MAONESHO YA SABA YA NANE NANE ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 сер 2024
  • Haya ni maonesho ya Nane nane visiwani Zanzibar. Maonesho haya yanafanyika katika mkoa wa Mjini Magharibi katika viwanja vya Dole kizimbani na yamefunguliwa na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mh Dkt. Hussein Mwinyi. Maonesho haya yanafanyika kuanzia tarehe 01 Agosti mpaka tarehe 14 Agosti lakini shughuli mbalimbali za kutoa mafunzo ya kilimo, utafiti na upatikanaji wa pembejeo za kilimo zitaendelea kwa mwaka mzima.Kauli mbiu ya maonesho haya inasema KILIMO NI UTAJIRI, KILA MTU ATALIMA.

КОМЕНТАРІ •