Composer: Fr. Malema Mwanampepo Singer: Edwiga Upendo Nawatakia sherehe njema ya Ekaristi Takatifu, mwili na damu ya Yesu Kristo. Tumpelekee Yesu wa Ekaristi shida zetu naye atatusaidia kuzibeba.
Angelically terrific! Sauti nyororo na ya kuvutia but most importantly the song inspires me to seek a closer union with Jesus Christ MPENZI WANGU. Ahsante sana dada Edwiga Upendo
Upo parokia gani na jimbo gani. Umewaponya wengi kwa uimbaji wako mzuri uliotukuka!. Batikiwa sana. ( die singen ist gut und gesundheit, sehr gut unsere schwester).
Qui bene cantat bis orat " kuimba vizuri kwa utukufu ni kusali mara mbili". Hongera kwa kuimba kwa uvuvio. Dada Mwl. Hedwiga Upendo upo hapa Tz, Jimbo na parokia gani?. Amina.
If the children can remember this hymn today: That is the real wording gospel. Lord with me and i stay with you. Who God stays at home with him is different from that who mistake him to be of another imaginable things. When this song was sung during Holy Communion people walked with bowed heads down as though nothing in that place cannot be touched by no other strange things or conterminated. Plain holiness was felt, nithing but holy, holy, holy is the God of hosts.
Thanks Upendo for this release. you never disappoint when it comes to keeping us updated on our liturgical calendar. A very soul touching song. Hongera dada na uendelee kututumbuiza zaidi. Be blessed
@@saraphinaibrahim965 Nenda kwenye playstore kisha tafuta program inaitwa Acapella Maker....Ifungue tu kisha fuata maelekezo kama vile....Kuchagua urefu wa wimbo....Kuchagua aina ya vibox kisha click rekodi na anza kuimba
Hongerasana nakwetu burundi nyimbozako zinatufulahisha mungu akubaliki sana kwa nema yako
Angelically terrific! Sauti nyororo na ya kuvutia but most importantly the song inspires me to seek a closer union with Jesus Christ MPENZI WANGU. Ahsante sana dada Edwiga Upendo
Amina...Zidi kubarikiwa MJ
Upo parokia gani na jimbo gani. Umewaponya wengi kwa uimbaji wako mzuri uliotukuka!. Batikiwa sana. ( die singen ist gut und gesundheit, sehr gut unsere schwester).
Ashukuriwe Mungu
Woow!Amazing💗 I dnt know why am even crying...this song reminds me of my late dad..may he continue resting in peace🙏
Kazi nzuri my dada
Be blessed kaka
Wow wow wow am glad I discovered your beautiful voice keep singing
Such an amazing sound and voice good work
Qui bene cantat bis orat " kuimba vizuri kwa utukufu ni kusali mara mbili". Hongera kwa kuimba kwa uvuvio. Dada Mwl. Hedwiga Upendo upo hapa Tz, Jimbo na parokia gani?. Amina.
Ewe Dada, ubarikiwe sana wewe pamoja na uzao wako
Amen....Thank you
Tunaomba uje Siku moja Arusha..Parokia ya Moshono uje ucheze kinanda
Hongera nyimbo zako ziko safi,
Nimempenda mnooo huyo Dada mwimbaji ameutendea haki wimbo
Barikiwa mpendwa
We need these beautiful traditional catholic songs. may God bless you abundantly.
Amen man of God.....I humbly remain
Barikiwa mnooooo mtumishi 🙏🙏🙏
I love this song👏
Asante Sana mtumishi wa Bwana Mungu akubariki pia akulinde na akujalie nguvu za roho mtakatifu ili upate kumtumikia siku zote zamaisha yako amina
Amina sana mpendwa
i wish to see you live unaimba kwa hisia mpk ni aman moyon
Tumshukuru Mungu dear.....Karibu sana....Nipo tu
Hongera kwa kipaji kizuri cha uimbaji
Watching from Ngudu Kwimba...Kumuimbia Mungu kunautukufu mkubwa sana ndani yake
Tumshukuru Mungu
Great song. Be blessed
I can't stop listening your angelic voice,big up dadaa
Wow!! very nice upendo continue with that spirit
Utukufu kwa Mungu
Na amani duniani kwa watu aliowaridhia
Nice one dada yangu mpenzi.
Umeeimba vizuri aisee
Amina nimebarikiwa sana sauti nzuri sana sana.
Amina...Ahsante mpenzi
Safi sana best
Barikiwa mtumishi
Very inspiring song,keep it up
Kazi safi sana, Hongera Edwiga. Happy Feast of Corpus Christi
Amen....Thank you
Tunakupenda sana dada yetu, ubarikiwe sana
Ahsante dear
Upo vizuri sana aisee unatufanya tuzipende zaidi nyimbo zetu za kikatoliki. Nimekukubali sana Dada angu
Nothing but feeling indebted to the Word with this moving words.
Amen
Hongera sana Hakika unanikosha kwa sauti yako nzuri na fingering yako kwenye kinanda.
Barikiwa mpendwa....Tumshukuru Mungu
If the children can remember this hymn today: That is the real wording gospel. Lord with me and i stay with you. Who God stays at home with him is different from that who mistake him to be of another imaginable things. When this song was sung during Holy Communion people walked with bowed heads down as though nothing in that place cannot be touched by no other strange things or conterminated. Plain holiness was felt, nithing but holy, holy, holy is the God of hosts.
Sauti tamu I say👏
God bless You Mdm. Upendo (love you)
wow nice voice
Beautiful angelic voice mwlm thanks nimebarikiwa sana kwa hiyo
Humbled
Bingwa......hongera madame Upendo kwa kazi nzuri yenye kuvutia, kupendeza, kubariki na kutakatifuza malimwengu, beautiful work kwa kweli😁😀
Humbled
Madam mimi husubiri tu melodia safi safi kutoka kwako...zidi kutubariki kwa kipaji cha pekee
Ahsante dear....Tumshukuru Mungu...Ubarikiwe jana leo na hata milele
wow, wonderful! I feel blessed with your sweet voice. God bless u.
Amen
Nabarikiwa kwa wimbo huu
Ahsante sana kaka
Thanks Upendo for this release. you never disappoint when it comes to keeping us updated on our liturgical calendar. A very soul touching song. Hongera dada na uendelee kututumbuiza zaidi. Be blessed
Be blessed
Asante sana kwanyimbo nzur my barikiwasana
Uzid kubarikiwa mno dada🙏
Ahsante my...Barikiwa pia zaidi na zaidi
Beautiful voice.. heko
Barikiwa
Vizuri sana dada Edwiga Upendo! Barikiwa sana!
Be blessed
My best song. This is nice Upendo. May God bless your work
Lovely song.
Aminaaaa Dada nimeupenda up ubunifu hongera xanaa
Ahsante....Zidi kubarikiwa
Waoo directly to heaven sweetie voices be blessed ni njoro akiwa som tumebarikiwa thanks
Tumshukuru Mungu kaka Daniel
Beautiful! I found myself accompanying you in bass! ❤️🔥🔥🔥🔥
Humbled
Ubarikiwee sana
Wow. Sauti tamu. Watumia app gani
Barikiwa....Acapella Maker...Ipate google playstore
@@edwigaupendo 𝕒𝕤𝕒𝕟𝕕𝕖 𝕕𝕒𝕕𝕒. 𝔸𝕞 𝕗𝕣𝕠𝕞 𝕜𝕖𝕟𝕪𝕒 𝕟𝕚𝕟𝕘𝕖𝕡𝕖𝕟𝕕𝕒 𝕜𝕦𝕠𝕟𝕘𝕖𝕒 𝕟𝕒𝕨𝕖
Beautiful song
Barikiwa
Kazi nzuri dada Upendo
Barikiwa kaka
Sauti Yako Nzuri Sana Dada
Tumshukuru Mungu kaka....barikiwa
@@edwigaupendo Amina! Mungu Abariki Kazi Ya Mikono Yako
Wow..awesome
Tunabarikiwa,aisee naomba nota za huu wimbo
Upate swahili kaka
@@edwigaupendo Dada Samahani Naomba Unielekeze Jinsi Ya Kurekodi Video Namna Hii Napenda Sana Kuimba
@@saraphinaibrahim965 Nenda kwenye playstore kisha tafuta program inaitwa Acapella Maker....Ifungue tu kisha fuata maelekezo kama vile....Kuchagua urefu wa wimbo....Kuchagua aina ya vibox kisha click rekodi na anza kuimba
This song reminds me of my dad's demise who was laid to rest last sat.this was our song
Take HRT it also reminds me about my late daughter who passed last year sep
Poleni sana. Mungu awafariji
Wow am real enjoy it
Humbled
Asante sana dada. Ubarikiwe sana.
Amina mpendwa...Barikiwa pia
this is a good one
Thank you Jaime
I'm blessed with this song
Amen
Hongera sana dada Upendo...
Barikiwa mpendwa
@@edwigaupendo Nawe pia ubarikiwe zaidii..
Barikiwa sana
Powerful and sweet though it Reminds me of my late uncle
Continue dancing with angels 😢😢
May his soul R.I.E.P
Anza kufanya tour za kuzunguka parokia mbali mbali uje utuimbie live
I love the song, thanks for blessing us with this song 😍😍
Be blessed
So lovely
Nice ,song really blessing me
Zidi kubarikiwa mpendwa
Humbled
Your Harmony carries thing song akii ,,, you must have a special taste for music. I really love your voice
Thank you Chris...Be blessed
Woooow, nimebarikiwa
Amen
Authentic piece... wow
Barikiwa
what a masterpiece... kazi safi... Unatubariki sana kupitia nyimbo hizi
Amina mpendwa
Sweet voice dada
Be blessed
Apt song for the Feast of Corpus Christi. Be blessed Edwiga.
Thank you dear....Thanks be to God....be blessed more and more
Naomba unishirikishe tuimbe wote
Karibu dear
My favorite song
Safi sana hiyo
Ahsante Tino
tamuuuu sana. keepup
Thank you...Enjoy it
amazing madam organist
Thank you Simon
I like this song very inspiring.
Already nimetumiwa over watu 300 UA-cam link wa subscribe,,, nmependa songs Zako sana sister
Thank you for appreciation and support as well....God bless you Martin
Thank you so much! Huu wimbo umenibariki Sana...
Humbled
@@edwigaupendo madam hongera Sana
Pliz record more of the songs. They are up lifting !
Thank you man of God....I'll try my level best Sir
Your voice makes me feel to be like u i love u soooo much God bless u
Humbled mpenzi.....Love you more
@@edwigaupendo thank u sister i wish to be like you
Its very possible dear....You can even more better than me....I assure you that
@@edwigaupendo woow i will make sure i try my best. Thank u soooooo much😘😘😘
@@thersyandrea95 I encourage that dear....And may God almighty bless your efforts.
Wow! You’re blessed with a beautiful voice 💕💕💕 I’m happy to hear this again I’m blessed
Amen
@@edwigaupendo do you now french? I need translation. Be blessed!
Nice song with angelic voices
Amen...Thanks Anthony
In love with the voice 😍
Thank you....Be blessed more
Awesome 👍😊
congratulations
Wow!
Beautiful vocals,beautiful rendition💞
Be blessed dear one in Christ
This is super sweet
Good melody 🎶🔥🔥congrats keep it up,, sweet melody
Keep it up sister 💪 nice voice
Thank you dear
Great job....🙏
Humbled
I can try singing it as well....
Where can I get the music piece?
Ubarikiwe
Amina
Amazing piece
Niceeeee
Thank you
Talented sister. Big up
Thank you
Penda sana