Role Model Wangu | Hayati Askofu Dr. Stefano Moshi na Ujenzi wa Hospitali ya K.C.MC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Sehemu ya Mahubiri niliyohubiri Jumapili ya tarehe 16 june 2024, yenye kichwa cha somo UMOJA WETU NGUVU YETU
    Siku hii ilikUwa ni maalum kukumbuka kuanzishwa kwa Kanisa la KKKT, kwa upande wangu niliona vyema kumzungumzia Askofu wa kwanza wa Kanisa letu, Hayati Dkt Stefano Moshi ambaye alibeba maono makubwa ya ujenzi wa Hospitali ya K.C.M.C, na mimi namchukulia kama mtu wa mfano kwangu 'Role Model' kwa kazi kubwa aliyofanya

КОМЕНТАРІ • 8

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 місяці тому

    Asante sana Mchj Kimaro, vizazi vijavyo wewe ni Tunu kwao. Barikiwa sana BABA.

  • @alphabartazary9692
    @alphabartazary9692 3 місяці тому +1

    Amen,

  • @amilawere5425
    @amilawere5425 3 місяці тому

    Inspiring and challenging sermon, thanks Pastor

  • @janeminja5279
    @janeminja5279 3 місяці тому

    Asante sana mchungaji kwa historia hii barikiwa sana

  • @BarakaRwegoshora
    @BarakaRwegoshora 3 місяці тому

    Asante kwa elimu hii

  • @joycemosha1898
    @joycemosha1898 3 місяці тому +1

    We africa we can operratig ourcommunity not Araabu nothings anding abdalusia weekends aready and andalusia on theress instead off to famillys forevermore instead polish enginnerrigs ontoontology

  • @janeminja5279
    @janeminja5279 3 місяці тому

    Asante.baba

  • @nicksonkoka7822
    @nicksonkoka7822 3 місяці тому

    Ameeen pastor