JUICE 5 ZA TENDE NDANI YA DAKIKA 2 TU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 56

  • @paulinemwende7129
    @paulinemwende7129 3 роки тому +5

    Thank you so much. These are anti aging juices. No wonder you've a youthful glowing skin!!

  • @pearlmond8303
    @pearlmond8303 3 роки тому +2

    Ubarikiwe sana, najifunza vingi sana kutoka kwako. Wewe ni mwalimu mzuri

  • @humphreykarua5241
    @humphreykarua5241 2 роки тому

    Asante sana kwa maelezo yako wasalaam aH

  • @salomewilliam9457
    @salomewilliam9457 2 роки тому +2

    Waoooo so amazing! Hiyo ya tende yenyewe badala ya karanga unaweza tumia korosho! Inakuwa 🔥🔥🔥 zaidi! Thanks leo najaribu hiyo ya papai 😋😋😋

  • @nurukhamisi7038
    @nurukhamisi7038 3 роки тому +2

    Mashallah mashallah hizo juice 🥤 nitamu tamu Ajab mi pia nitajabu mpnzi shukran kwa recipe ya juice

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      Shukran sana pia,kwa support kipenzi,InshaAllah ukijaribu utapenda sana

  • @RenathaJames-e6s
    @RenathaJames-e6s 4 місяці тому

    Nimeipenda sana jamani, leo ntajaribu kutengeneza namimi. Asante kwa kutufundisha ❤

  • @madamejescarandrew.g.9534
    @madamejescarandrew.g.9534 3 роки тому +3

    Wooow Asant sana. Napenda sana Juice niiandae mwenyewe 😋😋

  • @gracengendo7185
    @gracengendo7185 3 роки тому +5

    Wow tamu saana

  • @AbdallahIssa-zv3kn
    @AbdallahIssa-zv3kn Рік тому +1

    Asanten Sanasana kwakutujuza Vizur ..%✓✓

  • @shamsaamos3130
    @shamsaamos3130 3 роки тому +1

    Nimezitamaji best angu. Nimetengeneza ya tende na karanga tamu sn . Barikiwa sn

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      Woooow MashaAllah... Nafurahi kuskia ivo,asante sana

  • @christerkilamlilo7013
    @christerkilamlilo7013 Рік тому

    Asante kwa kushare

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 Рік тому

    Shukran ntajaribu

  • @liciouspipi5538
    @liciouspipi5538 3 роки тому +4

    Hayo maziwa naweza tumia maziwa ya box ya asas au kampuni yoyote bila kuyachemsha

  • @husnasway8587
    @husnasway8587 3 роки тому +1

    Mashallah ❤️

  • @JOHN-RAY
    @JOHN-RAY 3 роки тому +3

    Wow

  • @deborafisoo9367
    @deborafisoo9367 3 роки тому +2

    Wow 😋😋😋

  • @mercymsupa1624
    @mercymsupa1624 3 роки тому +4

    Wow ❤️❤️❤️

  • @cookwithmsoo
    @cookwithmsoo 3 роки тому +2

    Nazitaka zote pamoja na glasses.😋
    Presentation on point 💯

  • @maimunabakari1654
    @maimunabakari1654 3 роки тому +1

    Wow!? Yaonyesha ni tamu mno😋😋😋😋

  • @noellebomett2191
    @noellebomett2191 2 роки тому

    Thank you so much

  • @JOHN-RAY
    @JOHN-RAY 3 роки тому +3

    Nice one

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 3 роки тому +1

    Mm nataka unifunze ii editing😂😂😂nakupendraaaa buree.. Umaonaje tukamfanyia baby asmaa moja🤣🤣mwanzo hio ya apple🍏🍏asante lovee.. Niletee maparachichi

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      😂😂😂😂sawa nitaleta maparachichi,asma lazima apate hapo

  • @naomikalinga3042
    @naomikalinga3042 3 роки тому +1

    Nzuri kweli kweli

  • @salhathussein3800
    @salhathussein3800 2 роки тому

    woow

  • @hapinessndonde2981
    @hapinessndonde2981 3 роки тому

    Juice tamu iyo

  • @winnerjudith2007
    @winnerjudith2007 3 роки тому +1

    nice

  • @dafrozamartin9961
    @dafrozamartin9961 Рік тому

    Sory kwa mm sio mpenzi wa maziwa fresh naweza kuchanganyia kitu gan ambacho ni kimiminika na ikawa sweet?

  • @hadijasongea4888
    @hadijasongea4888 3 роки тому

    Hizo karanga Ni mbichi au zimekaangwa??

  • @kimdhairaty5355
    @kimdhairaty5355 2 роки тому

    Izo karanga ni mbichi au

  • @pendondossy4181
    @pendondossy4181 3 роки тому +1

    Aichujwi?????????

  • @blandinamayaya2563
    @blandinamayaya2563 3 роки тому

    Hyo ya tende na kranga ni karanga zilizokaangwa?na maziwa unachemsha???huwezi kuweka ladha yyte km iriki au mdalaisni

  • @VenansiaGulayi
    @VenansiaGulayi Рік тому

    vp hauweki sukari?

  • @lucywachira4085
    @lucywachira4085 3 роки тому +1

    Tembe or tende,iriki ni nini in english

  • @blandinamayaya2563
    @blandinamayaya2563 3 роки тому

    Hyo ya tende na kranga ni karanga zilizokaangwa?na maziwa unachemsha???huwezi kuweka ladha yyte km iriki au mdalaisni

    • @lidiashayo8293
      @lidiashayo8293 2 роки тому +1

      Juice ya tende inatakiwa karangambich, ata korosho ni ambazo hazijakaangwa, ukisha kaanga unapoteza uhalisia, wakubwa wanaelewa hapa