Ukamate wazee wasio na elimu, wasiojitambua uwajaze ujinga ili utawale nchi kimazoea kama ilivyokuwa tangu uhuru? Mbona mambo ya kizamani hayo Mzee msoga ? Nyakati zimebadilika ingawa GenZ wa Tanganyika bado wako usingizini tena wa pono.😮
Kiukwelii raisi mstaafu kikwete upogo vizuri sana unabusara, pia nimsikivu sana , hasa ulivyomsikiliza Nyerere ukamuachia mkapa kuwa mgombea wa uraisi wakati ulikuwa na vote zaidi yake na baadaye ukawaasa wakereketwa wako kuwa wasiendelee kuwa na ukereketwa kwamba uchaguzi umeisha na mgombea ni mkapa hivyo watu wako wageuke wamuunge mkono, inadhihilisha unaukomavu mkubwa sana pia na busara uendelee kujitokeza mara kwa mara jakaya ukitoweka sijui nchi yetu itabakije
Sema baba mh.Rais wetu mstaafu Kikwete, hata mm na mwenzangu tuliwahi kuipitia Sera ya Wazee TZ, tukatoa mada tukafundisha wazee ke na me ktk baadhi ya kama za Wilaya ya Kisarawe Pwani, hakika wazee walitoa mengi mazuri. Uzoefu ule ulitumika kuandaa mada zingine ili kufundisha vijana. Bravel
Acha dhambi wewe Kikwete aliwaacha huru, Demokrasia alikuwa nayo mpaka Bunge kilikuwa karibu na nusu ya wapinzani, waandishi wa habari walijinafasi, ajira kwa vijana ilikuwa rahisi, ndiye aliyeleta shule za kata kwa sasa ziafanya vyema, katika hii nchi Kikwete ndo zaidi ya watangulizi wake isipokuwa hamjui mipango ya kiuchumi mingi ambayo ilikuja fanyika ndiye aliyekusanya ije fanyija baadaye. Usichukie mtu tu bali angalia na wema wake hayo ndo maisha.
😂😂😂😂maneno matamuu kudadeki 😅😅😅 ila hakuna kinachotendeka rip mzee wangu Magu uliekua unataka kufikisha nchi ya tanzania pale ulipoona naww panafaa kua😢😢😢😢
Huku kenya ndio huwa mambo ni safi, rais akistaafu anaenda nyumban hata mpaka anasahaulika, hakuna sherehe yoyote atahudhuria lakin tz mmmh kila kukicha rais mstaafu yupo ikulu mara ameongozana na rais aliye mamlakani kwenda ziara flan nje ya nchi, mnatumia tu pesa za watanzania bure
Sasa kikwete anaongea nini 😢😢😢😢😢pointless wazee wameingiaje na watu wasiojulikana 😢😢😢😢😢😢yéyé mwenyewe anajificha kwenye kivuli ndio walewale😢😢😢😢😢😢😢waanze na wewe kwanza pesa zote umezipataje badalaa ya kujenga nchi kipindi cha uraisi wako magufuli alikuonyesha na kukuwazia pesa zako ukampa sumu shame on you usijifiche na kivuli Mungu yupo jamani mzee kibao sio mzee si mngeongea nae 😢😢😢😢😢😢😢🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Bungeni kulitolewa Mjadala wa kulipwa Wajane wa Marais na ambao hawakufiwa na Waume zao tulipwe haki husika kama hao wenzetu na sisi Wakw wa maaskari walipiganq Vita vya Uganda tulipwe pesheni mpaka tutakapokufa maisha ni magumu sanaaaa na baadhi ya Wake za Maaskari walioachwa na watoto wadogo walipwe mpaka mwisho wa maisha yao
@@hemedrashid2921 ungekuwa unaakiri ungetumia kukemea rushwa na ubinafsi wa viongozi wenu ila kwa sababu huna kitu kichwan umajaza Mavi ndo mana unatokwa na uchafu tu .Tatizo n huo umasikin unakusumbua
@@damianmstambi848 kama mavi yalianziaa kwa baba yako yakakutoaa duniani masikini wa iman na mungu akulani wewe na kizazi zako aduii unadhani itakujaa tenaa enzi ya mwarrriiiiim futa kichwa mnyarwandaaa mmoja wewe
Waliiba nini? Fikira za kibangi, kila kiongozi mnamwita mwizi, yaani nakerwa kumwita kiongozi mwizi, wakati nae ana mshahara, twambie kakuibia kitu gani???
Hongeleni sana kwa hekima na busara za kutambua umuhimu wa wazeee,,,mimi binafsi nahitaji kuchangia,,,tunaomba namba ya michango......piah nina wazo moja kama ingependeza selikari ingeanzisha mfuko wa watoto.....watoto wakizaliwa angalau wawe wanapata angalau kiasi cha pesa kila mwezi cha kuwasaidia hadi wakifikisha miaka angalau mitano..(5) kwani mtoto anazaliwa lakini wazazi wanakuwa wengine hawana hata kazi hii inakuwa changamoto kwao..matokeo yake mzazi anakuwa anajutia kuzaa wakati mtoto ni baraka kutoka kwa Mungu..hayo ndo mawazo yangu na sio tu wazee....
Watanzania wenye akili timamua tunakujua lkn tushamuachia mungu cz pua zetu wote zimeangalia chin,mume mpumzisha aliyetaka kutuletea maendeleo na ss mnakula bata tu,na kwa kutukomoa kilakitu mkapandisha bei na mbaya zaid nchi haipo busy kbs kwenye ujenz km enzi za muenda zake!!!TUMEMUACHIA MUNGU
@@ZainabuBakari-yb4vj we unajua nini ww upo upo tu dunian kuma la mama ako malaya mkubwa kuma vaba mkundu kunuka weeee!!!!nyie ndiyo mabogaz msiojua maendelea ni kitu gn akili zenu madam zipo kwenye kuuza kuma na mkundu bc tyr mnajua hayo ndiyo maendeleo kahaba libovu weeee!!naona tyr hilo limkuma lako na hilo tobo lako la kunyea mavi linaluwasha unataka bwana!!
Uyu mzee ni jembe sana mm katika uongozi watanzania uyu dipromasia aliiweza kwelikweli yaan roumodowangu sana watu walikuwa wakigombana kisiasa alikuwa anawaita na kuketinao na ugonvi ulikuwa umekwisha nchi ilikuwa shwali kabisa da mungu akulinde jembe
Busara na mawazo na uzoefu yanawekwa kwenye maadishi kwenye vitabu ,sio kwenye majukwaa,utashanga Kikwete na viongozi wengi wa siasi licha ya elimu zao walizokuwa nazo mpaka Sasa hawajaandika kitabu anata hizo busara watanzania watazipata wapi ? Nchi za Africa hakuna tabia ya uandishi vitabu hivyo watu wengi wanakufa na mawazo yao na uzoefu wao walikuwa nao
Mpendwa Kikwete nakutia moyo hakuna anayependwa na watu wote na kwa mtu anayetambua kwamba hakuna mwanadamu aliye kamilika basi atakumbuka mazuri yako maana Ukweli kwa wewe mazuri yako ni mengi kuliko mapungufu yako.na pengine wanaoona mabaya yako kwamba ndio mengi kama wangepata fursa ya kuongoza inchi nina amini kwao mapungufu yangekuwa mengi kuliko yakwako,huo ndio ubinadamu watu wakiwa inje ya utendaji wanakosa sana.ukiwapa nafasi na wao wanakuwa wabaya zaidi jamani kwani hatujawahi kuona mambo kama hayo???jamani hapana ebu tutafakari vitu positive. Naomba namba za simu ya baba yangu Kikwete raisi mstaafu nizidi kumtia moyo mimi sio chawa bali nakumbuka mengi ktk uongozi wake mojawapo ni jinsi barabara za rami zilivyo ota kama uyoga inchi nzima hadi kigoma kwetu ambapo kwa miaka mingi tulisahaulika.lakini kikwete aliwatazamisha hata wanaomfuata kutazama maisha ya watu wa chini kama sisi wakulima.
Wazee wenyewe mafisadi wezi Na huo mradi waziri ameiba sasa anafungua kituo hii nchi ya kifisadi sana ndio maana wengine wanaiba wakiona mawaziri wanaiba
Wazee wako ni kuishi nao ila wazungu wanawatenga hii inaonesha jinsi gani walivokua hawana utu na wazazi wao ALHAMDULILLAH KWA KUZALIWA MUISLAM NA KUFUATA MAFUNZO YAKE MAZURI
Mzee nakuelewa ila naic kunakiubinafsi nadani yako iko ndo kinacho itesaa mchi yetuu una uchungu na watazania kabisaa mauwaji yote ayaa umekaa kimya ata kutowa kauli ya kukemea km c ubinafc ulio naoo
That is great lie. Wazee ndio mliandaa Hilo likatiba mpaka linatuua. Wewe ulikuwa na nia ya kutupa katiba mpya lkn ubinafsi wako umatuachia hilo " gegedu la Kizimkazi " !!
Tujiulize. KWANINI NCHI kubwa zinaongozwa na wazee? Kuna Siri kubwa hapo. Marekani rais kikongwe, URUSI, Mzee sana, uingereza , Mzee. Africa eti tunatafuta vijana
Lini utakwisha huu upumbavu uliokuwa katika vichwa vyetu kuwa aliyekuwa na cheo serekalini ni mwizi Tuwe na fikra nzuri itakuwa faida kwa kizazi kijacho
Mwenyezi Mungu azid kukupa umri mrefu, Afya njema na mwisho mwema
Mwenyeezi Mungu Akupe Afya na Umri mrefu. Mzee wetu Kikwete
Enzi za mzee Kikwete maisha yalikuwa mepesi na fedha zilikuwa nyingi sana.
Mzee Jakaya, Rais Mstaafu nampenda sana, kafanya makubwa
Great Speach 👍 👌 Mzee mwenye busara na hekima.
Shukran Mzee mwenzangu bila ya fikra ya wazee huwezi kwenda Mbele
Great idea, nakukubali sana mhe, Kikwete. Wewe ni jembe sana mzee wetu
shukrani mzee wetu tunakuombea maisha marefu
Wazee kama Warioba hawasikilizwi
Ila wazee wa hovyo ndio wana nguvu.
Kabisa
Mwenyenzi mungu akuhifadhi Mzee wetu unamaalifa mengi sana Mimi huwa nakuelewa siku zote we ndio kikwete
Magufuli oyeee
Kaingiaje hapo,Acha uzuzu
Asante Mzee mstaafu RaisKikwete Mungu akubariki
Ukamate wazee wasio na elimu, wasiojitambua uwajaze ujinga ili utawale nchi kimazoea kama ilivyokuwa tangu uhuru? Mbona mambo ya kizamani hayo Mzee msoga ? Nyakati zimebadilika ingawa GenZ wa Tanganyika bado wako usingizini tena wa pono.😮
@@egdldm4981umeonae jinga can hili jamaa
@@egdldm4981we mkundu shika adabu yako msenge wewe
@@egdldm4981KATIKA MARAIS WATANZANIA WALIOSHINDWA KUWALETEA WATANZANIA MAENDEREO UYU KIKWETE NO, 1
@@egdldm4981wewe ni choko kweli,unawaza ujinga tu
Mzee kikwete nakupongeza kwa hotuba Yako nzuri Hekima ya Mzee ni kweli hudumu milele mungu akupe maisha marefu
Allah akupe miaka mingi zaidi
Shabiki/Mfuasi wako no.1 nakupenda kwa sababu ya busara zako,mungu akulinde.
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu sana Rais make bado Taifa linahitaji busara zako.
Jaman mm kwa mzee kikwete really 🥰🥰
Huyu anaeongea ndiye aliyefanya tuko hapa nakumbuka hata twiga walipanda ndege wazee wa bao la mkono
Nae ndio rairsi wa hii Tanganyika anatumaliza lishetani
Amemiss hotuba kajanjajanja sana haka kazee
Wazee ni dawa hapo uko sawa mstafu wetu Jakakaya kikwete.🎉
Long live HON JAKAYA MRISHO KIKWETE
Ni kweli kabisa Mzee!
Kiukwelii raisi mstaafu kikwete upogo vizuri sana unabusara, pia nimsikivu sana , hasa ulivyomsikiliza Nyerere ukamuachia mkapa kuwa mgombea wa uraisi wakati ulikuwa na vote zaidi yake na baadaye ukawaasa wakereketwa wako kuwa wasiendelee kuwa na ukereketwa kwamba uchaguzi umeisha na mgombea ni mkapa hivyo watu wako wageuke wamuunge mkono, inadhihilisha unaukomavu mkubwa sana pia na busara uendelee kujitokeza mara kwa mara jakaya ukitoweka sijui nchi yetu itabakije
Jakaya Bado anahit sana sana
Mueshimiwa jakaya Alha akuongoze salama inshallah akupe afya njema
Bado tunaitaji busala zako
I love kikwete I wish him a long life ❤
Wazee gani hao wanasapoti Harmonize Mzee Popo kuharibu sanaa Tanzania na uchawi... Aibu CCM ❌😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Maneno Yako ni ya busara MUNGU akulinde Mzee wetu,rais wetu mstaafu jakaya mrisho kikwete.
Mungu akupe nguvu nakukubali ulizaliwa uwe raisi mtu mpole na mnyenyekevu mbele ya watu na mungu
Rais wangu pendwa wa mda wote. Wakati wa utawala wako maisha yalikuwa mazuri sana , hakika uongozi unaujua .
Hongera mzee mashuhuri kuongea kiswahili 😂
Nakukubari baba wa maarifa
May God be with u🎉🎉
Gud JK......❤❤❤❤❤
Sema baba mh.Rais wetu mstaafu Kikwete, hata mm na mwenzangu tuliwahi kuipitia Sera ya Wazee TZ, tukatoa mada tukafundisha wazee ke na me ktk baadhi ya kama za Wilaya ya Kisarawe Pwani, hakika wazee walitoa mengi mazuri. Uzoefu ule ulitumika kuandaa mada zingine ili kufundisha vijana. Bravel
WAZEE WAPO C WEWE ATUKUSIKILIZI UMETURUDISHA NYUMA
Wewe ni nani😄 huwezi hata kutumia jina lako hujiamini
Amekurudisha wapi
Wakati kikwete yupo madarakani kariakoo ilijengeka kwa kasi kubwa na mno pamoja na maeneo mengine ya nchi yetu
@@CopperBelt MAJENERETA NA UJA.MBAZI KWANZA HATA MSIKITINI ALIKUA AENDI
@@CopperBelt KIKWETE ALIKUWA ANAABUDU SHETANI FIRIMASO ALIKUA ATA DINI ANA YEYE KUSAFIRI TU
Kazi nzuri ila msibague wazee kwa maana vyeo nk
Kama nchi yetu inaangamia nihuyu kikwete ni mmbinafsi wa Hali ya juu tujuwe ssi tutaoja mauti
Acha dhambi wewe Kikwete aliwaacha huru, Demokrasia alikuwa nayo mpaka Bunge kilikuwa karibu na nusu ya wapinzani, waandishi wa habari walijinafasi, ajira kwa vijana ilikuwa rahisi, ndiye aliyeleta shule za kata kwa sasa ziafanya vyema, katika hii nchi Kikwete ndo zaidi ya watangulizi wake isipokuwa hamjui mipango ya kiuchumi mingi ambayo ilikuja fanyika ndiye aliyekusanya ije fanyija baadaye. Usichukie mtu tu bali angalia na wema wake hayo ndo maisha.
Kweli kabisa, Kikwete ndiye remote control ya Samia, haoni uozo wa Samia?
Huyu ndio katili number one Samia ni kivuli tuu huyu ndio anaeongoza hii Tanganyika
Anaiongozaje wakati kastaafu?
😂😂😂😂maneno matamuu kudadeki 😅😅😅 ila hakuna kinachotendeka rip mzee wangu Magu uliekua unataka kufikisha nchi ya tanzania pale ulipoona naww panafaa kua😢😢😢😢
Huku kenya ndio huwa mambo ni safi, rais akistaafu anaenda nyumban hata mpaka anasahaulika, hakuna sherehe yoyote atahudhuria lakin tz mmmh kila kukicha rais mstaafu yupo ikulu mara ameongozana na rais aliye mamlakani kwenda ziara flan nje ya nchi, mnatumia tu pesa za watanzania bure
I see my brother isaya yunge ✊
Sasa kikwete anaongea nini 😢😢😢😢😢pointless wazee wameingiaje na watu wasiojulikana 😢😢😢😢😢😢yéyé mwenyewe anajificha kwenye kivuli ndio walewale😢😢😢😢😢😢😢waanze na wewe kwanza pesa zote umezipataje badalaa ya kujenga nchi kipindi cha uraisi wako magufuli alikuonyesha na kukuwazia pesa zako ukampa sumu shame on you usijifiche na kivuli Mungu yupo jamani mzee kibao sio mzee si mngeongea nae 😢😢😢😢😢😢😢🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Ungekaa kimya ingekua sawa kuliko kupiga kelele we ndy unatuumiza watanzania unav ongea Kama mtu lakn😢
Bungeni kulitolewa Mjadala wa kulipwa Wajane wa Marais na ambao hawakufiwa na Waume zao tulipwe haki husika kama hao wenzetu na sisi Wakw wa maaskari walipiganq Vita vya Uganda tulipwe pesheni mpaka tutakapokufa maisha ni magumu sanaaaa na baadhi ya Wake za Maaskari walioachwa na watoto wadogo walipwe mpaka mwisho wa maisha yao
Mazeee ya Tz hasa haya yaliongoza nchi yana ujuzi wa kuiba tu
Chunga ulimi wako nawewe utazeekatu labda ufe mapema
wewe ni mbwa kama mbwa wenginee mshenzi huna adabu kama mama yako 😂😂
@@hemedrashid2921 ungekuwa unaakiri ungetumia kukemea rushwa na ubinafsi wa viongozi wenu ila kwa sababu huna kitu kichwan umajaza Mavi ndo mana unatokwa na uchafu tu .Tatizo n huo umasikin unakusumbua
@@damianmstambi848 kama mavi yalianziaa kwa baba yako yakakutoaa duniani masikini wa iman na mungu akulani wewe na kizazi zako aduii unadhani itakujaa tenaa enzi ya mwarrriiiiim futa kichwa mnyarwandaaa mmoja wewe
Waliiba nini? Fikira za kibangi, kila kiongozi mnamwita mwizi, yaani nakerwa kumwita kiongozi mwizi, wakati nae ana mshahara, twambie kakuibia kitu gani???
Hongeleni sana kwa hekima na busara za kutambua umuhimu wa wazeee,,,mimi binafsi nahitaji kuchangia,,,tunaomba namba ya michango......piah nina wazo moja kama ingependeza selikari ingeanzisha mfuko wa watoto.....watoto wakizaliwa angalau wawe wanapata angalau kiasi cha pesa kila mwezi cha kuwasaidia hadi wakifikisha miaka angalau mitano..(5) kwani mtoto anazaliwa lakini wazazi wanakuwa wengine hawana hata kazi hii inakuwa changamoto kwao..matokeo yake mzazi anakuwa anajutia kuzaa wakati mtoto ni baraka kutoka kwa Mungu..hayo ndo mawazo yangu na sio tu wazee....
Kikwete umenena❤
Huyu 😢😢😢😢😢😢😢amestaafu
😢😢😢😢😢😢😢😢😢 ndio katili
Watanzania wenye akili timamua tunakujua lkn tushamuachia mungu cz pua zetu wote zimeangalia chin,mume mpumzisha aliyetaka kutuletea maendeleo na ss mnakula bata tu,na kwa kutukomoa kilakitu mkapandisha bei na mbaya zaid nchi haipo busy kbs kwenye ujenz km enzi za muenda zake!!!TUMEMUACHIA MUNGU
Huyu ndo mwenye nchi yake,yule ni kivuli tu tunajuwa
Ramadhani huna la kuchangia kaa kimya,usikalilishwe matango poli
Mwenye akili apotez muda kuuliza tafakar na mwenye macho acpoteze muda kwa kutegemea mwanga wa jua kuwa utadumu hd ucku...Tafakar chukua hatua 😇
@@ZainabuBakari-yb4vj we unajua nini ww upo upo tu dunian kuma la mama ako malaya mkubwa kuma vaba mkundu kunuka weeee!!!!nyie ndiyo mabogaz msiojua maendelea ni kitu gn akili zenu madam zipo kwenye kuuza kuma na mkundu bc tyr mnajua hayo ndiyo maendeleo kahaba libovu weeee!!naona tyr hilo limkuma lako na hilo tobo lako la kunyea mavi linaluwasha unataka bwana!!
Ukiitwa Leo uambiwe utoe ushahidi unao wewe wazir tulia kuwa na nidhamu
I love kikwete
Nimecheka kikwete eti kuna kauli tanzania sasa watu wasio julikana 😭💔
KAZI NZURI BABA WA TAIFA LETU ULIYE BAKIA NI WEWE MHIMIRI WA TAIFA LETU TUNAKUPENDA TUTAKULINDA🎉
Tubu kabla ya kuondoka usiwache laana yako iendelee
laana gani
Mzee akiwa MchaMungu huyo ndiye anafaa kushikwa mkono maana uzee siyo sifa bali ni busara zenye kuwaongoza vijana na watoto katika njia ya haki.
Huyu mzee ovyo sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanafai ata peni
Mzee unachosema ni kweli kabisa bilA kuwatumia wazee hakuna kitu .
Ni Tanzania pekee ambapo wazee wanathaminiwa na kutukuzwa wakati vijana wanabaki kua machawa. Very sad😢😢😢
Na wewe kuwa Mzee.
Wazee gani wanatunzwa acha uwango
Wazee wapishe vijana sasa,hata yeye alipishwa ndio maana akawa rais. Need to stay home na kulea wajukuu ndio maana kuna kustaafu
Kikwete 2050 hautakuwepo duniani nahatakama utakuwepo utakua husikii ladha yoyote ya dunia
Ndio wale wale no way 🙅🙅😢😢😢😢😢😢😢Mungu tu hai one 1️⃣ day yes
Nakukumbuka saana jk natamani miaka irudi nyuma
Fisadi mkuu
wameanza kupigania haki za wazee,ushauri wangu awe mwenyekiti wa wazee TZ
Pension zao zinaliwa bado mnasema mnajali wazee
Kweli jambo hili limekuja wakati wake!
Hamna kitu hapa bando langu linaisha bure
Sichokagi kumskiliza uyu baba
KUNA MTU FULANI ATAKAPOENDA AHERA NDO NCHI YA TANZANIA ITATULIA. AMEUMIZA WATZ SANA😭😭😭😭
Asante
Mzee wetu pamoja na wengine ni hazina kubwa sisi vijana ambao tutakuja kua wazee na kuwaritisha watoto wetu na taifa letu liendelee kua na amani
uzeee wakujiombea nenda huko tumeshachoka na mawazo potofu
Mpiga dili tu
This is typically my undergraduate
dissertation "ELDERLY RESOURCE CENTER", same same ni kama walisoma ripoti yangu nakuifanyia implementation.
Selikali imewekeza kwenye beting tu
Baba umesema ukweli! Vijana wana tabia ya kutoaminika. Wanapambana wawe na maisha hivyo ni rahisi sana kukujeuka wachukue nafasi yako.
Mzee lich ya upigaji pesa ila upo vzr
Rais wetu pekee Mstaafu aliye baki! Tumuombee sana
CCm.....😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤
Huyu ndiye wakumtegemea lazima alindwe kwa hali na mali
Kuna nn katiii ya Kikwete na Samia mbona huu ujumbe kama anaambiwa yy
Yaani ni kweli, anamjengea hofu ili aendelee kutawala Kwa mlango wa nyuma
Still wise congratulations
Fucki$$& wisdom!!
Uyu mzee ni jembe sana mm katika uongozi watanzania uyu dipromasia aliiweza kwelikweli yaan roumodowangu sana watu walikuwa wakigombana kisiasa alikuwa anawaita na kuketinao na ugonvi ulikuwa umekwisha nchi ilikuwa shwali kabisa da mungu akulinde jembe
Busara na mawazo na uzoefu yanawekwa kwenye maadishi kwenye vitabu ,sio kwenye majukwaa,utashanga Kikwete na viongozi wengi wa siasi licha ya elimu zao walizokuwa nazo mpaka Sasa hawajaandika kitabu anata hizo busara watanzania watazipata wapi ? Nchi za Africa hakuna tabia ya uandishi vitabu hivyo watu wengi wanakufa na mawazo yao na uzoefu wao walikuwa nao
Km walishindwa hayo maarifa wakiwa vijana wakatullie bagamoyo,..Maana HATA sasa vjana tupo...
Ukiwakamata hao wazee wafunguliwe kesi kwa kutufikisha hapa kama nchi
Mpendwa Kikwete nakutia moyo hakuna anayependwa na watu wote na kwa mtu anayetambua kwamba hakuna mwanadamu aliye kamilika basi atakumbuka mazuri yako maana Ukweli kwa wewe mazuri yako ni mengi kuliko mapungufu yako.na pengine wanaoona mabaya yako kwamba ndio mengi kama wangepata fursa ya kuongoza inchi nina amini kwao mapungufu yangekuwa mengi kuliko yakwako,huo ndio ubinadamu watu wakiwa inje ya utendaji wanakosa sana.ukiwapa nafasi na wao wanakuwa wabaya zaidi jamani kwani hatujawahi kuona mambo kama hayo???jamani hapana ebu tutafakari vitu positive. Naomba namba za simu ya baba yangu Kikwete raisi mstaafu nizidi kumtia moyo mimi sio chawa bali nakumbuka mengi ktk uongozi wake mojawapo ni jinsi barabara za rami zilivyo ota kama uyoga inchi nzima hadi kigoma kwetu ambapo kwa miaka mingi tulisahaulika.lakini kikwete aliwatazamisha hata wanaomfuata kutazama maisha ya watu wa chini kama sisi wakulima.
Wazee wenyewe mafisadi wezi Na huo mradi waziri ameiba sasa anafungua kituo hii nchi ya kifisadi sana ndio maana wengine wanaiba wakiona mawaziri wanaiba
Kama hao wazee wana akili za kijinga kifisadi watakufundisha wizi, ila ni njia rahisi kwa hao wazee kupata mwamvuli kujilinda walichoiba
Hv na mashetani wanazeeka.
UBAYA UBWELA , nilikua napita tu 🤔🤔
Ali kibao alikuwa mshikaji.
Wazee wengi ni wanafki
Ushazeeka sasa, mtulie!!
Nimekuelewa
Wazee wako ni kuishi nao ila wazungu wanawatenga hii inaonesha jinsi gani walivokua hawana utu na wazazi wao ALHAMDULILLAH KWA KUZALIWA MUISLAM NA KUFUATA MAFUNZO YAKE MAZURI
WIZI MTUPU
Aaah wewe mzee acha kuingia kwenye serikali ya awamu ya sita pumzika
Mzee nakuelewa ila naic kunakiubinafsi nadani yako iko ndo kinacho itesaa mchi yetuu una uchungu na watazania kabisaa mauwaji yote ayaa umekaa kimya ata kutowa kauli ya kukemea km c ubinafc ulio naoo
That is great lie. Wazee ndio mliandaa Hilo likatiba mpaka linatuua.
Wewe ulikuwa na nia ya kutupa katiba mpya lkn ubinafsi wako umatuachia hilo " gegedu la Kizimkazi " !!
Tujiulize. KWANINI NCHI kubwa zinaongozwa na wazee? Kuna Siri kubwa hapo. Marekani rais kikongwe, URUSI, Mzee sana, uingereza , Mzee. Africa eti tunatafuta vijana
Kama yupo vile mmmh 2012 nakukumbuka wew form iv 0 😅😅😅😅😅
The future
Lini utakwisha huu upumbavu uliokuwa katika vichwa vyetu kuwa aliyekuwa na cheo serekalini ni mwizi
Tuwe na fikra nzuri itakuwa faida kwa kizazi kijacho