Kwanini msitumie lugha ya kiswahili ? Kwani mnaempa huo mrejesho wa maendeleo ya mradi ni mzungu au mtanzania Aliye soma na asiye soma!! Acheni kukoloniwa kifikra tumieni lugha ya Taifa letu kutufikishia habari za kizalendo kama hizo na siyo lugha ya kigeni kujinadi kwa wazungu ,yote kwa yote hongereni kwa hatua nzuri ya mradi.
Kama title ya video ni kiswahil basi maudhui pia yawe kiswahili...... Hiyo ni mbinu moja wapo ya kufikisha ujumbe kwa watu wengi kwa njia ya UA-cam, ambao wengi huwa hawajui wanachanganya lugha ya title na maudhui.... Maana yake hapo mtu anaejua kiingereza hata angalia hiyo video kwasababu title ni kiswahili bali angekuwa anajua maudhui yake ndani ni English bas angefungua... Pia anayejua koswahil amefungua kucheki ila alichokutana nacho kwenye maudhui sio lugha aliyoiona kwenye Title ya video basi mtu huyu unaweza kuta kaangalia kwa sekunde 2 tuu kasepa kwasababu sio matarajio yake kusikia lugha anayosikia kutokana na title ya video ni kiswahili..... Hata hilo Tanesco??
Kumbe lengo ni kuwajuza watumiaji wa kiingereza... nani anawapa jeuri ya kuelezea mradi wetu kwa lugha hiyo?. Watanzania wanahitaji kuheshimiwa kama vile wanavyowaheshimu.Title nyingine content lugha nyingine. Afisa habari jirekebishe,bila hivyo hiyo nafasi haitakufaa tena.
@@basitv2299 In Belgium,France,Netherlands,Germany to get GOVERNMENT position you must be multilingual.Mwendo kasi kama masharti yanakushinda kapande muongo,au basi. Huwezi kuvuruga ratiba kisa mtu ana mizigo mingi hajamaliza kushusha
Mmecherewwsha mradi afu mnatutisha na kingereza sio ? Acheni udwanzi
❤❤🇹🇿🇹🇿🤟
Big up for future of kambarage.
Mradi unakwama wapi hasa hadi unashindwa kukamilika?
waliosoma Cuba ndio wanaelewa
Tanzania is the hub of Africa
Kenya wakasome tena
Mbona mradi hauishi
Kulikuwa hakuna haja ya kutumia lugha ya kigeni huko ni kutojiamini
Kalale huko. Hata watoto wa nursery wanaielewa lugha.
Kwanini msitumie lugha ya kiswahili ? Kwani mnaempa huo mrejesho wa maendeleo ya mradi ni mzungu au mtanzania Aliye soma na asiye soma!! Acheni kukoloniwa kifikra tumieni lugha ya Taifa letu kutufikishia habari za kizalendo kama hizo na siyo lugha ya kigeni kujinadi kwa wazungu ,yote kwa yote hongereni kwa hatua nzuri ya mradi.
hiyo imelenga Kutoa taarifa nje ya Tanzania 🇹🇿
Kama title ya video ni kiswahil basi maudhui pia yawe kiswahili...... Hiyo ni mbinu moja wapo ya kufikisha ujumbe kwa watu wengi kwa njia ya UA-cam, ambao wengi huwa hawajui wanachanganya lugha ya title na maudhui.... Maana yake hapo mtu anaejua kiingereza hata angalia hiyo video kwasababu title ni kiswahili bali angekuwa anajua maudhui yake ndani ni English bas angefungua... Pia anayejua koswahil amefungua kucheki ila alichokutana nacho kwenye maudhui sio lugha aliyoiona kwenye Title ya video basi mtu huyu unaweza kuta kaangalia kwa sekunde 2 tuu kasepa kwasababu sio matarajio yake kusikia lugha anayosikia kutokana na title ya video ni kiswahili..... Hata hilo Tanesco??
Acha gubu, kingereza ni lugha rasmi ya Tz sambamba na kiswahili
When is turbine 6 and 5 going online
Wako kwenye majaribio ila tayari
@@njoostudio_ next few weeks ama days
Sisi tumesoma tz kuwashinda Kenya tren yaumeme bwwa kubwa la umeme lao limewashinda kwamanuafa yao
Mbona haliishi? Tarehe zinazogezwa tuu? Pia umesahamu kutaja kwamba ni mkopo.
Hata kama ni mkopo bwawa tunalo na tunatamba nalo. Nchi zingine wameshindwa nini kukopa?
Kumbe lengo ni kuwajuza watumiaji wa kiingereza... nani anawapa jeuri ya kuelezea mradi wetu kwa lugha hiyo?. Watanzania wanahitaji kuheshimiwa kama vile wanavyowaheshimu.Title nyingine content lugha nyingine. Afisa habari jirekebishe,bila hivyo hiyo nafasi haitakufaa tena.
Nenda tuition
@@faustinluambano2958 wakeup buddy, I'm not that stupid.
@@basitv2299 You are
@@faustinluambano2958 maybe from your point of view,you won already.