Vita ya tatu itoke wapi jamani, Iran ni mdogo sana kwa Marekan... Iraq ilikua na nguvu zaid ya Iran lakin haikuchukua round. China na Urus n ngumu kuingia maana zinaangalia maslah yao
Hakuna mkristo ambae hajui kwamba wayahudi sio Wa-kristo hila tunachojua Sisi Wa-kristo kwamba waislam na wayahudi ni ndugu wanafanana sehemu nyingi Sana kama vile ;(a)wapoingia kwenye nyumba zao za ibada lazima watawaze(b)hawaamini kwamba yesu ni Mwana wa Mungu(c)hawaamini bibilia hasa agano jipya japo kuwa hawajui kwamba hiyo ndio injili yenyewe ambayo wanajichanganya wanaposema ukitaka kuwa muislam lazima huiamini injili sasa sijui ni injili gani hiyo kama sio kitabu cha injili ya mathayo mpaka ufunuo wa yohana
Mimi naamini kweli Trump hapendi vita na ndio maana Trump walitaka kumuondoa madarakani kwababu tangu awepo madarakani hajafanya mauaji lakini kwasasa hawatomuondoa maana tayari ashatekeleza
Me naomba dua itokee ili tu marekan wampige vita kali kabisa maana kiukweli yasin uwa naumia mno ninapo sherekea uhuru wa TANZANIA uku bado mmarekan anatunyonya na kutupa msaada mdogo na kuchukua mali za TANZANIA na tunashindwa kujiendeleza kiuchumi
wote mliotoa comment zenu kuhusu mada hii mnajitambua na hivi ndivyo vitu vya kufuatilia ili kujua dunia inakwenda wapi na nini kinaendelea hadi hivi sasa big up kwa wote
I like the way hunavyo tangaza lakini why tunatangaza kama tunaombea au tunataka kubariki kwamba kutatokea vita ya3 yaDunia. Kwa nini Captions hiko kama ya huchonganishi? Ktk jambo la hatari.
Mzee yupo real adi nashagaa na siku Mugu akituonesha wayaudi halisi tutashagaa sana maana had I madagaska wapo. Duh na waizilaeli walipandikizwa na marekani in wapenda vita sana hawataki diplomasia
Aliyekwambia ni Mkristo nani, au unachanganywa na jina la Charles? JIna lake halisi ni Mustapha, ni Muislamu safi, tena swala tano, ila mama yake mzazi ni Mkatoliki na ndiyo maana akaitwa jina la Charles...
Watu wengi hawajui hilo viongozi wengi waliotawala US na UK wana asili ya uyahudi....! Na wanafanya hivyo Kwa sababu maalum’ ..!...Dunia hasa ya Upande wa AFRIKA inalishwa uongo’ wakati Watu huko wanavamia kwa Maslahi yao...!
Kabisa bwana "Minsk Belarus" (Japo najua Minsk Ni Mji Mkuu wa Belarus ,nilishawahi kufika Hapo ) , Yani watu wanashindwa pia kutofautisha Kati ya Kuwa Mzungu na kuwa Mkristo,kuwa Myahudi na Ukristo, kuwa Mpalestina na kuwa Muislamu/Mkristo, kuwa mwarabu na kuwa Muislamu. Kwa maana unaweza kuwa Myahudi usiwe , Mkristo, unaweza kuwa mwarabu usiwe Muislamu,unaweza kuwa mzungu usiwe Mkristo.
Hapo Dr. Nakupinga. kuna mambo mengi sana uliyoongea siyo ya kweli. Mengi ni ya kimuhemko ya kusapori uislamu ukidhani ni vita vya kidini. mfano unasema Iran ipo karibu na Russia siyo kweli. Kuna kilomita takriban elfu tano kutoka Iran mpaka border ya Urusi
Waarabu niwajinga hawataki Uhuru ndo mana wengine bado wapo na mmarekani na km hauko pamoja na mwamerika basi atakuwa Adui yako kwasbb hataki uwe na uhuru na rasilimali zako.
Mzee kachambua uzuri sana endapo angekuwa muslm angeshambuliwa sana pale aliposema wayahudi si ukristo kwa maan wenyew iyo dini ndio wanaamini ivyo ila baba kachumbua kisoma na kidini kazi kwao waonsema kila siku ugadi kumbe hawajui at leo tz iwe na mafuta mmarekan atatimba
Mzee wew husomi Bible, umejitahidi kuchambua kimwili/kihistoria tu lakn kiroho you prove you're failure!... Ibrahim alikua myahudi,Daudi alikua myahudi,Yesu alikua myahudi,wanafunzi wote wa Yesu na mitume walikua wayahudi,na ukiristo umetokana na jina Yesu ambae ni myahudi, sasa ukisema waisrael sio sehem ya wakristo ni unafiki mkubwa uliokujaa@...YAKOBO ndo aliyeitwa Israel na baba wa wayahudi....endelea kuwadanganya. Watu
Hio vita itakuwa ya kiroho wewe acha zako. Itakuwa vita kati ya wanaoamini na wasioamini. Hio vita bado saana, hata wewe hutokuwepo. Itakuja tokea watu watalazimishwa kumuabudu shetani, wanaoamini watagoma, ndipo vita takatifu ya tatu itapigwa. Ni vita ambayo haijawahi tokea. Wnaoamini watazidiwa kuelekea bahari ya Sham. Ndipo Malaika walioko kwenye faras weupe na majambia watashuka kuwasaidia waumini. Ndipo vita itakapokoma. Ni story ndefu utanitafuta kwa muda wako ....
Mzee nadhani huo ni mtazamo wako ktk uchambuzi huu,pia unapo sema wakristo wanapo onyesha wanaipenda Israel ukasema eti kwa sababu wanadhani Israel ni makristo unakosea sana ngoja nikuweke sawa hapo maana umepinda kidogo na huelewi kwann wakristo wanaiunga mkono Israel,(1)makristo tunaelewa nakutambuwa Israel si makristo ustusemee na kutufanya hatujui kitu juu ya hili.(2)makristo tunapo iunga mkono Israel tunatimiza wajibu wetu kama tulivyo amrishwa na MUNGU tufanye hivyo ukisoma ktk Biblia mwanzo 12:1-3 MUNGU anamwambia Abram atoke ktk inchi yake,aache jamaa zake,na nyumba ya baba yake aende ktk inchi nyingine atakayo onyeshwa na MUNGU,ili afanywe taifa kubwa na kubarikiwa, na kulikuza jina lake, tena awe baraka,na MUNGU akamwambia nami nitambariki atakae kubariki,naye atakaye kulaani nita mlaani,na katika wewe jamaa zako wa dunia watabarikiwa.ukisoma haya maandiko utaelewa vyema na kutambuwa umuhimu wetu makristo wa kuitakia mema Israel na kuibariki bila kujari imani yao ni ipi? pia ukisoma hapo mbele ili uelewe zaidi kuwa taifa lenyewe tulilo ambiwa tulibariki kuwa ni Israel,tusome mwanzo 27:27-29,hapa tunamuona tena isaka ambaye ni mtoto halali wa Ibrahim akimbariki mwanae yakobo kwa maneno mengi na mwisho akahitimisha kwa kusema atakaye kubariki atabarikiwa,na atakaye kulaani atalaaniwa.na hapo ukumbuke kuwa Yakobo ndiye aliye pewa jina la Israel.hii ndiyo sababu ya makristo kuiombea mema Israel na kuitamkia baraka na hii iko wazi tunaona karibu mataifa yote duniani yanayo itakia mema Israel yamebarikiwa ikiwemo na hiyo marekani ambayo ni inchi kubwa duniani yenye uwezo wa kila kitu,KIUCHUMI,ni namba moja,KITEKNOROJIA ni namba moja,KIJESHI ni namba moja duniani,so neno la MUNGU si uongo.HESABU 23:19 MUNGU si mtu aseme uongo.mwisho ktk mambo ya dini kati ya makristo na waislam tuna utofauti mkubwa katika imani ndiyo maana makristo tumeambia tuibariki Israel lakini wenzetu waislam wanaichukia Israel soma Quran surat maida 51.Enyi mlio amini msiwafanye MAYAHUDI NA MAKRISTO kuwa ni marafiki,wao ni marafiki wao kwa wao na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao,basi huyo ni ktk wao,Hakika mwenyezi mungu hawaongoi wenye dhuruma.mwisho wakunukuu.huu ndiyo ukweli wenyewe na ushahidi ktk maandiko ya pande zote mbili MKRISTO na MUISLAM.na unapo sema Trump anatumika sana na Israel kwa sababu ya kufiriska kwake miaka ya 1980 bado nikosa maana marekani imeanza kuilinda Israel miaka mingi iliyo pita hata wakati trump haja ingia ktk siasa.hivyo Israel na marekani wana history ndefu sana toka enzi hitla.japo katika haya yote BIBLE ndiyo inaweza kutupa muongozo wa kinabii kuelewa mambo haya.
Ni kweli kabisa Dr, Jews are not Christian's, but not all of them ! But who are Christian's ? Are the people who believe in Christ as their Mesiah & Savior. But we're the renage of Christ ? The renage of Christ can be well traced from Abraham, who also was not a Jew ! The Jews originated from Jacob the son of Isack and the grandfather to Abraham to start a new reineage which was called Jews, and even the name of Jacob was changed to be Israeli ! So, inshort, the connection between Jews and Christian's is spiritual factor, not physically ! And by the way, you can't explain well this news without reading the Bible, you can't !
MAREKANI APIGWE HADI SIASA ZA UBABE NA UNYONYAJI ZIISHE, KWA NINI UISHI KWA KUMUONEA MWENZAKO NA KUMNYANG'ANYA VITU VYAKE ? IRANI IANGAMIZE ISRAEL MASHARIK YA KATI ITULIE
Mwandishi wa habari unajua kazi yako hongera
Dr Kayoka uko deep. Hongera
Hongera Dr Charles kayoka hakika umedhihilisha wewe Ni msomi na Ni mchambuzi mzuri kwa jinsi unavyoweka mambo kinagaubaga Bila kuegemea upande
Aisee mzee kayoka shukran sana...umezungumza point muhmu kwakwel.
Upo vzr dr
Mtangazaji, upo vizuri, Mungu akuinue
Asante Kwa service YENU Dar 24🤝
Narudia mara nyingi kumsikiliza Dr Kayoka na dada ana maswali mazuri
Hongera baba
Asante kwa service bora
Moja ya Interview kuntu sana,.. Hakika nimeelewa... Huyu kwel ni Dr... 👏👏👏
Ama kwel n dokta
DADA UNAJUA SANA LEVEL ZAKO NI BBC AU DW
Kweli kabisa kaka
Dada akiongea tu, nasisimkwa
Kichwani uko vizuri mkuu
Shenzi Nini bbc umeona ni shirika hilo sema anajua tu wacha maneno ya porojo
Nimekupata captain
Sijui wamekuelewa kama nilivyo kuelewa mimi professor Kayoka
Oya Dr upo vizur umenipa hints Za uhakikaaaaa👋💪💪💪
Dada kwenye Tasinia ya Utangazaji nimkuelewa sanaaaa!
Huyu mzee bado anaakiri ya asili haija changanyika na elimu ya kupangiwa
Dr yupo vzr narudia kila mara kumsikiliza
Thanks
Ongera mzee wangu upo sahihi
fact realy realy fact yaani ukiskia mvi nibusara na elimu ndiyo.huyu mzee yaani hizi mvi ni hazina tupu.
Hata mimi siamini katika hilo la vita ya 3 ya dunia, nakuunga mkono kabisa Prof !
Safi
Vita ya tatu itoke wapi jamani, Iran ni mdogo sana kwa Marekan... Iraq ilikua na nguvu zaid ya Iran lakin haikuchukua round. China na Urus n ngumu kuingia maana zinaangalia maslah yao
Nawashangaa watu wanamlinganisha mwalimu mkuu na monita wa darasa la pili😀
Babu uko vizuri
Huyu jamaa anajua sana histry hayuko bias, anazungumxa hali halisi kiukweli...
Ni balaa
Dr.ww ni genius unaongea ukweli bila kuficha na karibu kwenye uislamu.
Hakika babu uko vizuri mno, sisi tume waambia sana wakristo kua wayahudi sio wakristo lakini hawataki bwana.
Hakuna mkristo ambae hajui kwamba wayahudi sio Wa-kristo hila tunachojua Sisi Wa-kristo kwamba waislam na wayahudi ni ndugu wanafanana sehemu nyingi Sana kama vile ;(a)wapoingia kwenye nyumba zao za ibada lazima watawaze(b)hawaamini kwamba yesu ni Mwana wa Mungu(c)hawaamini bibilia hasa agano jipya japo kuwa hawajui kwamba hiyo ndio injili yenyewe ambayo wanajichanganya wanaposema ukitaka kuwa muislam lazima huiamini injili sasa sijui ni injili gani hiyo kama sio kitabu cha injili ya mathayo mpaka ufunuo wa yohana
Mchambuz yupo vizur sana
Very smart Dr.
BBC level
Mimi naamini kweli Trump hapendi vita na ndio maana Trump walitaka kumuondoa madarakani kwababu tangu awepo madarakani hajafanya mauaji lakini kwasasa hawatomuondoa maana tayari ashatekeleza
Hakuwezi kuwa na Vita maana mataifa yote makubwa yanaogopana kutokana na silaha za nyuklia
Huyo mtangazaji akaombe kazi media kubwa
Nimekuelewa mzee
Me naomba dua itokee ili tu marekan wampige vita kali kabisa maana kiukweli yasin uwa naumia mno ninapo sherekea uhuru wa TANZANIA uku bado mmarekan anatunyonya na kutupa msaada mdogo na kuchukua mali za TANZANIA na tunashindwa kujiendeleza kiuchumi
Taifa kubwa marekani hiyo ni porojo
wote mliotoa comment zenu kuhusu mada hii mnajitambua na hivi ndivyo vitu vya kufuatilia ili kujua dunia inakwenda wapi na nini kinaendelea hadi hivi sasa big up kwa wote
Nimekuelewa Dr
Mchambuzi feki Kama wataingiya vitani warusi na wachina basi waingereza wafaransa wajerumani waaustralia wataisaidiya marekani wewe umeshazeeka
Dah nimekuelwa mzee
Hii ni muhimu sana watu wasikilize
Mm nafikili marekani ingebondwa ili wawe na adabu na washuke, kiuchumi.
Mungu tusaidie. Uko vizuri mtangazaji
Upate nini
Ikishuka kiuchumi lzm nawe ushuke
@@yonakisarangata7700 hakuna kitu kama hicho
Mtangazaji alipo na huyo Dr ni sehemu mbili tofauti
Nimejikuta na subscribe kisa huyu mzee kaniliza mtangazaji Hana papala daaa 😭 kwer mpinga kristo mandazi kwer anamtumia Trump
Dada mtangazaji upo vizuri masuala yako yameenda shule
Nimemuelewa sana huyu mzee
Kweli MZEE wangu
Waaa huyu mzee anasema ukweli kabisa kuna siri imefichwa nyuma ya pazia lakini mungu tu ndio ajuae
Iran haina mpango na huyo ndio kashauliwa Na HAMNA lolote LIWALO. WALA MAREKANI NA IRAN HAKUNA UPINZANI WOWOTE ULE.
hii ni muhim sana wengi katika watu wasikilize...
plz tunaomba acount ya prf ili tu mfolow tupate faida zaidi.
I like the way hunavyo tangaza lakini why tunatangaza kama tunaombea au tunataka kubariki kwamba kutatokea vita ya3 yaDunia.
Kwa nini Captions hiko kama ya huchonganishi? Ktk jambo la hatari.
Umeelezea vzur ila unaharibu xbb umebezi kwenye udini ...nitafute niwaelezee vzur kbx ixhu za political geography vzur kbx
Kwahiyo akiongea ukweli mnasema kabezi kwenye udini?kwahiyo ulitaka aseme wayahudi niwa kristo ?ndio ungemuona yuko sawa
Nouma sana mzee yuko vyedi kwenye history
Mzee yupo real adi nashagaa na siku Mugu akituonesha wayaudi halisi tutashagaa sana maana had I madagaska wapo.
Duh na waizilaeli walipandikizwa na marekani in wapenda vita sana hawataki diplomasia
Dr hauko bias, uko real though ww ni mkristo, pressentor uko smart
Aliyekwambia ni Mkristo nani, au unachanganywa na jina la Charles? JIna lake halisi ni Mustapha, ni Muislamu safi, tena swala tano, ila mama yake mzazi ni Mkatoliki na ndiyo maana akaitwa jina la Charles...
Waambie wakiristo wafahamu wale ni mayahudi
Hongera waelimishe wakristo wale ni mayahudi
Watu wengi hawajui hilo viongozi wengi waliotawala US na UK wana asili ya uyahudi....!
Na wanafanya hivyo Kwa sababu maalum’ ..!...Dunia hasa ya Upande wa AFRIKA inalishwa uongo’ wakati Watu huko wanavamia kwa Maslahi yao...!
Kama vipi bora itokee tu iyo vita maana maisha ni magumu sana kudadadeq
Uzee wangu upo sahihi,Watu wengi hawaelewi ugomvi Wa middle East umeletwa nann na nani yupo nyuma ya magomvi haya.
JEWS AND CHRISTIAN ARE DIFFERENT
MBWANA RAJAB Yes it is true Just like uislamu na uarabu!!!!!
Kabisa bwana "Minsk Belarus" (Japo najua Minsk Ni Mji Mkuu wa Belarus ,nilishawahi kufika Hapo ) , Yani watu wanashindwa pia kutofautisha Kati ya Kuwa Mzungu na kuwa Mkristo,kuwa Myahudi na Ukristo, kuwa Mpalestina na kuwa Muislamu/Mkristo, kuwa mwarabu na kuwa Muislamu. Kwa maana unaweza kuwa Myahudi usiwe , Mkristo, unaweza kuwa mwarabu usiwe Muislamu,unaweza kuwa mzungu usiwe Mkristo.
Sina kawaida ya kuangalia post ya zaidi ya dkk 30 ila hii nimemaliza UKWELI MTUPU
Wakati wao umeisha naheshima inchi zegine
Mhhhhh dr upo deep kinondo
Nimependa sana endelea kutupa vitu zaid kuhusu Iran na amerka Dada mrembo
Dada naomba no yako nimependa kazi yako.
Dr yuko vizuri kabisa huyu. Anaijuwa vizuri Sana siasa ya middle east
Daaa Dr nakuelewa sn
Siyo kweli kwamba wakristo tunaamini kwamba waisraeli ni wakristo, tunachojua sisi ni kwamba Kuna uhusiano mkubwa Kati ya wakristo na wayahudi.
DJ Mack uko wapi mda si mlefu movie inanza USA vs IRAN kaa mkao wakula yesaaaaa
Sauti ya msimulizi ipo chini sana
Wachambuzi wote wangekuwa kama huyu mzee daaah anajua na anauhakika na kile anachokielezea na mdada nae yuko vzr
Hapo Dr. Nakupinga. kuna mambo mengi sana uliyoongea siyo ya kweli. Mengi ni ya kimuhemko ya kusapori uislamu ukidhani ni vita vya kidini. mfano unasema Iran ipo karibu na Russia siyo kweli. Kuna kilomita takriban elfu tano kutoka Iran mpaka border ya Urusi
Marekani wezi tu iyo inajulikana
Marekani anaogoopa
😃
Vita ya dunia vip iran na usa
Hata mimi sielewi
Dada bravo kwenye kazi Yako una jua kuhoji ao kuliza ma swala
Aise umeonyexha uwezowako Wau Dkt kiustalabu kabisa mpaka asie elewa Anaelewa ongela
Marekani kumbe mnyonyaji hivyo
DADA SAUTI YAKO YANISISIMUA, UPO VIZURI KIPENZI CHANGU, LEVEL ZAKO NI ZA BBC,D.W NA VITUO VINGINE VYA HABARI SI ZA HAPA TANZANIA
Uyu msomi aongei kiswanglish ila English mediam ndo mnsumbua interviews mjifunze uku
Mzee unajua kuchambua
Good good
Nimependa sana
Mzee umenyoosha dadeki watanznia hawakuwa na elimu iyo ss tumejua kuwa wayahudi sio wenzao
Waarabu niwajinga hawataki Uhuru ndo mana wengine bado wapo na mmarekani na km hauko pamoja na mwamerika basi atakuwa Adui yako kwasbb hataki uwe na uhuru na rasilimali zako.
Uko makini sana
👏👏👏👏👏
Mzee unaonekna unamadini mengi Sana inabidi tutafute icho kitab talmont
Wale wanaoletaga udini kweny comments mbona siwaoni mzee kawaumbua
Dk kaua kila kitu hapo
Hua nashangaa kuona baadhii ya makanisa wnaweka hadi bendera Israel 🇮🇱
Mchambuzi nisaidie kidogo hapo irani amenunua ndege alizinunua wapi nchi gani..?
Duuh huyu mzee ni kiboko
Vita ya tatu ni ahadi, ipo tuu hii haiepukiki ni mipango ya mabepari. Mahasimu wakubwa ni wawili Russia na Marekani
Sasa Apo lazima umuweka mrusi ndani
Mzee kachambua uzuri sana endapo angekuwa muslm angeshambuliwa sana pale aliposema wayahudi si ukristo kwa maan wenyew iyo dini ndio wanaamini ivyo ila baba kachumbua kisoma na kidini kazi kwao waonsema kila siku ugadi kumbe hawajui at leo tz iwe na mafuta mmarekan atatimba
Mzee wew husomi Bible, umejitahidi kuchambua kimwili/kihistoria tu lakn kiroho you prove you're failure!... Ibrahim alikua myahudi,Daudi alikua myahudi,Yesu alikua myahudi,wanafunzi wote wa Yesu na mitume walikua wayahudi,na ukiristo umetokana na jina Yesu ambae ni myahudi, sasa ukisema waisrael sio sehem ya wakristo ni unafiki mkubwa uliokujaa@...YAKOBO ndo aliyeitwa Israel na baba wa wayahudi....endelea kuwadanganya. Watu
Vita kuu ya tatu lazima itokee kwani imeshatabiriwa katika vitabu na ieleweke hakitasimama kiama mpaka ipiganwe vita kubwa kuliko zote
Kitabu gani
Hio vita itakuwa ya kiroho wewe acha zako. Itakuwa vita kati ya wanaoamini na wasioamini. Hio vita bado saana, hata wewe hutokuwepo. Itakuja tokea watu watalazimishwa kumuabudu shetani, wanaoamini watagoma, ndipo vita takatifu ya tatu itapigwa. Ni vita ambayo haijawahi tokea. Wnaoamini watazidiwa kuelekea bahari ya Sham. Ndipo Malaika walioko kwenye faras weupe na majambia watashuka kuwasaidia waumini. Ndipo vita itakapokoma. Ni story ndefu utanitafuta kwa muda wako ....
Je TANZANIAN mnanguvu gani ya kivita kwa sasa ili tujue
Kunywa maji kwanza utapata jibu
Bro hatuna kitu kwa hawa wanajeshi wetu 😭😭😭😭🤬
Tunanguvu ya mungu na maombi mema.
☺️☺️☺️☺️☺️👍
Ili iweje
Kipindi kizuri sana
Dk shikamooo,nimekuelewa sana watu wenye fikra mgando wakusikilize huenda wakafunguka
Mzee nadhani huo ni mtazamo wako ktk uchambuzi huu,pia unapo sema wakristo wanapo onyesha wanaipenda Israel ukasema eti kwa sababu wanadhani Israel ni makristo unakosea sana ngoja nikuweke sawa hapo maana umepinda kidogo na huelewi kwann wakristo wanaiunga mkono Israel,(1)makristo tunaelewa nakutambuwa Israel si makristo ustusemee na kutufanya hatujui kitu juu ya hili.(2)makristo tunapo iunga mkono Israel tunatimiza wajibu wetu kama tulivyo amrishwa na MUNGU tufanye hivyo ukisoma ktk Biblia mwanzo 12:1-3 MUNGU anamwambia Abram atoke ktk inchi yake,aache jamaa zake,na nyumba ya baba yake aende ktk inchi nyingine atakayo onyeshwa na MUNGU,ili afanywe taifa kubwa na kubarikiwa, na kulikuza jina lake, tena awe baraka,na MUNGU akamwambia nami nitambariki atakae kubariki,naye atakaye kulaani nita mlaani,na katika wewe jamaa zako wa dunia watabarikiwa.ukisoma haya maandiko utaelewa vyema na kutambuwa umuhimu wetu makristo wa kuitakia mema Israel na kuibariki bila kujari imani yao ni ipi? pia ukisoma hapo mbele ili uelewe zaidi kuwa taifa lenyewe tulilo ambiwa tulibariki kuwa ni Israel,tusome mwanzo 27:27-29,hapa tunamuona tena isaka ambaye ni mtoto halali wa Ibrahim akimbariki mwanae yakobo kwa maneno mengi na mwisho akahitimisha kwa kusema atakaye kubariki atabarikiwa,na atakaye kulaani atalaaniwa.na hapo ukumbuke kuwa Yakobo ndiye aliye pewa jina la Israel.hii ndiyo sababu ya makristo kuiombea mema Israel na kuitamkia baraka na hii iko wazi tunaona karibu mataifa yote duniani yanayo itakia mema Israel yamebarikiwa ikiwemo na hiyo marekani ambayo ni inchi kubwa duniani yenye uwezo wa kila kitu,KIUCHUMI,ni namba moja,KITEKNOROJIA ni namba moja,KIJESHI ni namba moja duniani,so neno la MUNGU si uongo.HESABU 23:19 MUNGU si mtu aseme uongo.mwisho ktk mambo ya dini kati ya makristo na waislam tuna utofauti mkubwa katika imani ndiyo maana makristo tumeambia tuibariki Israel lakini wenzetu waislam wanaichukia Israel soma Quran surat maida 51.Enyi mlio amini msiwafanye MAYAHUDI NA MAKRISTO kuwa ni marafiki,wao ni marafiki wao kwa wao na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao,basi huyo ni ktk wao,Hakika mwenyezi mungu hawaongoi wenye dhuruma.mwisho wakunukuu.huu ndiyo ukweli wenyewe na ushahidi ktk maandiko ya pande zote mbili MKRISTO na MUISLAM.na unapo sema Trump anatumika sana na Israel kwa sababu ya kufiriska kwake miaka ya 1980 bado nikosa maana marekani imeanza kuilinda Israel miaka mingi iliyo pita hata wakati trump haja ingia ktk siasa.hivyo Israel na marekani wana history ndefu sana toka enzi hitla.japo katika haya yote BIBLE ndiyo inaweza kutupa muongozo wa kinabii kuelewa mambo haya.
He.waraka?
Kaka ww wacha kuficha ficha mambo ukweli marekani wanapigana.nanchii zakiislam tu wamarekani.sasa wacha waoneshwe dunia.km imeendelea.wanakerwa nauslam .lkn sasa..aichokoze.irani aizamishe.izirail
Nime shiba kwa maneno yako ya ukweli
Mzee uko vzuri ungekua muislam ningejua umeamua kutetea uislamt lakini ww ni msomi umechambua kisomi
Pambana wewe ni wa kimataifa bi mdada
Bbc au Dw hawakuona mtangazaji??
Unajua sana
Ni kweli kabisa Dr,
Jews are not Christian's, but not all of them !
But who are Christian's ?
Are the people who believe in Christ as their Mesiah & Savior.
But we're the renage of Christ ?
The renage of Christ can be well traced from Abraham, who also was not a Jew !
The Jews originated from Jacob the son of Isack and the grandfather to Abraham to start a new reineage which was called Jews, and even the name of Jacob was changed to be Israeli !
So, inshort, the connection between Jews and Christian's is spiritual factor, not physically !
And by the way, you can't explain well this news without reading the Bible, you can't !
DK AMENIPA VITU VIPYA. NIMEPENDA SANA. DADA UMEULIZA MASWALI MAZURI
Wamarekani ni waroho sana wa mafuta
iran ndio wanoendeleza vital vya yemen nao pia wanataka waisilamu wote dunini wawe mashia ufahamu hivyo mzee
@@huseintajo5023 No.. Wairan wao wanataka nchi za kiislam ziwe pamoja na ziwe na power pia wao wasiendeshwe na nchi za kizungu..
@@zahraalbaloochi2841 kwa hiyo Iran ndo super power wa nchi za kiislam?turkey ndio yuko vizuri yeye ni independent kwa asilimia kubwa kuliko Iran
mzee msanii huyu hamna kitu hampendi marekan tu
MAREKANI APIGWE HADI SIASA ZA UBABE NA UNYONYAJI ZIISHE, KWA NINI UISHI KWA KUMUONEA MWENZAKO NA KUMNYANG'ANYA VITU VYAKE ?
IRANI IANGAMIZE ISRAEL MASHARIK YA KATI ITULIE