ASKOFU ALIYEJINYONGA KANISANI AZIKWA, MAKAMU ASKOFU ASEMA "TUTALIFUNGA KANISA KWA MUDA,WATASALI NJE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 44

  • @ABUU426
    @ABUU426 7 місяців тому +14

    Kitu ninachohisi ni kuwa angekuwa kweli kajinyonga wasingesema kwani ni aibu kwa kiongozi mkubwa wa kiroho kama huyo kujinyonga, mimi nina wasiwasi kuna kitu nyuma ya pazia, GONGA LIKE KAMA UNA MAWAZO KAMA YANGU.

    • @ceomomtz
      @ceomomtz 7 місяців тому

      Na huyo amayesambaza ujumbe kuonyesha kuwa alikuwa amadaiwa laki moja na yeye achunguzwe. Naona wanafanya hivyo ili kuwafanya watu waamini kuwa kweli kajiua kwa sababu ya madeni.

  • @ceomomtz
    @ceomomtz 7 місяців тому +12

    Wafanye uchunguzi vizuri zaidi. Yawezekana kauliwa.na kufanya ionekane kama kajinyonga. Wasikimbilie kusema tu walichokiona bila uchunguzi mzuri kufanyika sababu mahala Tanzania ilipofikia leo lolote lawezekana.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 місяців тому +3

      Nani anaweza kujinyonga na waya wa sm akafa ku sintohamu hapa

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 7 місяців тому +3

    Mungu awafunge mkanda,akawe mfariji wenu nyote.🙏🏿

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 7 місяців тому +2

    Yasikizeni sana maneno ya hao viongozi wa hilo kanisa kwa makini, mtajua kuna kitu hapo. Hili neno mimi ni askofu msaidizi, sasa nitakuwa askofu mkuu mpaka hapo uchaguzi utakapofanyika. Ni vyeo, vyeo, vyeo, vyeo tu. Mimi ninani, ninani, ninani tu. Kuna kitu hapo. Tafuteni kwanza ufalme wa mbinguni mengine mtapewa na MUNGU. HAKI itatendeka kwa MUNGU TU.

  • @rosepallangyo3436
    @rosepallangyo3436 7 місяців тому

    Jamani askofu wa 3 sasa akifa ee mungu saidia wana Methodist tunateseka😢

  • @marymwaya9685
    @marymwaya9685 7 місяців тому +3

    Waongo hao ndugu tafuteni sheria nendeni polisi mazingira ya kujinyonga kwa waya wa simu alafu wanasema amekutwa kashuka chini kakaa sio ananing'inia.

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 7 місяців тому +2

    Mungu ampumzishe kwa Amani

  • @ScolaMasanja-fg7hi
    @ScolaMasanja-fg7hi 7 місяців тому +3

    Au kanyongwa Yani Askofu ajinyonge Kuna njaa gan

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 7 місяців тому

      Kuna kitu hapo, inawezekana kauwawa

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 7 місяців тому +1

    Hiki kifo kichunguzwe vizuri. Madai kwamba kajinyonga ofsini kwa waya wa simu hayaleti mantiki kabisa. Yanaleta maswali mengi kuliko majibu

  • @RoverRoom
    @RoverRoom 7 місяців тому +2

    Mungu wangu yani gani haya tena

  • @AmelitaKadudu
    @AmelitaKadudu 7 місяців тому +1

    Duh mbona balaa hili😢😢

  • @edsonkumenya5626
    @edsonkumenya5626 7 місяців тому +1

    Tuwaombee sana watumishi wa Mungu wanayo yapitia ni mengi. Wanahitaji msaada wa Mungu sana

  • @PulkeriaSilayo
    @PulkeriaSilayo 7 місяців тому

    Mhuuuu, Pumzika kwa Aman baba, MUNGU Ndie ajuae yote

  • @EmergencyNjombe
    @EmergencyNjombe 7 місяців тому +2

    Mungu, amuhifadhi panapostahili😢

    • @mercymuthami7014
      @mercymuthami7014 7 місяців тому

      Direct to hell 🔥, kujinyonga shetani ni mwongo

  • @MTUMBA_2001TZ
    @MTUMBA_2001TZ 7 місяців тому

    😢😢😢😢😢😢

  • @juliethkatabwa5306
    @juliethkatabwa5306 7 місяців тому +2

    Shetani lipo kazini.
    RIP mtumishi wa Mungu

  • @JosephAgustino-f9z
    @JosephAgustino-f9z 7 місяців тому

    Daaaaaah

  • @consomatogaudence136
    @consomatogaudence136 7 місяців тому

    Bahic amenyomgwa maana hii nchi sasa cy poa binadam hawana utu aman ya dunia imetoweka

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 7 місяців тому +1

    Waya ya kuchajia cm waongo haiwezekani Kuna kitu kuweni makini kujinyonga Kwa mtu ni dhambi hairuhusiwi kukakata tamaa pia yeye ni askofu mkristo anafundisha neno la mungu iweje ajinyonge makanisani Nako Kuna vituko sana ok R I P bundara Salam zao huko uendako

  • @ceciliaonyango5367
    @ceciliaonyango5367 7 місяців тому

    Waya huo ulikuwa mgumu kiasi gani? Mmmm Mungu awape faraja

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 7 місяців тому

    Aisee ichi nn sasa dah

  • @TausiMokiwa
    @TausiMokiwa 7 місяців тому

    Yani hapana waya wa sim hapana nakataa kabisa

  • @lucysibbi2538
    @lucysibbi2538 7 місяців тому

    Mungu amlaze panapostahili😭😭😭😭

  • @janechipeta6231
    @janechipeta6231 7 місяців тому

    Yesu rehemu tu hapo jehanam inamuhusu

  • @amiriforjesus8689
    @amiriforjesus8689 7 місяців тому

    SIMNAONA HATA MWANZA ANGIRIKANI WARIMNYONGA ASKOPHU WAKAMTUPA KWENYE ZIWA VICTORIA ARAFU WAKASEMA AMEJIUWA MWENYEWE

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 7 місяців тому

    Sasa mmemzika kama mtu mwenye imani nawakati hakuwa na imani

  • @linahmacha370
    @linahmacha370 7 місяців тому

    Wangefanya kipimo cha macho wajue nini kiliendelea waya wa simu mmmmh hapana

  • @deborahmangula-lg4zf
    @deborahmangula-lg4zf 7 місяців тому

    kuna jambo nyuma hapo sio bure

  • @upendoshemkhande3562
    @upendoshemkhande3562 7 місяців тому

    Spider man

  • @linahmacha370
    @linahmacha370 7 місяців тому

    Uchunguzi ufanyike jamani kwa sababu waya wa simu hapana police waingii saiti watabaini kilichotokea

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 7 місяців тому

      Yawezekana ni wire za simu zile simu za TTCL ZA MEZANI,NAWAZA TU

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 7 місяців тому

    Kanisa hilo.hatari

  • @FrankChalula-hz6dn
    @FrankChalula-hz6dn 7 місяців тому

    Labda hakuufunga juu, alijikaba tu

    • @asteriashios1852
      @asteriashios1852 7 місяців тому

      Na kujikaba pia ni ngumu aisee ni mdogo ule

  • @AdrianoStephen
    @AdrianoStephen 7 місяців тому

    Safari njema msalimie baba

  • @AmaniUrio
    @AmaniUrio 7 місяців тому

    Waya wasimu mtu amekufa kwel mmh