VIBE LA MWIJAKU ZANZIBAR, AJIACHIA ANGANI KWENYE NDEGE , AELEZEA ALIYOYAONA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 155

  • @khadhiriramadhan5984
    @khadhiriramadhan5984 2 роки тому +11

    Jamaa katuliyaa kwenye mgongo wa mwijaku anaskiliziya ujotoo💥💥🤣🤣🤣🤣

  • @lovvy854
    @lovvy854 2 роки тому +2

    Sasa hili Jitu lasema yeye amesoma Sana lakini kizungu ndo shida hivi kusoma huku ni kusomea kutunga mashairi ama sielewi 😂🤣🤣🤣🤣

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +4

    Jifunze quran kwa hukmu kuswali kwa vitendo gusa picha yang mara 2 hapo kama hautojli

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 2 роки тому +1

    Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU mkuu taifa rangu kubwa la TANZANIA ripo mikononi mwako pamoja na raisi wangu

  • @stephensandiko6049
    @stephensandiko6049 2 роки тому

    Hongera kwa kupakatwa

  • @hossenmuhaji9471
    @hossenmuhaji9471 2 роки тому +3

    Mtu akisoma anajua jinsi ya kumteka mtu ,baba Levo anabwatuka tu ,wenzako wanatumia technique

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 роки тому +1

      Huyu jamaa atafika mbali watu wanamuona chizi lakini yupo vizuri na anajua anacho kifanya

  • @charlesmihuwa6287
    @charlesmihuwa6287 2 роки тому

    Sema Mwijaku kuhusu kutema yai ni 0 😁😁 ila hongera sana kwa kujitupa angani kama vile sio wengi tunaweza

  • @abdulaziz703
    @abdulaziz703 2 роки тому +2

    Wakati watanzania huku mitaani hatumuelewi Mama, hawa wakina mwijaku huwaambii kitu kuhusu Mama the Rambo a.k.a Arnold Shoziniga...

    • @naomikatharinaandrewmnkai6760
      @naomikatharinaandrewmnkai6760 2 роки тому

      Hahahahahha we ni mpumbavu asante kwa kumade my day. Mama the Rambo na nani???? Hahahahahahahaa

    • @abdulaziz703
      @abdulaziz703 2 роки тому

      @@naomikatharinaandrewmnkai6760 Hahhaha live long mpumbavu mwenzangu we keep mading our days..

  • @fredmramba6612
    @fredmramba6612 2 роки тому

    Sifa sio nzuri

  • @aderickfrank4611
    @aderickfrank4611 2 роки тому

    Mmh kupakatwa tena

  • @erastomapunda1444
    @erastomapunda1444 2 роки тому +3

    Msifie mfalme ule ugali wake ndio asili ya viongozi wetu ,ukinikuna vizuli ntakuapapasa ntakupulizia kila mtu sasa iliawe na maisha bora lazima awe chawa wa viongozi tz

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 роки тому

    Hongera sana naona uko na sugu boi

  • @amospetro8789
    @amospetro8789 2 роки тому

    Mbona kapakatwa

  • @allymajaliwa362
    @allymajaliwa362 2 роки тому

    Pele limepata mkunaji😅😅

  • @worldofpeace3898
    @worldofpeace3898 2 роки тому +8

    Mwijaku anaonekana chizi lakini huyu Jamaa waliosoma Public Relations as a course watanielewa nn nasema

  • @samsonkisanga2281
    @samsonkisanga2281 2 роки тому +1

    Mwijaku unaonekana hujui kuongea kizungu mana unarudia maneno yale yale

  • @fortunatusfaustine3839
    @fortunatusfaustine3839 2 роки тому

    Hpo kwnye kilometer 5000. Aloooh

  • @aladinho1352
    @aladinho1352 2 роки тому +4

    Mzungu kakoma kwa mishuzi ya mwijaku huko angani 😂

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 роки тому

    Hongera Mwijaku

  • @navanjkiba2439
    @navanjkiba2439 2 роки тому

    DC Mwijakuuu

  • @omarnyau330
    @omarnyau330 2 роки тому

    Kumbe alipakatwa

  • @sumayananabintimusa6321
    @sumayananabintimusa6321 2 роки тому

    Jamani hapo mimi nafata ona israil😂😂😂😂

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 2 роки тому

    Chawa

  • @championtv255
    @championtv255 2 роки тому

    Limepakatwa Lina baashiwa linafurahitu

  • @afrahoman2844
    @afrahoman2844 2 роки тому +1

    Mwijaku kumbuka lakin unakes uku yakujibu kuusu menina upooo

  • @JKGJICHOMAKINIONLINE
    @JKGJICHOMAKINIONLINE 2 роки тому

    Ivyo vidole vya 6x3 mzungu 🤣🤣 umeupiga mwingi

  • @josephatmakuka4860
    @josephatmakuka4860 2 роки тому

    Hatarii

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 2 роки тому

    Mwijaku njaa zitakuua kwanza umetwambia mama kaupiga mwingi eheee😃😃

  • @amisikisoma715
    @amisikisoma715 2 роки тому

    Apo sjaskia ni kilometa ngapi?

  • @christinadaniel3789
    @christinadaniel3789 2 роки тому

    Nimependa

  • @sumayasumaya6455
    @sumayasumaya6455 2 роки тому

    Mwijaku ukifika chini ..kesi ya kujibu inakusubiri pale kisutu(menina)
    ingekua mie ningepotelea huko huko angani sirudi chin.. 😂😂😂😂

  • @johnandrew8491
    @johnandrew8491 2 роки тому +3

    Nilijua tu Mijaku atakuwa chini mzungu atakua juu......

  • @shafially879
    @shafially879 2 роки тому

    mbona amepakatwa?

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 2 роки тому +2

    Yaarab stiri ana mambo mtto huyu masha Allah

    • @johnmoses4573
      @johnmoses4573 2 роки тому

      Ginkj6 huh
      ;H
      Hqghhhiyh
      Guide how ghygjgjt
      Gjv

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 2 роки тому

    *Mt 5000 yeye asema Km 5000 hahaha kweli mjini mipango*

  • @madammbago9787
    @madammbago9787 2 роки тому

    Hch ND kingereza Cha mtu wa division 1 kwel

  • @palgalzhou6066
    @palgalzhou6066 2 роки тому

    Mbn kapakatwa na mwanaume mwezake

  • @gwakisaasajile4081
    @gwakisaasajile4081 2 роки тому

    Mwijaku amekaliwa na hilo zigo

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 2 роки тому +1

    MWIJAKU kaupiga mwingi 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @timamusulemani7306
    @timamusulemani7306 2 роки тому

    Chiz kapata lungu

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 2 роки тому

    Unalaliwa na mzungu harafu unacheka cheka

  • @muhammad_alhinai
    @muhammad_alhinai 2 роки тому +1

    Kilomita elfu tano mwijaku?
    Umetupiga apo 😂😂😂

  • @aminakipande5645
    @aminakipande5645 2 роки тому +2

    Yaan mm hapo lazima nizimie kwa hofu🤣🤣🤣🤣

  • @davidvon7897
    @davidvon7897 2 роки тому

    Siwez kukubali mwanaume awe nyuma yang ivo

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 роки тому +1

      It doesn't matter brother kikubwa ni kujiekewa mbona boda boda wanawaendesha watu issue ni kujielewa coz unaweza usikaliwe nyuma na ukakazwa piaa

    • @davidvon7897
      @davidvon7897 2 роки тому

      @@binhussain3445 acha kuchukulia vitu serious, unaharibu mada

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 роки тому

      @@davidvon7897 Serious vipii

    • @davidvon7897
      @davidvon7897 2 роки тому

      @@binhussain3445 me c nlizungumza kwa upande wang tu, lkn naona unataka mada Iwe tofauti na maana yang

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 роки тому

      @@davidvon7897 Basi yaishe Lakini kama ilikuwa ni kwa upande wako usingecomment ungekaa nayo moyoni

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 роки тому

    Mwisho wako utaolewa Subiri kwani hapo tu naona umekalia

  • @issakamangila4143
    @issakamangila4143 2 роки тому +4

    Chizi kapewa rungu ukurutu umepata mkunaji mwijaku una ongea sn tn sn

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 роки тому

    Baba levo atakoma mwaka huu. Maana mwijaku ndo ivo ashaanza kupata connection kwa mama tozo. Mungu akiamua kumpandisha nyota mja wake hakuna mwanadam awezaye kuishusha bna mwijaku ameng'ara kwa allah na dunian. 💪💪

    • @faridyshaame4705
      @faridyshaame4705 2 роки тому +1

      Hahaha mama tozo jina gani tena hilo jamani kwa president

    • @afrahoman2844
      @afrahoman2844 2 роки тому

      Mama tozo tena🤣🤣🤣🤣

    • @maryamsaleh8438
      @maryamsaleh8438 2 роки тому +1

      😀😀😀Mama wa yeah me too

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 2 роки тому

      @@faridyshaame4705 acha kumtukana rais huogopi serikali. Haya hata umri huheshimu. Wewe ndio umesema me sijamuongelea raisi

  • @josephmartin292
    @josephmartin292 2 роки тому

    Kilometer 5000 ? Kutoka juu🤔🤔🤔

  • @wardamunguakuzidishew9399
    @wardamunguakuzidishew9399 2 роки тому

    Sio mgongo2 adikiuno anajifaidi

  • @eliaspeter4017
    @eliaspeter4017 2 роки тому

    Da!! Kaka yetu amekelaliwa juu, da!!

  • @geofreyanderson9115
    @geofreyanderson9115 2 роки тому

    Mzee wa mlima Arusha😁😁😁

  • @oscaroscaroscar7974
    @oscaroscaroscar7974 2 роки тому +1

    Nita jaribu hii Awezi nipita😂😂😂

  • @hildaminja5148
    @hildaminja5148 2 роки тому

    unga shilingi ngapi?????

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 2 роки тому +1

    Saa nyie ambao mnacoment matusi na hamna umaarufu wote mnamchukia Mwijaku Kwa lipi hasa??? Hili lijamaa linapata followers wengi kupitia uchiz wake huo na linaendesha maisha vizuri tu.

  • @mkamaboy2016
    @mkamaboy2016 2 роки тому

    Limepakatwa mamae jamaa kapiga BAO kwa dc

  • @Alamatvonline
    @Alamatvonline 2 роки тому

    tutakoma Sasa mitandaoni

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 2 роки тому +3

    Mnatumia nguvu kubwa sana kujipendekeza, njaa kweli mbaya sana.

    • @barakakusa7606
      @barakakusa7606 2 роки тому +1

      Huyu DC anaongeza followers tu kwahy anachokifanya anajua yeye anafaidika vipi?

    • @edwinmtuka736
      @edwinmtuka736 2 роки тому +1

      Ww unatumia nn kutoa njaa yako

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 роки тому +1

    Hawa ndio wasomi wa Tanzania kupiga hatua itakuwa Ngumu sana

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 2 роки тому

      Umeona eeh? Eti kilometer 5,000 zezeta mno anaaibisha vyuo anavyosema amepita

  • @dailyremedy2620
    @dailyremedy2620 2 роки тому +2

    Ana zijua kilomita elfu tano huyu😂😂😂

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 2 роки тому

    Hakuna mambo ya kilometers elfu 5.

  • @eliascherehani2905
    @eliascherehani2905 2 роки тому

    Jamanii hawaaa machawaa wanashidaa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 роки тому

    Kuleni kuku tu vijana huu ndiyo wakati wenu ridhini mantashalla

  • @willyclassic9263
    @willyclassic9263 2 роки тому +3

    BWEGE HILI LIMEPAKATWA NA MZUNGU

    • @issahamis3286
      @issahamis3286 2 роки тому

      Bwabwa hilo

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 роки тому +1

      Hata weye ukitaka kuruka lazima upakatwe hivyo coz huyo jamaa ndo anajua namna ya kuendesha hiyo kitu

  • @jofreyizeck3232
    @jofreyizeck3232 2 роки тому +1

    Acha usenge nama beberu we we unauza nchi

  • @charlesjanuary1798
    @charlesjanuary1798 2 роки тому

    Anazijua Km 5000?? Eti tumeluka Km 5000 uongo

  • @ramadhaniabasi6780
    @ramadhaniabasi6780 2 роки тому

    Mbona wewe hauja vaa elmenty

  • @muhammedsuleyman6501
    @muhammedsuleyman6501 2 роки тому

    Kumbe umefikishwa kileleni mwijaku 😂 dah jamaa anaongea mpaka anajisahau 😂

    • @HansBwoi
      @HansBwoi 2 роки тому +1

      Ukulutu umepata mkunaji😂

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 2 роки тому

    Anataka u dc.

  • @kisabihamadi7555
    @kisabihamadi7555 2 роки тому

    Oya huyu jamaa c afungwe ama?

  • @mariammikuya6750
    @mariammikuya6750 2 роки тому

    alikuwa kileleni!!!hv ilikuwa lazima wabebane

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 2 роки тому

    Anautafuta ule UDC xaxa😂

  • @BINTIwaKITANGA
    @BINTIwaKITANGA 2 роки тому

    🙄🤔😆😆🤣mwijaku 🙈Yuko chini mzungi juu 😂🤣

  • @tabasamtv6728
    @tabasamtv6728 2 роки тому +1

    Wasomi wetu hawajui kingereza Tanzania alafu anajiita msomi wa Mzumbe.

    • @issahamis3286
      @issahamis3286 2 роки тому

      Hahhhaaaa say Gay's

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому +1

      Kumbuka kuwa usomi na kujua lugha ya kiingereza ni vitu viwili tofauti

  • @marthamganga8060
    @marthamganga8060 2 роки тому

    Km 5000🤔🤔🤔🤔

  • @sandrahofficial255
    @sandrahofficial255 2 роки тому

    Mbona kama kaukaria

  • @mbolikop6419
    @mbolikop6419 2 роки тому

    Km 5000 realy?

  • @stevepaul2677
    @stevepaul2677 2 роки тому +2

    Wamekupakata ninoma sana

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому

    Mwijaku afika kileleni

  • @badymedia9648
    @badymedia9648 2 роки тому

    Hivi anajua kua anakesi ya kujibu😂😂😂

    • @linahsemindu4261
      @linahsemindu4261 2 роки тому

      Anajiweka karibu na mama mwijaku ili asamehewe kes yake 🤣🤣

  • @samuelpaul5733
    @samuelpaul5733 2 роки тому

    Mmmh

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 2 роки тому +1

    Wee punguani sio kilomita, ni feet au mita.. Uliza kwa upya.. unachapia mno mara mount Kilimanjaro ipo Arusha... Sasa hv kilomita tena. Na ukiamua kubomoa mayai (English) bomoa.. sio you see this guy.. then unafeli.

  • @mdta8161
    @mdta8161 2 роки тому

    Mwijaku una roho ngumu duuh

  • @rahima928
    @rahima928 2 роки тому

    Usijisaulishe mwijaku kesi inakusubiri

  • @hancemagembe6260
    @hancemagembe6260 2 роки тому

    Sasa mbona kapakatwa

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 роки тому +3

    Huyu jamaa asiye na Marinda makubwa jela inamsubilia!

  • @raphaelkatanga5335
    @raphaelkatanga5335 2 роки тому

    Tanzania kilamtawala hajuimajukum anawaza kumiliki pesa kwani zitawafikisha wapi mbona wengi atuna maisha yanaenda tu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @Muuzambuzi
      @Muuzambuzi 2 роки тому

      Namimi na shangaaa Hawaoni wario tanguria

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 2 роки тому +1

    Unasemaga umesoma mbona kingereza chako km changu unatetemeka sn we ongea kiswahili tu. Hata hivyo umetisha..

  • @hassanmussa3664
    @hassanmussa3664 2 роки тому

    Mbona sijaalikwa

  • @mikasailajr
    @mikasailajr 2 роки тому

    Kilomita elfu tano angani unazijua wewe?

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 2 роки тому

    Kwann huyo mwafrika kawa chini alafu mzungu juu yake.

    • @raffeiystar2870
      @raffeiystar2870 2 роки тому +3

      Kwasabab mwijaku hana ujuzi wa kufyatua hilo parachute na hajawah kuruka futi hizo. So, lazima awe na muongozi ambaye ndio huyo mzUngu ndio muongozaji wake. Lazima awe chini ni kama kabebwa tu maana hawez ku control safar hana analojua

  • @Thegossipermediatz
    @Thegossipermediatz 2 роки тому

    Mwijaku anatumia fursa

  • @ollacamusic
    @ollacamusic 2 роки тому +1

    Mpambe kapewa rungu😂😂 wangapi waliona na hiii 👇👇👇
    ua-cam.com/video/gnIe4ZeeTDY/v-deo.html

  • @saidiniger5084
    @saidiniger5084 2 роки тому

    Ili neno kaupiga mwingi lime kaa kinafki sana

  • @albertlwesya8361
    @albertlwesya8361 2 роки тому

    We KiliArusha mlienda huko 5000km na hiyo ndege na mme"daivu" hizo kilometer na umerudi chini kwa kutumia hii Physics ila itakuwa mmetumia Civics,

  • @filberthabashi2870
    @filberthabashi2870 2 роки тому +5

    Wasenge walio na wivu wana comment kwa chuki tu, mwenzako anatumia fursa na anaingiza pesa familia wanashiba, wwe endelea na wivu akati bado unakula ugali wa shkamoo

    • @barakakusa7606
      @barakakusa7606 2 роки тому

      Kuna watu bado wamelala, Eti anajipendekeza kwani Kuna tatizo Gani? Jamaa linajiongezea followers Kila day na uchiz wake huo na familia linahudumia vizuri tu.

    • @filberthabashi2870
      @filberthabashi2870 2 роки тому

      @@barakakusa7606 isitoshe mwanangu, kwenye pesa wanazochanga makampuni na watu kwa ajili ya kusaport royal tour , raisi anaona uhamasishaji wa mwijaku, hawez sema ila anapewa donge la maana, ni kama vile kipindi cha kampeni unavyoina wasanii wanapafom wanalipw vzur kinyama, sasa achana na hao wasiojielewa wakidhani anajipendekeza

  • @perisnanka2118
    @perisnanka2118 2 роки тому

    Talk English

  • @hashimrajab7370
    @hashimrajab7370 2 роки тому

    5000 kilometer jamaa hanaga akili kabisa😊😊😊😊

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 2 роки тому

    Mwijaku kalipwa kufanya ujinga kama huuu...anamfulaisha aliejuuu nyie kuleni tu pesa zetu tutaumia sasaiv lkn IPO siku Mtanzania atafulai

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 2 роки тому

    Nini sasa cha ajabu huo ni ushamba tu ss tumesharuka sana.

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 2 роки тому +2

    Hanalolote huyu kiroboto anataka umaafufu kilakona asifiwe lakin mwenye akili hasa hamsifu.watamsifu awoawo machizi weziwe

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 2 роки тому +1

      Acha roho ya chuki. Roho mbaya haijengi bro. Allah akiamua kumng'arisha mja wake nyota binadam huwezi kuizima

    • @mdta8161
      @mdta8161 2 роки тому +2

      Acha roho mbaya kaka hapo yupo kutafuta Sasa kama wewe unakereka tambaa

    • @emanuelkamangu6500
      @emanuelkamangu6500 2 роки тому +2

      Wivu

    • @alimakame9215
      @alimakame9215 2 роки тому

      Sasa nikuulize kipi kizuri alichokifanya mbele yamungu et.baada unafiki