Meja Kunta x Mabantu - Demu Wangu (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 575

  • @davidmathias3428
    @davidmathias3428 2 роки тому +15

    Nipen like zang nimekua wa kwanza ku watch huu wimbo

  • @luwaluwachampionboy5003
    @luwaluwachampionboy5003 2 роки тому +53

    Singeri la kufungia mwaka hili kabisaa 🔥🔥

  • @magaritanzania6540
    @magaritanzania6540 2 роки тому +147

    Kama unakubali i ndo nyimbo bora ya kufungia mwaka tujuane kwa like ap🔥🔥🔥🔥

  • @Swahili14
    @Swahili14 2 роки тому +34

    2:45 took *"NAKUPENDA WEWE NA UYO BWANA AKO"* to the whole next level 💀

  • @lukamavoice5377
    @lukamavoice5377 2 роки тому +132

    Oya goma kali rudia mara mbili utaelewa na kama unakubali gonga like hapa tujuane

  • @marialeonard6244
    @marialeonard6244 2 роки тому +2

    Meja umeua ila huyu mwenye bwanga dadekiiii

  • @fatmaally6228
    @fatmaally6228 2 роки тому +9

    Km unampenda meja gonna like yako apa twende sawa wanangu wa buza

  • @atanasshirima8623
    @atanasshirima8623 2 роки тому +20

    Kudaadeki nakupenda we na huyo bwana wako 🔥
    Huu mstari unanifanya nisklize hii nyimbo kila muda 😁😁😁😁

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 2 роки тому +5

    Yani nilikua sio mpenzi wa singeri lakini meja umefanya nipende sigeli unajua paka unakera 🍎🍎🍎🍎🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥👇👇👇

  • @christinaonditi9341
    @christinaonditi9341 2 роки тому

    Meja kunta hakoseagi,mapenzini yupo na kazini yupo sasa sijui kwa chalii ya Arusha kule kama anakumbuka kazi

  • @djtox6456
    @djtox6456 2 роки тому +10

    Bless nyingi ziende kwa director good video good story 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @boiboi4994
    @boiboi4994 Рік тому +5

    Ngoma kaliii homiie . Salute nikiwa SAUTH AFRICA

  • @Hommie45
    @Hommie45 Рік тому +13

    These twins there vibe is on another level...wapi likes za Mabantu💣💥

  • @antonylance6095
    @antonylance6095 Рік тому +6

    🤣🤣🤣💯💯💯 from USA 🇺🇸 napenda hii ngoma jamaa!!!

  • @mjakashafii912
    @mjakashafii912 2 роки тому +5

    Kama unamkubali meja na kazi zake gonga like twende pamoja

  • @keedbwax
    @keedbwax 2 роки тому +6

    Nilikuwa sjui ukanifunza michezo kwa mpalange 🔥🔥🔥

  • @tumainifayabytz
    @tumainifayabytz 2 місяці тому +1

    Adimim nipeeni like ❤❤❤❤zangu

  • @mwantummkwenya8371
    @mwantummkwenya8371 2 роки тому +20

    Naikubali kuwa ndo nyimbo moja kali sana kichupa cha kwenda naimani kwa saport yetu meja power atazidi kuitangaza singeli kimataifa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kaksvidoke8700
    @kaksvidoke8700 2 роки тому +1

    Kenya tunawapenda bt mi sipendi wasafi

  • @ramadhanaliomar61
    @ramadhanaliomar61 2 роки тому +1

    Meja mateja ndio mashbik zko Yan pia huu mziki duuh kwel kizaz kipya😸😸

  • @ilapfashajackson741
    @ilapfashajackson741 Рік тому +26

    no one does singeli better than meja kunta. much love from USA🗽

  • @officialherobwoy8812
    @officialherobwoy8812 2 роки тому +4

    Mimi ni mkenya 🇰🇪 nimekuja huku kuomba subscribers

  • @kiboumeme9490
    @kiboumeme9490 2 роки тому +11

    Meja power.. nowma sanaa mtu kazi 💪💪💪

  • @FARAJACHACHA-bm2jf
    @FARAJACHACHA-bm2jf 11 місяців тому +1

    Tz is a teacher of singeli worldwide 🙌🔥🔥

  • @adamohtz4435
    @adamohtz4435 2 роки тому +2

    bonge la video nimekubal sana kumuona tunda pale

  • @ajyfujooh8357
    @ajyfujooh8357 2 роки тому +4

    Oya papi Kama papi nasema hili goma ni GOMA 🔥🔥🔥🔥

  • @allyabdallahmsusa
    @allyabdallahmsusa 2 роки тому +3

    Nakupenda wew na huyoo bwana wakooo..!!

  • @issahmjanjaog
    @issahmjanjaog 2 роки тому +18

    Gonga like hapa kama unaikubali hii ngoma kali

  • @msafiblog
    @msafiblog 2 роки тому +2

    Nilijua tu Mashalove atakuwepo

  • @tambweshabani8926
    @tambweshabani8926 2 роки тому +1

    Umejua kunikosha Akiamungu

  • @isihakaakiba6257
    @isihakaakiba6257 2 роки тому +6

    Toa ngomwa mwana tunaisubil

  • @yahyashee4857
    @yahyashee4857 2 роки тому +63

    MEJAKUNTA never disappoints, the King 👑 of singeli #DemWangu

  • @cocomapicha
    @cocomapicha 2 роки тому +3

    Mwamzo nilidhani Director ni #Kenny

  • @barakadaso5802
    @barakadaso5802 2 роки тому +1

    Kaz nzur kak c lazima kulia lia kila wimbo one time moja tunabadilika kam iv kukimbizana n soko

  • @saluboy1178
    @saluboy1178 2 роки тому

    Meja uyo si baba yako kabisa unamkunja

  • @keedbwax
    @keedbwax 2 роки тому +2

    Oyaa kma noma na iwe nomaa 🔥🔥

  • @keedbwax
    @keedbwax 2 роки тому +6

    NAKUPENDA WW NA HUYO BWANAAKO🔥🔥🔥

  • @emmanueljacsonmumwi3100
    @emmanueljacsonmumwi3100 2 роки тому

    Kweny afu tatu zangu jmn namkumbuka shujaa majaliwa

  • @rockyvlogs2214
    @rockyvlogs2214 2 роки тому +2

    Huyu dogo kwa singeli 🙌🙌🙌

  • @veronicapastory3984
    @veronicapastory3984 2 роки тому +3

    Goma lakwenda nalo hili mpaka 2023.....mabantu never disappoint

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 2 роки тому +5

    Demu wangu 🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯ngoma kali sana

  • @anastasiaocco6063
    @anastasiaocco6063 Рік тому +6

    Nimeikubali song big up from Sweden ❤❤❤

  • @cartoon47twf66
    @cartoon47twf66 2 роки тому

    Woooza noma sana hiiii mbonge la video kubwa kama ya ngoma yenyewe

  • @FaridaHamisi-ow8hy
    @FaridaHamisi-ow8hy 7 місяців тому +1

    Weée kamanakuon kaka lakéé❤❤❤

  • @maryhosea3845
    @maryhosea3845 2 роки тому +2

    Video nzurii nyimboo nzurii jmnii mejaa unajua mpk unaboa🥰🥰🥰

  • @wendyosoro6569
    @wendyosoro6569 Рік тому

    Kenya 🇰🇪 tuko hapa

  • @princessgiselle2102
    @princessgiselle2102 2 роки тому +15

    Goma kali ya mwaka ❤️🥰 much love from congo🇨🇩

  • @salumomary8312
    @salumomary8312 2 роки тому +2

    Oya weee hili chupa halijawah tokea kwa hii nchiiio mamaeeee

  • @mfaumeseif5872
    @mfaumeseif5872 2 роки тому

    Wimbo mkali sana video ni mbovu kusema kweli

  • @wolfgunyusuph472
    @wolfgunyusuph472 2 роки тому +9

    Mjekunta world wide on top🔥🔥🔥🙌🙌

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 2 роки тому

    Ayaa! Mshamtoa roho KINGWENDU wa watu!

  • @misalabacharles2728
    @misalabacharles2728 2 роки тому

    Aiseee #Mejakunta Singeli Umeifanya iwe Na Ladha Maana mistali iliyomo Ni Balaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Manswabu
    @Manswabu 2 роки тому +2

    Mbona tundaaa kama umemuina

  • @3kings63
    @3kings63 2 роки тому +2

    Kwaiyo mejaa una semaaaaaaaaa😂😂😂😂

  • @mjakashafii912
    @mjakashafii912 2 роки тому

    Msanii wangu wa singeli muda wotee

  • @lilney6819
    @lilney6819 2 роки тому +3

    Kingwendu the legend 😸👌🏾👌🏾

  • @hamisiwengi2498
    @hamisiwengi2498 2 роки тому +1

    Mzee kingwendu fundi sana

  • @pererchuwa6996
    @pererchuwa6996 Рік тому

    Makini sana kwako boss kubwa Ngoma Kali sana nimeikubali mkuu

  • @eliamakau5275
    @eliamakau5275 2 роки тому

    Ngoma kali kweli nakupenda na huyo mbwana wako

  • @3kings63
    @3kings63 2 роки тому +11

    One love Tz to the world🌏🌐🌍 🏆🔥

  • @lomnyakilaizer9514
    @lomnyakilaizer9514 2 роки тому +1

    Shie sidaii tukuluu taa!!!!

  • @Hommie45
    @Hommie45 Рік тому +1

    Wahuni tunakupenda wewe na huyo bwana ako...😂😂😂😂😂🔥🔥🔥💣💥

  • @irenejamesmushi8373
    @irenejamesmushi8373 2 роки тому

    Nakupenda wewe na uyo demu akooo!!!

  • @snedemc
    @snedemc 2 роки тому +1

    Kazi nzuli kka yani unyama sanaa

  • @moshimnyeda9435
    @moshimnyeda9435 2 роки тому +1

    Juma Jangara 😃😃😃😃mwenetu mmoja hivi

  • @Adinaci
    @Adinaci 2 роки тому +1

    Lazima iiti

  • @victoriadeogratiasmsaki9564
    @victoriadeogratiasmsaki9564 2 роки тому +5

    I like the amount of comedy in this music video. Big up sanait was worth the shoot

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 2 роки тому +4

    Tunda ❤️❤️❤️🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇧🇮🇧🇮

  • @aggreyhayacha217
    @aggreyhayacha217 2 роки тому

    Kali kixenge Mejja kun sarute xanaah broo..

  • @mirajifundi8559
    @mirajifundi8559 2 роки тому +2

    Mwanangu Sana teacher meja 💥💣

  • @fatmaally6228
    @fatmaally6228 2 роки тому +2

    Meja umenistukiza💯

  • @nicolausmapunda9470
    @nicolausmapunda9470 2 роки тому

    Nyimboo ya kufunga mwakaa

  • @donaldmartin1233
    @donaldmartin1233 2 роки тому +1

    Mbona saut haijatulia au ni kwangu tu

  • @esthermado3170
    @esthermado3170 2 роки тому +8

    Proudly 🎉💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽🇨🇩🇨🇩🇿🇦🇿🇦

  • @keedbwax
    @keedbwax 2 роки тому +1

    Papiiii mlete mlevi wakooo 😅😅😅🔥🔥🔥

  • @keedbwax
    @keedbwax 2 роки тому +4

    Mabantu wanajua sanaaa 🔥🔥🔥

  • @salhinanjemu9133
    @salhinanjemu9133 2 роки тому

    Hii too much sasa,unaweza ukapendwa bila ya kujijua aisee hahahahaaaa

  • @yusuphmwalong307
    @yusuphmwalong307 2 роки тому

    Mwamba nngoma Kali sana.

  • @sheillajasmine
    @sheillajasmine 2 роки тому +1

    King of singeli Meja kunta 🤴Nakukubali kinoma from Canada 🇨🇦😍😍😍😍 ngoma kali 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @asmamsati48
    @asmamsati48 Рік тому +1

    Meja kunta👌❤️❤️❤️🌹❤️❤️una mbambamba oyaaaa weeeeeee oyaaaa weeeeeee 🎧✌️🎼🎵🎼 Mabantu bebe yng mama mtu mm cikuach

  • @aminaibraahimu3260
    @aminaibraahimu3260 Рік тому

    Meja umetishaaaaaaaa

  • @jonsonumjumoja4618
    @jonsonumjumoja4618 2 роки тому +1

    Toa nyigine pambe zaid

  • @pendopendo7427
    @pendopendo7427 Рік тому

    Tunakupenda wew na nyimbo zako jomba😂😂😂😂😂😂

  • @CLAM_VEVO255
    @CLAM_VEVO255 4 місяці тому +1

    Oya kama upo apa 2024 lik jamani wewe na uyo bwna wako

  • @brunoinnocent8474
    @brunoinnocent8474 2 роки тому

    Hii chuma ni ya moto balaaaaa owa @keed🔥🔥🔥

  • @hapi6113
    @hapi6113 2 роки тому

    Hii nyimbo lazima niisikilize kila siku

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 2 роки тому +7

    Bonge la nyimbo Bonge la video❤️❤️❤️❤️❤️🙌🙌🙌🙌

  • @filbertonesmo6092
    @filbertonesmo6092 2 роки тому

    Hii ngoma kila nikiingia you tube ndo ngoma ya kwanza kusikiliza so poa hii ngoma ya kuombea mkopo Bank

  • @hassankalu540
    @hassankalu540 2 роки тому +2

    Mzee wa comedy never disappointed meja kuntu good job bro

  • @ericktarimo8157
    @ericktarimo8157 Рік тому +1

    Hiii ni yetu soteeeee

  • @rajabkanyor431
    @rajabkanyor431 2 роки тому +2

    Wamehangaika king wa singeli kaja kuwafunika mwisho wa mwaka kudadek😁😁😁

  • @boss_the_dj
    @boss_the_dj 2 роки тому

    Singeli to international..

  • @tops-brand
    @tops-brand 2 роки тому +1

    Ndge iko chin iyo au macho yang

  • @IAMBARBIEBOSS
    @IAMBARBIEBOSS 2 роки тому +10

    After 10 hours naoma kama nachelewa 😂

  • @fatmaally6228
    @fatmaally6228 2 роки тому

    Mi sikuachi mejakunta

  • @fatmaally6228
    @fatmaally6228 2 роки тому

    Nakupenda ww mejakunta na iyo family yako

    • @bibunasaida7186
      @bibunasaida7186 2 роки тому

      me namkunali san meja kunta 💖💖💞💞💞💞

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 роки тому

    babu hili bonge la video intonation sengeli KAPTEN TUNDA nakuona
    kwa mbaaali nakupenda sana we mrembo #tuna

  • @keedbwax
    @keedbwax 2 роки тому

    NI MWENDO WA RUBA KUNGANGANIAAAAA

  • @kuruthumumwegelo6124
    @kuruthumumwegelo6124 2 роки тому +2

    Qaaaliiio👌👌👌👌ya Motrooo 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @princesszuuhzuuh5755
    @princesszuuhzuuh5755 2 роки тому +3

    Nakupenda wewe na huyo bwanaa akoo😂😂😂😂uwiiiii hapana jamanii kunta😂