KWA MARA YA KWANZA NDEGE KUBWA YA SERIKALI YATUA JIJINI MWANZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лип 2018
  • GSENGOtV
    Kwa mara ya kwanza ndege kubwa ya Boeing 787-8 Dreamliner yenye uwezo wa kubeba watu 262 imewasili majira ya saa 5:00 asubuhi ikitokea Kilimanajro.
    Hii ni safari yake ya kwanza kuzinduliwa tangu ndege hiyo ilivyowasili nchini Tanzania mapema mwezi huu ikitokea Marekani.
    Hamasa kubwa iliyofanywa na mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella kwa takribani siku 7 imewatoa majumbani si wakazi tu wa mkoa wa jiji la Mwanza bali pia wananchi kutoka mikoa ya jirani na wilaya zake wamedhuru hapa wapate kuiona ndege hiyo jichokwa jicho.
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 17

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 років тому +2

    Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪 nishushe mwanza nyegezi👊👊🇹🇿🇹🇿👍

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 5 років тому +1

    hongera rais wetu tunaisubiri ndege yetu kwa hamu ije ituchukue huku England.

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 років тому +1

    Tanzania juu daima

  • @meddyzambetakis7657
    @meddyzambetakis7657 5 років тому +3

    MUNGU IBARIKI TANZANIA 😙😙😙

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 4 роки тому +1

    Air Tanzania Songa Mbeleee Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae

  • @aloycekalinga730
    @aloycekalinga730 6 років тому +1

    hongera sana raisi wetu

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 6 років тому +1

    Mwenyez MUNGU tunakuomba enderea kuripa mafanikio makubwa taifa retu la TANZANIA na viyongoz wetu

  • @chrismwangi8415
    @chrismwangi8415 5 років тому +2

    inafaaa sasa ipewe safari za nje kwa mfano Nairobi ,Entebbe ,Addis Ababa na kwingineko

    • @josephthabit4193
      @josephthabit4193 5 років тому

      Naisubiri sana hapa Addis Ababa. Yaani nilivyo na furaha hata siwezi sema exactly. Very proud of my country.

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 6 років тому +1

    Wabongo washaba Sana

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 5 років тому

    DeameER LINE...! Wananchi wameDHUru....

  • @emanuelchpling8921
    @emanuelchpling8921 6 років тому

    watapata tanusana

  • @fauswalidauda8958
    @fauswalidauda8958 5 років тому

    Ata manyara tunataka uwanja