"NATAMANI KUWA NA OFISI YANGU KAMA CHINNO, BOSI WANGU NI MSWAHILI, SITAKI KUMPA MAWAZO" MBOSSO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 89

  • @JulesDior-zl6rq
    @JulesDior-zl6rq 2 місяці тому +20

    Mbosso apewe tuzo ya kuheshimu wakubwa zake ❤❤

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz Місяць тому +2

    Big up mboso fungua biashara nyingine ila usimame wcb❤❤❤❤❤❤

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z Місяць тому +1

    Mbosso apewe tunxo anatunga nyimbo zenye Heshima sana❤❤❤pia nenda kajitegemee kama wenzako.

  • @kassimabussa6583
    @kassimabussa6583 2 місяці тому +4

    Mbosso Huwa namkubali Kwanza sio muongo muongo pili anaheshima sana tatu Huwa anajuwa kujieleza sana mungu akujalie ufike mbali

  • @MkubwaMohd-lh3bs
    @MkubwaMohd-lh3bs 2 місяці тому +6

    Mbosso uxixikilize manane ya watu usitoke hap maan saiv anae kushauri utoke bs ukitoka tu wao wao nd wanakuja kukucheka na kukudharau sn m2 wang usitoke

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 2 місяці тому +17

    Mabosso anaadabu kweli nampenda mnyenyekevu...,maridhia sana

  • @rhymeyrhymes
    @rhymeyrhymes 2 місяці тому +4

    Tusupport wimbo wangu #Sinyora nawapenda sana❤

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 2 місяці тому +5

    Hao hao wanaokuambia utoke watakuja kukucheka think before you leap!😢

  • @ShabanMohamed-sm1hi
    @ShabanMohamed-sm1hi Місяць тому +2

    Kwenye maisha ya utaftaji unatakiw uwe makin Sanaa so maelezo ya @Khan nazani utamuelew vzr sokilak2 ambacho utaona watu wakifanya au m2 akifanya akafanikiwa usitaman alichokipata mwngine pambana kwa ndotozako utatoboa kwa uwezo wa Allah kaka kaza kikubwa uhai...

  • @NiyonkuruFidel-qn5vr
    @NiyonkuruFidel-qn5vr Місяць тому +1

    Big up mbosso we love you

  • @DaxixSeen
    @DaxixSeen 2 місяці тому +5

    Naipenda maongezi ya mbosso

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 2 місяці тому

    Mboso you are very mature thas wisdom in a very high level. Once you open your mouth you already tell the world who you are

  • @GudJesusson
    @GudJesusson 2 місяці тому +1

    Daa mkali mbosso unavibao kibao ila MAAJABU bado siachagi kuisikiliza🔥💥

  • @nikekeal7420
    @nikekeal7420 2 місяці тому +1

    we want more like that 😮

  • @nikekeal7420
    @nikekeal7420 2 місяці тому +4

    Mbosso unastahili heshima wimbo niliousikia pale mapenzi tu yoh ni mzuri 😩

    • @jakenike9132
      @jakenike9132 2 місяці тому +1

      mimi nilisikia aliimba na watoto wengine

  • @RadjuNadhiru
    @RadjuNadhiru 2 місяці тому +5

    King 👑 Khan🔥

  • @devisfrank6637
    @devisfrank6637 2 місяці тому +3

    Mr Khan Mwenyewe 🫡🫡🫡

  • @Zuchuofficial_988k
    @Zuchuofficial_988k 2 місяці тому +6

    Mbosso unajuwa kila kitu ila tafuta ela ufanze kazi yako mana wasafi munapangiwa sana

  • @meryamreally2768
    @meryamreally2768 2 місяці тому +3

    Wow Nice mbosso ❤️❤️❤️👏👏

  • @Shufs-Da-Lion666
    @Shufs-Da-Lion666 2 місяці тому +3

    That's your Dream Indirect Your boss platinums must approve it Nigah Maisha hayataki uoga bro.

  • @aishambagi7371
    @aishambagi7371 2 місяці тому +6

    Pole sana kaka utumwa

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 місяці тому +1

    Jamaaa anaekima sn mashllh.

  • @sixmelody4349
    @sixmelody4349 2 місяці тому

    Nakubali sana kaka mbosso 🔥🔥🔥🔥

  • @SalumBande
    @SalumBande 24 дні тому

    Mwanangu mboso kula sana sut alafu izo nywele nyowa utakuja mtu hatar sana kuwa TU na nywele kama zinaota iv

  • @Mwamba-hc1jy
    @Mwamba-hc1jy 2 місяці тому +12

    Sikushauri utoke wcb!!!utapotea vibayaaaa😮 chek rayvany saiz hakuna mtu anamkumbuka

  • @aminamzuzuri5621
    @aminamzuzuri5621 2 місяці тому +1

    Usitoke mboss baki wasafi plz

  • @irealyxchamdori596
    @irealyxchamdori596 2 місяці тому

    Yan anajielezea vzr mpk sitaman amalize ❤😂😂

  • @AluphoncMakwega-fl7tn
    @AluphoncMakwega-fl7tn 2 місяці тому +2

    Nanyie mmeona wino wapi mbona mnapenda kutengeneza mamba yaajabu

  • @BienfaitKalonda
    @BienfaitKalonda 2 місяці тому +2

    Una hekima sana bro, kwel Diamond amezungukwa na watu wengi, wengine wana mjaza maneno naku leta bifu lisinge kuwepo.

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 2 місяці тому +30

    Maisha ni mapambano mbosso usiogope!!Ila wewe utaambiwa ulipe milioni elfu moja😂

    • @vailethmsogoth8235
      @vailethmsogoth8235 2 місяці тому +1

      😅😅😅😅😅

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 2 місяці тому +3

      Ndio panapoendea maana walkuwa wanamuona harmo hana shkran

    • @rebeccamayo911
      @rebeccamayo911 2 місяці тому +1

      😅😅😅

    • @bamdevout
      @bamdevout 2 місяці тому +1

      Hamna pesa inaitwa millioni elfu Moja, watanzania mnatuzingua sisi wakenya,,,😅

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 2 місяці тому

      @@bamdevout just for funny sio kila kitu serious

  • @aipymusic6927
    @aipymusic6927 2 місяці тому +3

    Namimi munisayidiye Ku angalia vidéos zetu Ku You Tub jina ni Aipy music 🎉🎉🎉🎉

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 місяці тому

    Kila hatua dua kibwana mboss usiogope katika maisha haya bila kujitoa akili autoboi babu

  • @PhiripoMbwira
    @PhiripoMbwira 2 місяці тому +1

    Piga song mpk dunia itandukee by kwamb tz

  • @Bongovillagex
    @Bongovillagex 2 місяці тому +3

    Mtangazaji tafuta jezi ya Tanzania acha kupenda vya nje

    • @JoaivenMasuke
      @JoaivenMasuke 2 місяці тому +1

      Dg na ww Acha upumbavu mbn Huna akili kwani akivaa jezi ya nje kuna ahida gan mbn ww akili zako finyo mdg wangu

    • @JoaivenMasuke
      @JoaivenMasuke 2 місяці тому +1

      Dg na ww Acha upumbavu mbn Huna akili kwani akivaa jezi ya nje kuna ahida gan mbn ww akili zako finyo mdg wangu

    • @muduboy726
      @muduboy726 2 місяці тому +1

      Acha ushamba dogo mpee gunia avae basi....

    • @muduboy726
      @muduboy726 2 місяці тому +1

      Dogo acha ushamba mpee gunia avae

  • @CharlesLwinga-b9s
    @CharlesLwinga-b9s 2 місяці тому

    Khan❤

  • @SonLondon-nk4pm
    @SonLondon-nk4pm 2 місяці тому +4

    Da mshkj ni anaongea fact san yaan

  • @wizboyfriend
    @wizboyfriend Місяць тому

    mwanetu 2025 anaondoka WcB

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 Місяць тому

    Kwanini ul8jiunga na wcb ungekuwa mwenywe ungefika mbali sasa umejiunga na daimond sasa umepoteza muda wako mwingi sasa ushanza kuchoka muda umeenda mpaka uweze kujitegemea jaribu hali ngumu

  • @kale_maga
    @kale_maga 2 місяці тому +1

    naimani sikumoja ntafika hii atua 🤲 god

    • @eddybenah
      @eddybenah 2 місяці тому

      Nipe namba yako

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 Місяць тому

    Tatizo wafanyakazi wenu wakifanikiwa nyie mabosi mnachuna sanaaa

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 2 місяці тому +1

    NIMESHINDWA KUFUATILIA INTERVIEW VIZURI NIPO NASHANGAA RANGI YA MTANGAZAJI YANI SURA NA MIKONO YAKE KUSEMA UKWELI VINANISHANGAZA MNO

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri 2 місяці тому

    Mbosso ana pua ya kenge

  • @haggaiwandera96
    @haggaiwandera96 Місяць тому

    Mbosso ni mtu amekomaa sana hana kinyongo na watu wengine kabisa, anataka kila mtu afaulu

  • @OmmyDseven
    @OmmyDseven 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂WABONGO WAMESHA ZOOM TENA CM HUKU MBOSSO NJOO UWONE😂😂😂😂😂😂😂

  • @ernerytawa238
    @ernerytawa238 2 місяці тому

    Presenter's mnaongea San kuliko wahojiwa loooo !!!

  • @LitoDossani
    @LitoDossani 2 місяці тому

    Wasanii wakubwa lkn bado mnavaa nembo zawatu

  • @williamdungumaro6668
    @williamdungumaro6668 2 місяці тому

    Yupo sahihi jamaa

  • @mudywaya328
    @mudywaya328 2 місяці тому

    sisi mashabiki tunaitaji mboso awenaofisiyake ila awechiniya wcb

  • @MohamedHassan-k6m6g
    @MohamedHassan-k6m6g 2 місяці тому

    kale kakipande sisi waskilizaji huwa tunakaunganisha yani ikiisha ile tunaunganisha na aka kakipande yaani hamjatukomoa kukatoa tunakatumia kama kifungashio😅😅😅

  • @aminamzuzuri5621
    @aminamzuzuri5621 2 місяці тому

    Waangalie wenzio walivo na ww ulivo rizki ipo hata hapo ulipo

  • @shijathedon5453
    @shijathedon5453 2 місяці тому

    Oya we mwanetu wewe ovaa 🎉

  • @MudrickMzazi
    @MudrickMzazi 2 місяці тому +1

    Oya mzee mbna cm ina vitoti mzee wangu😂hapo ndo wasanii uwa wananishangaza asa umenunua cheni ya mamilioni kibao ila simu ina vidoti kibao😂😂 duh.dunia INAMOTO SANAAA🔥🔥🔥🔥😭😭😭

  • @MkubwaMohd-lh3bs
    @MkubwaMohd-lh3bs 2 місяці тому

    Vikiria walotoka sv wapo wapi rich yup wapi usiw hv

  • @SaidJumamfaume
    @SaidJumamfaume 2 місяці тому

    Khan mtu makini sana

  • @DavidBwisengo
    @DavidBwisengo 2 місяці тому +1

    Huu ukweli wako. Na woga wa bifu unatufania tukupende mushedede

  • @AshaYusuphu-j8i
    @AshaYusuphu-j8i 2 місяці тому

    Uwoga wa maisha kenge wewe na lavalava mbumbumbu

  • @islam-w1n
    @islam-w1n 2 місяці тому

    Kutoka Kwa wazee hawajipang utachelewa kaka

  • @AmiryShayo
    @AmiryShayo 2 місяці тому +1

    Mbona cm yake hina wino au mjaona 😂😂😂mboss

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 2 місяці тому

      Ni sawa2 maana pesa inamambo sana hiwez fanya kila ki2 kwa haraka

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 2 місяці тому

    Halooo

  • @tedngowa2559
    @tedngowa2559 2 місяці тому

    Nilitaka kumsikiliza mbosso but That your sound is boring and unbearable 😏🤥🤥