NTEMI Swahili Movie || Bongo Movies Latest || African Latest Movies || Episode 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.
    NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
    Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
    Hakika utajifunza kitu kikubwa.
    Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.
    Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
    Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
    KAPAYA THE GREAT FILM
    Contact:
    0655 218 331/0753 318 331
    email. kapayamic75@gmail.com
    Instargram
    Kapayathegreat
    TANZANIA.

КОМЕНТАРІ • 125

  • @paschaljoseph9778
    @paschaljoseph9778 Рік тому +4

    Wow wasukuma tujuwane 💪

  • @amosalphonce1631
    @amosalphonce1631 2 роки тому +2

    Yes💪 Mshinde mahome naona mumekitambulisha hikiki Kijiji chetu kupitia movie yenu hii, hongereni sana 👏👏👏

  • @subilajohn7310
    @subilajohn7310 2 роки тому +3

    Mnanishawishi kuangalia bongo muvi mko vizur kazi iendeleee

  • @SimonMasanja-k1d
    @SimonMasanja-k1d 5 місяців тому

    Wasukuma mnaweza sana kiugiza mungu ameweka kitu kwenu

  • @lickiatusjohn3339
    @lickiatusjohn3339 8 місяців тому

    Movie kali sana hii hongereni kwa kazi nzuri

  • @ahmadyzubery9126
    @ahmadyzubery9126 2 роки тому +2

    Kazi nzuriiii🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mercylinemercy2408
    @mercylinemercy2408 2 роки тому +1

    Wow i like it imgne huwa natamani kuigiza kweli walai❤❤

  • @payustz
    @payustz 2 роки тому +4

    Hongeren sana kazi nzuri🙌

  • @rahmaclaudine9984
    @rahmaclaudine9984 2 роки тому +3

    Nimekuwa wakwanza leo nanilikua naisubiri kwahamu mungunawazidishie

  • @vailetmapolu6363
    @vailetmapolu6363 2 роки тому +3

    😂😂😂😂mzee simoni mkorofi Sana 😂😂😂

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 роки тому +2

    Kapaya...
    Mambo 💯🙏

  • @mukyalamuwuulu8647
    @mukyalamuwuulu8647 2 роки тому +7

    Mtoto anaongea lugha yakwenye video😂😂

  • @marynasyieki3783
    @marynasyieki3783 7 місяців тому

    Amelaza Shingo nkama amekuja kuchinjwa😂😂❤❤

  • @hajihaji6351
    @hajihaji6351 2 роки тому +1

    Kaz nzur brother nakukubali

  • @jellynesssemu9406
    @jellynesssemu9406 2 роки тому +1

    Waòooòooh mtemi uko moto 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Juliet_Adolphine_Amisi1911
    @Juliet_Adolphine_Amisi1911 2 роки тому +1

    Nimependa sana uyo mzee alivo pigwa akasema naumiya yaani nimefurahi nimejikuta nacheka

  • @nickboyallyson7848
    @nickboyallyson7848 6 місяців тому

    woooh imekaaa poa san

  • @tabithasalimu3617
    @tabithasalimu3617 2 роки тому +2

    Nimeipenda pat 3

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 2 роки тому +3

    Yes daddy, sasa naje kung'ombe🤣🤣🤣

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 роки тому +3

    Kazi mzr sanaa ilaa hizi milaa nyingine jamani hatari😭👌

  • @aliceirakoze9542
    @aliceirakoze9542 2 роки тому +1

    Mwendelezo plz iko saw kabisa🇧🇮🇸🇦

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 2 роки тому +1

    Hongerani Sana filam nzuri Sana

  • @makayistevenmusso1520
    @makayistevenmusso1520 11 місяців тому

    Kob zuli xana❤❤❤

  • @rosemarydaniely1888
    @rosemarydaniely1888 2 роки тому +1

    Nice bro kapaya

  • @BOSSLADY3656
    @BOSSLADY3656 Рік тому +1

    good job🥰

  • @antoniaoswald1643
    @antoniaoswald1643 2 роки тому +1

    Mko vzr bro

  • @elizabethfabian5211
    @elizabethfabian5211 2 роки тому +2

    Jamb nikajua tayari iweke bas kaka

  • @khadijatanzania7817
    @khadijatanzania7817 Рік тому

    😂😂Mayomya Acha kumupigia dada 😂😂😅😅😅

  • @graceelneus3043
    @graceelneus3043 2 роки тому +1

    Duh mzeeee saimoni mkorofi

  • @makayistevenmusso1520
    @makayistevenmusso1520 11 місяців тому

    Ila kugha zingne 😂😂 mi naona mauzauza tu hatali xana tutajifunza tu Inshaallaah

  • @magrethdotto32
    @magrethdotto32 2 роки тому +1

    Xikutegemea kama hamisi nae atafikia hatua hii nice kwake

    • @rachelthomas5468
      @rachelthomas5468 2 роки тому

      mko good sana ila ntemi kanifurahisha kwel kazuga anajua kimombo cha mtoto afu kumbe amna anazuga kwenda kuangalia Ng,ombe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣duh! Congratulations mr kapaya with you group members 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @margaretthe7932
    @margaretthe7932 2 роки тому +2

    good work

  • @nasseralhabsi4121
    @nasseralhabsi4121 2 роки тому +1

    Waooooh natizama kutoka 🇴🇲 kazi nzuri sana🥰💃👌

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 2 роки тому +1

    Mzeee saimon kakamatika😀😀🤣😀🤣😀🤣😀🤣😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀😀

  • @solangerecho
    @solangerecho 2 роки тому +2

    Hahahaha umeniuwa Kweli et haujuwe luga ya mwanawo ambayo anazungumuza 🤣🤣🤣 Movie nzuri

  • @jfjgxcv5859
    @jfjgxcv5859 2 роки тому +1

    Nzr sanaaaa 🥰 kaka kapaya muendelezo bx😋

  • @vailetmapolu6363
    @vailetmapolu6363 2 роки тому +2

    Wa 2 👁️👃👁️

  • @neemamuhungu8302
    @neemamuhungu8302 2 роки тому +3

    Hahahaha Ntemi, kashindwa kumwambia mdogo wake maana ya yes dad!

  • @johncharles8930
    @johncharles8930 2 роки тому +1

    Mzee anakimbia pkpk yasingiziwa

  • @bbrsssaad1282
    @bbrsssaad1282 2 роки тому +1

    Asanten kwa muendelezo

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 роки тому +5

    Et hatak kusomesha watoto🤣🤣🤣🤣

  • @geofreymgosi-ie9fy
    @geofreymgosi-ie9fy 6 місяців тому

    broo kapayaa upo vizr unanishawishi kuuangalia mvi zako

  • @rebeccamoraa2185
    @rebeccamoraa2185 2 роки тому +2

    Good 👍👍

  • @imansaid8020
    @imansaid8020 2 роки тому +1

    Huyu mzeee saimoni mkorofi!! Halafu anambio kama kiberenge 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @simonireri7059
    @simonireri7059 2 роки тому +2

    Nice

  • @midianobed9001
    @midianobed9001 2 роки тому +1

    Nzr

  • @bengikulwa6903
    @bengikulwa6903 2 роки тому +1

    Ya tatu Lin jmn maan ni moto

  • @mzalendoonlinemedia7170
    @mzalendoonlinemedia7170 2 роки тому +8

    Jamani! wale mnaolalamika kuhusu. movie kutumia Lugha ya kabila la Wasukuma. baadhi ya Scene! msijali hii inazungumzia mila na desturi za Kabila la Kisukuma sasa Mila hizo ili ziwe ktk uhalisia lugha ya kabila husika ni miongoni mwa utambulisho wa mila hizo na utambulisho wa kabila husika. Angalizo KAPAYA THE GREAT FILM. kwa kuthamini mchango wa Watanzania wote na Waafrika kwa ujumla ikaamua kutumia maandishi ya Kiswahili chini ktk scene zote zinazoongea Lugha ya kabila la Wasukuma. Pia kama hiyo haitoshi Afrika ina zaidi ya makabila 3000. Ya kibantu. hivyo sisi sote ni Wabantu. Zingatia movie hii haipo kwaajili ya kueneza ukabila ndiyo maana Tafsiri ya maandishi ya Lugha ya kiswahili inaonekana chini ya uso wa skrini yako tena Kwa kiswahili Fasaha. kabisa! Tusipende kusappoint watu pasipo uchunguzi wa kina. Tuwasapoti vijana hawa Sanaa Ni ajira sanaa ni darasa 🙏 Watizamaji kuweni makini nasi kuhukumu tu wakati kila kitu kipo sawa na movie inafundisha
    Hata ukiwa unaangalia movies za kiNigeria utaweza kuona baadhi ya vipande wanaongea kigbo,Kiyoruba na Lugha za makabila mengine ya kibantu yaliyopo magharibi mwa bara letu tukufu la Afrika. lakini Fasri ya Lugha ya Kigeni unaiona chini ya uso wa skrini yako! NB. Lugha za makabila yetu ni sehemu ya utamaduni wa makabila husika Ahsanteni sana! By Chaz Katoro 🙏

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  2 роки тому +3

      KWA HELUFI KUBWA KUBWA KABISA IMEISHA HIYOOO👏👏🙏

    • @ashurafundi2873
      @ashurafundi2873 2 роки тому +1

      Mi napenda mnavyochanganya lugha hapo ndo imechangamka na kuonyesha uhalisia hasaa kiukweli nimewakubali big up washiriki wote mungu awatangulie katika kazi zenu

  • @ashurafundi2873
    @ashurafundi2873 2 роки тому +1

    Nimefrah sana jaman muwe mnatuma mbilimbili

  • @rosefredy5398
    @rosefredy5398 2 роки тому +1

    hahaah awajui kingereza mtakoma na visukuka vyenu hahaha

  • @vailetmapolu6363
    @vailetmapolu6363 2 роки тому +3

    Michael bado sijaona movie yenyewe nipo nimeisubilia kwa hamu😂😂🤗

  • @drinozzsamson8676
    @drinozzsamson8676 Рік тому

    Mzee saimoni pumbu kisogoni kakamatwa na mwenzie kamuhalibu mishipa sasa kazi anayo mzee saimoni leo kojo litamtoka huko police🤣🤣🤣

  • @gyakiesonny1
    @gyakiesonny1 Рік тому +1

    waoooo

  • @JustineAloyce-g2k
    @JustineAloyce-g2k 8 місяців тому +1

    Mtoto kamezeshwa sumu

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 2 роки тому +1

    Mtt kafungwa kuliko mbuzi😀😀😀😀😀😀

  • @johncharles8930
    @johncharles8930 2 роки тому +2

    Kweli huyu mzee mkorofi Ila mwanae mzuri anavutia kwakweli mtoto ni mpole kupita maelezo Wala hafanani na babaake kwa roho mbaya mtoto anasura ya upendo

  • @zeyadahzzz9128
    @zeyadahzzz9128 2 роки тому +1

    Education is good oooh ntemi hajuwi yes Dad

  • @patiencekuvuna9913
    @patiencekuvuna9913 2 роки тому +1

    Very nice

  • @jesicmichael-7982
    @jesicmichael-7982 Рік тому

    Maichel Charles kapaya duuh nimecheka jirani kisukuma jamani😂😂😂😂

  • @uwimanaangenelly348
    @uwimanaangenelly348 2 роки тому +1

    Oooh my God!!mbona tamu sana

  • @petrocristian5364
    @petrocristian5364 2 роки тому +1

    Hii movie kali sana

  • @janejane6942
    @janejane6942 Рік тому

    Wasio elewa kisukua😂😂😂 twende wapi

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 роки тому +1

    Hi movie ni moto👌👌👌

  • @MariamHamisi-n4g
    @MariamHamisi-n4g Рік тому

    MV tamu IRA mengine yananipita😂 magumu kisukum duh

  • @magrethdotto32
    @magrethdotto32 2 роки тому +1

    Xalam zang zimifike jeremia

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 роки тому +1

    Kapaya...surual yako imechanika hapoooo ☝️🤦

  • @spinicmbusuro8504
    @spinicmbusuro8504 2 роки тому +1

    ❤❤❤❤

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 2 роки тому +2

    ❤️❤️❤️🇴🇲

  • @ailcemuthoni3339
    @ailcemuthoni3339 2 роки тому

    Haha ntemi nae Aki ati yuaelewa kilakitu ambacho mtoto anachokiongea lakini akiulizwa asema she anajipa shughuli kwenye ngombe haha so amazing sijui nilichelewa wapi yaani nmeshidwa hadi kulala am just watching

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 Місяць тому

    Naanza upya kuangalia

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 2 роки тому +1

    Hawa wasukuma washazoea kupigana pigana

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 роки тому +2

    Sio kweli bwana kusema msukuma anadhamin mifug kuliko mtu🤣🤣🤣

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  2 роки тому

      huwajui wasukuma wewe

    • @lizzybahati3739
      @lizzybahati3739 2 роки тому +1

      @@kapaayathegreat aaah

    • @johnbernad3990
      @johnbernad3990 2 роки тому +1

      Hiyo nikweli kabisa unacheza na msukuma wewe kwenye ng'ombe kabisa hiiiiiiiiiiii

    • @johnbernad3990
      @johnbernad3990 2 роки тому +1

      @@kapaayathegreat itakuwa hawajui vizur

  • @paschallugwisha8639
    @paschallugwisha8639 11 місяців тому

    Fikishen mwisho Kwan mnakwama wap?

  • @rosefredy5398
    @rosefredy5398 2 роки тому +1

    mnaongea vibaya jamani ambao atujui kisukuma sasa khaa

  • @elizabethfabian5211
    @elizabethfabian5211 2 роки тому +1

    Ndomwisho kakaa au ?

  • @jyohana0059
    @jyohana0059 Рік тому +1

    Dakitar wa mchongo

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 2 роки тому +1

    Mimi niko kma hyo mtoto siwaelw grand ma bc😂🤣🤣

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 2 роки тому +1

    Sasa mama Rebecca kuforce mtu aolwe n mtu asie mpenda 🥵🥵

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 2 роки тому +2

    Sasa wewe musukuma mbn hujaaa toa hilolimovi

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 роки тому +1

    Ongeen kishwahili Nako na nyie...hii move hawatizam wasukuma tu 🤔😆🏃

  • @mgdleenknzo9297
    @mgdleenknzo9297 Рік тому

    Haki huyu mzee anajua kuigiza ukorofi halafu nawe ntemi umeweza kuzaa na lugha huijui

  • @sarahjudahsarah1263
    @sarahjudahsarah1263 2 роки тому +1

    😂 😂 😂 😂

  • @josephjoshuakubagwa
    @josephjoshuakubagwa Рік тому

    Samahan iv mna. group la WhatsApp

  • @rosemaryrwabibi5908
    @rosemaryrwabibi5908 Рік тому

    Natafta watu wa kwetu umu ndani chato chato mpo wap

  • @DicksonKalokola
    @DicksonKalokola 3 місяці тому

    😂😂

  • @challomashaul5698
    @challomashaul5698 2 роки тому +2

    Good 👍👍👍😊

  • @neemamuhungu8302
    @neemamuhungu8302 2 роки тому +1

    Nice