Lisu anam attack mbowe eti hakufanya chochote. Yeye alikimbilia ubeligiji na amekili m/kiti alikimbilia dubai nk. Kama uchaguzi uliporwa, anataka mbowe angefanyaje?? Na yeye ni mwanasheria, si angemshauri basi hata kisheria basi?? Kiongozi mzuri si yule wa kumnyooshea vidole mwenzie tena bos wake. Bure kabisa
Hutufai kwa sasa
nikweli ubers ila huna sifa kwa marahii
Lisuuuuuuu ❤❤❤ one love....
Lisu kawakabia juu😂
Lisu ni kiongozi mzuri, lakini shida yake ni mdomo wake una maneno makali sana yasiyo na staha kwa wenzake.
Iisu juu mbowe ondoka
Ira unakipaji cha kusikirizwa mzee watu kimyaa kukusikiriza
Eti hawa ndio wanataka kushika Dola 😮
Hawajui kuuliza maswali, hawajiheshimu hata mbele ya wageni. Chadema bado sana.
Lissu for President
Wewe
Tunamtaka lisuuu!!!!!!
Hautufai kwA sasa!!!!
Kwa sasa umegeuka kuwa msaliti wa chama Yuda. Kwa vipande vya fedha.
wewe. unahakika basi. usijesema uongo hapo
Aloo leo ndio nitajua kama chadema wana watu wenye akili. Lissu ni yupo levels nyingine kabisa
Watu wawe wafuatiliaji na waweka kumbukumbu za matukio ya kidikteta tuliyopitia
Miaka 21😂😂😂😂ila mboee
MBOWE MADUNDUKA HAWAKUELEWI,,,ACHANA NAO CHAMA KIFE
Mbona kama wauliza maswali wa Mbowe wamepangwa waulize maswali mepesi?!
Jose Loya wewe ni msema ukweli kabisa
Mangi usha choka punzika
Lisu anam attack mbowe eti hakufanya chochote. Yeye alikimbilia ubeligiji na amekili m/kiti alikimbilia dubai nk.
Kama uchaguzi uliporwa, anataka mbowe angefanyaje?? Na yeye ni mwanasheria, si angemshauri basi hata kisheria basi?? Kiongozi mzuri si yule wa kumnyooshea vidole mwenzie tena bos wake.
Bure kabisa
Tutaenda KUPIGA kura wajumbe wa mkutano mkuu nawatakia KUPIGA kura kuchagua mtu sahihi.
Anashinda Mbowe