaka aibu ikuumbue

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 11 місяців тому

    Comentiiiiiii Simba siwaon wameondoka na yule kocha mwehu nn

  • @josephnyatugara6422
    @josephnyatugara6422 11 місяців тому +3

    😂😂😂

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 11 місяців тому +1

    Mechi inayofuata ni dhidi ya azam mnaweza poteza point zote 3 msipokuwa makini

    • @emmanuelmalima5939
      @emmanuelmalima5939 11 місяців тому

      Bahati yao mechi yao dhidi ya azam imesogezwa mbele mpk tarehe moja mwezi wa kwanza

    • @flova7022
      @flova7022 11 місяців тому

      Punguzeni mihemko

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 11 місяців тому +1

    UKISIKIA MAJAMBAZI WAMEIBA MTAANI HALAFU VIRUNGU WANAPIGWA WAPITA NJIA NDIO HII 😂😂😂😂😂😂😂 TUNAIJUWA HIYO AHMED ALI FIKISHA UJUMBE KWA VIONGOZI

  • @merckmdamu2942
    @merckmdamu2942 11 місяців тому

    Msemaji tumepata shida anaponzwa na timu timuhili bovukwer limechoka😢😢

  • @mjukuuhotelitv7736
    @mjukuuhotelitv7736 11 місяців тому +1

    Sasa nyie kila siku ni wapi mmekosea na hamuoni mliokosea mnazimgua

  • @glorykapenja9473
    @glorykapenja9473 11 місяців тому

    Na kocha akija msimpangie wachezaji wa kucheza muacheni kocha afanye kazi yake

  • @efulemefulem
    @efulemefulem 11 місяців тому +1

    siyo poa simba munazinguwa san

  • @ayubumbukwa-kg9wn
    @ayubumbukwa-kg9wn 11 місяців тому +2

    Simba nguvu moja💪

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 11 місяців тому

    Hapa ndio nauona ugumu wa kazi ya ally

  • @MaryamSeif-ns3tr
    @MaryamSeif-ns3tr 11 місяців тому +2

    Hawa wachezaji wasipewe mapumunziko wekeni kambni hao ikiwezekana wapewe gemu za kirafiki hata mbili mpaka tarehe 25 hayo yote mama rehemu humo kapombe mpishe israeli

  • @hamisimbaruku4989
    @hamisimbaruku4989 11 місяців тому

    Mliambiwa mmefika mlipofika Kwa utash wamarefa, sa tu inadhihirika et?

  • @yusuphabubakary2030
    @yusuphabubakary2030 11 місяців тому

    hahaa hii adabu cku zngne hua anaieka wap

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 11 місяців тому +1

    Na imekuwa chupu chupu mlitakiaa mpigwe