AT AFICHUA SIRI : TUZO TANO ALIZOSHINDA DIAMOND SIO ZA HALALI // AMECHUKUA TUZO YA JUX "ENJOY"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @pajokakasasa
    @pajokakasasa День тому +9

    Bongo bado sana,hongera sana AT

    • @marlodemarlove9281
      @marlodemarlove9281 14 годин тому

      Tz Kuna mambo kweli kweli duh
      Tuzo Zina fanana 😂 😢

  • @stellajohannsen99
    @stellajohannsen99 21 годину тому +2

    Hongera sana ❤❤❤❤❤❤

  • @MbomaMukenge
    @MbomaMukenge 16 годин тому +1

    Wimbo baro wa mwaka tembo Alibum bora ya mwaka tembo nje musani bora wamwaka apewe mwengine ilitakiwa apewe tembo

  • @HasinaIbrahim-bu5kq
    @HasinaIbrahim-bu5kq 20 годин тому +2

    AT uko sahh kbs

  • @abdimakame7929
    @abdimakame7929 23 години тому +4

    Sio mwenye nyimbo tunazungumzia Kolabo Bora.
    Simbaaaa🔥🔥🔥

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 23 години тому +1

    Hamjafika kwenye vipengele vya tuzo bongo....juu ata vigezo hamvijui vizur.....ufisadi mtupu uliokua huo ucku

  • @muddypote8377
    @muddypote8377 23 години тому +2

    Hapo hamna tunzo kuna mchongo 2 kujiweka busy bure hawana shugli za kufanya

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 13 годин тому +1

    Mwenye nyimbo ya Enjoy ni ya Jux siyo ya Diamond

  • @RukundoSedrick-vb6zr
    @RukundoSedrick-vb6zr 15 годин тому +1

    Fact 👌

  • @alphablondponera2367
    @alphablondponera2367 13 годин тому

    Simba alishasema hataki kushiriki kumlalamika sasa ameshiriki anabeba ..mnachanganyikiwa ..sasa tulien kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake

  • @RebinaNdumeRASHIDI
    @RebinaNdumeRASHIDI День тому +2

    Awaonaki nay wa mitego?

  • @MbomaMukenge
    @MbomaMukenge 16 годин тому

    Sijaona ituzo ya tanzania nibure kebisa

  • @nurdininurdiniheti
    @nurdininurdiniheti 12 годин тому

    bor raivyan kujitoa an akil cn mwamb

  • @mrfashion1687
    @mrfashion1687 15 годин тому

    Halafu mtangazaji hata huelewi zile tuzo za mwaka gani, tuzo zilizotolewa mwaka huu sio za 2024, ni tuzo za kazi zilizofanya vizuri 2023, hizo za mwaka 2024 zitztolewa 2025

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 8 годин тому

    Harmonize ni mwamba hata wabane konde boii jeshiiiiii ndie number 1 Tanzania Sisi tuta zidi kumpa shavu tembo mwanzo mwisho wengine choka mbaya wana bebwa Hivi Sasa watoa tuzo nyote mna firwa na shateni zenu

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 8 годин тому

    Diamond haku stahili kupata hata moja hio tuzo basi

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 13 годин тому

    Diamond bado hizo ngoma mbovu hizo tuzo hakufaaa kupewa diamond kwa ubunifu gani kwa mapya gani diamond afazali angekosa kabisa,,,,, harmonize alifaa kupewa hizo tuzo zote

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 13 годин тому

    Bora wangewapa wote Jux na Mond

  • @BinSultan-t5g
    @BinSultan-t5g 14 годин тому

    Alafu et hajapanda juu kuangalia movie

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 13 годин тому

    Km jux hajapata Tuzo wamekosea

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 22 години тому +1

    Uchafu kuchezea magaga yapua

  • @ZahratAhmad-o1v
    @ZahratAhmad-o1v 12 годин тому +1

    Msanii bora anayesuguwa gaga utapewa wewe usijari

  • @alphablondponera2367
    @alphablondponera2367 13 годин тому

    Eleweni wabongo na waandishi ...kila mtu ana submit kazi anazoona zinapaswa kuingia kwenye tuzo ...sasa kama diamond ndio kapeleka collaboration bora na jux hakupeleka ..unataka jux apewe bila jina lake kuwepo ?

  • @mtoobebe5778
    @mtoobebe5778 День тому +1

    Noma tupu

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 19 годин тому

    TMA ni mazwaza wasiojielewa wamejaza wazee sasa sijui huyo FA anafanya kazi ipi

  • @marcpogba9057
    @marcpogba9057 23 години тому +3

    Hiyo nyimbo ya injoy si na jux aliiba congo,acha naye ayimwe tuzo

  • @XhalkihKhamis
    @XhalkihKhamis 22 години тому +1

    AFU NYIE NI VILAZA KOLABO BORA YA MWAKA KAPEWA JUX DIAMOND KADHINDA TUZO 4 TUU SIO 5 YAAN MNAONGEA VITU BILA KUFATILIA😊

    • @kenrifambi
      @kenrifambi 20 годин тому

      Collabo ilipewa wimbo wa Enjoy. A collaboration between jux and diamond platnumz