Tundu Lissu Abananishwa na Wajumbe, Wagusia Sakata la Kumuita Ezekia Wenje Dalali

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025
  • Mkutano Mkuu wa CHADEMA umeanza leo Januari 21, 2025, hapa Mlimani City, CHADEMA inatarajiwa kumchagua mwenyekiti mpya wa chama hicho
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.

КОМЕНТАРІ • 58

  • @Mc_Muz
    @Mc_Muz 23 хвилини тому +1

    Chama Cha hovyo sana hiki. Bora tubaki tu CCM tuendelee kuteseka

  • @NuruNurudin
    @NuruNurudin 5 годин тому +1

    Wewe ndiyeee babaa!!!

  • @MorganLulandala
    @MorganLulandala 5 годин тому +2

    Kibaraka wa Nkurunzinza au Freeman Mbowe huyoooo aliyeuza

  • @Fapo1998
    @Fapo1998 4 години тому

    Good question, Good Answer

  • @tumpemsyani-io7pv
    @tumpemsyani-io7pv 5 годин тому +1

    Duuuh kazi ipo

  • @KishumuMeleji
    @KishumuMeleji 5 годин тому

    Good question

  • @EdwardUrassa-xc6gz
    @EdwardUrassa-xc6gz 5 годин тому +3

    Wewe una kisasi hufaiiii..twende na mbowe

  • @RemmyMbisse-w6e
    @RemmyMbisse-w6e 5 годин тому +1

    Lisuuuuuuuuu

  • @EmanuelLyimo-f3v
    @EmanuelLyimo-f3v 10 хвилин тому

    Kwa namba ambavyõ wajumbe wanauliza maswali inapaswa kuwa ba mkutano mkuu kwa siku mbili ili wajumbe waoewe mda mzur kuuliza maswali

  • @rajabually869
    @rajabually869 Годину тому

    Kazi ipo

  • @charlesmichael8512
    @charlesmichael8512 21 хвилина тому

    Lisu Yuko sawa

  • @magembekisabo9632
    @magembekisabo9632 3 години тому +2

    Mwenyekiti anaongea kama mc wa harusi

  • @raphaelngulwa7535
    @raphaelngulwa7535 5 годин тому +4

    😂😂 lissu

  • @AloniTete
    @AloniTete 2 години тому

    Safi sana lisuu

  • @MbeziAmos
    @MbeziAmos 5 годин тому

    Huyo ndo Lisu🤝

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru Хвилина тому

    Hizo kelele zinawaobisha

  • @MohamedHamza-q6u
    @MohamedHamza-q6u 5 годин тому +3

    Lisu tunakuitaji uku kiongoz wewe ni mwamba,kwel kwel

    • @Ars-t2k
      @Ars-t2k 5 годин тому

      Wacha porojo.

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc 5 годин тому

    Yes...Mr Lusu nikweli kabisa miaka 21 inatosha....hakika kabisaaa

  • @amosgerald7763
    @amosgerald7763 4 години тому

    Tulien nawaombea sanaaaa

  • @danielpaul4108
    @danielpaul4108 58 хвилин тому

    Huyo ndio wakili kweli msomi.

  • @1stladyafrica402
    @1stladyafrica402 5 годин тому +2

    Yaan leo Lisu asiposhinda chadema inazikwa hapa

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 2 години тому

    Mh Mwakajoka amekataa kua upande mmoja wa mgombea amesimama na haki

  • @onesmoaugustino2765
    @onesmoaugustino2765 4 години тому

    Inawezekana huyu jamaa aliyeuliza swali la kwanza lilikuwa swali la kimkakati sana kumbuka huyu ni mdogo wake HK..

  • @MICHAELWILLIAM-p7h
    @MICHAELWILLIAM-p7h 4 години тому

    Ila team Mugabe zinakera na maswali ya kipuuzi😅😅😅

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 Годину тому

    Anti pasi atapita atakuwa raisi wa ....

  • @ThomasMwadia
    @ThomasMwadia 5 годин тому

    Duuuu hatari

  • @ThomasMuyombo
    @ThomasMuyombo 5 годин тому +2

    Lisu tunangoja utangazwe

    • @AbubakariTarishi
      @AbubakariTarishi 5 годин тому

      Atajitangaza kuhama chama

    • @b.truthful
      @b.truthful 5 годин тому

      ​@@AbubakariTarishi fanya subra

    • @Ars-t2k
      @Ars-t2k 5 годин тому

      ​@@b.truthfulsubira sio subra

  • @1stladyafrica402
    @1stladyafrica402 5 годин тому

    Mwenyekiti wa uchaguzi ni team Mbowe hatendi haki zozote hapo

  • @jovinusmutabuzi4647
    @jovinusmutabuzi4647 2 години тому

    Mkiti ameshindwa kusimamia kikao

  • @Mshuzaboy8826
    @Mshuzaboy8826 5 годин тому

    Lisu anafaa

  • @saiddaji6342
    @saiddaji6342 4 години тому

    Kila swali linaonekana jepesi

  • @AloniTete
    @AloniTete 2 години тому

    Sisi hatujui tunamtaka lisu

  • @ayububrantaya6624
    @ayububrantaya6624 3 години тому

    Mtu ulie nyooka huna mbamba

  • @MrHouse-d8b
    @MrHouse-d8b 4 години тому

    Kabisa lissu sisi na wewe mpaka watuuwe wewe ni msemaji wa wanyonge kama magufuli ni vyema vimewatofautisha tuu

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 5 годин тому

    Safi sana mgonbeya wetu wa upinzani chadema uko vizuri sana ndio maana tunakutaka wewe tundu lisu uongozi wetu wa chadema tunakusubiri sana huyu mbowe wakati wake utakumbukwa kwa mahali alipo ifikisha chama akiwa mwenyekiti

    • @Ars-t2k
      @Ars-t2k 5 годин тому

      Hatudanganyiki kiwepesi hivyo

  • @edwardmakonge6951
    @edwardmakonge6951 4 години тому

    lisu utavuka.

  • @bensonkilongoz51
    @bensonkilongoz51 4 години тому

    Huyu mwenyekiti wa mkutano anaongea kama mpoki

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 4 години тому +1

    Hana busara kbs huyu

  • @ZawadiGhambi
    @ZawadiGhambi 4 години тому

    Nawatakia uchagizi mwema wana chadema

  • @SimonMelon-k9p
    @SimonMelon-k9p 4 години тому

    Hiki chama Mali Sana hiki

  • @MorganLulandala
    @MorganLulandala 5 годин тому +2

    Huyo mjumbe aliyeuliza swali la Kwanza ni Kibaraka wa Nkurunzinza au Mugabe au Kagame au Mbowe Team Tundu Lissu tunasema Vote for the Change Mh.Tundu Antipas Mughwai Lissu na Huyoooo aliyesema kwamba Mh.Tundu Lissu alikimbilia Ubalozi wa siyo Ubalozi wa Sweden but Germany Embassy

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 5 годин тому +3

    Eti ndio wanataka wapewe Dola hawa; hovyoo!

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k 5 годин тому +1

    Lissu umefeli mdahalo umekushinda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kakojowe ukalale

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 5 годин тому

      Kalale ww muuza natako

    • @w4058
      @w4058 5 годин тому

      Wewe Hasid idhaa hasada

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 3 години тому

      Huo haukuwa mdahalo. Mdahalo Mbowe alikimbia,hakushiriki😂