🔴LIVE : KARAOKE YA EFM HOSTED BY TAJIWIDI APRIL 27/2024
Вставка
- Опубліковано 25 січ 2025
- 🔴LIVE : THE CLASSIC NA JAY MOE APRIL 27/2024
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
efmtanzania
TWITTER:
efmtanzania
FACEBOOK:
efmtanzania
Dada kapita na gospel kwenye beat ya secular kaua sana 🔥🔥
Naitwa Shafiq RUBANI n'a mkubali mwenye kuimba kama jux
Noma sana naitwa Ibrahim msiga nipo mbinga songea
Mbudaaaa ametishaa apoo
EMMY KUTKA MBAGARA
Wa saku njia panda ndogo hakika Leo karaoki hatari
Uyo bwido anajuw xanaaaaa😊😮🎉❤
Uyo mbwido anajua sana akaze sana nyota yak ip
Nimeikubali sana mtoni white Apa
Sema otoisauti😂😂
Atar xana tajiwid
EFM Tanzania Sema nin taji hapo Kuna vipaji viwili Kuna comedian mfano kama Ngara boy
Oy wana wana wivu sana papapa moja sana nakubali
Buda wauwe apo kk Salim from wahenga
😅😅😅 efm Tanzania by abubakary ally wa kibaha mwenda pole awo madogo wa singeli wanatish San nipo na mwanangu iqraà tunawaangalia live tuu
Mzimu wa tulien
Naitwa Hashim au baba j4 kutoka mwanza sub zero anajua Sana mwambie akaze buti
Femas imetishaaa 🎉🎉
😊taji kiindi Kiko pw
Unyama mwing tajuid by John Dodoma ihumwa
🫡🫡🫡🫡huyo sister n fire TAJIWIDI
Niite sule five aibbar from Tanga city young star
Owa hao Wana wanaju sana
Nakubali tajiwidi
Naitwa maiko kutoka mazese anajuwa
Bwido unajua sana
Naitwa anney jaman huyo kaka sab zero anajua mpaka anajua tenaaa
Wana wanajuwaaaaaa
Jamani mbwido ni shida sana anajua mpaka kajua tena naitwa jazztone nafuatilia show lev
Tajiwid mbona huku moshi redio haishiki
unajua nin tajuwidi , kijana mbwido niatar naomba ngoma ziumane na kidensa itakua pwh sana*
Anipe card ya arus uyo tutawezana
Wa saku njia panda ndogo hakika leo hapo mjengoni hatari
Hapo ndan atal Leo
Hapa nilipo nimecheza kweli hadi bas
Atal San Buda zon mtalm san uyoo
Oi
Sub zero is the king of vocals npia ana sauti yke kwa kinanda chake anajua sana ngoma zke zina hisia napia anajua kujiwkilish kwa hilo yaan kwl nyuki wabay 😂
Mesha katisha ila nyimbo ya kwanza amenikosha
Tuko pamoja mwanzo mpaka mwisho
Tajiwidi judge anasound Kam treyzah
wanajua
Mh kwer
mbwido aàaah kipaj2
Oi mwamba pambana unakitu lizitosana unaimba kwahisia
Buda umetisha balla emmanueli mgilima Dom tawn
Mim
Siku
Hiyo
Nitalewa
Sana
ila
Atalipia
Aache
Ukorofi
uyo wa kwanza ndo anaweza achukue demu ngosha aende akalime tu by byute
Sub zero hatar
K2
Dogo punzi kipengele
Naitwa Hashim au baba j4 kutoka mwanza sub zero anajua Sana mwambie akaze buti
😊taji kiindi Kiko pw
uyo wa kwanza ndo anaweza achukue demu ngosha aende akalime tu by byute