Askofu Mokiwa afafanua mgogoro unaoendelea kwenye kanisa la Anglikana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Baada ya Askofu mkuu wa kanisa la Anglikana, Jacob Chimeledya kumtaka Askofu mkuu Dayosisi ya DSM, Valentino Mokiwa ajiuzulu kwa kile kilichodaiwa kuwa anatumia madaraka yake vibaya na ubadhirifu wa fedha. Leo January 10 2017 Askofu Mokiwa ametoa ufafanuzi

КОМЕНТАРІ • 49

  • @edsoneliah2802
    @edsoneliah2802 2 роки тому +1

    Kwanini mambo ya kanisani yaongelewe kwenye vyombo vya habari?? Haya ni mambo ya kiroho, yanamalizwa kiroho

  • @mashakadeya5347
    @mashakadeya5347 7 років тому +1

    inauma sana Mungu awe nawe

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 6 років тому +2

    Siuoni utukufu wala upako katika uso wa askofu mkuu yaani unaona kabisa kwamba hakuna Mungu katika yeye. Inatia aibu mno. Mimi ni Mkatoliki sijawzhi ona vituko kama hivyo. Inaniuma kwa sababu ni kumuaibisha KRISTO YESU. aisee Mungu yupo. Pumzika Mokiwa remee that WHAT GOES AROUND COMES AROUND.

  • @marcodominico9503
    @marcodominico9503 6 років тому +3

    Kukosa " infallibility " ndo kunawaletea matatizo haya yote.

  • @macharosandra9467
    @macharosandra9467 2 роки тому +1

    Viongoz wetu wa Dini mnatuaibisha, mnamuaibisha kristo Yesu,
    kwa kutamani madaraka kuliko Utume /wito, ww kama Askofu ungekuwa na busara isingekuwa vyema kutaja Kutaja watu kama Ndio chanzo, malizeni migogoro yenu kwa vikao vya ndani ,kuliko kuja kujianika mbele ya waandishi, waumini tunakosa Imani kwenu.

  • @stevenhinjo9664
    @stevenhinjo9664 6 років тому +1

    duuh hadi maaskari kwani we jambazi hakika inatia aibu sana pole sana askofu

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 6 років тому +2

    Aibu mno

  • @mbokaandbahatitv8509
    @mbokaandbahatitv8509 7 років тому +2

    Ahsante sana Ayo TV nakwakubali

    • @swagabeat2449
      @swagabeat2449 7 років тому +1

      ningependa kuona mkiacha tofauti zenu

  • @yusuphjkitiku5232
    @yusuphjkitiku5232 2 роки тому +1

    Swali kwamba huduma za kiimani inatoka Kwa Mungu au mwanadamu au chuo tunatakiwa kujifunza apo tuelewe ili mgogoro uishe

  • @amosmchiwa3762
    @amosmchiwa3762 7 років тому +1

    Mungu anakuona ukweli unao mwenyewe

  • @yusuphjkitiku5232
    @yusuphjkitiku5232 2 роки тому +1

    Tujifunze habari za Yona tutaona kwamba usifanye kitu ambacho Mungu hajakuagiza ndio maana tunateseka ktk huduma ,tumeagizwa ktk maarfa na hekima na sio kusoma tu

  • @ERICKPM2000
    @ERICKPM2000 7 років тому +2

    Inasikitisha sana mambo haya kutokea kanisani. of all places!? God help us

  • @madingemadingemadinge5304
    @madingemadingemadinge5304 2 роки тому +2

    Soma biblia nayo itakuonesha mahali salama ambapo ni sabato ya bwana mungu wako

  • @mdindaoscar948
    @mdindaoscar948 7 років тому

    Mungu uko pamoja nanyi...

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 6 років тому +1

    Katika makanisa yetu bado tuna kazi kubwa na Mimi nashangaa nyie maaskofu mnapata muda wapi wa kuhangaika na vibanzi vya Serikali Wakati maboriti yenu mnayapa migongo. Mungu hapendi unafiki.

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 7 років тому +1

    Hizi imani jamani. Mnazika makanisani?
    Mnasoma kweli neno la Mungu?

  • @aulamongi2020
    @aulamongi2020 2 роки тому

    Watakao Umia ni Waumini
    Wengi hawana pa kwenda wamekuja kupata faraja maisha Magumu
    Nyie huku Juu mnagombania Madaraka

  • @margaretnamubi4565
    @margaretnamubi4565 2 роки тому

    Mimi ni angilikana..lkn hii sijaona.. imeharibu hekalu la mungu..tubuni

  • @annacarlos7925
    @annacarlos7925 7 років тому +1

    viongozi tudumishe upendo

  • @jeanmusamba3253
    @jeanmusamba3253 Рік тому

    Chimeledya hakuwa na busara hata kama alitumwa na dola alipaswa liunganisha kanisa sio kuligawa,na kumpa ibilisi nafasi

  • @pendokatonge3926
    @pendokatonge3926 Рік тому

    Kwanza huduma tunapewa na Mungu sasa mtu anawezaje kusema kwamba anakufutia huduma.

  • @ymusic803
    @ymusic803 2 роки тому

    Sasa askofu una solve ama unapalia makaa kaeni mezani muweke mambo sawa kila mtu akianza kunyoshea mwenzie kidole hamtafika

  • @francismsemwa7288
    @francismsemwa7288 Рік тому

    Ukiapishwa yapaswa kufuta taratibu.

  • @Papaahansmo
    @Papaahansmo 2 роки тому

    Enendeni kwa roho

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 2 роки тому

    Angilikhana mna Padre!!? au mimi sijaelewa jamani?

  • @peterbujimu2749
    @peterbujimu2749 2 роки тому

    angalikana mna nn jamani kila siku matatizo

  • @evaristtarimo7529
    @evaristtarimo7529 7 років тому +1

    Jangalason

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 7 років тому +1

    ni mara ya kwanza kuona kanisa lina mgogoro nimezoea kuona magomvi ktk miskiti yetu

    • @oscarngowi5578
      @oscarngowi5578 6 років тому

      sasa unakataa kuitii mamlaka ya bosi wako askofu mkuu amekuondoa kazini wewe utani kiungwana ungeachia madaraka . kukataa kwako unachochea mgogoro

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 2 роки тому

      @@oscarngowi5578 Nyakati za kujipenda Nyakati za ukaidi Nyakati za kupenda pesa kuliko kumpenda Mungu jmn tafakarini Kuna wakristo ikimaanisha wafuasi WA Yesu Yani wanaomtii Yesu .Kuna wafuasi WA msalaba,Kuna wafuasi wakutafuta kumpinga Yesu ,Kuna wataka mikate, Kuna wataka uponyaji

  • @luciansanga5195
    @luciansanga5195 2 роки тому

    Shetani yupo kazini

  • @sebastianngimba4850
    @sebastianngimba4850 6 років тому +1

    ok ok ok ok palamagamba

    • @georgebongi4844
      @georgebongi4844 3 роки тому

      Askof. Yaache yamee pamoja iko siku na siku iko magugu na ngano kila kimoja kitakuwa dhahiri.
      Naamini Mungu atalivusha kanisa katika kipindi hiki

  • @bapesampendwa671
    @bapesampendwa671 2 роки тому

    Muda umefikaa turudiii enzi zetu, makinisaa yotee yapotee

  • @paulomartin5715
    @paulomartin5715 2 роки тому

    dini saizi ni diri ni pesatu wanafi

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 2 роки тому

    .

  • @sagayefamily5149
    @sagayefamily5149 3 роки тому

    Hili ni miongoni mwa makanisa kongwe,,,,,, na ni kanisa linaloongoza kwa umasikini, kuanzia wanaoliongoza hadi wanaoongozwa,,,,,, wamekalia ufisadi haramu,,,, buza Yote wamegawana na bado waliogawana ni masikini

    • @davidmaisely7487
      @davidmaisely7487 2 роки тому +1

      Wewe kanisa lako lipi Hilo liliotajiri? Huko kwenu ndo mnafundishwa hvyo? jielewe wakristo hatupo hvyo

  • @khamismohd8616
    @khamismohd8616 4 роки тому

    Nenda uko hunalolote mwanga ww

    • @noelbernard6390
      @noelbernard6390 2 роки тому

      Wewe utakuwa mchawi

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 2 роки тому

      Kwahiyo anayoyaeleza ni uongo? au wewe ni mmoja wa timu askofu mkuu? kaa chini uombe sio kukaa unatoa Lugha chafu kwa mtu.au tueleze ukweli tatizo ni nini? yawezekana wewe ukawa unaujua ukweli wa mgogoro huu..

    • @upendomdemu4511
      @upendomdemu4511 2 роки тому

      Nyie maasikofu hamsomi nani wapi baba wafamilia anatolewa na kuletwa baba mwiñgine acheni mambo hayo

    • @Papaahansmo
      @Papaahansmo 2 роки тому

      Mwanga Tena!!!!!!!🤣🤣🤣🤣