PAMBA KEKI NYUMBANI BILA KIFAA CHOCHOTE //DECORATING A CAKE WITHOUT TOOLS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025
  • njoo tupambe keki nzuri sana nyumbani bila kifaa maalum .
    kwa recipe zingine bonyeza
    BUTTERCREAM
    • JINSI YA KUTENGENEZA B...
    KEKI KWENYE JIKO LA MKAA NA KUIPAMBA
    • KUPIKA KEKI YA BIRTHDA...
    KEKI KWENYE JIKO LA GESI
    • JINSI YA KUPIKA KEKI K...
    KEKI YA VANILLA
    • JINSI YA KUPIKA KEKI Y...
    KEKI YA DRAFT
    • JINSI YA KUPIKA KEKI Y...
    KEKI YA CHOCOLATE
    • JINSI YA KUPIKA KEKI Y...
    ZEBRA CAKE
    • ZEBRA CAKE|JINSI YA KU...

КОМЕНТАРІ • 553

  • @dativajoel5804
    @dativajoel5804 Рік тому +2

    Nashukuru sana nilikuwa sijajua kupamba vizuri kivile sasa umenifumbua macho asante sana mwalimu.

  • @safinaali6066
    @safinaali6066 4 роки тому +7

    Duh! Mungu azidi kukubariki na kukupa afya njema akuongezee ujuzi zaidi na zaidi rafiki. Kwa kweli naangaliaga mafunzo mengi ya watu wengi ila yako ni mazuri mno wewe sio mchoyo wa jambo ubarikiwe sana tena zaidi ya sana.

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 роки тому +1

      @safins Ali asante sana sana dear,ni Mungu tu ananiongoza kupitia maombi yenu,Alhamdullillah na sapoti yenu ni kubwa sana,asante sana.
      Tuendelee kutakiana heri kila siku ili kila mmoja wetu apate wepesi katika shughuli zake ili tuendelee kukutana hapa ,inshaAllah😍😍😍😍😍

    • @irenemwiyava181
      @irenemwiyava181 4 роки тому

      Nzuriii

    • @johnkibaja2562
      @johnkibaja2562 Рік тому

      Nmependa mafumzo yako dear, naomba kujua mahitaji ya kupambia basi ranking angu nijifungishe plz

  • @maruunyange1091
    @maruunyange1091 4 роки тому +27

    Daah, ww niwakipekee my dear,, ninachokupendea zaidi unatumia vitu vyakawaida sana lkni kinachotokea hapo nizaidi ya nomaaa. Tena unaelezea vema kabisaa. Hakika umekua zaidi ya mwalimu kwangu, Nakupenda sana.

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 роки тому +2

      Ooooh jamani.@Maruu Nyange wangu asante kwa sapoti yako ya kila siku na maneno yako ya faraja,unazidi kunitia moyo wa kuendelea ..InshaAllah dear Mungu aendelee kutuongoza na kutusimamia sote
      Nakupenda sana pia,nafarijika sana kupitia wewe.

    • @Jackline-z6m
      @Jackline-z6m 4 місяці тому

      mamay vidio ya bater cream sijaiyona

    • @aminasalum3829
      @aminasalum3829 2 місяці тому

      Una darasa mamy nijiunge​@@kekiplus1andonly

    • @lucymwanakatwe164
      @lucymwanakatwe164 7 днів тому

      Nahitaji darasa la upambaji keki

  • @fantasyworld9489
    @fantasyworld9489 4 роки тому +11

    Jamani jamani we dada Mungu abariki kazi ya mikono yako.
    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏yaani dah sina maneno
    Shkamoo dada

  • @LeticiaAwuor
    @LeticiaAwuor 26 днів тому

    Mungu azidi kukubariki, dada. Inafanya kazi nzuri sana.

  • @beatricemlaki3543
    @beatricemlaki3543 4 роки тому +9

    Nzuri dadaangu.... Naomba kuuliza ... Mm nikipamba inachelewa kukauka.... Asa cjui nifanyeje ili iksuke mapema

  • @elizabethziga1053
    @elizabethziga1053 2 роки тому +1

    Mungu akubariki yan unafundisha taratibu na hatua kwa hatua kiufupi we ni mwalim mzuri

  • @hasinarashid2768
    @hasinarashid2768 4 роки тому +5

    Yaan wew dada unanikoshaa hujuii tuu

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 роки тому +2

      @Hasina Rashid 🙏🙏🙏🙏Alhamdullillah, nafurahi sana kuskia ivo,ni faraja kubwa sana.
      Asante sana kwa sapoti yako dear

  • @RahelMhezi-f9o
    @RahelMhezi-f9o 2 місяці тому

    Kwakweli Mungu akubariki kwa somo hakika nitajaribu kufanya

  • @SporahEmmanuel-gc7lw
    @SporahEmmanuel-gc7lw Рік тому +3

    Hongera Sana dada ang mungu abariki kazi ya mikono yako na uzidi kufanikiwa

  • @EdinaEzekiel-f3w
    @EdinaEzekiel-f3w Рік тому

    Ahsanteeee mwaya umenifafanulia vizur

  • @emmamtunguja8232
    @emmamtunguja8232 2 місяці тому

    Hongera sn kipenzi upo vzr MUNGU AKUBARIKI MNOO

  • @sottinglimbu5006
    @sottinglimbu5006 2 роки тому

    Hongera sana dada kwa ubunifu huo nimejifunza kitu amazing

  • @tasimborakaaya7389
    @tasimborakaaya7389 8 місяців тому +3

    Uko vzr kipenz

  • @citykibonge2999
    @citykibonge2999 Рік тому +1

    Maa Shaa Allah nmeipenda❤

  • @IsayayohanaJems
    @IsayayohanaJems Місяць тому

    Dada hii lazima nilijaribu maan nimeipend❤

  • @florahemmanuel8323
    @florahemmanuel8323 4 роки тому

    Wow ubunifu mzuri
    Kweli Mapishi ni usanii tu

  • @ashadaudynjokii3636
    @ashadaudynjokii3636 3 роки тому

    Wow unafundisha vizuri sana asant my dear

  • @bahatipeter5042
    @bahatipeter5042 5 днів тому

    Dada me sijui natamani kujua vizuri kupika keki❤❤❤

  • @monicachipungahelo9295
    @monicachipungahelo9295 3 роки тому +2

    Congratulations upo vizuri dada. Nimependa hakika umeeleweka. God bless you forever.

    • @wesleysitienei8862
      @wesleysitienei8862 3 роки тому

      Nmefurahia Sana njia zako za kupika keki dadangu,,naomba nambari yako ya simu ndio nitajua mengi zaidi

    • @wesleysitienei8862
      @wesleysitienei8862 3 роки тому

      Nmesomea hio kozi lakini ningependa kujua njia zote za kupika keki,,,

    • @mmkamazabron1657
      @mmkamazabron1657 3 роки тому

      @@wesleysitienei8862 future iygrffwe

  • @monicachipungahelo9295
    @monicachipungahelo9295 3 роки тому +5

    Upo vizuri dada angu. Nimependa kazi yako saaaaaaana. Naomba nambako ya simu tafadhari.

  • @FaidhaKassim-k1d
    @FaidhaKassim-k1d Рік тому

    Nimependa sanaa jaman kabla hat sijamaliza kuangalia😍😍

  • @monicachipungahelo9295
    @monicachipungahelo9295 3 роки тому +2

    Samahani sijajua nozzle unatengenezaje. Ila kiukweli kazi yako ni njema saaaaaaana.

  • @queenmadolari1534
    @queenmadolari1534 4 роки тому

    We dada ni noma🙌🙌🙌🙌Mungu akubariki🙏🙏🙏🙏

  • @LovenessMwasyeba
    @LovenessMwasyeba 4 місяці тому

    Hongera Sana unafundisha vzr sana Hadi mtu unaelewa kbs

  • @nenetheannyck1640
    @nenetheannyck1640 2 роки тому

    Nàshukuru saana dada. Kwanini autuoneshi gisi yakupata rangi asenti

  • @salmankatha3806
    @salmankatha3806 3 роки тому

    Wow maelezo yako ni straight forward, ntatuma picha ya keki yangu. Mashaallah

    • @chikumbwana8751
      @chikumbwana8751 2 роки тому

      Better cream, amechanganya Nini na Nini kupata hiyo?

  • @shamsaamos3130
    @shamsaamos3130 4 роки тому +7

    Yaani kabla sijamaliza kuangali nime like. Nakupenda

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 роки тому +1

      Wooooow...asante sana dear,Mungu akubariki sana na aendelee kukujaza moyo wa kuthamini kila kitu na kila mtu.
      Asante sana kwa sapoti yako,inamaanisha kitu kikubwa sana kwangu

    • @hasinarashid2768
      @hasinarashid2768 4 роки тому

      Hunizid mm

  • @rashidsamwel1987
    @rashidsamwel1987 3 роки тому +1

    Mwenyezi mungu atakulipa dada hakika unatutoa wengi gizani 🙏🙏🥰😘

    • @FransiscaKimario
      @FransiscaKimario 5 місяців тому

      Dada love ,,,,unatumia sana vitu amaizing sana jmn naomba no Yako ya Whatsapp niweze kujifunza zaid

    • @FransiscaKimario
      @FransiscaKimario 5 місяців тому

      🙏🙏🙏🙏💕💕💕

  • @thumswaleh9876
    @thumswaleh9876 3 роки тому

    Mara yangu ya kwanza kuangalia vdeo zako nimezipenda mno

  • @dole450
    @dole450 4 роки тому +1

    Unaelekeza vzurii sanana, asantee

  • @StellaLaurent-go8dw
    @StellaLaurent-go8dw Рік тому +1

    Napenda sauti yako,ni fantastic 👏👏

  • @elizabethmwalubungu
    @elizabethmwalubungu 3 місяці тому

    Mungu akubariki na akuxidishie baraka nyingi

  • @AgnessKomba-qg1es
    @AgnessKomba-qg1es 5 місяців тому

    Hongera sana ubunifu wa hali ya juu

  • @evalinenelson4301
    @evalinenelson4301 4 роки тому +2

    Nimekupenda sana unafundisha vizr sana naomba niwe mwanafunzi wako

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 роки тому +1

      Oooh jamani asante sana,karibu sana dear...karibu tujifunze.
      Nidm.instagram@kekiplus.youtubechannel

  • @michugoba737
    @michugoba737 Рік тому

    ❤❤❤🎉🎉 unajua sana yaaan🎉🎉❤❤

  • @PurityChepngeno-n3l
    @PurityChepngeno-n3l 6 місяців тому

    Nimejifunza mengi ubarikiwe mama❤

  • @blandinakasagama4167
    @blandinakasagama4167 2 роки тому

    Kazi nzuri mno nimejifunza kitu

  • @sandramwende4442
    @sandramwende4442 3 роки тому

    nzuri sana unaelezea vizuri jameni

  • @firdausyalhaji5569
    @firdausyalhaji5569 4 роки тому

    Waooooh amaizing...thanks much..welldone MashaAllah

  • @JovinaWekisha
    @JovinaWekisha 2 місяці тому

    Asante dada somo ziri la keki👏

  • @omaniam8922
    @omaniam8922 4 роки тому

    Safi sana asanteee kwa elimu. Mungu abariki kazi ya mikonoyako. Nimependasana

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 роки тому

      Alhamdullillah , InshaAllah ,Mungu abariki kazi ya mikono yako pia..

  • @gracejames4051
    @gracejames4051 9 місяців тому

    Nimependa ulivyo pamba🎉

  • @eddammchalamila9380
    @eddammchalamila9380 8 місяців тому

    Nimependa ulivyo pamba dada🎉

  • @AgnesPeter-yz1nc
    @AgnesPeter-yz1nc 5 місяців тому

    Uko fitty dah🎉 lakini naomba ukichanganya vtu tafadhali sema jina la hicho kitu ak xababu wengine tunaandika ili tukanunue baadae na kujaribu kufanya kaa wewe kwa hivo naomba tna naomba utaje jina la ktu unachochanganya af hongera kwa kazi yako nzuri xaaana

  • @cecilia-ug5ig
    @cecilia-ug5ig Рік тому +1

    Daah! nimeamini kupamba KEKI sio ngumu

  • @ridhu-if4rp
    @ridhu-if4rp 3 роки тому

    Mashallah dadangu natamani kujuwa kufanya cream tu ndiyo sijajuwa niko na hamu ya kujuwa cake mashallah najuwa kufanya

  • @graceutulo852
    @graceutulo852 Рік тому

    Naandaa Leo keki kipitia wew

  • @mariammgaya5182
    @mariammgaya5182 4 роки тому +1

    Aisee upo vzur I wish ningekuaaa mwanafunzi wako

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 роки тому +1

      Alhamdullillah, asante sana kwa sapoti yako,karibu tujifunze.

  • @MarthaEmmanuel-hw9sb
    @MarthaEmmanuel-hw9sb 9 місяців тому

    Upo vizuri sana dada

  • @IsaacMsuya
    @IsaacMsuya 4 місяці тому

    Aweosemo i like it👍👍

  • @lydiasamweli6929
    @lydiasamweli6929 2 роки тому

    Nimeipenda nitajarib kutengeneza👍

  • @NasharJumanne
    @NasharJumanne 9 місяців тому

    Asante dada Kwa mafundisho mazur na mm nitajufunza

    • @RoseMbwawa
      @RoseMbwawa 7 місяців тому

      Asant dada nitajifuza❤❤❤Mungu atakulipa kwa majitoleo yako🙏🙏

  • @elvisianthadeo1567
    @elvisianthadeo1567 4 роки тому +2

    Ninzuri Sana hiyo keki hatari sana we dada

  • @VailethJuma-t2i
    @VailethJuma-t2i 14 днів тому

    nmefurahishwa na mafunzo ya keki yako yan iko simple sana

  • @salmaseif8755
    @salmaseif8755 4 роки тому +1

    Duh we kiboko 🙌 nitajaribu 😍😍

  • @saadaabdallah3224
    @saadaabdallah3224 4 роки тому +1

    Hongera mdada upo vizuri nimekupenda bureeee

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 роки тому

      Asante sana..na mimi nimekupenda bure kwa comment yako

  • @MaryamBakari-y1r
    @MaryamBakari-y1r 4 місяці тому

    Ahsane ubarikiwe sana mwaya

  • @maggykimbifya6486
    @maggykimbifya6486 3 роки тому

    Wababa wa kaenda uko munyumba mdogo wakakuta wamepika ceke wakazama tupike darasa nilabure tusilale usingizi baba asitowe matumizi ya cake kilasiku tupike wakina mama wenzangu darasa nzuri kabisa

  • @JosephineMwinuka
    @JosephineMwinuka Рік тому

    Upo vizuri dada

  • @RayRay-dr6rf
    @RayRay-dr6rf 11 місяців тому

    Mashall nishalik kabl hujamaliza som

  • @msafiri2946
    @msafiri2946 3 роки тому

    Uko vizuri,

  • @mwaijamachemba9095
    @mwaijamachemba9095 2 роки тому

    Nipenda sana dada uhuu upishi wakeki hongela Kwa SoMo akika NAMI nitaweza kupitia wewe

  • @AsmaFakhi-yp1my
    @AsmaFakhi-yp1my 9 місяців тому

    Hongera tumejifunza

  • @mashakashax430
    @mashakashax430 Рік тому

    Yaan Dada ubarikiwe sana

  • @azizdagesh5423
    @azizdagesh5423 3 роки тому +1

    Vizuri sana👏👏

  • @saudas.mshaban6946
    @saudas.mshaban6946 4 роки тому

    Nmependa vile unaelekeza asante sana

  • @subhanallah868
    @subhanallah868 8 місяців тому

    Nimependa cake ya pili❤❤❤❤😊

  • @SHERYMeddy
    @SHERYMeddy 9 місяців тому

    Nimeipenda ipo ninzur

  • @bernadethalaizer2647
    @bernadethalaizer2647 6 місяців тому

    Nzuri sana unajua kupika 😮😮😮😮😮😅😊😢🎉😂❤

  • @epistermichael8161
    @epistermichael8161 Рік тому

    Thanks for your creativity

  • @lawrenciamkolwe4875
    @lawrenciamkolwe4875 4 роки тому +6

    Safi sana Mimi naomba unitumie vitu vyote ambavyo unatengeneza keki ili nikanunue

  • @halimaathumani3435
    @halimaathumani3435 4 роки тому +2

    Hongera sana Mungu akubariki sana

  • @BeatriceCharles-wo8hr
    @BeatriceCharles-wo8hr 6 місяців тому

    Jamani hadi raha❤❤

  • @prayersukums3223
    @prayersukums3223 2 роки тому

    Jmn nzuriiii

  • @gracezamudakalonda2678
    @gracezamudakalonda2678 2 роки тому +3

    C'est super et simple recette.merci beaucoup 🙏

  • @lydiakangongole6783
    @lydiakangongole6783 2 роки тому

    Mungu akutunze jamani ili somo nimelitafuta sana

  • @adventinamkiwa7509
    @adventinamkiwa7509 2 роки тому

    Dada uko vzur Sana'a

  • @OresterMapunda-u2n
    @OresterMapunda-u2n 4 місяці тому

    Mi mala yangu ya kwaza ila nimependa Dada angu utengenezaji wako wa keki Mungu akulinde

  • @kimaraazichou7498
    @kimaraazichou7498 2 роки тому

    Asante sana ubarikiwe

  • @upendomwaifuge8261
    @upendomwaifuge8261 4 роки тому

    Nakuelewa Sana,Mungu akubariki.

  • @pendofrances617
    @pendofrances617 3 роки тому

    Majina ya rangi yanaitwaje

  • @JuweyriaJuma-c7r
    @JuweyriaJuma-c7r 3 місяці тому +1

    Nice

  • @HabibaAlly-om4mh
    @HabibaAlly-om4mh Рік тому

    Aisee u are so good 👍👍👍

  • @glorymwijage4696
    @glorymwijage4696 4 роки тому

    wewe ni mwalimu aswaaah

  • @taibadam8091
    @taibadam8091 3 роки тому

    Bravo uko vizuri dada

  • @gracelyoba223
    @gracelyoba223 2 роки тому

    Hongera sana

  • @RobinahMaryNamusisi
    @RobinahMaryNamusisi Рік тому

    Thanks for the lecture dear

  • @SaraMyeka
    @SaraMyeka Рік тому

    masha allah nimependa kaz yako dada

  • @brilliantnight1645
    @brilliantnight1645 2 роки тому

    Napenda Sana pation unayo

  • @fatumadugulu351
    @fatumadugulu351 7 місяців тому

    Ahsant sn na mungu akubaliki,naomba kujua jinsi ya kuandaa butter cleam my dear

  • @mamataliki-ij8hm
    @mamataliki-ij8hm Рік тому

    Nimeipenda keki zako I love you

  • @maidamatinya348
    @maidamatinya348 4 роки тому

    Hongera mwaya upo vizuri kweli!

  • @IrakozeDebora
    @IrakozeDebora 7 місяців тому

    Naomba nambazako dada natokea burundi nime penda san we noma san❤

  • @zainabusaid9281
    @zainabusaid9281 Рік тому

    Kazi nzuri Dada uko wapi? Mimi nahitaji sana hiyo Elimu zaidi ya hapo. Mie nipo Mwanza

  • @jafarijuma6144
    @jafarijuma6144 4 роки тому +1

    Naomba unitumie vifaa vinavyo itajika kupika Keki

  • @elizabethsamwel9655
    @elizabethsamwel9655 4 роки тому +6

    Asante mamy, napenda kuangalia channel yako.

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  4 роки тому +1

      @Elizabeth Samuel Asante sana rafiki,nimefurahi sana kuskia ivo...
      Asante sana kwa support yako

    • @elizabethsamwel9655
      @elizabethsamwel9655 4 роки тому

      @@kekiplus1andonly no yako please kama hutojali

    • @fatmariko9921
      @fatmariko9921 4 роки тому

      Sick gov lox lb ion bojg

  • @miburoviolletefb-bj1nd
    @miburoviolletefb-bj1nd 11 місяців тому

    Ongel san 👏👏👏👏

  • @mukuhikimani9384
    @mukuhikimani9384 4 роки тому

    Asante sana.nimejifunza kitu

  • @ChitranjalisvlogsRecipes
    @ChitranjalisvlogsRecipes 4 роки тому +4

    Wow very beautiful cake