MREJESHO |MKE WANGU KANIOMBA TALAKA NA KUNIFUKUZA HOSPITAL |UNANIACHA NAOZEA NDANI HUNA HATA MIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036

КОМЕНТАРІ • 100

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  6 днів тому +2

    chat.whatsapp.com/DeDPWulcpXR2FPuRxrUuEc
    JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 6 днів тому +13

    Anaumwa yule mdada sio amri yake kua mkari Mungu amsaidie apone inshaAllah 🙏🙏

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 6 днів тому +2

      Kwer awe na subra mume

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 6 днів тому +2

      Kabisa

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 6 днів тому +2

      Mara nyingi wenye ugojwa huyu dada wanakua na hasira. Sana

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 6 днів тому +7

      Ni ugonjwa hatari sana Mungu atunusuru yarabi na walio pewa huu mtihani Mungu awaponye inshaAllah 🙏

    • @shanimbaruku2071
      @shanimbaruku2071 6 днів тому +1

      Aamiin ​@@AminaLibisa

  • @sakinabudi
    @sakinabudi 5 днів тому +3

    Ka zahir huwa unampa faraja sana huyu baba jamani ,,,,,japo ana msongo mkubwa wa mawazo ila umemfanya mpaka amecheka ,,,,hongera mtangazaji chukua 🎉🎉🎉 yako,, kuna watu wanahitaji faraja japo wapo kwenye mitihani ya ugumu wa maisha na maradhi ni huzuni kwakweri

  • @jovinathasavoie8018
    @jovinathasavoie8018 6 днів тому +10

    Asante sana ,Zahir afadhari saiv watu tutakuwa na moyo wakuanza changa tena,jaman maximum family,tuzidi support hii familia saiv matumaini yapo Bakari kajitahidi I think anaitaji guidance na msukumo kidg.Lakin big up.

  • @husnachunga5720
    @husnachunga5720 6 днів тому +5

    Pole sana hayo yote ni sababu ya ugonjwa usimchukie tunaomba umvumilie na umpe maneno mazuri ya upendo na faraja kuuguza ni ibada na tunaendelea kuwaombea dua

  • @annamussa185
    @annamussa185 6 днів тому +3

    Hajuwi mke wake ni waaina gani😅Cha mwisho namsaidia ni mtami😂😂❤

  • @florarwegerera8025
    @florarwegerera8025 6 днів тому +3

    Jamani! Mungu awasaidie huyo mama anakuwa mkali na mwenye hasira sababu ya maumivu anayoyapata, Mimi nimepitia hiyo hali najuwa, Mungu awaonekanie

  • @MimahMimah-b7k
    @MimahMimah-b7k 5 днів тому +2

    Mi napenda mnavyopendana wallah ee mungu nipe na mm anipendeeeeeee

  • @annamussa185
    @annamussa185 6 днів тому +5

    Zai Manara njoo uwasaidie ndugu wa mume please 😢

    • @AlHamra-ej3mo
      @AlHamra-ej3mo 5 днів тому

      Kauli yako hii siyo rafiki kwahiyo Albino wote nindg wa Manara ungekuwa ww unatatizo la ualbino ukaambiwa hivyo utajiskiaje kejeli siyo nzuri kabla hujafa hujaumbika

    • @annamussa185
      @annamussa185 5 днів тому

      @@AlHamra-ej3mo wewe una fikra mgando achana na fikra mgando

    • @annamussa185
      @annamussa185 5 днів тому

      @@AlHamra-ej3mo andika yako ilokuwa nzuri

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 6 днів тому +6

    Na mume nae pia sio mzima kiafya na yeye pia. Mungu awasaidie

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 6 днів тому

      Shida. Na mawazo. Hua akil zinakua sio sawa 😢Allah atawasaidia inshallah dada atapata. Uzima afya

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 6 днів тому +5

    Mskiini ! Mazoea yana taabu tabia zikilingana tena nikubwa adhabu watu nyinyi kuachana.

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 6 днів тому +2

    Maisha maisha maisha.ukilidhika na unchopata aah siku zinaenda.comedy kidogo😂 ,basi aah siku sinaenda

  • @mussamussa4521
    @mussamussa4521 6 днів тому +8

    Msifikie hatua hiyo yakutaka kuachana jamani watoto wanataka kulelewa na wazee wawili baba na mama

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 6 днів тому +6

    Yote umasikini 😭😭yarabi tupesubra kwa halizetu hizi tulixo nazo. 🤲

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 6 днів тому +4

    Licha ya maisha wanayoish lkn wanapendana sana Allah amjaalie huyo mama apone alee watt wake

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 5 днів тому

    Dah hii media mungu aalinde sana Sabu inajali sana wanadam na ifanikiwe Zaidi n Zaidi 🙏🙏

  • @aminasaid6555
    @aminasaid6555 6 днів тому +1

    Anywe juice ya majani ya mtaferi,tunda la mstaferi,mafuta ya Habat soda na pia ale sana mboga mboga na aachane na wali ngano na vyakula vya kukaanga

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 6 днів тому +1

    Huyu mzee yuko saw kweli et maziw hayapo kwan sii unanunuw duuh

  • @ramlajeffah9831
    @ramlajeffah9831 6 днів тому +8

    Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatu kaka zahir mbona kina happy hautuonyeshi wanavyoendelea na nyumba yao inavyoendelea kaka

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  6 днів тому +1

      @@ramlajeffah9831 hela ya ujenzi haujatuma ndo shida tutaendeleaje sasa

    • @Husnasalim-f2g
      @Husnasalim-f2g 4 дні тому +1

      Mbon kawaonesh juz kati 2 kila sik awaoneshe wao kwan hakun wat wakuwatangaz😢

  • @KhadijaMohamedy
    @KhadijaMohamedy 6 днів тому +1

    Huruma yarab Allah turehem waja wako

  • @mrsab303
    @mrsab303 6 днів тому +2

    InshaAllah Allah make easy for them InshaAllah ❤❤❤❤❤

  • @luckydubebello1131
    @luckydubebello1131 6 днів тому +3

    Pole bro 😢ila wasiachane aki

  • @SalmaAlly-dg3xn
    @SalmaAlly-dg3xn День тому

    Allah awafanyie weps inshallah 🤲

  • @MiryamuTwalibu
    @MiryamuTwalibu 6 днів тому +1

    Habari zahri mwambiye uyo jamaa anyowe izo defu

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 6 днів тому +5

    Huyu baba anatia huruma😢

  • @fay9687
    @fay9687 6 днів тому +4

    Sifa nyingine mvumilivu huyo mama saana

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 6 днів тому +7

    Kaka zahili wakumbushe kufqnya ibada. Nduguzetu hao

  • @mzeke-r9h
    @mzeke-r9h 6 днів тому +2

    Hiz habari zipelekeni tbc na vyombo vikuu vya taifa ili watu wejue na wanaotaka kujitolea wajue hayo mambo yatakwishwa daaa inauma sana kiukweli,huo ndio utawala wa manyani (watumwa)pesa bora kulliko afya ya walipa kodi.....kila la kheri.

  • @wastarangayonga8562
    @wastarangayonga8562 6 днів тому +3

    Mashallah nitamtafuta uyu kaka

    • @firdaus7428
      @firdaus7428 5 днів тому

      @@wastarangayonga8562 mie pia natamani nikamtembelee nitawasiliana na Zaher

  • @fay9687
    @fay9687 6 днів тому +2

    Mama mvumilivu hali mbaya na anafanya kazi za nyumba

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 6 днів тому +2

    Zahir mwambie ale stafeli sana au afanye juice ni nzuri dawa kubwa ya cancer iyo na maumivu yanapunguwa please afanye ivo au uki google utaona

  • @marrychristian7415
    @marrychristian7415 6 днів тому +1

    Ajachelewa kuzaa jamani ila bbayako kawah Sana kuzaa Kama mtotowake wakwanza ana 41 inamana alizaa namiaka 13???

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 6 днів тому +4

    Bakari mpole sana

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j 6 днів тому +4

    Hapa alikua ananyonya maziwa yamama yke yalikua hayatoki

  • @NasiHama
    @NasiHama 2 дні тому

    Mungu Amponye mkeo

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 5 днів тому +1

    imebidi mimi nicheke pia

  • @KurthumKhamis
    @KurthumKhamis 6 днів тому +2

    Jmn mmefikia uku tena 😢😢

  • @SakinaMsigwa
    @SakinaMsigwa 5 днів тому

    Jamani huyo mama anaumwa sana tumuombee siyo hali ya kawaida kumuomba doctor dawa iliafe kwahiyo tumsamehe siyo eye ball ni home hiyo

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 6 днів тому +3

    Yaani nimecheka, Zahir eti mwambie mkeo nakupenda 😂 nimependa maongezi yao leo, hata huyu mume pia ni mtu mzuri ana utani utani .ni familia yenye upendo, ni hivyo tuu mapato madogo. ila wanapendana.mungu atamuondolea mtihani mkewe. 28.09.24.

  • @NasiHama
    @NasiHama 2 дні тому

    😂😂😂😂 jamani Pamoja na maumivu ya mokewake ila sasa hivi nuru baba anaanza kuchangamka

  • @mariamkimtai693
    @mariamkimtai693 5 днів тому +1

    Maskini 😢😢😢

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 6 днів тому +3

    Kaka zahri 😂😂😂 maswali mengine bannah

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  6 днів тому +1

      Ukiachana na msaada nnaoutoa mm ni mwandishi wa habari so natafuta habari nyingine kwa mteja wangu ww ukiona maswali mengi unastop tu kutazama sisi wengine tunafanya maswwli yawe mengi ili nasi tulipwe na youtube sawa

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 6 днів тому +1

      Sijasema Kwa ubaya kaka zahri ila yanafurahisha usiwe na hasira ndio maana nimecheka🙏

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 6 днів тому +1

      Wala sikukusudia ubaya kaka yangu

    • @deboranicoraus4866
      @deboranicoraus4866 5 днів тому +1

      ​@@AminaLibisaunajisumbua kujielezea huyu zahir anaonag kashamaliz maish bora fabby huyu vidharau kibao tukistop kutazama utatizama we na familia yko ss jmn😅😅

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 5 днів тому

      @@deboranicoraus4866 yaani ni shida Kwa kweli ila huwezi kujua kila mtu na madhaifu yake maana so poa povu kama lote🤔🤔

  • @hasnatrean5013
    @hasnatrean5013 6 днів тому +2

    Kaka zaili vp uyo mama sasaiv aliv kwend hospital

  • @أمطارقالبحرية
    @أمطارقالبحرية 5 днів тому

    Mtu akishuka damu anakuwa mkali sana na mbali ya maradhi mazito aliyonayo anastahiki avumiliwe sana
    Na ana stress sana

  • @VionaMuthoni289
    @VionaMuthoni289 6 днів тому +3

    Nini inafanya aombe talaka au ni hizi michango anafikiria atazidi kupewa sasa anaona akipewa talaka atazidi kuchangiwa??hawa hawako serious na hawajajua cancer ni nini,wanafikiria cancer itapona kesho kama mavua

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  6 днів тому +2

      Alivyoona mume wake hana kitu ni masikini akasema anaoza tu ndani mwanaume hana kitu bora ampe talaka aende kwao akafie tu huko

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 6 днів тому +2

      @@VionaMuthoni289 Sikiliza interview vzr usiongee tu

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j 6 днів тому +2

    Zahir huyo baba anamawazo na anamsadia mke wake na hela anamlipia na mtoto wake pia anamnunulia maziwa maskin msiwe

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 6 днів тому +2

    Maswali magumu

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  6 днів тому +1

      Kwahyo!!?

    • @AnnaMgala-n6g
      @AnnaMgala-n6g 5 днів тому

      ​@@maximumtvonlineila mtangazaji we atali adi maneno unamwambia ya kusema kwa mkeo hahah