Jamani ivi nikweli mungu ana chezewa ivo mataifa waso mjua mungu ndo wanacheza ivo nanyi mlio kombolewa na dam ya yesu mnacheza ivo mtaenda motoni lekebisheni step zenu uwo ni upagani kabisa injili haiko ivo kile mumacho kisema ndicho mwakifanya wenyewe
Kama mtu amepewa kiuno kilaini cha kumchezea Mungu wacha amchezee na kumsifu Mungu.Hakuna aliyetoa kiuno zaidi yake kwanini wasimchezee?Ndio maana wamecheza uwanjani kwakuwa kanisani hakuna sehemu ya kuwapa nafasi ya kucheza kutokana mpangilio wa Liturjia.Kwanini waende madhehebu mengine kucheza wakati kuna nafasi ya kucheza ndani ya Kanisa?
Mnacheza vizuri, ila punguzeni style zenu za kukatika. Nimeangalia album yenu yote viuno vimezidi. Wekeni manjonjo mengine sio hayo mauno mnawatoa watu kweny mstari na kuwaza ujinga

Inafurahisha roho
Wimbo wenye utunzi wa kipekee
Mungu awabariki sana wanakwaya wa kwaya ya mt Don Bosco nzovwe ..... mnacheza vizuri sana
sema kudance izo style za kucheza ni poa. good work
Nyimbo Inanibaliki sana
Mnacheza disco si kwa kucheza huko.mnajisahau sana wakatoliki wenzangu
Tumieni stairi nziri mnapocheza mnakata sana kiuno
Daudi alimchezea mungu Hadi nguo zake zikararuka, hii kidogo inawatisha🤣🤣🤣🤣🤣
Jikamilishe Hongera mnatisha sana
Nawapongeza sana kwa uimbaji mungu awe nanyi milele
Wakristo tusijisahau sana jaman
Nice song
mh,tembea uone!
Inapendeza sanaaaa
Hongeren mengi awabaliki
Hongera sana
Baba paroko fungia kwaya hii hakuna uinjilishaji wa kukata mauno
Ilifungiwa hii kwayaa.. 😄
Ili ni disco isee
Kwakwer mmejitahid kuimba tatizo moja mwalim WA sitail amebugi munakata mauno.mm nimwanakwaya mwezenu punguzeni kukata mauno
Kama mtu amepewa kiuno kilaini cha kumchezea Mungu wacha amchezee na kumsifu Mungu.Hakuna aliyetoa kiuno zaidi yake kwanini wasimchezee?Ndio maana wamecheza uwanjani kwakuwa kanisani hakuna sehemu ya kuwapa nafasi ya kucheza kutokana mpangilio wa Liturjia.Kwanini waende madhehebu mengine kucheza wakati kuna nafasi ya kucheza ndani ya Kanisa?
Nyimbo nzuri lakin mauno hayo ndio mnawaangusha watumishi
good work
🙏
Mauno yamezidi
Mauno
Mnacheza vizuri, ila punguzeni style zenu za kukatika. Nimeangalia album yenu yote viuno vimezidi. Wekeni manjonjo mengine sio hayo mauno mnawatoa watu kweny mstari na kuwaza ujinga
Daudi alimchezea mungu Hadi nguo zake zikararuka hii kidogo inawatisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mh ilo sasa ni balaaa waimbaji wenzangu kweli kwa mungu kugumu
Kiuno chenyewe mungu akakiumba kimtukuze