POLISI WAMSHIKILIA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA SIMIYU KWA TUHUMA ZA ULAWITI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 166

  • @zomasamweli
    @zomasamweli 2 місяці тому +8

    Hakuna ukweli wowote ila ni mbinu za kumpoteza huyo jamaa kwani saiv, kiongozi mzuri wapiga madili hawampendi

    • @ibrahimgwasma235
      @ibrahimgwasma235 2 місяці тому +1

      Uthibitisho plz

    • @ernestsinje9700
      @ernestsinje9700 Місяць тому

      Huyo msichana kammaliza bwana wake ,maana walikuwa na mahusiano kwa miezi 6

  • @jamilally3916
    @jamilally3916 2 місяці тому +18

    sjaelew huy mwanafunz wa chuo kikuu kabakwa au kaenda mwenywe nahc kuna mchongo hpo

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 місяці тому +1

      Inawezekana kaenda ila jamaa kaingia kwingine bila maridhiano

    • @suzandonadi1400
      @suzandonadi1400 2 місяці тому +4

      Yani ni kwamba hata awe mmeo amekuingilia kinyume na maumbile ukienda kumshtaki anafungwa huo ni ukatili wa kijinsia

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 місяці тому

      @@suzandonadi1400 Bora watu wapate elimu maana hawajui haki zao za msingi

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 місяці тому +1

      Tatizo hapo ni ufiraji... amemla kisamvu/kimavi... haya matendo ni zaidi maeneo ya pwani na zenji

    • @masoudrashidmohammed4124
      @masoudrashidmohammed4124 2 місяці тому +2

      ​@@josephlorri431jielewe ww ubaya popote upo. Kwani zenji ndio kuna nn acha ujinga na chuki za kipumbavu

  • @esromkanubo815
    @esromkanubo815 2 місяці тому +14

    Uhhhh Kuna mchongo sana
    Mwanafunzi wa chuo kikuu siamini Hilo

  • @NakembetwaKitundu-tn7xx
    @NakembetwaKitundu-tn7xx 2 місяці тому +9

    Kwa harakaharaka hapo mbona kama kamchongo.

  • @imanmwashitete5243
    @imanmwashitete5243 2 місяці тому +4

    Yani kesi nyingine Mungu tu asimame hivi kweli mwanafunzi wa chuo kikuu anarawitiwa kweri au yalikuwa makubaliano yao tu hao wawili ulikuwa nimchezo wao wa kila siku au nikumchafua tuu huyo baba jamani Mungu kweri jidhihirushe kwenye matukio km haya

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 2 місяці тому +15

    Dahaa shida siyo kulawiti shida jina mkuu wa mkoa😂😂😂😂😂😂

    • @ernestsinje9700
      @ernestsinje9700 Місяць тому

      Hao wanauza tigo kama njugu eti Leo kabakwa na boyfriend wake waliokuwa naye miezi 6

  • @AishaSalaga-rv7sb
    @AishaSalaga-rv7sb 2 місяці тому +8

    Sitamani iwe kweli,,,

  • @user-lj4fz3tb8z
    @user-lj4fz3tb8z 2 місяці тому +4

    Jamani niwambie Tu Tanzania ukiwa mzuri WA siasa juwa unawindwa huo mchongo tunaujuwa

  • @richardtimoth7865
    @richardtimoth7865 2 місяці тому +2

    Hivi unawezaje kujua kama ni makubaliano au kubaka? Ingekuwa mtoto mdogo sawa. Naomba hizi sheria tuzifikirie sana vinginevyo wanaume tutawaogopa wanawake

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 Місяць тому

    Ukweli upo. Alimbembeleza sana mzazi wa binti mpka kampa hongo amwombe binti yake yaishe. Mkuu wa mkoa wa Mwanza naye anamsaidia kuzima kesi. Pelekeni mahakamani

  • @Lily-rn6xc
    @Lily-rn6xc 2 місяці тому +4

    Mbn huu ulawiti umekidhiri jmn😢 serikal ingebadil adhabu ili watu waogope

    • @selector728
      @selector728 2 місяці тому

      Umekithiri sio umekidhiri

  • @teddymumbara6919
    @teddymumbara6919 2 місяці тому

    Asee Mungu akutetea mh ulivyokiongoz mzuri😢

  • @selestineliliani4812
    @selestineliliani4812 2 місяці тому +3

    Mungu mlide uyo baba binadamu mnaila nyie

  • @nuriyatihgeorgekhan6042
    @nuriyatihgeorgekhan6042 2 місяці тому +9

    Sina hakika ila kuna mtego wa watu wabaya wametengezea

    • @Princegery_tz
      @Princegery_tz 2 місяці тому

      😂😂😂😂 tunafanyaje sasa

  • @rucaserasto8154
    @rucaserasto8154 2 місяці тому

    Sasa mnamchunguza je mkimkuta hana hatia mnamsafisha vip ili jamii ione kua sio kweli

  • @shakiramshule342
    @shakiramshule342 2 місяці тому

    Mchongo tu mungu harawaukumu

  • @danieljoaeph
    @danieljoaeph 2 місяці тому +2

    Kwann ukubal kulawitiwa 😖😖

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 2 місяці тому +7

    Huyo wa chuo simtu mzima anajitambua.mchongo huu siasa

  • @user-gg7ig1qc5o
    @user-gg7ig1qc5o 2 місяці тому +1

    Ni kwamba kuna mbinu hapa,
    Ili mtu alawitiwe bila kupenda kunakua na vitendo fulani kabla,vitendo hivyo hufanywa na mtu mwenye nia ya kumuingilia kinyume na maumbile huyo mlengwa, vitendo hivyo hua ni kupoteza faham huyo mfanyiwaji,na vitendo hivyo hua ni kuleweshwa kwa kilevi au aina yoyote ya madawa au kemikali yoyote ya kumfanya asiwe na ufaham hadi afanyiwe hilo tendo,,
    Lakini kama hakua katika hali hio ni kitu gani kilimfanya asipige kelele za kuomba msaada ili asilawitiwe?
    Kwahio hapa junahitajika uchunguzi wa kina ili asionewe mtu yoyote kati ya mlalamikaji na mlalamikiwa!

  • @PiusRashid
    @PiusRashid 2 місяці тому

    Binadam muwe mnamuogopa mungu huyo baba mungu amlinde na kumsimamia kwa kila kitu mm siamni kam ni kwel hat kidog

  • @FrednandRichard-gy5cb
    @FrednandRichard-gy5cb 2 місяці тому

    Mchongo huu iweje bint afute shitaka haraka hivyo afu mwanafunz wa chuo kikuu huyo cyo mtoto sema hii nchii bhana daaah 😂

  • @erickjulias5734
    @erickjulias5734 2 місяці тому

    Kamchongo tunaelewa matajili wa simiyu hawataki tuuze pamba kwa keshi na mwamba ye alikua anataka tupewe kesh yan dah😭😭😭 hii nchii atal sana

  • @annammary5593
    @annammary5593 2 місяці тому

    Huyu bint alijitambua ni mwanamfunzi, baa alifata nini?? N kwa nini alipanda kwenye hiyo gari?na kwa nini baada ya kufanyiwa Hilo Tukio hakwenda polisi au hospitali??? Na huyu ni mtu mzima si mtoto uwezo wa kujitambua anao. Duncan hamna haki.....ngoja tuone....

  • @LuciaMchele
    @LuciaMchele Місяць тому

    Nashindwa kuelewa vizuri, maelezo yanasema walionana kwa mara ya kwanza kwenye hbd wakapeana mawasiliano na wakawa wanawasiliana na akawa anamwambia hilo hitaji lake binti akawa anakataa sasa hoja ni hii kama alikataa na akajua alichokuwa anataka kwa nini aliendelea kuwasiliana naye na alipokuwa anamhitaji anakwenda, kwa nini alikubali kuingia kwenye gari hali akijua anakwenda kufanya nini wasichana wa chuo hawa hawaridhiki wanavyohudumiwa na wazazi wana tamaa sana wote washitakiwe

  • @nyenjekasimu4622
    @nyenjekasimu4622 2 місяці тому

    Mmmh!! kama ulikua ni mtego basi huyo mwanafunzi ni shoga hvyo hata akipimwa itaonekana kaingiliwa kweli hivyo kuruka Hapo ni ngumu kwasababu vipimo vitaonesha kaingiliwa kweli. Kama ni mtego basi Mungu awe karibu nae Mkuu wa mkoa

  • @yusufsong7993
    @yusufsong7993 2 місяці тому

    Kwa sasa wanawake wengi nyuma wawazi tu kwa ilo basi tutafungwa wengi😂😂😂😂 ukiomba jicho kakupa baadae akiona kaachwa anashtaki kaingiliwa nyuma

  • @augustinesombi6285
    @augustinesombi6285 2 місяці тому

    Sheria ni msumeno kweli, aliyekuwa mfalme wa mkoa, sasa yuko mikono vyombo vyake,,, Safi Sana. Ila msije mpatia godoro chai na mkate na nyama choma, abaki kama washukiwa wengine, pumbavu kweli huyu, umemdhalilisha Rais wetu.

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 2 місяці тому

    Hakuna kiumbe mbaya kama mwanadamu akiamua kukufatilia na kukuangamiza hata uwe shumoni atakufata, ila kwakuwa mungu halali na ndio anaona ukweli basi lehema zake ndio zinaweza kukutetea, walioko jela sio wote wakosaji bali wengine wemetengenezewa kesi ili wakukomowe uyumbe kiuchumi, ivi binti wa chuo kweli analawitiwa huyu baba alikuwa amechanganyikiwa mpaka atende hiki kitendo kama kafanya ivo basi haki itendeke.

  • @estherkibajiro3480
    @estherkibajiro3480 2 місяці тому

    Sahivi mchapa kazi😅huondolewa kisiasa na kuzalilishwa duh😢😢😢

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 2 місяці тому +1

    unakwenda wapi 😂😂😂😂😂jamani

  • @jeremiahmwanyanje5012
    @jeremiahmwanyanje5012 2 місяці тому

    Je na wale wanafunzi wachuo wanao tuamisha wenyewe bila kutaka na ss tuwashitaki hakuna uwozo km wanafunzi wa chuo baba mtu mzima ww kasichana kachuo unatongozwa huogopi kwanini usitoke na wanafunzi wenzako mm nasema kataka mwenyewe huyo kufirwa Aaache tamaaa

  • @user-cv4jb1bm6i
    @user-cv4jb1bm6i 2 місяці тому

    KAMA NI KWELI KAMA NI KWELI BASI FANYENI MPANGO HAWA WATOTO WAWE WANAPATA BOOM KWA WAKATI😂😂😂nimejaribu kuwaza ty

  • @Mutako-ig1ik
    @Mutako-ig1ik Місяць тому

    Huyu dada amelipwa na mtu mwenye uadui na huyu kiongozi mie siyo Mutanzania ila sjapenda huu ni udhalilishaji bila kujali mtu ana familia na Na heshima zake ni mbinu za kumuhalibia ata kama huu jamaa angetoa pesa kiasi gani ila tayali kasha nunuliwa na wabaya wake hako ka Binti ni shetani pamoja na mzazi wake hasitahili kuitwa mama badala amkanye mwanae anamuuza upuuzi kabsa huu

  • @erickjulias5734
    @erickjulias5734 2 місяці тому

    Huo nimchongo wa wkubwa sizani kama nikwel kwanza kwa viongozi wakubwa kama hao hua wanalindana kwenye kesi zahivi huo nimchongo wanachi wa simiyu tunaelewa

  • @DorcasPhilemon-kj4ro
    @DorcasPhilemon-kj4ro 2 місяці тому

    Kuweni wa kweli huo ni mchongo madaeaka hayo hukumuni kwa haki

  • @Happizo
    @Happizo 2 місяці тому

    Maisha yalivyo magumu..sitetei upande wowote iwe amesingiziwa au hajasingiziwa hao ni wenye nchi wanajuana wenyewe watajua wenyewe

  • @MusaChenge
    @MusaChenge 2 місяці тому

    Mungu amsimamie watu hatupend mafanikio ya m2 na hiyo nafas aliyokuwa nayo mweshimiwa weng wanaihitaj naomba mung asimame yatapita tu huo ni mchongo

  • @yudatadeimdoe9215
    @yudatadeimdoe9215 2 місяці тому +5

    Mi nahisi kawekewa mtego na kajaa kwenye mtego.

    • @veronicajohn7645
      @veronicajohn7645 2 місяці тому

      Pole Mkuu wa Mkoa. Mtego wa Adui umekushika. Ni Mungu tu atakayekutetea.

    • @nickalreadyknows
      @nickalreadyknows 2 місяці тому

      ​@@veronicajohn7645 nyie wapumbavu nn kinawafanya msiamini chawa wake kwamba ni mwema sana au? Shenzi 🚮

  • @ibrahimmartine9185
    @ibrahimmartine9185 2 місяці тому

    Mmmh makubwa dunian uku matukio yamezid mno

  • @thefinalstand2022
    @thefinalstand2022 2 місяці тому

    Kama Jambo hili litagundulika kwamba si kweli, italazimu MUENENDO WA MASHTAKA NCHINI TANZANIA UHAKIKIWE NA IKIWEZEKANA UVUNJWE NA KUJENGWA UPYA...! Things are going out of the road in this country!

  • @issashekh4726
    @issashekh4726 2 місяці тому +2

    Allah asimamie hili hakika wanadamu ni wakosaji na yeye ndiye ajuaye ya kweli na ya kificho,
    Yeye ndiye hakimu wa haki

  • @robertmayeji141
    @robertmayeji141 2 місяці тому

    Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Ghana hapo anafanya nini.Usiku Kama sio muuza uchi huyo

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 2 місяці тому +1

    Comment zimejaa upuuzi mtupu,watu wanaona kulawiti akilawitia mwanafunzi wa chuo ni sawa,ila mtoto mdogo wangepiga kelele,Sasa hapa ndo penye upuuzi,ni kinyume Cha sheria kuingiliana kinyume na maumbile nyie watu,ebo! Uwe umemuingilia mdogo au mkubwa!

  • @obedlwinga9194
    @obedlwinga9194 2 місяці тому +1

    Haya ndo madhara ya ushoga nchi yetu haijazoea matukio ya ajabu kama haya rai yangu kila mtu aukatae ushoga kama halitakupata wewe basis watoto wako sasa kataaa!!!!!!

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 2 місяці тому

    Hivi hayo Huwa ni Maagano ama? Maana Mkuu wa Mkoa anakosa nn jamani mpaka Aka lawiti?

  • @moherai9120
    @moherai9120 2 місяці тому

    One second can totally mess your entire life

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 2 місяці тому

    Ivi ni kweli kuna thibitisho mbona yule binti kafuta shitka zidi ya mkuu wamkowa.kuna mchezo kachezewa na wanyewivu.

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 місяці тому

    Yahaya unaishi wapi wewe@lady J dee!! Naionea huruma familia na ndugu zake.Fedheha nyingine hata ukijaribu kupotezea moyo unachomaga chomaga tu.

  • @JeremiaMnanka
    @JeremiaMnanka 2 місяці тому

    Iyosio siasa barini uhasamatu asiefunzwana mama ee hufunzwa naulimwengu akilimarizailo atajichanganya tena

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n 2 місяці тому

    Hivi mtuataakienda mwenyewe pia kabakwa bakwa.

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 2 місяці тому

    Anamlawiti vipi kaletewa tu au mwanachuo alijipeleka na huyo demu??? Acheni kuwachafua watu bana

  • @Tg.7_7
    @Tg.7_7 2 місяці тому

    Ogopa sana Jamuhuri ikikulalamikia😂😂😂

  • @wanejohnmsukwa6590
    @wanejohnmsukwa6590 2 місяці тому

    Ndiyo maana unapokuwa kiongozi unapaswa kuwa makini sana na mahusiano na watu wengine ni mitego tu ya kukuangusha kama mfalme Daudi alivyo zini na mke wa mtu na kuchafua sifa ya Ufalme wake.

  • @yusufsong7993
    @yusufsong7993 2 місяці тому

    Sasa tuelewe vipi ukiwa chuo kikuu unaambiwa unabaka akiwa secondary na msingi unabaka 😂😂😂😂😂 hii nchi inapoelekea ukigombana na mpenzi wako anakwenda kusema kabakwa

  • @JeremiaMnanka
    @JeremiaMnanka 2 місяці тому

    mwishowaubaya ni aibu uyodada angejua anacho kifanya asingezubutu na ndokwanza yu kochuo ahaaaaaaaa sawa

  • @kennedyombewa7974
    @kennedyombewa7974 2 місяці тому

    Stori 2 za tz hizo na yule aloingiziwa chupa ma waziri alifikia wapi

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 2 місяці тому

    Yule jamaa wa Zanzibar aliekua anamlawiti hajakamatwa, au sheria hairuhusu.

  • @SamwelMaduhu-ju2gk
    @SamwelMaduhu-ju2gk 2 місяці тому

    Ukwel huyu mwamba anaonewa live, et biti wa chuo kikuu kalawitiwa😅😅 iv mnazijua kwel tabia za hawa watoto wa kike walio chuon Au bac Mungu amsimamie2 Mh. DC

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 2 місяці тому

    kweli shetani amechaluka mpaka mkuu wamkoa nae ana lawiti duh Nihatali

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 2 місяці тому

    Michongo tu hii!! Dah!

  • @user-fy6pm1oi3h
    @user-fy6pm1oi3h 2 місяці тому

    Ka mchongo kumdhalilisha mkuu😢

  • @alfredmhana235
    @alfredmhana235 2 місяці тому

    Mtu yuko chuwo Huyo ni mtu mzima acheni kutusumbuwa akili zetu.

  • @josephatjoseph1755
    @josephatjoseph1755 2 місяці тому

    Proud to be ......... malizien bas ndugu zetu.Natania tu

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 2 місяці тому

      Kumbe mmefurahi. Kweli mnatuchukia na nlitarajia hili katika comment

    • @josephatjoseph1755
      @josephatjoseph1755 2 місяці тому

      @@mustaphahassan589 Kumbe mkuki wa nguruwe kwa binadam mchungu hehe. Mnavotuambia mambo ya ushoga na nyie kumbe mnatuchukia aisee. Nmeeelewa sasa brother

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 2 місяці тому

    Mnachafua watu tu huyo mtu mzima kalawitiwaje,

  • @StephanoMoses
    @StephanoMoses 2 місяці тому

    Nilijua wa kiume. Kumbe ni wa kike sasa hapounaweza kuta iliteleza alafu mh. Alivyosikia miguno akajua ni Ze mautam kumbe mtoto anaguna kwa maumivu. Lazima mwanafunz huyu atakuwa ana wowowo kubwa nzuri lainiiii. Tunakulaga

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 2 місяці тому

    Mmhhh Kwa kweli kama ni kweli huyo baba angejifia tuu na kama sio kweli ni njama na hila basi serikali ijikague Mara 1000 na zaidi Kwa kweli duh ,kumsingizia mtu kesi kubwa hivyo sio ,inawezekana kawekewa mtego Wa stahili hiyohyo huyo mwanafunzi ahojiwe kimataifa nimeumia jamani mke watoto, na familia ya huyu baba Mungu awape wepesi bora msiba kuliko haya.

    • @MariamLigoha
      @MariamLigoha 2 місяці тому +1

      Duh, umeongea Hadi nimelia, Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini, na kama huyo Binti kamsingizia, ajue tu kuwa ghadhabu ya Mungu imeshamvaa tayari, asubiri matokeo, siyo vizuri, amedhoofisha familia nzima. Aliendaje huko kama siyo mchongo tu

  • @MrA24G
    @MrA24G 2 місяці тому

    Chuo Kikuu si watu wazima.Wanajuwa baya na zuri.Kwani alimbaka

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 2 місяці тому

    Nipo nasiikiliza wimbo wa Lady Jaydee Yahaya wee

  • @geographyteacher.2961
    @geographyteacher.2961 2 місяці тому

    Tunda huliwa kwa kufuata kanuni kama vile uivaji wake, faida yake katika mwili n.k ila tukirejea kwa suala hili nadhani mlaji wa tunda hadhi yake haiendani na tunda...wanazengo nao hawachezi mbali tupoooo

  • @miriamdavis3893
    @miriamdavis3893 2 місяці тому

    Kwanza mkamateni na huyo aliyelawitiwa

  • @paulmaduhu5855
    @paulmaduhu5855 2 місяці тому

    Jaman

  • @kolumanialoyce4623
    @kolumanialoyce4623 2 місяці тому +1

    unafanya kitu kibaya shetani hayupo MUNGU hayupo niwewe mwenyewe usimlaumu MUNGU Au shetani sheria zifanye kazi yake wagalatia 6 ...7

  • @MaryRiwa
    @MaryRiwa 2 місяці тому

    Hao wameshindwana kwenye dau!wadada wengi ndio michezo yao

  • @user-ml5tq8hj2x
    @user-ml5tq8hj2x 2 місяці тому +1

    Hii ni fedheha kubwa

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 2 місяці тому

    Wahindi wanaolawiti watoto mnazunguka nao na mnawashuhudia,,daa Tanzania ukatili mjifanyie inawauma ila mkifanyiwa mnafurahii mnawazungusha na wafanyaji kufanya na wengine tena vitoto vya miaka 10,15 na 7,,Haaya waabudu miungu UWEni watoto tuuze nchi kwa wakoroni hata utumwa mlianza hivi hivi kwa kurawiti watoto wadogo Haaya max😅beta ni rangi chafu

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 2 місяці тому

    ila uyo wachuo walikubaliana sema sasa jamaa pengne kakiuka makubqliano kapiga nnje ya box amekwenda njia nyembamba ila isije ikawa kesi ya kubambika mana kuna maswali ya kujiuliza meng

  • @MohamedSalumMtumwene
    @MohamedSalumMtumwene 2 місяці тому

    Ameonewa sidhan kama kuna ukweli ndan yake

  • @JeremiaMnanka
    @JeremiaMnanka 2 місяці тому

    Uyo dada kazoea kufunga watu myaka 30 iposiku atakutana na namtukama makonda

  • @frankkimaro4696
    @frankkimaro4696 2 місяці тому

    Mwanafunzi wakike chuo kikuu kalawitiwa, kwanza aliendaje huko guest/geto

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 2 місяці тому

    Huu ni mchongo, katengenezewa zengwe

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk 2 місяці тому

    Mtego huo soo kweli chuo Kikuu sio kweli mtego huo

    • @user-vv5pf4rj9w
      @user-vv5pf4rj9w 2 місяці тому

      Khee unajua nini maana ya kulawiti au unajikomentishaa tu, hata mwanamke aliyeolewa akilawitiwa anahaki kabisa ya kumshtak mmewe

  • @mosseskalimbu4629
    @mosseskalimbu4629 2 місяці тому +1

    Mmh aibu jmn

  • @josephpeter2343
    @josephpeter2343 2 місяці тому

    Pure mchongo

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 місяці тому +1

    Aibu jamaa Hana dini eti

    • @NancyPatrick-il8zj
      @NancyPatrick-il8zj 2 місяці тому +1

      Hakuna chochote angekuwa John, hizi komenti leo zingekuwa ni matuzi tu

  • @bayekefarijala5042
    @bayekefarijala5042 2 місяці тому

    Kama ni tuhuma, vipi ikigundulika siyo kweli, je utalisafishaje jina lake. Kwanini mlihifadhi jina la aliyetendewa na kumtaja mtuhumiwa?

  • @JofreyMsigwa-ok7hv
    @JofreyMsigwa-ok7hv 2 місяці тому

    Hii imekaaje at!!!

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 2 місяці тому +1

    Nadhani tukiwaachia vyombo vya dola wafanye yao nivyema tusiwe na mashaka, zilizo mbichi na zilizo iva, ila pia ukiona linakuwa wazi hivyo ujue alianza muda huyo mtuhumiwa, lakini pia muangalie kesi sio wamefanya mapenzi, kesi kamuingiza sio penyewe, maanayake kuna wangapi kawafanyia hivyo kinyume?

    • @josephk90
      @josephk90 2 місяці тому

      Lini vimewahi kutoa majibu? Ebu tupe mfano wa kesi unayojua vilitoa majibu yasokuwa na chenga.

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 2 місяці тому

    Mmmm YAHAYA

  • @AshaAbdallah-nu1ef
    @AshaAbdallah-nu1ef 2 місяці тому

    Na hela zao ndogo elfu 70

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 2 місяці тому

    Akili finyu nikuamini mtu mwenye cheo awezi kufanya kosa
    Akili finyu nikuamini alievaa suti sio jambazi
    Akili finyu nikuamini alievaa nguo ndefu awezi kuwa malaya
    Acha uchunguzi ufanyike ukweli utajulikana mkuu wa mkoa ni binadamu kama wew

  • @livingstonekabantega
    @livingstonekabantega 2 місяці тому

    Sasa amekamatwa ajakabidhi ofisi

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 місяці тому

    Huyo mwanafunzi.kataka mwenyewe umalayatu.kwani alibakwa alivyotongozwa kwanini asikatae anautotogani huyo kunachukitu. Huyobinti kaamua kumzalilishatu kamakatumwa vile

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 2 місяці тому

    Wakuu wa Mikoa wameanza KUWAFIRA wananchi tutakimbilia wapi? teuzi zote za samia sina mashaka

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 2 місяці тому

    Hiki kituo cha wapi?

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 місяці тому

    Siasa ina upuuzi mwingi sana.

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd 2 місяці тому

    Watoto wa chuo wanavyopenda hela amkatae mkuu wa mkoa ? Hapa no

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 2 місяці тому

    Mwenyekit wa ulinz na usalama duuh

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 2 місяці тому

    Kwahyo kati ya serikal au mwanafunzi Nan kalawitiwa ???

  • @drdd774
    @drdd774 2 місяці тому

    Jina limehifadhiwa, leo?????

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 2 місяці тому

    Amekamatwa au ameitwa polisi