Makonda Ni Mwanamazingaumbwe... Anaita Viongozi wa Dini Kuwa Ati ni Feki... Wakati Kasimama Kwa Jukwaa La TAPELI NYANGUMI WA KIDINI... Muuza , sabuni, Maji Mafuta (Matunguri) Yaani MWAMPOSA Hii Ni Maajabu.
Uko poa sanaaaa wewe mtumishi afu unaeleweka kea wenye akiri timamu,, wachungaji wenye njaa na wasiona elimu hawana ujasiri kama wewe ubarikiwe Sana. Una fa a kuwa mshauri wa wafalme uko vizuri Sana kwakujiamini na ukweli
Mungu awape akil y utambuz pia hawa wachungaji na manabii fek wajitambue kua watadanganya Dunia mbingu n hukumu tu hakuna utapel pale hivyo icwaume ila wakat mtu anasema n roho mtakatifu anasema sio yye mana uthubutu w kuongea kama konda n ukuuu w mungu pekee lama huna mungu huez sema 🎉❤ makonda wasikutishe sema bba na hujataja mtu inamana dunia nzima sio umetamkia watanzania tu
Kama kuna kosa alilofanya Mtume. Mwamposa ni hili la kumpa Mimbari Makonda.akiwasimanga viongozi wa dini na kuwafuta bila kuwa ktk roho zaidi ya mbwembe zk
Maxmilian Mwinchumu Askofu uko vzr.dini na siasa lkn wanasiasa waje kwenye dini halafu watu wa dini wasishiriki siasa lkn kura wanatufuata.mvua zikigoma wanakuja kwanini wasitumie magari yao ya washawasha na mabomu
Wewe ni mpumbavu sana kule kwetu tunakuita mbute yaani mihogo ya kuvunda ivi nikulize aliwadanganya watanzania kuwa ukiwa mtumishi wa mungu usiongee kuhusu siasa za nchi Yako ninani.. uyo mtumishi wangu umeme ukipanda aumuhusu mafuta kwenye gari ayamuhusu je maji yakikosa anywi maji ..hawa ni watu kama sisi wanapoona madhaifu kwenye jamii lazima waseme ni haki Yao kweli wajinga ni wengi mnawatukana viongozi wa dini eti wanaingilia siasa amjui maisha ni siasa na siasa ni maisha ... Matumimizi mabaya ya akiri
@@mlandasymon1980 mtu wa ovyo, ni mtu wa ovyo tuuu .....Aliwahi kumtuhumu Mbowe kuwa anauza madawa ya kulevya ....alimtaja kwenye orodha yake .....Mbowe na Gwajima. Harafu na yeye Makonda ati leo anamjua Mungu na kutaka ku challange Viongozi wakubwa Professors & Doctors !!?? ......amesahau dozi alizopewa na Gwajima cku zile mpaka akachanganyikiwa .....hawa viongozi wa din siyo tuuu wanasomea Theology, bali pia wanasoma Phylosophy & Psychology kwa namna yoyote Makonda hana uwezo wa kukaa kwenye mdahalo pamoja nao, hana uwezo wa kujenga hoja dhidi yao ......anapaswa kukumbuka Gwajima alivyompa doz za uso
hapana Mungu ndie alie amua kufunga akili ya mwamposa asiweze kumzuiya kuongea kwasababu hayo aliyo ongea yatakuwa na kazi baadae huko mbele subirini mtajuwa maana yake na mtaelewa ni kwanini mungu aliacha aongee
😂😂😂 jiwe limempigaa😂😂😂 hapo kwa Yusufu aliteleza tu hata mtu yeyote mkomavu anaweza kuteleza tu... Baba yangu wa kiroho ni nguli wa neno la Mungu ila kuna siku aliteleza. So nikawaidaa hiyo kutokea
Anayesema msichanganye dini na siasa" huyo hana akili kabisa,yaani hata akili mbaya hana"ni hivi "SIASA NI MAISHA,SIASA INAGUSA KILA MTU,AWE NA DINI AMA ASIYE NA DINI,SIASA INAMHUSU MOJA KWA MOJA" maana siasa ndiyo huamua kila kitu,siasa ndiyo huamua uchumi uweje,huduma za kijamii ziweje"elimu iweje"na kila kitu,siasa ndiyo mwamuzi
huyo jiwe limemgonga ndiyo maana analalamika kwani ckuhizi imekuwa ni mchezo mtu akipigwa njaa anaanza kuhubiri na baadae akipata wasio jua maandiko basi anajiita askofu hata ningekuwa mm ningesema hivyo cwote wanao mjuu mungu na kujiita maaskofu
Huyo hana lolote yuko kwenye Siasa tu zaidi kuliko hata yule Mwamakula huyu hana jipya kazi mstusi Mwamakula yuko vizuri Serikali kidogo ba Upinzani kidogo
Makonda hajaongea vibaya, Wala hana kosa, lakini Hawa watumishi kwasababu hawajaitwa kweli na MUNGU na hawana Roho mtakatifu wa MUNGU, hiyo kauli imewaumiza Hawa majinga. Makonda hajawafuta viongozi waliochaguliwa na MUNGU, lakini aliwafuta wale ambao hawajachaguliwa na MUNGU. Na Yuko sahihi, hata na Mimi nawafuta, hasa hasa kama huyu. Huyu hajachaguliwa na MUNGU ndio maana anabishana na makonda.
Makonda yuko sahihi kabisa kwa sababu ni kweli wako ambao ni feki.Nsiyo maana utashangaa mtu anayejiita askofu anajiingiza kwenye siasaungu hajawatuma kufanya siasa.
Huyo mwan kusema maaskofu wengine feki ni kweli kwani ckuhizi imekuwa kila mtu anajiita askofu Sasa yeye kusema wengine nifeki kwani amekosea wapi hata huyo anaweza kuwa feki kwa kuwa maaskofu wanachagukiwa na kucmikwa lakini wengine wanajipachika wenyewe Sasa kusema feki cyo kosa inawezekana huyo ni kama mwandishi alivyosema kuwa yeye karusha jiwe gizani huyo liliyempiga lazima alalamiki na kuona kaonewa
Makonda yup sahihi sana na anafaa kuwa raisi mtarajiwa na wananchi wanamkubali hata mkimponda wananchi wa Tanzania ni ngumu sana kuwawaelewa mnaombeza !
tatizo watz hawakumbuki aliyosema Gwajima na inawezekana hata yeye kasahau Makonda alifutwa na Gwajima kwenye ulimwengu was siasa vinginevyo atubu na hakuwahi kwenda kutubu Kwa Gwajima Kwa kumwambia anatumi madawa
Ukifanya zambi itakutafuna sana utakua mropokaji unakua na mawenge unatakiwa utubu mambo uliyoyafanya uyaseme ndio usamehewe vinginevyo utahangaika sana sio utubu kimyakimya hutapona kwa mtu yeyote aliyefanya dhambi kubwa
Kweli makonda amejishusha adhi sana tena ameonekana kama hafai kabisa kama anataka tumwelewe arud kukanusha kauli yake na kuomba msamaha maaskofu na wachungaji
Makonda ni mchumia Tumbo , iko HIVI makonda Ukiwa Bossi wake Yuko tayari kufanya lolote ili TU boss amsifie Anaweza akawatukana hata Malaika ili apewe Cheo 😂😂😂 Hizo ndio tabia za mako
Huyo bishop wa chadema ndiyo feki.Analitumia joho la Lutherani kuieneza siasa ya chadema.na siyo neno la Mungu.Makonda siyo mnafiki kama huyo bishop feki.Hivi viongozi wake hawalioni swala hilo au vipi.bishop huyo anatafuta ubunge kupitia chadema😢
MH: MAKONDA UNATUYUMBISHA TUNAOSAGA NAGOTI KUJIOMBEA. HAINA MAMLAKA YA KUWAFUTA UTMISHI WATU AMBAO MUNGU AMEWATIA MAFUTA.. MUOMBE MUNGU RADHI NA WATUMISHI WAKE PIA UWAOMBE RADHI. OGOPA MKONO WA MUNGU WA HASIRA YAKE.
Kupakwa Mafuta Na MUNGU Rohoni then Badae anapakwa na Mtumishi wake kawaida ,Mtumishi sahihi Wa kwer Wa MUNGU but wa Giza Ndio Atari kamaizoo MUNGU Atutetee@Fikirichimela
Huyu Askofu sijui kaokotwa wapi?Wewe umezoea kusenkenya watu: Makonda kaamua Kuwasema,hadharan huo ndio ujasiri usio na unafiki hata Yesu alikemea watu hadharani
Makonsa hajakosea mana hata bibilia inatabir kwenye ufunuo w yohana unatabir kuanzia mwaka 2000 kutatokea manabii w uwongo na mitume na wanaishara sawa na yesu kristu wataponya watabariki vitu na vitaponya sasa kw iman wanaenda na wanapona wengine wanaenda wazima wanarud wagonjwa kila day n kwenda kule hivyo kama wapo Tz hajakosea makonda amewasaidia inatakiwa watubu mapema . Mana kawasaidia wajielewe kua hukumu ipo mbingun
WEWE MCHUNGAJI FEKI UTABAKI KUBWAKA KAMA MBWA KOKO HAKUNA ATAKAE WAPA NCHI HII VIBARAKA WA MABEBERU NA DOMO LAKO LINANUKA UKIMALIZA KUBWAKA UKAPIGE MSWAKI
Wewe maspro ni mmoja wawa sio julikana hiyo iko wazi hivyo wewe ni mlaanika ukianza kuwatukana na kuwaona watumishi wa MUNGU ni watu wa kawaida na unaweza kuwafanyia chochote ,Sasa wewe na makonda ninyi ni walaanika kwanza makonda ananuka damu za watu
Pumbavu tu wewe Wanao shinda Marekani Ulaya na China kuomba pesa za mikopo ni akina nani? Alafu wanaziiba ni akina nani? Ripoti ya CAG ni wizi mtupu wanao iba ni akina nani?
Dini imetoka Kwa Mungu na Siasa pia , na ndiomaana Watu wanaapa kwake ! na Dini inaleta Amani kwa Watu ,. Amina
Makonda Ni Mwanamazingaumbwe... Anaita Viongozi wa Dini Kuwa Ati ni Feki... Wakati Kasimama Kwa Jukwaa La TAPELI NYANGUMI WA KIDINI... Muuza , sabuni, Maji Mafuta (Matunguri) Yaani MWAMPOSA Hii Ni Maajabu.
Uko poa sanaaaa wewe mtumishi afu unaeleweka kea wenye akiri timamu,, wachungaji wenye njaa na wasiona elimu hawana ujasiri kama wewe ubarikiwe Sana. Una fa a kuwa mshauri wa wafalme uko vizuri Sana kwakujiamini na ukweli
Mchungaji uko vzr sana
Bashite ana matatizo makubwa sana ....
Mungu awape akil y utambuz pia hawa wachungaji na manabii fek wajitambue kua watadanganya Dunia mbingu n hukumu tu hakuna utapel pale hivyo icwaume ila wakat mtu anasema n roho mtakatifu anasema sio yye mana uthubutu w kuongea kama konda n ukuuu w mungu pekee lama huna mungu huez sema 🎉❤ makonda wasikutishe sema bba na hujataja mtu inamana dunia nzima sio umetamkia watanzania tu
SIASA na DINI Vyote Vinaendana , .
MAKONDA KAPIGA KWENYE MSHONO. Imeenda hiyoooooo
We tulia kapiga wao sasa
Ila ushahur wangu kwa mwamposa kamwe asimpe mgen yeyote kuongea kwenye mazabahu yake kama uyo makonda pita uko
Wanajuana nadhani
Kama kuna kosa alilofanya Mtume. Mwamposa ni hili la kumpa Mimbari Makonda.akiwasimanga viongozi wa dini na kuwafuta bila kuwa ktk roho zaidi ya mbwembe zk
Uwezi kwenda nyumbani kwa mtu bira kutoa taarifa
Maxmilian Mwinchumu
Askofu uko vzr.dini na siasa lkn wanasiasa waje kwenye dini halafu watu wa dini wasishiriki siasa lkn kura wanatufuata.mvua zikigoma wanakuja kwanini wasitumie magari yao ya washawasha na mabomu
😂😂😂😂😂 Ni kweli kabisa amezoea kuchafua Hali hewa😂😂😂
Wewe Askofu mwananapinduzi huna lolote yaani ninyi hamtaki mkosolewe ila ninyi mnapenda sana kuwakosoa wengine.
Huyoo Askofu ni chawa wa Chadema bora aache uaAskofu aingie kwenye, siasa tuu.
Nakukubali sana askofu
Unaambiwa Mwanangu Kaniletee Chuma Unaenda Kuleta Bashite! Utazibuliwa Bao la machoni Likutoe Wenge Kwanza!
Makonda ana mdomo mchafu sana hatukutegemea kwamba Yuko hivi
Kevin ww ni moja kati ya wandishi hodari xn.lkn tunakuomba umutafute kijana mzalendo David mkindikwa hatuja msikia Kwa mda mrefu
Makonda mtekaji
Unafanya Kazi Ya aliyekutuma( Mungu)? Manabii Wa Uongo!!
Wewe ni mpumbavu sana kule kwetu tunakuita mbute yaani mihogo ya kuvunda ivi nikulize aliwadanganya watanzania kuwa ukiwa mtumishi wa mungu usiongee kuhusu siasa za nchi Yako ninani.. uyo mtumishi wangu umeme ukipanda aumuhusu mafuta kwenye gari ayamuhusu je maji yakikosa anywi maji ..hawa ni watu kama sisi wanapoona madhaifu kwenye jamii lazima waseme ni haki Yao kweli wajinga ni wengi mnawatukana viongozi wa dini eti wanaingilia siasa amjui maisha ni siasa na siasa ni maisha ... Matumimizi mabaya ya akiri
Mbona hujitambui
Nafikiri hata Mtumishi Mwamposa atakuwa hakupenda, na alijutia kumpa madhabahu, na angelijua kuwa anakwenda kuongea hayo, asingempa madhabahu kabisa
Umenena kwel, hata uso wake niliuona hakuna happy kbs, anyway ndo ishatokea
@@mlandasymon1980 mtu wa ovyo, ni mtu wa ovyo tuuu .....Aliwahi kumtuhumu Mbowe kuwa anauza madawa ya kulevya ....alimtaja kwenye orodha yake .....Mbowe na Gwajima.
Harafu na yeye Makonda ati leo anamjua Mungu na kutaka ku challange Viongozi wakubwa Professors & Doctors !!?? ......amesahau dozi alizopewa na Gwajima cku zile mpaka akachanganyikiwa .....hawa viongozi wa din siyo tuuu wanasomea Theology, bali pia wanasoma Phylosophy & Psychology kwa namna yoyote Makonda hana uwezo wa kukaa kwenye mdahalo pamoja nao, hana uwezo wa kujenga hoja dhidi yao ......anapaswa kukumbuka Gwajima alivyompa doz za uso
hapana Mungu ndie alie amua kufunga akili ya mwamposa asiweze kumzuiya kuongea kwasababu hayo aliyo ongea yatakuwa na kazi baadae huko mbele subirini mtajuwa maana yake na mtaelewa ni kwanini mungu aliacha aongee
Mamlaka Zote Zilizo Kuu na Zilizo ndogo Zote Zimetokana na Mungu Maana Zimekubalika kwake ndiomaana Zipo , .
Shetani hujifanya tuu lakini hawezi balika kuwa malaika na itabaki hivyo milele Amen
Kwa wataalamu wa kukata vipande na kumtengengenezea mtumkibano chake mwenyewe hii ni moja ya voice note yenye vipande vingi sana.
Mm nilishangaa kaongea kwa jazba sana pale jukwaani amekosa busara
Halafu wewe askofu umekuwa mmbeya kama wapinzani.hebu fanya kazi zako uache kutafuta umaarufu kwa kusema watu
😂😂😂 jiwe limempigaa😂😂😂 hapo kwa Yusufu aliteleza tu hata mtu yeyote mkomavu anaweza kuteleza tu... Baba yangu wa kiroho ni nguli wa neno la Mungu ila kuna siku aliteleza. So nikawaidaa hiyo kutokea
SIO KICHEKESHE KUTAMKA HAYO UKIWA JUU YA JUKWAA LA TAPELI NA NABII FAKE NGULI... MWAMPOSA!
Anayesema msichanganye dini na siasa" huyo hana akili kabisa,yaani hata akili mbaya hana"ni hivi "SIASA NI MAISHA,SIASA INAGUSA KILA MTU,AWE NA DINI AMA ASIYE NA DINI,SIASA INAMHUSU MOJA KWA MOJA" maana siasa ndiyo huamua kila kitu,siasa ndiyo huamua uchumi uweje,huduma za kijamii ziweje"elimu iweje"na kila kitu,siasa ndiyo mwamuzi
Huyo siyo bishop wa ukweli.Avue joho avae tu nguo za kawaida wakati akionge I ea siasa huyo ni Yuda aliyemsaliti Yesu.Hana lolote la ukristo😢😢
Mungu akimuita mtu hayuko mwenye mamlaka ya kumfuta wala kumpinga,kajifuta mwenyewe
huyo jiwe limemgonga ndiyo maana analalamika kwani ckuhizi imekuwa ni mchezo mtu akipigwa njaa anaanza kuhubiri na baadae akipata wasio jua maandiko basi anajiita askofu hata ningekuwa mm ningesema hivyo cwote wanao mjuu mungu na kujiita maaskofu
Neno linasema shetani hujigeuza iliafanane na malaika wa nuru na watumishi wake hujigeuza iliwanane na watumishi wahaki ndivyo alivyo Bashite
Huyo hana lolote yuko kwenye Siasa tu zaidi kuliko hata yule Mwamakula huyu hana jipya kazi mstusi Mwamakula yuko vizuri Serikali kidogo ba Upinzani kidogo
Makonda hajaongea vibaya, Wala hana kosa, lakini Hawa watumishi kwasababu hawajaitwa kweli na MUNGU na hawana Roho mtakatifu wa MUNGU, hiyo kauli imewaumiza Hawa majinga.
Makonda hajawafuta viongozi waliochaguliwa na MUNGU, lakini aliwafuta wale ambao hawajachaguliwa na MUNGU.
Na Yuko sahihi, hata na Mimi nawafuta, hasa hasa kama huyu.
Huyu hajachaguliwa na MUNGU ndio maana anabishana na makonda.
😂😂😂 et angemfanyia fujo😂
Kwani yy ni mungu?
Makonda yuko sahihi kabisa kwa sababu ni kweli wako ambao ni feki.Nsiyo maana utashangaa mtu anayejiita askofu anajiingiza kwenye siasaungu hajawatuma kufanya siasa.
Acha kumtetea muaji
Huwezi kutofautisha siasa na dini
Kiboko ya wachawi ndo amewaamusha watu kuwa wengi tunadanganywa.
Kuandika sms kwa kumtukana mchungaji kwa jifikirie kwanza kabla haujamtukana kwanza tutumie hekima kwa wachungaj.
Huyu mchungaji chizi au neno lingine mjinga we chadema kanisa ujeeumani
Anajidharirisha mwenyewe. Akiona hata mtu wa kawaida anamtukana ujue amejishushia heshima mwenyewe.
Huyo mwan
kusema maaskofu wengine feki ni kweli kwani ckuhizi imekuwa kila mtu anajiita askofu Sasa yeye kusema wengine nifeki kwani amekosea wapi hata huyo anaweza kuwa feki kwa kuwa maaskofu wanachagukiwa na kucmikwa lakini wengine wanajipachika wenyewe Sasa kusema feki cyo kosa inawezekana huyo ni kama mwandishi alivyosema kuwa yeye karusha jiwe gizani huyo liliyempiga lazima alalamiki na kuona kaonewa
Makonda yup sahihi sana na anafaa kuwa raisi mtarajiwa na wananchi wanamkubali hata mkimponda wananchi wa Tanzania ni ngumu sana kuwawaelewa mnaombeza !
tatizo watz hawakumbuki aliyosema Gwajima na inawezekana hata yeye kasahau Makonda alifutwa na Gwajima kwenye ulimwengu was siasa vinginevyo atubu na hakuwahi kwenda kutubu Kwa Gwajima Kwa kumwambia anatumi madawa
Sahihi kabisaa @giftkalenge
Ndo maana Hana dira😂
Ukifanya zambi itakutafuna sana utakua mropokaji unakua na mawenge unatakiwa utubu mambo uliyoyafanya uyaseme ndio usamehewe vinginevyo utahangaika sana sio utubu kimyakimya hutapona kwa mtu yeyote aliyefanya dhambi kubwa
Siasa ndio ileta dini...mchungaji asitudanganye
Umesoma wapi wewe mungu aliabudiwa huko mbingun kabla hata mwanadam hajakuwepo😊
Kupoteza muda kumsikiliza makonda ni upuuzi zaidi kuliko upuuzi wowote duniani
Ye mwenyewe kafutwa atamfuta nani ss😂
Alifutwa na Gwajima siku nyingi sana.
Kweli makonda amejishusha adhi sana tena ameonekana kama hafai kabisa kama anataka tumwelewe arud kukanusha kauli yake na kuomba msamaha maaskofu na wachungaji
Makonda kasema ukweli viongozi wa dini wanashida walaka walaka. Makonda kapiga kwenye mshono
👍👊✌️.
Makonda ni mchumia Tumbo , iko HIVI makonda Ukiwa Bossi wake Yuko tayari kufanya lolote ili TU boss amsifie Anaweza akawatukana hata Malaika ili apewe Cheo 😂😂😂 Hizo ndio tabia za mako
Huyo bishop wa chadema ndiyo feki.Analitumia joho la Lutherani kuieneza siasa ya chadema.na siyo neno la Mungu.Makonda siyo mnafiki kama huyo bishop feki.Hivi viongozi wake hawalioni swala hilo au vipi.bishop huyo anatafuta ubunge kupitia chadema😢
Mchungaj nimekuelewa
Sasa ndiyo hivyo makanisa yenu mjifunze itifaki za kiroho kwa kutumia kanisa katoliki
😅😂nilitaka niongee kitu ila ngj ninyamaze maana ntakupa kazi ya kusoma biblia
Katoliki😂😂😂?.. Sisemi ila ... duuh...
Huyo ni comedy kama comedy wengine
Kosa liko wap kusema unamjua aliyekuita? We unajua unayemtumikia? Duuuuh kuna watumishi nao wamekosa njia bora mungekuwa wanasiasa
MH: MAKONDA UNATUYUMBISHA TUNAOSAGA NAGOTI KUJIOMBEA. HAINA MAMLAKA YA KUWAFUTA UTMISHI WATU AMBAO MUNGU AMEWATIA MAFUTA.. MUOMBE MUNGU RADHI NA WATUMISHI WAKE PIA UWAOMBE RADHI. OGOPA MKONO WA MUNGU WA HASIRA YAKE.
Mafuta ya kuhalalisha ushoga?
Kupakwa Mafuta Na MUNGU Rohoni then Badae anapakwa na Mtumishi wake kawaida ,Mtumishi sahihi Wa kwer Wa MUNGU but wa Giza Ndio Atari kamaizoo MUNGU Atutetee@Fikirichimela
🎉🎉🎉🎉
Kwani makonda anakosa gani
WACHUNGAJI MACHADEMA HAO KAKA... WALA WASIKUPE TABU 😂😂😂
Kachafua hewa
Makonda na aliwaowafuta wote wanafanana. Wote ni wasanii. Wakoloni walituletea na kutupa vitabu wakachukua ardhi yetu.
Huyu Askofu sijui kaokotwa wapi?Wewe umezoea kusenkenya watu: Makonda kaamua Kuwasema,hadharan huo ndio ujasiri usio na unafiki hata Yesu alikemea watu hadharani
Hilo choko tu
Kwanza huyo makonda amemzalilisha sana mwamposa maana baba yetu yule akisimama mazabahun kwake huwa asemi dini wa mtu
Sasa mboniwewe unakemea watu kwene juka lasiasa
Mwanamapinduzi nawe unajiona ni kiongozi wa dini
Mbona anaye,zunguka naye ndiye anastahili kufutwa.
Hata huyo anayedanyanya watu na maji na vitambaa ni fake, siku moja atajua ukweli na atajuta kwa hizo kauli za kuropoka
Kwanza Makonda kawafuta kama nani yaan 😅labda katumia uchawi sio Mungu alieumba Mbingu na Nchi
ADHABU YAKE ATAIPATA LONDONI MAHAKAMANI
Haa hhaaaaa 😂😂😂😂😂 kabisa
Acha ufara wewe
Makonsa hajakosea mana hata bibilia inatabir kwenye ufunuo w yohana unatabir kuanzia mwaka 2000 kutatokea manabii w uwongo na mitume na wanaishara sawa na yesu kristu wataponya watabariki vitu na vitaponya sasa kw iman wanaenda na wanapona wengine wanaenda wazima wanarud wagonjwa kila day n kwenda kule hivyo kama wapo Tz hajakosea makonda amewasaidia inatakiwa watubu mapema . Mana kawasaidia wajielewe kua hukumu ipo mbingun
Nchi inawaka moto
Patana na ndugu yako kwanza ndio upande madhabahuni.
👆HAUNA
Msichukie amewambia kweli
WEWE MCHUNGAJI FEKI UTABAKI KUBWAKA KAMA MBWA KOKO HAKUNA ATAKAE WAPA NCHI HII VIBARAKA WA MABEBERU NA DOMO LAKO LINANUKA UKIMALIZA KUBWAKA UKAPIGE MSWAKI
Shetani hujifanya tuu lakini hawezi balika kuwa malaika na itabaki hivyo milele Amen
😏😏😏 lazima kitawaramba tu 2025,,labda muibe kura,mnajiona nyie ni watanzania mna haki ,wengine ni WA congo pole sana ,Mungu akisema amesema
Wewe maspro ni mmoja wawa sio julikana hiyo iko wazi hivyo wewe ni mlaanika ukianza kuwatukana na kuwaona watumishi wa MUNGU ni watu wa kawaida na unaweza kuwafanyia chochote ,Sasa wewe na makonda ninyi ni walaanika kwanza makonda ananuka damu za watu
Pumbavu tu wewe
Wanao shinda Marekani Ulaya na China kuomba pesa za mikopo ni akina nani? Alafu wanaziiba ni akina nani?
Ripoti ya CAG ni wizi mtupu wanao iba ni akina nani?
Kweli wewe ni pepo la kuzimu.bila kujitambua
👆 KUKUOMBEA
Makonda umepiga kwenye mshono wajinga sana hawa wachungaji feki kama mmeshindwa kuhubiri dini nendeni mkawe mashoga
Shule Kuna dini tunaenda kanisani hiyo sikubaliani na wewe
Usiongope maaskofu hawakuwepo au ulikuwa mtoto mchanga
Usanii mtupu.
𝚏𝚊𝚔𝚎 𝚖𝚞𝚔𝚘 𝚠𝚎𝚗𝚐𝚒 𝚝𝚞 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚜𝚑𝚒𝚝𝚒𝚔𝚒𝚗𝚊 𝚗𝚢𝚒𝚗𝚢𝚒