Jifunze kuandaa 'milkshake' ya tende

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 22

  • @Amourharoub-rf1tc
    @Amourharoub-rf1tc 10 місяців тому

    Dah safi sana brooi

  • @SteveAvelinBuretter
    @SteveAvelinBuretter 6 місяців тому

    Asante Kwa soma zuri

  • @MwanamkuuTaib-j9u
    @MwanamkuuTaib-j9u 2 місяці тому

    Mashaallah

  • @DottoSalum-hw8zx
    @DottoSalum-hw8zx 4 місяці тому +4

    Je ukiongezea na karanga mbichi inafaa?

    • @marthabuhele8429
      @marthabuhele8429 Місяць тому +1

      Akijibu nitag hata karanga zilizokaangwa??

  • @victorialuvanda9222
    @victorialuvanda9222 10 місяців тому +1

    Unaweza kutumia yoghurt kama huna maziwa fresh..?

    • @JikoPoint
      @JikoPoint  9 місяців тому +2

      Maziwa fresh yatakusaidia kupata matokeo mazuri zaidi ya Yogurt

  • @erickmlingwa5474
    @erickmlingwa5474 2 місяці тому +1

    Blender ni brand gani

  • @fatmahemed2189
    @fatmahemed2189 Рік тому

    Asante kwasomo

  • @anciladelay6316
    @anciladelay6316 Рік тому

    Ahsante napenda mno juice yakuchujwa

    • @JikoPoint
      @JikoPoint  Рік тому +2

      Hongera sana, unaweza pia kujaribu kutumia juisi isiyochujwa kwani nyuzi nyuzi zinazopatikana katika juisi hizo huwa na virutubisho vingi.

  • @allysaid5800
    @allysaid5800 9 місяців тому +1

    Kwani lazima kuchemsha maziwa

  • @EmilyKisamo
    @EmilyKisamo Рік тому

    Ni maziwa fresh yalio chemshwa au ??

    • @JikoPoint
      @JikoPoint  Рік тому

      Habari, ndio hakikisha maziwa yamechemshwa na kupoa kabla ya kusaga pamoja na tende.

    • @IsabellaMpagama
      @IsabellaMpagama Рік тому +1

  • @liliantemba1181
    @liliantemba1181 4 місяці тому +2

    kumbe huwek sukar

    • @JikoPoint
      @JikoPoint  3 місяці тому

      Ndiyo ndiyo Lilian. Kuna aina nyingi na inategemea unapenda sukari ama la. Unaweza kutazama video nyingine kuhusu milkshake. Subscribe channel yetu ya UA-cam kama bado hujasubscribe ili usipitwe au soma Jiko Point tovuti kupitia www.jikopoint.co.tz. Karibu sana na kila la kheri kwenye upishi wako.

  • @lidiashayo8293
    @lidiashayo8293 7 місяців тому

    Ulichokosea nikimenya tende bila kuvaa kitu mkonon zile gloves lain, lazima uvae kiafya

    • @Switielie
      @Switielie 4 місяці тому +1

      Ni gloves za aina gani zinafaa hapo,NAMI nafanya hiyo

    • @sophykivuyo
      @sophykivuyo 4 місяці тому +1

      Hiyo hauzi ni yake anakunywaa yeye