MIAMBA WANATENENEZA SARAFU YAO NA KUACHANA NA CFA FRANC YA MFARANSA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 70

  • @AmranSeif-e4f
    @AmranSeif-e4f 21 день тому +8

    Naaaam safi sana jambo la maana kbsa viongozi wangine waone mfano 🇧🇮

  • @FrankImanyi
    @FrankImanyi 20 днів тому +15

    MH.MAGUFULI angekuwepo sasa tungekuwa mbali

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express 19 днів тому +2

      Nakuunga mkono

    • @yonawilliam9419
      @yonawilliam9419 10 днів тому

      Ukweli ni kwamba Traore anaweza kufanya yote haya sababu ni kwamba hakuingia kidemocrasia kwenye hiyo nafasi. Democrasia ndio sumu ya Afrika. Magufuli alifanya kwa kiasi kwasababu alifanya nusu dikteta. Usipokuwa na udikteta hauwezi kufanya kitu kikubwa Afrika. Demokrasia ndio mlija unaotumiwa na mabeberu kuinyonya Afrika. No Democracy is freedom of AFRICA .

  • @MoinamoinaSaid
    @MoinamoinaSaid 21 день тому +4

    kheri na fanaka katika mwaka mpia pamoja na familia yako ubarikiwe mh

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 21 день тому +4

    Hakuna kisicho wezekana, madamu wameungana kwa nia moja na kilma moja basi tutafaulu inshaallah, Africa iko mali mengi sana muungano ndio hakuna, mungu aibariki Africa, amin

  • @legynsio
    @legynsio 18 днів тому +1

    Wowooooooo Asante sana naisikia faraja mno napoiona hii nguzo ya sahel

  • @ImmaJulius-rg4yf
    @ImmaJulius-rg4yf 21 день тому +5

    Safi sana kwa maelezo mazuri

  • @hajiramadhanihaji355
    @hajiramadhanihaji355 21 день тому +9

    Nawapenda Sana Hawa jamaa ,pamoja na Julius malema.

    • @adrianomaulaga1599
      @adrianomaulaga1599 20 днів тому +1

      Tatizo la malema anaukubali ushoga

    • @Ibrahimtraoremagufuli
      @Ibrahimtraoremagufuli 14 днів тому

      @@hajiramadhanihaji355 Yule Julius Malema anazingua anasupport mambo ya ajabu , pia amemzushia Traore ety Ni kibaraka wa ufaransa kwel hii Ni haki?

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 21 день тому +6

    Mungu aibariki Africa na waafrika, amin

  • @abduljuma9275
    @abduljuma9275 11 днів тому +1

    Ata mmoja atembeleee Tz basi mana 😢😢

  • @ArafatAbdullahAwadh
    @ArafatAbdullahAwadh 21 день тому +4

    Safi sna mashujaa wa Africa

  • @FirdausMadina-g5s
    @FirdausMadina-g5s 14 днів тому +1

    Mungu yu pamoja nasi, utayari wa kifikra na wa kimatendo utatufikisha tu tunapopataka na tunapopatarajia.

  • @Sixtus-k7v
    @Sixtus-k7v 20 днів тому +1

    Africa unit africa standap 👊 safi mchmbuz 💯💚unafaa kua mwnykit wa kuinganish africa

  • @AliomarIddi-o4g
    @AliomarIddi-o4g 20 днів тому +1

    Dah jamaa wako na malengo mazuri bigup sana

  • @alimzee
    @alimzee 21 день тому +4

    Africa oyeee 💪💪💪

  • @YohaneAurisharChimpukuta
    @YohaneAurisharChimpukuta 19 днів тому +1

    Bravo congratulations,big up

  • @Nursinghilbank
    @Nursinghilbank 21 день тому +6

    Yani hapo kwenye kutengeneza pesa yao. Basi wamejikomboa minyororo mazima

  • @agneskayange2804
    @agneskayange2804 20 днів тому +1

    Nawapenda sana hawa watu wenye maono mazuri!!

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 19 днів тому +3

    Safi mwakiembe endelea kutuhabarisha habar za hawa miamba tupo pamoja tunakufolo

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili3186 21 день тому +4

    Kwa maombi yetu wataishi sana

  • @SteveMweu-n9b
    @SteveMweu-n9b 21 день тому +9

    Naiombea nchi ya gongo ipate kiongozi kama Ibrahim traure

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 21 день тому +4

    KWA MAONI YANGU HAWA MIAMBA WAWASHARI WAKUU WA MAJESHI WAWAPINDUE MARAISI WASIO WAZALENDO AFRICA NZIMA IONGOZWE KIJESHI KWA MIAKA KADHA AFRICA INYOOKE KUNA MAMBO YANAITAJI UJASIRI WA KIJESHI AFRICA INANYONYWA SANA

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 21 день тому +4

    Hawa wamba Huwa hawachoshi kuwasimulia Yaani Kila siku wana jambo jipya ambalo wengi wameshindwa kuyafanya wao wanafanya Tena makubwa na kwa kipindi kifupi tu

  • @victorwanzagi6417
    @victorwanzagi6417 21 день тому +2

    Bravo sahel

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 20 днів тому +1

    Noma sana mwalim

  • @andrewnday9127
    @andrewnday9127 21 день тому +3

    Ni jiji la Kazan.

  • @YamuremyeYarodi
    @YamuremyeYarodi 21 день тому +2

    Ahsant sana kwa taarifa ila doumbuya sio wakaaminika konde alipoanza kuonesha kama anataka mtenga mfaransa wafaransa wakamuwayi wakamleta huyo.mkewe nimfaransa naufaransa ana mali nyingi sas nadhani kawuri zake zote nizakisiasa.nakuna taarifa na cote d'ivoire watafurusha wanajeshi wakifaransa

  • @alfrednasoro3309
    @alfrednasoro3309 12 днів тому

    Tupambane afrika mungu yupo pande wetu

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 21 день тому +2

    Asante mwalim

  • @EmmanuelKazimili-ky1ss
    @EmmanuelKazimili-ky1ss 20 днів тому +1

    Kazi nzuri wakuu

  • @robertmagara1350
    @robertmagara1350 21 день тому +3

    Shida sisi wa Africa tunafikiri kuwa vyawasungu visuri kuliko vyetu vyaa Africa shidatunayo tumeshidwa mweelekeo

  • @TiosalverSalverdor
    @TiosalverSalverdor 21 день тому +2

    Asante wamba wanyooshe wataelew 2

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 20 днів тому +1

    Mungu awasaidie

  • @nzengamwamulima7724
    @nzengamwamulima7724 19 днів тому +1

    Nakuelewa asilimia 100%

  • @EstherYoram
    @EstherYoram 20 днів тому +1

    Safi safi safi saaaaafi

  • @piusjulius9978
    @piusjulius9978 18 днів тому +1

    One day tutaelewana tu,

  • @OMARJUMAOMAR-i2v
    @OMARJUMAOMAR-i2v 21 день тому +3

    Saivi mfaransa hatumii tena Franco money anatumia euros

  • @JafariOmari-o8u
    @JafariOmari-o8u 20 днів тому +1

    Huku kwetu kenya lini tutajikomboa mungu tusaidie.

    • @AbdulAbdulrahman-u7n
      @AbdulAbdulrahman-u7n 20 днів тому

      Nyie wakenya na sisi watanzania niwajinga sio raisi mpaka tujue kuwa wazungu ndio maadui zetu kwa vyovyote vile hatawakija kwa kutulea msaada niwaongo tu na viongozi wetu ndio wanazidi kuwa Beba eti niwafadhili wahisani miziki
      Et vipaji kwetu wanatuambia ujinga mkubwa watoto wetu wanagundua kutengeneza vitu hatuwaendelezi wala hawachukui kuwaendeleza halafu warudi kwetu wanabakikwao watu wamiziki ni vyoo vya Jamii mtaendeaje

    • @jeremiaaugustino7187
      @jeremiaaugustino7187 9 днів тому

      MKIACHA KUONA english ni muhimu kwenu kuliko Mali

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 20 днів тому +1

    Good

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 20 днів тому +1

    Hi
    Hiyo mitambo yakutengenezea Hela wanayo au Bado Wana agiza tena ulaya

  • @shamisissa9165
    @shamisissa9165 21 день тому +2

    Nchi za afrika zikipata viongozi wa aina hii wazungu lazima matako Yao yakomae
    Maana yamelegea Kwa sababu ya wizi wa Mali za afrika wanaoufanya

  • @LuckyTemu
    @LuckyTemu 19 днів тому +1

    Wale ngozi nyeupe hawawez kubali hawa jamaa waungane watatumia Kila mbinu wanaharamu wale WANASEMA AFRIKA NI MASKINI MBONA HAWATAKI KUONDOKA KWENY NCHI ZETU

  • @AliKombo-l9u
    @AliKombo-l9u 19 днів тому +1

    Mji wa kazan

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 16 днів тому

    ALIOMUA GADDAF MUAFRICA MWENZETU WA DAMU BABA YAKE KATOKA AFRICA AWA WAKENYA WACHA WAPIGWE RANA SIO TAIFA JEMA

  • @alukweKopite
    @alukweKopite 20 днів тому

    Mji wa KAZAN

  • @ChristopherGodwin-r3v
    @ChristopherGodwin-r3v 20 днів тому

    Hii ndio Africa Sasa.. mungu atusaidie tunakoelekea naona hata vinu vya nyukilia kwa Africa vitamilikiwa na Hawa miamba watatu.. Africa tunaenda kumiliki nuclear weapons hivi soon

  • @NehemiaNzoyisaba
    @NehemiaNzoyisaba 13 днів тому

    Yote yanawezekana umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu nchi za magharibi wameenza kujiondoa kwenye utumwa ikiwemo mali Níger Burkina Faso Senegal chad code d'iviore

  • @NehemiaNzoyisaba
    @NehemiaNzoyisaba 13 днів тому

    USD ndio habari ya mijini

  • @dunsonditaniumz2811
    @dunsonditaniumz2811 20 днів тому

    afrika itaheshimiwa sasa vibaraka wajue tunawakujia

  • @godiusmghase8146
    @godiusmghase8146 19 днів тому +1

    HUJAMBO SAUTI YA AFRIKA ,JE HIYO SARAFU INAWEZA KUWA YA AFRIKA ? MAANA ILE YETU YA EAC ILIFUTWA NA OAU HAJAWEZA NA EAC YA SASA NCHI NANE KONGO SOUTH SUDAN SOMALIA UGANDA NA KENYA NA BURUNDI NA TANZANIA NA RWANDA

  • @GladnessIsaya
    @GladnessIsaya 14 днів тому

    Au watz tuhamie tu huko maana mmh

  • @njengagikanga7221
    @njengagikanga7221 17 днів тому

    kazan

  • @JEMIMASHOMARI
    @JEMIMASHOMARI 18 днів тому

    kaka unafaa sana

  • @AliKombo-l9u
    @AliKombo-l9u 19 днів тому +1

    10:14 10:17 10:21 10:22

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 20 днів тому

    Ukiendereaaa namna hiiiiiiii kuwasifiaa hawa utahamia huko huko

    • @ndayi7
      @ndayi7 19 днів тому

      KWANI kunatatizo kusifia,mbona hata wewe unasifia unaosifia,Wabongo Bwana!!!?

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 21 день тому +3

    Hawa kama hawatabadilika muda mfupi watakua watakua na maendeleo kuliko mataifa mengi África wanaotaka kuendelea Kwa kukopa

  • @Irfaan-k1j
    @Irfaan-k1j 21 день тому +2

    Mwakilembe vp siku izi maongezi ww na mpoki naona yamekata ni vp?

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 21 день тому +2

      Hatumtaki Mpoki kabisa ni jitu moja Linafiki sana

  • @SalumMohammed-r8n
    @SalumMohammed-r8n 20 днів тому +1

    Asante mwalim