Ubarikiwe Sana kaka ISAYA Benson pambana Sana kuwajuza waafrika wasiojitambua waamke wajitambue tuikomboe Africa 🌍, pia Magufuli alisema ukiona unashangiliwa Na Adui Rudi nyuma uone umekosea wapi, it's our time Africans to wake up
Mungu aendelee kumbariki sana mwamba wetu ibrahimu traore maana hatutaki 2kuwa sio kumwoogopa kwamba wamwasche na nchi yake wasitake chochote waje tu kwa nchi zetu waendelee kutunyonya ili ifike siku moja itokee na viongozi wetu kuona alicho fanya Ibrahim kwa kuwatimua imekuwa na manufaa kwa taifa hilo la bukinafaso
Huku Tanzania kingereza kimekuwa ndio lugha ya mbiguni haya kifaransa hakuna wnatangeneza magari nayanakuja mengi mazuri tumuombee INAITWA TAARIFA YA HABARI SIO HABARI YENYEWE WASHENZI WAZUNGU wameshatuchea Akili zetu muda mrefu sasa basi waondoke wasitupangie
Mimi bwana nakufuata sana katika makala zako karibu zoote "ukuu wa muafrika"na wewe ni mwana "alkebulan"itafute hiyo ktk mtandao utaona tafsiri yake ni panafricanism"manyang'au walibadili hiloo jina wakaleta jina "afrika"
Sasa huyo mbwa Ruto amefata nini kwa cover ya hii vidio .usiwai weka hii takataka kwa vidio za ukuu wa africa huyo ni kenge muuwaji na anaeiba mali ya wakenya
Africa kweli ni mtihani mkubwa.. Traore ni mwamba..Silaha wakibeba wao hakuna shida tuwajua hao manyang'au wanatumia media propaganda na sisi Africa hatuchekechi tunakurupuka..Africa lazima tuamke si ndio kama Mama hapo anataka asifiwe..Mtihani mkubwa
Unajua kwa nini wazungu wanawai kutuiwa ni kwa sababu tunamuomba sana mungu na kumwachia mungu kila kitu(ujinga) tunasahau kutengeneza mikakati iliyo bora ili tujilinda na kuwalinda genius wetu ila tukiendelea kumwachia mungu ngoja uone kama tutatoboa😂
Mungu akulinde raisi wetu wa Africa
❤ napenda sana kaka uchambuzi wako hivi hujaa vitabu
❤❤❤❤tunamuomba mungu azidi kumlinda Ameen
Ubarikiwe Sana kaka ISAYA Benson pambana Sana kuwajuza waafrika wasiojitambua waamke wajitambue tuikomboe Africa 🌍, pia Magufuli alisema ukiona unashangiliwa Na Adui Rudi nyuma uone umekosea wapi, it's our time Africans to wake up
Wake up and get up true
Viongozi Hawa tunatakiwa kuwaombea Dua kwa Mungu katika maisha ya kila siku.. Wazungu wanatuchukia sana Sisi Waafrica.. MUNGU IBARIKI DRC
Mwalim Benson m nakuombea afiya njema uweze kutupa madin always 🎉🎉🎉🎉
Mungu amlinde raisi wa Burkina- Faso. Shukran Mwalim, endeleeni kupiga kazi na Mungu awalinde Nanni pia. Viva Africa.
Asante sana kaka Isaya kwa uchambuzi bora mno, Mungu akubariki,
Ni kweli Africa tuna safari sana, ila tunahitaji ukombozi wa FIKRA😢😢😢
Mungu amubariki Rais Ibrahim Traore, .
HAWA BBC.. HAWANA JIPYA..
Kwa saivi Waafrika Tumejielewaa Wale wazungu watateseka sanaa
Mungu aendelee kumbariki sana mwamba wetu ibrahimu traore maana hatutaki 2kuwa sio kumwoogopa kwamba wamwasche na nchi yake wasitake chochote waje tu kwa nchi zetu waendelee kutunyonya ili ifike siku moja itokee na viongozi wetu kuona alicho fanya Ibrahim kwa kuwatimua imekuwa na manufaa kwa taifa hilo la bukinafaso
Walitaka avae nini kiunoni badala ya bastora,.. Sijui hata wanataka nini😢😢😢.. Inauma sana,
Ubarikiwe ISAYA🎉🎉🎉
The lion of afrika the new JPM in bukinabe iz back
BBC washenzi sana wanapenda kutuvuruga Waafrika
Wazungu WAPUMBAVU KWEL wanatuletea magonjwa wenyewe Na kujifanya kuleta misaada 😢😢😢😢😢😢 waondoke warudi kwao
❤❤❤ depuis le 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nimesikia kuwa sasahivi kifaransa sio lugha ya taifa uko kwa traole na pia haitambuliki kisheria🎉
Umechambua vizuri sana
Asante mwl
Mimi namuombea Mungu mwamba huyo wa Afrika Ibrahim traore mabeberu wa endelee kumuogopa sana
Nataman kuhamia bukinabe na andaa paspot together as one
Huku Tanzania kingereza kimekuwa ndio lugha ya mbiguni haya kifaransa hakuna wnatangeneza magari nayanakuja mengi mazuri tumuombee INAITWA TAARIFA YA HABARI SIO HABARI YENYEWE WASHENZI WAZUNGU wameshatuchea Akili zetu muda mrefu sasa basi waondoke wasitupangie
Safi mwalimu 💚
Hatari sana
Wa kwanza
Askari hawezi tembea bila siraha .Mungu naomba uwalinde vingozi
Sq
Sana tuna tatizo kisaikoloji,. mkurugenzi wa BBCni mossad agent ndio maana hata mtangazaji zuhura walimtuma amkandie magu
Sisi wa Africa tukosawa na Ibrahim traure wao wasiekuwa na uhusiona wowote na Africa diowanawashwa
Mimi bwana nakufuata sana katika makala zako karibu zoote "ukuu wa muafrika"na wewe ni mwana "alkebulan"itafute hiyo ktk mtandao utaona tafsiri yake ni panafricanism"manyang'au walibadili hiloo jina wakaleta jina "afrika"
mambo yao yanawashindwa wanataka ku dill na sisi very funny
❤❤❤❤❤❤❤❤
Tuko na safari ndefu sana wa Africa
Sasa huyo mbwa Ruto amefata nini kwa cover ya hii vidio .usiwai weka hii takataka kwa vidio za ukuu wa africa huyo ni kenge muuwaji na anaeiba mali ya wakenya
Ni kweli manyang'au hawezi kumsifu mtu mweusi ila tu pale anapowasaliti wafrica wenzake.
Alikuwa samora wa msumbiji
BBC ni wanafiki. Wa Africa wanatakiwa kuwa mbali na bbc. Ni kituo chakupotosha watu wa Africa
Mimi naona bbc wanajalibu kutafuta attention kwa vyombo vikubwa vya kijasusi iliwafanye mageuzi ya bukinabe
Aliongea Ahmed Sekou Toure na Samora Machel
Africa kweli ni mtihani mkubwa..
Traore ni mwamba..Silaha wakibeba wao hakuna shida tuwajua hao manyang'au wanatumia media propaganda na sisi Africa hatuchekechi tunakurupuka..Africa lazima tuamke si ndio kama Mama hapo anataka asifiwe..Mtihani mkubwa
Nisamola mashel
27 -1-2025 Ibrahim traole atakuwa Tanzania 🇹🇿

#freeafrica
Tuko na safari ndefu sana wa Africa