🎉🎉🎉 MWL MAUA YAKO UNAFUNDISHA SOMO LIVE KABISAA LA MAISHA TULIYO NAYO SASA MALANGO YAMEKUWA NI MEENGI MNO KWENYE KILA JARIBU.NAMBA MUNGU TUFIKIE HATIMA YA MALANGO YOOTE YAFUNGULIWE NA TUFIKIE KAANANI ZETU KWA JINA LA YESU NA KWA DAMU YA YESU AMEEN.
Mwalim alisema kwamba tofauti kati ya jaribu na tatizo ni kwamba, jaribu linakuja kwaajiili ya kupima Imani Yako kwaiyo unapokiwa unapitia kwenye hali ambayo unaona kabisa Imani Yako inagiswa au unaona Imani Yako inahangaikia kupata solution basi Hilo ni jaribu lakini tatizo linakuja tu Wala halishughulki na Imani yako
Jaribu kwa lugha nyingne unaweza sema ni mtihani... Kwahiyo ukiona unapita katika changamoto iwe ya kiimani au sio ya kiimani .. kama tu umeokoka ujue hilo ni jaribu. Kwa mtazamo wangu naelewa hivyo
Utajua ni jaribu kama limekufikisha njia panda juu ya Imani yako kwamba uendelee na Yesu Au uachane nae, uendelee kumuamini Mungu Au ukate tamaa,,Kwamba Mungu anaweza Kweli kunisaidia Au haweZi, nitafanikiwa Kweli Au sitafanikiwa, ukiona moyoni mwako Una maswali kama hayo yaku- question uwezo wa Mungu unakua huna uhakika na msaada wake ujue ni jaribu.
Shalom Mwl. Sijajua pa kuanzia , ila niseme nabarikiwa sana na ninavuka kila ukiwa na mkutano . Kuna mtu aliandika ushuhuda kwenye comment akisema ameanza kukufuatilia miaka mingi yeye yupo kenya na nilivyokuwa nasoma shuhuda zake nikagundua hajavuka kama nguvu unayoitoa madhabahuni . Nikawa nasumbuka kujua kwanini watu hawavuki, hata kuna waimbaji unakuta anaacha kutumika kwenye madhabahu yako na wanadumaa kiroho . Roho Mtakatifu akanikumbusha jinsi nilivyokujua , kwanza kabisa nilipata cassette ya radio na nilikuwa na radio inayocheza CD na kanda , nikakusikiliza yaani masikio yote mwili wote ulisisimuka nikasema huyu ndio mtumishi , nikajaribu kukutafuta nikakukosa nikaja kukupata tena nikaanza kufuatilia mafundisho yako , 😭😭😭 yaani nilikuwa nakuja uwanjani na nimetoka kapa nikawa napambana sana nikuelewe lakini wapi , nikaacha kuhudhuria nikajiwekeza kwa kumjua Mungu , namshukuru kwa uwaminifu wake . Sasa miaka 6 nyuma niko comoro na kilasiku napambana kuwa na uhusiano binafsi na Mungu na nikitu ambacho Mungu amenijaalia . Sikumbuki nimeanza kukufuatilia lini ila tangu nimeanza miaka hii ya karibuni mwaka jana nafikiri nimekua nikimsikia Mungu akisema na mimi kwa kujirudia kupitia wewe. Nikasema ni vifungo mihuri shetani ameshikiria masikio ndio maana hatuvuki kwa nguvu unayoitoa na vilevile utii ni mdogo . Nahisi Mungu kanifunulia hili ili niweze kuliombea maana macho yana matope hatuoni wala kusikia jinsi Yesu anavyotaka tusikie .Mungu aturehemu
MUNGU AKUBARIKI SANA MWL, MUNGU AZIDISHE ULINZI JUU YAKO
Mungu akubariki sana sana Mwl.
Namshukuru Mungu kwa ajili mwl Mwakasege yaani najiona mwingine kabisa asante Mungu
Moyo wangu usilie tena,Mungu Mtakatifu nipe kutulia,Roho yangu usilie tena katika jina la Yesu Kristo, Kwa Damu ya Yesu Kristo nipe kutulia.
As ante Yesu
Pia Mwl. Ni vita kusikiliza mahubiri yako , yaani full viporo .Mungu aturehemu
Kabisaaaa, nina vipolo mpaka nikifikilia napata stress
🎉🎉🎉 MWL MAUA YAKO UNAFUNDISHA SOMO LIVE KABISAA LA MAISHA TULIYO NAYO SASA MALANGO YAMEKUWA NI MEENGI MNO KWENYE KILA JARIBU.NAMBA MUNGU TUFIKIE HATIMA YA MALANGO YOOTE YAFUNGULIWE NA TUFIKIE KAANANI ZETU KWA JINA LA YESU NA KWA DAMU YA YESU AMEEN.
Imani ikikaa ndani na ufahamu unakaa ndani yako
Bwana nakupa utukufu,wewe ndiye ustahiliye.Naomba Bwana kurana na mahiraji yangu.
Najiambatanisha na ibada hii na semina hii na mafundisho haya katika jina la Yesu aliye hai.
Bwana Yesu nakupa utukufu.naomba niaache wa misri unipatie mtu mwngne Bwana Yesu nimechoka kulia na mateso
Bwana Yesu ni mwema utavuka tuu
Hallelujah
Hili somo ni la kwangu Yesu Asante kwa Neno lako
Upate ufahamu wa kuuona na kuutumia mlango wa kutokea kutoka kweny jaribu unalopitia 1 kor 10:13
Utukufu ni Mungu baba aliye juu! Amen
Asante kwa somo zuri Mwlm ila nawezaje kutofautisha jaribu na tatizo jingine
Mwalim alisema kwamba tofauti kati ya jaribu na tatizo ni kwamba, jaribu linakuja kwaajiili ya kupima Imani Yako kwaiyo unapokiwa unapitia kwenye hali ambayo unaona kabisa Imani Yako inagiswa au unaona Imani Yako inahangaikia kupata solution basi Hilo ni jaribu lakini tatizo linakuja tu Wala halishughulki na Imani yako
Ameen
Amen
Najiunganisha na ibada ya leo
Najiunganisha na hii semina
Nawezaje kujua kama ni jaribu au sio jaribu
Jaribu kwa lugha nyingne unaweza sema ni mtihani...
Kwahiyo ukiona unapita katika changamoto iwe ya kiimani au sio ya kiimani .. kama tu umeokoka ujue hilo ni jaribu.
Kwa mtazamo wangu naelewa hivyo
Utajua ni jaribu kama limekufikisha njia panda juu ya Imani yako kwamba uendelee na Yesu Au uachane nae, uendelee kumuamini Mungu Au ukate tamaa,,Kwamba Mungu anaweza Kweli kunisaidia Au haweZi, nitafanikiwa Kweli Au sitafanikiwa, ukiona moyoni mwako Una maswali kama hayo yaku- question uwezo wa Mungu unakua huna uhakika na msaada wake ujue ni jaribu.
Somo zuli sana mungu akubarik Sana mwalimu
Kutoka2:23-25 kutok3:8
Waebrania 11:13
Shalom Mwl.
Sijajua pa kuanzia , ila niseme nabarikiwa sana na ninavuka kila ukiwa na mkutano .
Kuna mtu aliandika ushuhuda kwenye comment akisema ameanza kukufuatilia miaka mingi yeye yupo kenya na nilivyokuwa nasoma shuhuda zake nikagundua hajavuka kama nguvu unayoitoa madhabahuni .
Nikawa nasumbuka kujua kwanini watu hawavuki, hata kuna waimbaji unakuta anaacha kutumika kwenye madhabahu yako na wanadumaa kiroho .
Roho Mtakatifu akanikumbusha jinsi nilivyokujua , kwanza kabisa nilipata cassette ya radio na nilikuwa na radio inayocheza CD na kanda , nikakusikiliza yaani masikio yote mwili wote ulisisimuka nikasema huyu ndio mtumishi , nikajaribu kukutafuta nikakukosa nikaja kukupata tena nikaanza kufuatilia mafundisho yako , 😭😭😭 yaani nilikuwa nakuja uwanjani na nimetoka kapa nikawa napambana sana nikuelewe lakini wapi , nikaacha kuhudhuria nikajiwekeza kwa kumjua Mungu , namshukuru kwa uwaminifu wake . Sasa miaka 6 nyuma niko comoro na kilasiku napambana kuwa na uhusiano binafsi na Mungu na nikitu ambacho Mungu amenijaalia . Sikumbuki nimeanza kukufuatilia lini ila tangu nimeanza miaka hii ya karibuni mwaka jana nafikiri nimekua nikimsikia Mungu akisema na mimi kwa kujirudia kupitia wewe. Nikasema ni vifungo mihuri shetani ameshikiria masikio ndio maana hatuvuki kwa nguvu unayoitoa na vilevile utii ni mdogo . Nahisi Mungu kanifunulia hili ili niweze kuliombea maana macho yana matope hatuoni wala kusikia jinsi Yesu anavyotaka tusikie .Mungu aturehemu
Mwalimu napata cn mwanga
Godfrey A kiwelu
Duuh nahuzunika kuikosa sijui hata inafanyikia viwanja gani
Dodoma
Ameen
Amen
Amen
Ameen
Ameen