DUNIA (Ep 44)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 4,7 тис.

  • @babynaash
    @babynaash 9 днів тому +2069

    Tunao angalia Dunia tukiwa kitandani tujuane😂😂

    • @hellenahenry1629
      @hellenahenry1629 9 днів тому +26

      😂😂😂umejuaje

    • @babynaash
      @babynaash 9 днів тому +32

      @hellenahenry1629 ni mida yetuu hiii ya kubembea vitandani🤣🤣🤣🤣

    • @emmathedj_tz
      @emmathedj_tz 9 днів тому

      ​@@babynaashna Mosquito net hatujashusha🤣🤣

    • @frozianakalugulu971
      @frozianakalugulu971 9 днів тому +11

      Niko hapa ❤😂

    • @patijohhullian5372
      @patijohhullian5372 9 днів тому +6

      😂😂😂😂😂 yaani Kama ulikuepo

  • @عذاريالفارسي-ث3ذ
    @عذاريالفارسي-ث3ذ 9 днів тому +112

    Kumbe mtu akikuroga akaushindwa anakuita mchawi 😅😅😅😅pole diha. Hongera mat

  • @Joyce-b1p
    @Joyce-b1p 7 днів тому +67

    Siku zote mchawi akikushindwa anaanza kukuita wewe mchawi looo nimeamini Yani cathe nakuchukia sana tunao mpenda Matty tujuane ❤❤❤

    • @gladnessMbuja
      @gladnessMbuja 6 днів тому +1

      Aya Joyce by

    • @Joyce-b1p
      @Joyce-b1p 6 днів тому

      @gladnessMbuja pwpw

    • @HappyGiraffes-hf9ox
      @HappyGiraffes-hf9ox 3 дні тому

      @@gladnessMbuja dah,yaan kwenye dunia tuna vita sana,vita zingine hatujaziazisha ss bali,mwenendo wa maisha ndio inayo tuinulia madui. But kwa kua Mungu ni mweza wa yote tumtegemee sana.

  • @MunaSuleiman-g5u
    @MunaSuleiman-g5u 7 днів тому +112

    Tunao mpenda. Mungu kwa kutupatia afya njema like apa

  • @AsifiweImani
    @AsifiweImani 9 днів тому +1162

    Kama unamupenda Mungu kuliko iyi série ya DUNIA nipeni like basi

    • @RozaSamuson
      @RozaSamuson 9 днів тому +6

      Unamatatizo ww umeona mungu ulinganishe na mungu kweli wakupeleke mirembe2

    • @musasaganda4597
      @musasaganda4597 9 днів тому +10

      Hayo ni majaribu sasa unamwingizaje Mungu kwenye kulike comments yako

    • @3malis
      @3malis 9 днів тому +1

      Una tutega 😂

    • @AbdallahIsmail-vh1tb
      @AbdallahIsmail-vh1tb 9 днів тому +1

      Akili huna wewe ndugu
      Like ni yakukutoa maneno ayo kufananisha mungu na series

    • @slimanmchome407
      @slimanmchome407 9 днів тому +4

      like hupati na series tunaangalia😏😏

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 9 днів тому +541

    Alhamdulillah! Wewe Uliebarikiwa Kuiona Siku Ya Leo Nakuomba Chukua Muda wako Kumshukuru Mungu, Kama Unaamini Mungu Amekufanya Kuwa Hapa Leo Gonga Like 🙏🙏🙏

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 9 днів тому +96

    Mbn kaleo nikama kafupi au kwa sababu nitamu sana ndio naona vifupi😂😂😂😂 maua kwenu wote mnaona fuatilia DUNIA🎉🎉❤❤❤❤❤

    • @bonnycharse9056
      @bonnycharse9056 9 днів тому +1

      Tamu inanoga😂

    • @edithcasmir2565
      @edithcasmir2565 9 днів тому +1

      Waongeze muda bana

    • @auntcheu
      @auntcheu 8 днів тому +2

      Hpn siyo fupi sema kipande cha marty na manyanya ni kifupi 😂

  • @ibrahmenard
    @ibrahmenard 8 днів тому +25

    AFISA MIKOPO NIMEKUKUBALI🙌🙌🙌🙌😚ntakuletea roli la mauwa

  • @AshuraMagesa-b1b
    @AshuraMagesa-b1b 9 днів тому +272

    Hili igizo ni hatariii mafunzo kumbe ukiroga bila mafanikio uliyemuroga ndo anakuwa mchawi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Cathe jamaniii

  • @JamesPaulo-x3z
    @JamesPaulo-x3z 9 днів тому +749

    Wote waliokuwa wanatamani manyanya awe hivi naombeni mgonge like hapa 🎉🎉🎉🎉

  • @eunicewafula6162
    @eunicewafula6162 9 днів тому +250

    Cathy kweli wewe ndo mchawi unaita matt mchawi una roho mbaya team matt gonga like tukienda ,manyanya hongera sana kwa kazi nzuri

  • @razesdragon
    @razesdragon 7 днів тому +14

    Sku zote mwanamke mpumbavu ndo anaefanya mwanaume wake abadilike nyumbani 😂🎉🎉 from Congo 🇨🇩🇨🇩✌️🔥👑

    • @johnmuema3335
      @johnmuema3335 10 годин тому

      Nakuunga mkono 💪💪💪from kenya 🇰🇪

    • @razesdragon
      @razesdragon 6 годин тому

      @johnmuema3335 yes 🤜🤛

  • @MohoniMarwa
    @MohoniMarwa 9 днів тому +84

    Sema manyanya unajua hii tamthiliya umecheza kama pere huna baya kak🙌🙌🙌

  • @IshaOman-wq3rq
    @IshaOman-wq3rq 9 днів тому +394

    Waoooo jmn wangapi dunia imetukuta hatujalala❤❤

  • @ModricMussa-y5y
    @ModricMussa-y5y 9 днів тому +33

    Manyanya unajua sn pmja na Tim yko Big up san wot ila matrida nips nampend sanaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AnthonySylver
    @AnthonySylver 8 днів тому +61

    Mama vijacho wote mnao angalia dunia mungu awalinde na kuwafikisha salama katika safali yenu nawapenda nyote ❤❤

  • @Mzitomatelephone
    @Mzitomatelephone 9 днів тому +150

    Wanaomkubali manyanya kua muigizaji bora kuliko clam,kelvi na Rk, gongeni like hapa

    • @HappynessBelnardo-p7b
      @HappynessBelnardo-p7b 9 днів тому

      No

    • @KhadijaMuhammedi-r5u
      @KhadijaMuhammedi-r5u 9 днів тому +2

      Weee hapo umefeliii brooo hao uliowataja huyu mwamba anaigiza lakin huwez kuwa shindanisha na wale especially clam vevo

    • @UmayyaMunisi
      @UmayyaMunisi 9 днів тому

      Big noo 😂😂

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 8 днів тому

      ​@@KhadijaMuhammedi-r5usasa clam ana kitu gn special?

    • @Mzitomatelephone
      @Mzitomatelephone 8 днів тому +1

      @@KhadijaMuhammedi-r5u sasa wale si wanaigiza uchawi na manyoka yani maisha ambayo si halisi ,wanaigiza vitu vya kufikirika ila manyanya anazungumzia uhalisia wa maisha ya Mtanzania

  • @ReshmahEmma
    @ReshmahEmma 9 днів тому +158

    Dunia ni movie hatar sana nawakaribisha wote wanaoamuni kuwa Hawa characters walioigiza hii movie ya Dunia Wana kipaji Cha kutosha na watafika mbali sana walike hapa🎉🎉🎉 ❤❤❤

  • @TwallayhatOmary-k3s
    @TwallayhatOmary-k3s 9 днів тому +178

    Wakwanza Leo jmn kutoka tz tbr unyamwezin team manyanya&dunia like kwa wingi hap🎉🎉🎉🎉🎉

    • @kladahmad3333
      @kladahmad3333 9 днів тому +2

      Jamani vai pole sn😂😂😂

    • @TwallayhatOmary-k3s
      @TwallayhatOmary-k3s 9 днів тому +1

      ​@@kladahmad3333😂😂 me hata simpi pole vai wallah

    • @Angelina-t9k6k
      @Angelina-t9k6k 9 днів тому

      @@TwallayhatOmary-k3s jmn me namuonea huruma sn😭😭😭

    • @SelinaDorcas
      @SelinaDorcas 9 днів тому

      ​@@kladahmad3333kasababisha mwenyew haifai kupewa pole

  • @PatiencePrudence
    @PatiencePrudence 7 днів тому +9

    Eeeeh wakikuroga wakakushindwa wnauita mchaw wakt ujui chochote respect familia

  • @Seleman-m4e
    @Seleman-m4e 9 днів тому +89

    Kaka manyanya umeyatimba hila umejua kumshika akili vai like please ata kumi tu 🎉🎉🎉

  • @nadiahussein-mn2fb
    @nadiahussein-mn2fb 9 днів тому +30

    waliofurahia vai kuvuna alichokipanda gonga like twende 😂😂😂

  • @Cynthia-nw8kg
    @Cynthia-nw8kg 9 днів тому +73

    Tulioshindwa kulala tujuwane jaman nawapenda sn nyie wote ❤❤Math anataka ndoa jaman kachangamka 🎉🎉

  • @msafiricharles6482
    @msafiricharles6482 7 днів тому +9

    Ndoa ni daraja la juu kabisa usikurupuke hii nimeipenda gonga spa ulieielewa ii

  • @samiuhassan8153
    @samiuhassan8153 9 днів тому +75

    Dakika zajiooooooooni😍😍😍 chuma hii hapaa

  • @Bonfacemwenda-d7u
    @Bonfacemwenda-d7u 9 днів тому +55

    Manyanya I love sana you content your content is much interesting thanks so much 🇰🇪

  • @scovnaturals8884
    @scovnaturals8884 9 днів тому +70

    Sema Cathe anajua kuigiza bhn😂😂 na uhusika umemkubali😂😂

  • @SabrinaKhamis-u7j
    @SabrinaKhamis-u7j 8 днів тому +4

    Wallah hii move jamn iwekwe sinema zetu watu wajifunze Yan inamafunzo mazur sana Yan ❤❤❤❤

  • @chidomobile9546
    @chidomobile9546 9 днів тому +21

    😂😂😂😂na mm leo wa kwanza nipeni maua yngh..... VIVA DUNIA VIVA

  • @roxvico5002
    @roxvico5002 9 днів тому +225

    Wanao amini manyanya hazingui twendeni hapa❤

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 9 днів тому +2

      Acheni upuzi manyanya kazingua tena sana

    • @ZakayoGachi
      @ZakayoGachi 9 днів тому +1

      𝙠𝙬𝙖𝙣𝙣

    • @roxvico5002
      @roxvico5002 9 днів тому +1

      @@GeraldElias-s7j hajazungua wala nini aliteseka sana kwa vai

    • @roxvico5002
      @roxvico5002 9 днів тому +1

      @@ZakayoGachi vai anavuna alicho panda

    • @VeroJoseph-k6t
      @VeroJoseph-k6t 9 днів тому

      Yaan uyu vai mwanzo alipendwa sana ila tu kaanza kiwaskiliza wale wamama kahaba na ndo kinamtesa ad saiv, na hii ndo ndoto ya wanawake wengi wapuuzi kutaka kuwamiliki wanaume, namwonea saa huruma vai mana vita ndo kwanza inaaanza​@roxvico5002

  • @VitalNsengiyumva-rb3eq
    @VitalNsengiyumva-rb3eq 9 днів тому +28

    Waaaoooo nilikuwa naisubili kwa hamu kubwa kabisa hongela sana Wachezaji wazuli wa Dunia❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @rockbbftv1313
    @rockbbftv1313 8 днів тому +7

    Ndondo kabu😂😂
    Kuna siku mwanamkewangu ananipiga biti akafungasha kila kitu anasema anasepa asee nilifrai nikalala zangu kwenye kochi nismbugzi apenge nguo zake fresh asubui nikatoka sa 11 ili nikirud jion nikute funguo zangu mlangoni
    Jioni narudi nilapitia kiepekuku nina raha na soda😅😅😅😅
    Nikishangaa namkuta 😂😂😂 kapanga nguo zake kwenye kabati kapika chips zang tukala wote tena

  • @Tresortreessy
    @Tresortreessy 9 днів тому +10

    Nilikua nimeisubili kwahamu kuel ❤ Mimi apa kutoka Burundi 🇧🇮 tunakupenda sana manyanya ❤❤

  • @yasilujirani7548
    @yasilujirani7548 9 днів тому +57

    Heee japo leo nimekuwa wa mwanzo mwanzo 😂😂. Nipeni basi japo kalike kamoja 🙏

  • @Online_MO
    @Online_MO 9 днів тому +33

    wanawake kweri ni mtihani ......uyo vai sialikuwa anasema han wivu na manyanya saiv yak wap analia tuu

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 9 днів тому

      Hapo sasa analipia alichokipanda alijiona ceki 😂😂😂acha akome

  • @AlliMakwangu
    @AlliMakwangu 4 дні тому +2

    Dah manyanya babaa unavyofafanua ndoa unanikoshaaa babaa asante sana nanaendelea kujijunza kupitia wewe Allah akuongoze

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 9 днів тому +34

    Kama mashabiki tuko pamoja nanyi tamthiliya ya dunia mwanzo mpaka mwisho....Anayeamini cathy atamchongea maty kwa kumleta mke wa manyanya katika fumanizi zito agonge like usiku huu.

  • @PaskaliaLenard
    @PaskaliaLenard 9 днів тому +32

    hahaha jmn cathe anamwita mwenzie mchawi kisa hasira za mganga kushindwa kufanya kaz

  • @EleutonDiaz
    @EleutonDiaz 9 днів тому +18

    Manyanya ni wamoto 🎉🎉🎉 unaweza kaka❤❤❤ from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Mueda

  • @WastaraShabani
    @WastaraShabani 8 днів тому +6

    Hee makubwa uyoo Catherine jmn mwisho wa ubay ni aibu😂

  • @Naeema-d9s
    @Naeema-d9s 9 днів тому +33

    Maina nakupa mauwa yako🎉🎉🎉 ila rich we mkaka nuksi ufai baada ya kuwainua watu unawakandamiza😢😢

  • @Noela-l8e
    @Noela-l8e 9 днів тому +37

    Yanihawa watu wamkopo wapuuzi kweri kukukopesha wana kubembeleza sikuyakudai utajuta ndanipenyewe mama hamna kituchathamani watakuja wabebe hadi pichuu😢😢

  • @SuzyFidels
    @SuzyFidels 9 днів тому +64

    Kaka manyanya umeongea point kwa maty pokea maua yako❤❤❤❤😂😂😂🎉

  • @BarakaJiresi
    @BarakaJiresi 3 дні тому +2

    Wakwanza Leo naomba laikizangu😂😂😂❤❤

  • @fridahbernard3030
    @fridahbernard3030 9 днів тому +24

    Manyanya Leo umenifunza kitu,,kweli kabisa unaeza kuwa na mume but anamilikiwa na mtu mwingine,,,wangu anamilikiwa na mamake😂😂😂

  • @jordanjonas8009
    @jordanjonas8009 9 днів тому +66

    Ila awa watoa mikopo ni wahuni sana kudadeki zao 😂😂😂😂😂😂😂 ni matapeli kudadeki

    • @CuteGee-ni7oz
      @CuteGee-ni7oz 9 днів тому +1

      Wanavotaka wateja wanakuwa wacheshii 😁😁ngoja ufeli sasa

    • @charleslulandalah9785
      @charleslulandalah9785 5 днів тому

      ​Mm sipo ivyo mbona me naenda nao sawa tu apa morogoro😂😂😂​@@CuteGee-ni7oz

  • @DonbrightKenny
    @DonbrightKenny 9 днів тому +19

    Mmmm. Nilikuwa niisubir Kwa hamu San na hii n weekend let's go manyanya Teacher

  • @SophiekabalwaCommerce
    @SophiekabalwaCommerce 5 днів тому +3

    Kwamwenye ekima iyi film iko n'a mana saaaaaaaaana na mafundisho muzuri Sana kwa mwenyi kuolewa

  • @Nyanchama_zn
    @Nyanchama_zn 9 днів тому +32

    makofi Kwa manyanya 👏👏👏👏🏾👏🏾👏🏾

  • @bancywanjiru84
    @bancywanjiru84 9 днів тому +58

    Mundi kubwaaaaaa,mundi muzunguuuuu,amani wa cindy😂❤huyu ndio anamake niwatch hii cinema

  • @FloraMwamlima-s6g
    @FloraMwamlima-s6g 9 днів тому +33

    🎉🎉🎉 wakwanza kabisaaaa❤ oya weee dunia ni fire🔥🔥

  • @MarthaUswege
    @MarthaUswege 7 днів тому +8

    Uyo dada wa mikopo amezidisha sana kulinga khaaaaa

  • @مدينةشعبانسيف
    @مدينةشعبانسيف 9 днів тому +56

    Nipewe mauwa Yangu 🎉 leo nimm tenaaa🤸🤸🤸🤸💃💃💃💃💃🇰🇪🇰🇪

  • @NoellaNajma
    @NoellaNajma 9 днів тому +20

    Tupowengi duniya inamafuzosana. Waliyoiceza munguawalipe inatufunza

  • @NathaSMART
    @NathaSMART 9 днів тому +138

    Wakwanza Leo kama unapenda couple ya manyanya na Matilda gong likes 5 Guys
    I love you Matilda ❤❤ 🇧🇮🇧🇮🇦🇪🇦🇪

  • @Justin-z1m
    @Justin-z1m 8 днів тому +20

    Sema mudy muzungu a.k.a paka la bar au Amani wa sindi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 oya weeeeeeh mudy nakukubali kinoma mzeee baba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @SaadaFaki
      @SaadaFaki 7 днів тому

      Sas vai apo Tumia uwa namke wak kumrejesha mumeo lkn si ivo kuwa mstarabu

    • @SaadaFaki
      @SaadaFaki 7 днів тому

      Sas vai apo Tumia uwa namke wak kumrejesha mumeo lkn si ivo kuwa mstarabu

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 9 днів тому +115

    Matlida acha kumsalimia mchawi mwaya kawaida mchawi akikuloga akikukosa anakuhisi kuwa nawewe ni mchawi kama yeye😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

    • @GodfreyElikana
      @GodfreyElikana 9 днів тому +4

      Nakubali👍

    • @jacqueenlucah1087
      @jacqueenlucah1087 9 днів тому +4

      Ukweli usiopingikaaaa shogaaa me wameniloga wamenishindwa wanakazi tu saiv ya kuniita mchawiii😂😂😂💔

    • @FettyStadi
      @FettyStadi 9 днів тому +2

      yani ww ndio mm kabisa

    • @PiliSalehe-q9o
      @PiliSalehe-q9o 9 днів тому +3

      ​@@jacqueenlucah1087 ulienda wap shoga mana sie wengne tunarogwa ad tunajuta kuzaliwa

    • @RosetteKahuga
      @RosetteKahuga 9 днів тому +1

      Kweli Kabisa

  • @ThomasWilliam-k5h
    @ThomasWilliam-k5h 9 днів тому +78

    Manyanya Manyanya Manyanya we ni kiboko ety quality ya ndondo cup na league ya Mabingwa aisee wanao mkubali jamaa tujuane tafadhali 🎉🎉🎉🎉

  • @OscarbukwimbaEdward
    @OscarbukwimbaEdward 9 днів тому +37

    Manyanya upo vizuri sana Kama unaamini gonga like hapa

  • @OscarAshuza
    @OscarAshuza 8 днів тому +33

    Hii movie ibebe tuzo zote kuanzia
    1 director
    2 story
    3 waigizaji
    Duuuuh Mungu awa bariki san
    Jaman naomba na mimi muni follow ni mwimbaji wa nyimbo za injili 🤗🤗🤗🙏🙏🙏🙏

  • @DianaBlaison-u7s
    @DianaBlaison-u7s 9 днів тому +45

    Aiseee manyanya mbna hili igzo linaniusu mm jaman 😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @issackmasumbukoissack
    @issackmasumbukoissack 9 днів тому +72

    E mungu tusaidie ss wana wako tuwe salama tuvuke yote magumu tukiwa salama❤❤

  • @BizzyBizzyman
    @BizzyBizzyman 9 днів тому +45

    Wao nimewahi leo kutoka zanzbr hy nipeni haki yangu

  • @NeyJoel
    @NeyJoel 8 днів тому +2

    Mimi mimiiiii nmetekwaaaaa,mimi mimii nmetekwa na duniaaaa😅

  • @HeradiRams-mr7zn
    @HeradiRams-mr7zn 9 днів тому +53

    Leo ni wa kwanza from DRC 🇨🇩🇨🇩 naomba likes please 🙏 leo naomba nione upendo ya wa tanzania😢

  • @ChanceRiziki
    @ChanceRiziki 9 днів тому +20

    Wa kwanza Léo nipe like zangu 🎉🎉🎉🎉

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 9 днів тому +41

    Hee kama vile nimemuona mpumbavu mwenzangu huku a.k.a mke wa kilamba ukwaju😅😅😅😅😅

  • @MartiniJohn-j2p
    @MartiniJohn-j2p 8 днів тому +4

    tulio cherewa kujuwa hii silizi tujuwane❤❤

  • @lulumkinga1733
    @lulumkinga1733 9 днів тому +32

    Vai kimekulambaaa😂😂😂😂saiv gusa Achia twende Kwa matiii😜😜

    • @SKuhh-l4c
      @SKuhh-l4c 9 днів тому +1

      Gusa ashia twende kwa matii😂😂😂😂😂😂ww

    • @JumaMohamedi-p8y
      @JumaMohamedi-p8y 8 днів тому

      Mambo vp jamii

  • @Tobias_mhina
    @Tobias_mhina 9 днів тому +35

    Ila Vai baada ya kutibu tatizo yeye ana zidi kuongeza tatizo na sio kujiuliza kuwa wapi alikisea kupelekea mpaka mumewe kawa hivyo ila daaaah😢😢😢😢😢

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 9 днів тому

      Sasa Vai mwenyewe awezi jiuliza juu ikiwa washauri wake ndio hao mshangazi wanapigania vibenteni😂😂 mshauri nikama dadake yule niambie kama atagundua yeye ndio mwenye makosa😂😂🔥

    • @ashuramanya9282
      @ashuramanya9282 9 днів тому

      Nihatari yake kwa kweli....sana mtuma sasa akalale inje tena.

    • @luidhaldanjawa
      @luidhaldanjawa 9 днів тому +1

      Ata kama akinyenyekea mume ashaonja Utamu wa nje unahisi atatulia?

    • @angelNinaofficial-z2d
      @angelNinaofficial-z2d 8 днів тому +1

      Hapo kashayatimba hata afanyeje hawezi kurudi akirudi napo ni ushingo pande kashaonja nnje hata ikishindikana kwa Mat atafta mwingine

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 6 днів тому

      Kabisa ww umesema na sio wengine wanoomba omba like

  • @pillymakambi9133
    @pillymakambi9133 9 днів тому +27

    Wakwanza naomben like zangu vipenziiii😂 much love duniaaa😂 hiyo lig unaiweza ya klab bingwa vai

  • @LukeEastwind
    @LukeEastwind 7 днів тому

    Best series so far ...Real life happenings....from Kenya with love❤❤❤😊

  • @RobertDrc-p4e
    @RobertDrc-p4e 8 днів тому +9

    Case mwisho na mwisho atajinyongaka kwa sababu ya wivu😂😂😂 nawapenda sana ♥️🎉🎉🎉

  • @Fetypeter-bw2fq
    @Fetypeter-bw2fq 9 днів тому +40

    Namuona mudy atavowah kuchukua ela akidai kaagizwa na mkewe hawez fika anaumwa 😂😂😂😂😂 waaaaapi mudy muzungu 😂😂😂😂

  • @HabonimanaYousra
    @HabonimanaYousra 9 днів тому +13

    Wauu wenzangu munalala umu nakushinda umu Jamani haya Watuu wa Burundi tujuwane

  • @patrickchai4271
    @patrickchai4271 8 днів тому +3

    Waaaaaahh!!!!!!!! Bila woga hii ni supu ya MOOOOOTO
    [from mombasa kenya ]

  • @yaredharod4967
    @yaredharod4967 9 днів тому +38

    Vijana wenzangu niwashauri kitu, nilianza kufuga kuku na mtaji wa laki sita, na mpaka sasa nashukuru mungu nimewala wote

  • @NiyonkuruEsnat
    @NiyonkuruEsnat 9 днів тому +21

    Wanao amini manyanya hazingui twendeni hapa❤❤❤🎉

  • @sifaortence
    @sifaortence 9 днів тому +38

    Napenda sana maneno ya Manyanya kwenye hii movie.Anawezakua mshauri bora international❤❤❤Awe mshauri international online...Ukweli ananisaidia mengi kwenye ndoa yangu.Ananigusa

  • @JAELINEAPENDEKI
    @JAELINEAPENDEKI 7 днів тому +1

    Dunia ni filamu nzuri kabisa,jameni tusiishie tu kuihona lakini tujifunze mambo mingi kupitia ihi filamu ili tuwe n'a maisha mazuri😊😊😊

  • @racheldaniel8905
    @racheldaniel8905 9 днів тому +26

    Waooo🤭na mm leo cjachelewa jmn team mati man manyanya like zenu👍🥰

  • @slokidog
    @slokidog 9 днів тому +18

    vai kama Vai kapatikana hapo fresh kabisa mana hilo funzo kabisa

    • @nyamiziramadhani4232
      @nyamiziramadhani4232 9 днів тому

      @@slokidog yaan hata siku moja mwanaume usimdharau mwanaume anaweza kupat mwanamke yeyote kwa wakat ila ni heshima tu mtu anakuwekea

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande 9 днів тому +10

    Waliokuwa wakisubili kwa amu ichi kipande chá Léo tujuwane apo kwenye like 🇲🇿🇲🇿👏👏👏👏

  • @ANNAKANUTI
    @ANNAKANUTI 7 днів тому +3

    Kaka manyanya hongera sana kazi nzuri ❤❤

  • @mariamagongo689
    @mariamagongo689 9 днів тому +34

    Jaman leo nmekuwa wa kwanza npeni like hat 10

  • @Mgimba_media
    @Mgimba_media 9 днів тому +45

    Ulikua na umri gani mpka kujua kua ukidouble tap coment inajilike😂

  • @AminaKhalfani-ib7sh
    @AminaKhalfani-ib7sh 9 днів тому +119

    Wangap wanakubaliana namm kwamba Vai ameivunja ndoa yake mwenyewe tutamshaurije uyu mtu tujuwane Kwa like🥰🥰🥰

    • @nyamiziramadhani4232
      @nyamiziramadhani4232 9 днів тому +3

      apambnne tu alijiamin sanaaa😂😂

    • @AminaKhalfani-ib7sh
      @AminaKhalfani-ib7sh 9 днів тому

      @nyamiziramadhani4232 umeonaaaa eeee

    • @PiliSalehe-q9o
      @PiliSalehe-q9o 9 днів тому +4

      Nae aanze kuchepuka uyo mume nae ataumia2 mtu ata kama alikua anamksea lakn sio ndy yeye acheat waz waz

    • @elizabethjames5538
      @elizabethjames5538 9 днів тому +3

      Hata maamzi ya manyanya pia hayakua sahihi

    • @FlowiniGawile
      @FlowiniGawile 9 днів тому +3

      Tumshaur ajishushe na awe mnyenyekevu kama mati

  • @FredrickYustus
    @FredrickYustus 8 днів тому +5

    Mungu atujalie uzima sisi na washiriki wote wa dunia

  • @CERCKYMnyam
    @CERCKYMnyam 9 днів тому +18

    Aaaaa we manyanya ni hatar aisee chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NoIe-zq7jo
    @NoIe-zq7jo 9 днів тому +12

    Tuliona na waume tujifunze tusilazimishe kukunja samaki mkavu😂😂😂 alipokuwa mbichi tuliona atakuwa mjinga

  • @CLOVISNELSON-fh2pj
    @CLOVISNELSON-fh2pj 9 днів тому +18

    Niwa ngapi wame subia iyi sehemu kwa amu, ila leo matuld jamani 😂😂😂😂😂😂

  • @Spellycharles
    @Spellycharles 5 днів тому +1

    Naomba kupaona ndani kwake Cathy ....Huwenda uchawi siyo kwa ajiri ya Manyanya tu , hata kwa Matty kuwa pazuri inachangia

  • @EmmanuelChoma
    @EmmanuelChoma 9 днів тому +7

    Jamani Dunia ni balaah. Weka like hapo tuwe family

  • @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r
    @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r 9 днів тому +22

    Jaman wanawake wenzangu hii movie imetufunza kuishi na waume zetu 😂😂😂

  • @Mwanababy-k9b
    @Mwanababy-k9b 9 днів тому +34

    yaani nikisikia mimi ..mimi ....mimi... nimetekwa na mapenzi uwa nafurai sana❤❤❤❤

    • @QwerQwer-p8x
      @QwerQwer-p8x 9 днів тому

      Tuko pamoja dear leo nimeshinda youtube nikisubiri nipe tamu tamu nikupende wewe tu😂😂

    • @Mwaweza
      @Mwaweza 9 днів тому

      hahaa we huna akili

    • @Mwanababy-k9b
      @Mwanababy-k9b 9 днів тому

      @@Mwaweza ebu rudi usikilize tena alfu anijibu 😂😂

    • @Sharirer
      @Sharirer 9 днів тому

      ​@@Mwaweza😂😂😅

  • @Renbenkoech
    @Renbenkoech 7 днів тому +2

    Wanaopenda mati jmn tujuane onesha upendo Kwa mati❤❤❤❤❤

  • @BWANGAGaël
    @BWANGAGaël 9 днів тому +7

    Sisi apa tupo kitandani tunaangaliya dunia tunawapenda sana ❤❤❤❤😂

  • @CharlesChambo-r6p
    @CharlesChambo-r6p 9 днів тому +28

    Mimi naona tuunde group la Whatsapp tue tuna share mambo mbali mbali kuhusu hii movie sometimes ata kukumbushana pale inapo kua imetoka
    Ni wazo tu hili🙏

    • @VareliaSaid
      @VareliaSaid 9 днів тому +1

      Kweli jmn fanyen hivo

    • @CharlesChambo-r6p
      @CharlesChambo-r6p 9 днів тому +1

      @@VareliaSaid tu share hiyo link ili kuweza kufika moja kwa moja kwenye group la Whatsapp

  • @sashaamoha
    @sashaamoha 9 днів тому +28

    Jamani vai umenikumbusha hii tabia yakutofungua mlango 😂😂😂😂ila mumewangu aliingia n juu aliparamia ukuta duuuuh ❤❤❤🎉🎉🎉🎉lkn sio tabia nzuri jamn tusiige😂😂😂😂

  • @khadijanjewike
    @khadijanjewike 2 дні тому

    Kumbe nimeelewa mtu akiona amekushindwa anakuita mchawi alafu kingine nimejifunza sana kuusu ndoa ndoa unatakiwa kuituza kwanzia ukiwa uchumba adi mkioana utakiwi kubadilika nimependa nimejifunz sana ❤❤❤