Kuwaacha familia yake na watoto wake kwenye hali nzuri ya maisha si hoja hiyo ya kuongea mchungaji. Inakupasa kama mchungaji uongee kuhusu uhalali wa Mali alizoziacha endapo ni pesa au Mali iliyopatikana pasipo dhuluma au wizi au Mali ya ulaghai. Waeleze watu kuhusu walivyonavyo kama ni halali au dhuluma ili warudishe kule walipo dhulumu au kuiba, waambie warudishe na watubu. Biblia inasema "mtu yeyote apendaye Dunia na mambo yake hanistahili". Binafsi speech yako imelenga mambo ya kidunia siyo ya kimbingu kwamba watu wajikite kufanya kazi ili watimize malengo yao ikiwemo kujiwekeza ki maisha,siyo kumtafuta Mungu kwa kuacha dhambi na kuyajua matendo yasiyo mpendeza Mungu. Wachungaji jitafakarini siyo kusifia oh,sadaka ya Leo ni kubwa sana kuliko sadaka nyingi zilizowahi kutolewa,mara oh,kijana wako shigongo ametoa milioni tano nk. Kwani hayo matoleo makubwa ndiyo yatatupeleka mbinguni? Yesu tusaidie. Wachungaji wamesahau wajibu wao wamebaki kusifia mafanikio badala ya kuihubiri dhambi.
hatima ya mtu kama ni kwenda mbinguni au kuzimu anayejua ni Mungu pekee, hata mume na mke hawako muda wote. Mchungaji ajikite zaidi na neno la Mungu, na ni fursa ya pekee sana kwake kuwaimiza viongoz na kila mmoja katika nafas yake kutenda haki na kujali utu.
Muhubiri mzuri mungu akupe maisha marefu
Ila hiyo sadaka tunaomba muitumie vizuri na Mungu aendelee kuwabariki

Huyu mchungaji anaongea lots of sense kuliko maaskofu wa katoliki wanaogeuka wanasiasa
He sounds like Mh.Lukuvi
Amen
✌️👍👊.