🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr 2 години тому +1

    Wallah firdaus Allah akupe umrii uzidi kuendelea kutusaidia mimi mwenyewe binafsi Wallah kwa uwezo wa Allah maji ya fat'hu jasad yamenisaidia na mafuta ya panguso mimi na familia yangu tunakuomba kwa ajili ya Allah shekhe firdaus usirudi nyuma tunakuomba endelea kufanya duwa Allah atakulipa

  • @shabanegaddafi1511
    @shabanegaddafi1511 8 годин тому +4

    Sheikh siachi kuangalia vipi vyako nami nakusanya pesa nakuja kuata Duaah tz insha'Allah

  • @bilalhassan2109
    @bilalhassan2109 8 годин тому +3

    Asalam Aleikum In Sha Allah.Allah akupe umri defu uzidi kuponyesha watu .In Sha Allah Niko Mombasa nita zipata vipi?

  • @rahemahamisi3558
    @rahemahamisi3558 2 години тому

    Inna Lilah wa innailah rajiun. Bila shaka Dunia Iko magharibi.😭

  • @SuleymanMadaha
    @SuleymanMadaha 8 годин тому +3

    Shke fanyakaziyako mbona akatiunaanza hawajakusema washaona jinalakolimekuwa washaanza lakni mtume alishasema kilamwenye nema nimwenye kuhusudiwa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wanaona donge

  • @FatimeOmari
    @FatimeOmari 3 години тому +1

    Alhamdullillah mwenye macho na akili ataelewa ila mwenye wivu na choyo ataponda !usirudi nyuma baba tuko nawe kwa ajili ya Allah na upo karibu na wema !Mola aibariki kz ya mikono Yao na akupe maisha marefu duniani yenye manufaa

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 8 годин тому +2

    Piga kazi sheikh Firdaus acha wanafiki waseme yote ni hasada na wanajiita sheikh

  • @Burange666
    @Burange666 3 години тому +2

    Pasuwa Baba pasuwa waambie wale Mashehe michango wanasubiria hela za michango kutoka Arabuni ndiyo waishi waambie ukweli Mashehe Michango.

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr 2 години тому +1

    Tena mie nakuomba kila anayekusema tia pamba maskio jifanye kama huwaskii watu wanavookuongelea vibaya waache endelea na dawa ndugu yangu ktk lman

  • @shabanegaddafi1511
    @shabanegaddafi1511 8 годин тому +3

    Dr sheikh sharifu firdausi Al qhadir Allah akupe umr mrefu leo nilio kuna sheikh anajinasibisha kua ni sheikh mkubwa anakupiga vijembe usife moyo Sisi wenyeshi tutakuja kwako walewengine wanaongea porojo achana ao

    • @Naw89
      @Naw89 2 години тому

      Mmmmh yani nyie hamna dogo kwani alimtaja mtu muache fitna

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed 3 години тому

    Maustqdh wote mjini mnkimbilia kwa huyo mwehu lengo awape pesa

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 3 години тому

    WEWE MWENYEWE BABU WA KIPEMBA MCHAWI

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed 3 години тому

    Huyo pengo konda dalaladala namjua mwenywewe hajitambui