Cake nzuri Maashaallah, naombi moja kutoka kwako unajuwa wengi wetu hatuna vikombe spesho vya kupimia nilikua napendekeza uwe unatumia kipimo cha kilo,nusu au robo ukifanya hivyo utakua umetusaidia wengi shukran kipenzi changu
So impressive to make such a beautiful cake on jiko la mkaa. nimependa sana maelezo yako, so clear, i love how you give different options, good for the ones who cant get exactly what you have. enjoyed every bit of this, and joined the fam,
Nimekupenda bureee,nimehangaika sana na kutengeneza keki hatimae leo nimekupay ubarikiwe mnooo.Samahani naomba kuuliza hii cocoa ndio ile ya dukani ambayo ipo km kahawa? Au kuna nyingine
Kwa recipe zingine za keki,bonyeza links kwenye description box,na design zingine za kupamba keki bila kifaa link zipo kwenye description box pia. Kwa maswali yoyote ,maoni,ushauri,usisite kuniachia hapa chini. Pia usisahau kulike,na kusubscribe kama hujasubscribe bado. Pia kwa kama unataka icing yako ikaze au ikauke kabisa unaweza kuiweka kwenye friji kwa masaa machache
Mashallah u always nailing it love 👌👌easy recipes to follow
Aaaaaw thanks so much for supporting dear,&thanks for watching😍
9p00000000gb27
Ahsante sana,nimejifunza vi2 vipya leo,Mashallah
Cake nzuri Maashaallah, naombi moja kutoka kwako unajuwa wengi wetu hatuna vikombe spesho vya kupimia nilikua napendekeza uwe unatumia kipimo cha kilo,nusu au robo ukifanya hivyo utakua umetusaidia wengi shukran kipenzi changu
Oooh ni kweli kabisa dear,sawa,nitazingatia hilo..shukran sana kwa ushauri...
Naunga mkono ilo ombi,hatuna vyombo specieli za kupima.
Mashaa Allah yani ni simple sanaa asantee umenifanya nisiogope kupamba cake 😍😍
So impressive to make such a beautiful cake on jiko la mkaa. nimependa sana maelezo yako, so clear, i love how you give different options, good for the ones who cant get exactly what you have. enjoyed every bit of this, and joined the fam,
Asante sana nimejifunza kitu
Ubarikiwe sana wewe Dada nimeweza kupika keki kupitia video zako
Sijakosea kukufata wallah Allah akuongezee zaidi na zaidi
Amen,Allah atuongezee sote
Napenda sana receip zako dada nitakuletea mrejesho
Woooow,inshaAllah dear..nakuombea heri
Chocolate is always my favorite, literally always, that's why I like this recipe. I'll see you soon.
Aaaaaw,thanks so much for supporting..please try it out
Waooow
I like chocolate so much this is the best recipe 🥰
Please do give it a try,🙏🙏thank you for suppprting
I have tried the recipe and it was🔥🔥 Thanks alot.
Woooow MashaAllah, asante sana kwa feedback..am super happy to know this
Unafanya maisha kuwa mepesi my dear
Mungu azidi kukubariki😋
Amen dear,Mungu azidi kukubariki pia
Nimependa simple lakn nzuri iyo ni ile cocoa tunatumia kwa chai
Nimeipenda thanks,aki nimemeza mate
Waooo nice nitajifunza zaidi
Mashaallah hongeraaa sana👌🥰👍
Mashallah umenitoa uoga habibty ilq hapo kwa jiko na sufuria sijafahamu ndani umeeka mchanga au nini cz sijaona describtion
Video kidukkittoo.. Njan full video kandutto
Dah nimeipenda sana dada sasa nahitaj kujua zaid ntakupata vp
Dada Nakupenda bure ww jmn una roho nzuri Sana usiache kutufundisha
InshaAllah dear,InshaAllah..nakupenda pia..asante sana kwa sapoti
Maelekezo mazur sana dia unaweza san
Mashaalah Mungu akubaliki
InshaAllah dear,Allah atubariki sote
Uko vizur Dada nkupataje napenda sana nijue
Am loving your cake recipes
Thanks loads dears🙏🙏🙏🙏🙏
Wow i like it ,thank u for teaching mamy but huyo unga wa cocoa naomba carton yake ninunue
🔥🔥🔥 hongera sana uko vzr sana
Dada wew ni mwalimu bora sana.
Iko poa sana nmeipenda
Salam alekum mashaallah
Man that is incredible
Mashallah keki nzur
Alhamdullillah dear,asante sana kwa sapoti yako
@@kekiplus1andonly ungeikata bac tukaiona ndan😪😪
@@najmasalim6272 oooh jamani pole dear🙏🙏🙏🙏
Great 👍🤗🌸 like
Wewe ni shida love uuuu
Naomba kujua jina lako mwalimu wangu
Nimependa big up
Mashallah Mzuri sana lakini natka kujua vanilla
Google picha yake
Chokolt zina patikn wap na vanila
So sweet
Yan nampikia mwanang kesho
Shukran
Ningependa kuona ukikata jinsi inavyonyambuka
MashAllah
🙏🙏🙏🙏asante sana dear
God bless u dia
Yani we fundi💃💃💃
🙏🙏🙏🙏🙏🙏asante sana dear
Kabisa aaaa
Hi,, naeza pika hii cale ya chocolate kwa jiko la gas pia?
Ndiyo dear,popote inawezekana
Nice dia
Weuweeee 👌
Habar me nataman nijifunze jins yakupka kek ila sina kifaa chochote
Naweza tumia uto??? Ama lazima Blueband???
Hii meza inayozunguka inapatikana wapi kwa sh ngapi?
What can use to replace milk
Nimependa upishi wako dear watafaid wanang kula cake
Wafaidi tu dear,maisha ndo hayahaya
Thank u
Nimekupenda bureee,nimehangaika sana na kutengeneza keki hatimae leo nimekupay ubarikiwe mnooo.Samahani naomba kuuliza hii cocoa ndio ile ya dukani ambayo ipo km kahawa? Au kuna nyingine
Ndio hiyo hiyo
Ndio hiyo hiyo
@@maijohn4815 hile cocoa ambayo unaweza kuweka ata kwenye chai
Me naomba tu kujua unachangny nn nann kwenye hyo icing iliiwe nzito
Mshumaa umeyeyushaje
Asante
Dada Mimi kila nikijaribu kupika keki aichambuki alafu inapasuka Sana yaani hadikero nimejaribu karibu mala4 lakini vilevile msaada tafadhali
Mwenzangu mnisaidie Kwan ile cocoa inayotumika kwenye kahawa ndiyo inayotumika kwenye keki🙈🙈
ukishaweka cocoa kwenye maziwa ya moto, unaacha ya poe ndo unatengenezea keki au unatengezea ikiwa bado na moto?
Yapoe kwanza,anza kwa kutengeneza iyo cocoa kwanza
@@kekiplus1andonly shukrani sana.
Mashallah
Unaezatumia self-raising flour
Wow
Good
🥰🥰🥰
Vzr
Mm napika lkn inakuwa mlima kwann naomba kuuliza hilo
Unazidisha hamira na baking powder ndo Mana inakua mlima Ina maana inaumuka
Am learner but I made it
Dada kumbe keki ya choklet hautmii aisng sugar
Njia za kupika keki Zipo nyingi sana rafiki,sijajua kutumia icing sugar katika hatua gani ,nielezee kidogo nikuelewe zaidi
Mambo lazima utumie Vanilla kuunda keki
Naweza tumia nini tofaut na maziwa
Mi nikianza kuweka mayai mchanganyiko unaonekana kama umekatika tatzo nini na ninaweka yai moja moja sijui nakosea wapi
Labda inawezekana mayai yako ni mepesi sana,
Unatumia mashine,au mkono kuchanganya?
@@kekiplus1andonly huwa natumia mkono mashine sina
Shukran xn naomba masiliano
Naomba comment tngu
Huchanganyi na nguvu ya kutosha.
Kama una chocolate ya maji inakuwaje
Unaweza nitumia vanilla vile inakaa ndo nikienda kununua nijue
Ukienda dukani utaioata,ziko nyingi sana
Upishi Yako maridadi swali ni je napika kwa jiko kwa masaa ngapi
Jinsi ya kutengeneza mshumaa bado cjaelewa
Angalia video dear
Samahani uyo mchanganyiko unaupika au
Unga upi unatumia
Nilikutumia anga sms lakini ukitaka kunijibu my sister mm Niko kenye plz nataka nambar yani nataka wewe uwe mwalim wangu 🙏🏼
Hi dear,text me hapa,so sorry sijaona your previous messages
+255622525390
Nina tamani hiyo keki.
Mbona kwenye hii video hakuba the moment of truth
Hellow sister samahani naweza pata namba yako ya WhatsApp for more conversation
Dm me instagram @kekiplus.youtubechannel
Kwa recipe zingine za keki,bonyeza links kwenye description box,na design zingine za kupamba keki bila kifaa link zipo kwenye description box pia.
Kwa maswali yoyote ,maoni,ushauri,usisite kuniachia hapa chini.
Pia usisahau kulike,na kusubscribe kama hujasubscribe bado.
Pia kwa kama unataka icing yako ikaze au ikauke kabisa unaweza kuiweka kwenye friji kwa masaa machache
Naomba duka la vifaa vyenu
Hey, naomba unieleze ulitumia kiasi gani ya Unga Ni grams.kwa hii cake ya chocolate.umesema 2 cups,hicho kikombe kimoja ni gram gapi?
Huo unga wa cocoa unapatikana wap
Y
MashaAllah